SIMULIZI YA UKWELI: KUTOKA KOMANDO WA JESHI HADI MUUZA SAA

  Рет қаралды 33,128

Bin Nyange Media

Bin Nyange Media

5 ай бұрын

Пікірлер: 52
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 5 ай бұрын
Tunashukuru kwa simukizi nzuri japo kuna baadhi ya watu wanasema vita ya Uganda ni propaganda kumzuria I'd Amin
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 5 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI MZEE WANGU,AKUPE MWISHO MWEMA UMEONGEA WASIA MUHIM SANA
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 5 ай бұрын
Allah akusamehe mzee wetu umepitia kipindi kigumu sana chamaisha yko,rai yngu kwawazee kama hawa waloshiriki mauwaji ya waislam wenzao wa unganda,kubwa nikurudi kwa Allah nakuomba msamaha kwa makosa yte waliofanya hko kwenye vita,maana kuuwa binaadam bila hatia nidhambi kubwa ktk madhambi makubwa mbele ya Allah 😢😢😢
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 4 ай бұрын
Na waganda walio huwa waislamu wa Tanzania wapo sawa kabisa
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 ай бұрын
Hongera mshua maisha lazma yaendelee.
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 ай бұрын
Mzee wazee wako wamekuferisha Sanaaa duh umekula hasara unahachaje kazi ya jeshi mzee
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Kweli watu walikuwa hawaoni mbali ,sasa mafao yake aliyapatA kweli yote
@chachawambura4030
@chachawambura4030 5 ай бұрын
Ajira ni utumwa, nampongeza yeye kujiajiri Sasa Yuko huru na kazi zake.
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 5 ай бұрын
Hawakumfelisha wako sahihi wanajeshi kuuwa huoni tabu wazazi wamemtakia mema mtoto wao
@westerntanganyika
@westerntanganyika 5 ай бұрын
Mungu mwema na anakusudi kwa kila mja wake
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 5 ай бұрын
Kazaliwa pemba na Unguja Zanzibar ni uguja napemba mwandishi w habari usikoroge
@sultansallah8772
@sultansallah8772 5 ай бұрын
WAJINGA kama huyu wapo wengi sana
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 5 ай бұрын
Muadhini wa jibril
@vicentelias491
@vicentelias491 5 ай бұрын
Yuko unguja, Zanzibar ni muunganiko wa unguja na pemba
@binnyangemedia8756
@binnyangemedia8756 5 ай бұрын
Yes
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 ай бұрын
Dah maisha bn serikali imwngalie huyo bab mana si kwa hali hyo
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 5 ай бұрын
Ni hatari sana watu kama hawa kuwaacha ovyo ni hatari ktka nchi wakuu huko mbere ni hatari
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 5 ай бұрын
Wako wengi kila nchi wapo na wanastaafu mbona sema hawaachwi kama unavyodhani
@user-kr2xi5xw6o
@user-kr2xi5xw6o 5 ай бұрын
kufikia muadhini wa msikiti mkubwa wa jibril mkunazini unguja
@user-kr2xi5xw6o
@user-kr2xi5xw6o 5 ай бұрын
kufika kua muadhini pia wa msikiti mkubwa wa Jibril Mkunazini
@binnyangemedia8756
@binnyangemedia8756 5 ай бұрын
STORI IYO INAKUJA HIVI KARIBUN
@adilhabib8988
@adilhabib8988 5 ай бұрын
hilo suali lako la kwanza halina kichwa wala mikono
@twaibutwabibu8809
@twaibutwabibu8809 5 ай бұрын
😂
@aliymkuutv4367
@aliymkuutv4367 5 ай бұрын
Pemba nayo ni zanzibar
@sultansallah8772
@sultansallah8772 5 ай бұрын
WAJINGA kama hawa wapo wengi
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 ай бұрын
Kiufupi mzee umechezea shilingi chooni
@dondallas6683
@dondallas6683 5 ай бұрын
Hajachezea maisha iyo tyr God ameshampangia mpango.wake wa maisha .ww utabaki kulaumu kwa kuwa ww hujapata kazi
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 5 ай бұрын
Ulienda Uganda kuuwa ndugu zako
@SaidAli-ou3us
@SaidAli-ou3us 5 ай бұрын
Tuwemakini Watangazaji tunapouliza maswali kwani Pemba na Zanzibar kunatofauti gani? Kwanini usimulize mbona umezaliwa "Pemba na hivi sasa unaishi Unguja"?
@binnyangemedia8756
@binnyangemedia8756 5 ай бұрын
Ahsante mkuu tunashkuru kwa ilo tutalifanyia kazi
@sultansallah8772
@sultansallah8772 5 ай бұрын
WAJINGA kama hawa wapo wengi. Mana hadi ticket za meli wanaandika kutoka ZANZBAR kwenda WETE
@abdul-wahidkhamis8455
@abdul-wahidkhamis8455 5 ай бұрын
Mwandishi hajielewi ivi kwan ni nn maana ya Zanzibar anaonekana ana element za kibaguzi
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 5 ай бұрын
Hawajui kitu hao kaka😂
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Uyo ni mwandishi wa iziraeli amekimbia kichapo cha wazee wa gaza kaja tz
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
Maswali yanapaswa kupimwa hasa anapoulizwa mtu km huyu, sbb pamoja na kuleta hamasa lkn haya mengine si ya kuyajadili kwenye media sbb yanahusu mambo ya ki-intelegensia
@jeffhard5773
@jeffhard5773 5 ай бұрын
Bongo
@mubajoti743
@mubajoti743 5 ай бұрын
Et umezaliw pemb sas upo znz 😅😅kwnin nyny watangzaj hamjui kueka maelez sw kwni pemb sio znz sem kwnin umezaliw pemb saiv upo unguja
@samxx411
@samxx411 5 ай бұрын
Kwani ugomvi
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 5 ай бұрын
Waandishi hawana elimu ya kutosha
@user-jx7ot4ru7l
@user-jx7ot4ru7l 5 ай бұрын
Mzee.usileze.mambo yalopita jeshini kuna siri sana
@eddiemay547
@eddiemay547 5 ай бұрын
Hapo hakuna jambo la siri aliloongea kawaida tu anajielewa huyo vitu vitatu hiyo kweli kabisa makosa ktk vita hayo machache tu kuna mengi sana asante sana babuu tanzania Zanzibar waanzilishi commandos
@jeffhard5773
@jeffhard5773 5 ай бұрын
Eeh Kama ilivyo serikali na Siri za upigaji
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 5 ай бұрын
Mwisho wa maji tope mkiwa Jeshi mnajiona kama Hamufi
@ShamsiaMuhibu-ly9mi
@ShamsiaMuhibu-ly9mi 5 ай бұрын
Amna komando hapo😂
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd 5 ай бұрын
We choko ni nani?
@MahmoudDouchi
@MahmoudDouchi 5 ай бұрын
Nenda kamjaribu halafu utaenda kuwahadisia wezio
@mbaroukally8655
@mbaroukally8655 5 ай бұрын
Kombando ni ww kibaka
@uklife5232
@uklife5232 5 ай бұрын
😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 5 ай бұрын
Mbona povu,eti komando labda wa visiwani huko ,au anafundisha karate
POLISI WAZUA BALAA, WATOA KICHAPO, MGONJWA ABEBWA JUU JUU...
3:15
Wasafi Media
Рет қаралды 53 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,3 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
MAALIM SEIF AJIVUA UMAKAMO WA RAIS ZANZIBAR
10:09
Mtembezionline
Рет қаралды 75 М.
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 4,2 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 848 М.
Kenjebek Nurdolday & Baller - Сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 32 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 57 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1 МЛН