Kumbe kuna wazur kuliko Zari.. MUNGU kaumba kweli vitu vizuri vizuri. Hata Mimi nimzur asante MUNGU Baba mbingun
@marinamooh40553 жыл бұрын
Pole bro Sky Allah akupe shifaa inshaAllah 🤲🏿 Mmmhhh🤔🤔 Utajili wa Kishetani mwisho unazikwa kishetani Shetani Daahh history yk sijasikia Ameingia nyumba ya Ibada zaindi ya kusikia bar, Club, hotel na kuvaa nguo za thamani, SubhanaAllah Allah tuongoze vyema waja wako.
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Hakika maisha ya duniaa ni mafupi Sana yarabi tujaalie mwisho mwema
@binthassancollection.63083 жыл бұрын
Aamiin
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Amyiin
@fatushabdi27863 жыл бұрын
Amin yarab 🤲🤲🤲🤲
@shamimkyomugisha97423 жыл бұрын
Allahuma Ameen yarabbi...
@saadiaali56093 жыл бұрын
Jamani kumwaga madola sasa dola siafafhali waende wakawape mayatima na mafukara na watowe sadaka ili huko aendapo sadaka nakusaidia masikini iwe ni amali zake watu wanafanya kufuru ujuwe pesa za shetani hazina mipango maalumu
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Tutafanyaje cc yetu macho 2
@ivaniavianarodrigo72013 жыл бұрын
ulishawai kusikia pesa za kuzimu?!, kama uliwai kusikia basi hazitolewi zaka.
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
@@ivaniavianarodrigo7201 eti ndohizi mungu wangu tusame
@sarahminja72553 жыл бұрын
Pesa zao ni za kumwaga damu tu hata wakisema wamzike nazo au wasimzike nazo wagawe kwa mayatima ni kazi bure kwasababu amekufa kifo cha mende nikimaanisha amekufa hali yakuwa bado ni kafiri
@dotytydo23423 жыл бұрын
@@Maggie824 wee waona zari mbona masta wote bongo ni madevo
@sistertrashid24883 жыл бұрын
Dunia si chochote kabisa yaani
@ebbyramadhani3 жыл бұрын
Mastaa mpate somo msitujeulie wananchi Msituvimbie Mkipata matatizo mnarudi kwetu tuwachangie, pamoja na kuvimba kote kuwa mna ela
@theafricanprincevivecongo86323 жыл бұрын
Nawa fwata sana FROM USA 🇺🇸
@tumabhay85763 жыл бұрын
Mhuuuu balaaa zitttttooooo. Balaa na nusu.. ALLAH TUPE MATENDO MAZURI NA UTUPE MWISHO MWEMA 🤲.
@dinahandi70273 жыл бұрын
Kwani roho yake iko hapo kwa dollar hakuweka hazina yake mbinguni ,man made money but money makes ma mad,hio ni madness,maskini na tajiri pua kuangalia chini ilingekua tajiri aeza nunua uhai walai maskini hangeliishi
@aishamother99433 жыл бұрын
Kabisa my dear
@aminaissa97093 жыл бұрын
Yaani umesema kweli lakini mungu mkubwa kila mtu ataonja kifo tu uwe tajiri uwe maskini futi sita zasubiri kila mtu
@hanifaally46943 жыл бұрын
SubhaAllah Allah awasemeh amjui mtendalo sasa hz pesa c mngesaidia wenye uhitaji mayatima,wagonjwa watu wpo weng nashida ht mumzike na nyumba yak haiwez saidia chcht huko Amary yk tu jmn eeh Yarab tupe mwisho mwema sote na ukamsamehe mja wako huyo mazambi yake na yangu 🙏😭😭😭
@hatimahalikhamis13333 жыл бұрын
Pesa za shetani lazima ziende na mwenyewe
@ashuuuaisha91223 жыл бұрын
@@hatimahalikhamis1333 hasaaaa
@anicyaedward56053 жыл бұрын
Duuuh let’s love each other
@emmyyahya83583 жыл бұрын
Mungu awalehem marehem wote daa inasikitisha sana
@zainbomary39703 жыл бұрын
Pole sana Kaka Sky kwa mafua
@bujsaudaselemani55623 жыл бұрын
Pole sana
@janetkemush37843 жыл бұрын
Sns nawapenda sana
@rehemajuma97133 жыл бұрын
daaaah innah lilaah wainalillah lajiun mungu awasamehe sana hawa watu wanaozika pesa chn n bola wangesaidia mayatima kweli annah duniya taduru sisi tunatafuta pesa kwa shida wengne wanazika chn nmeumia sana
@didaamohsin65943 жыл бұрын
POLEE KWA MAFUA...SKY..TUNAKUELEWA HIVYOO HIVYOO..MOLA AWAEKE PEMA PEPONI..FROM..🇰🇪🇰🇪
@beautyblessing88463 жыл бұрын
They should give that money to the poor, orphans and widows why waste it when the less privileged are suffering? He's dead and gone no need to bury him with lots of cash coz haitamsaidia kitu ama kumrejeshea uhai
@rukiabari94313 жыл бұрын
That money is money in your sight(worldy) but in spiritual world its not money and no blessig of God in it... From darkness to darkness
@nightwishisthegreatestband63553 жыл бұрын
It was HIS money. If that was his wish he has all rights
@angelholsey24843 жыл бұрын
MUNGU tujalie mwisho mwema 🙏
@aminihaminih78463 жыл бұрын
Pole kwa mafua,pia asnt kwakutupa taarifa nzr
@janeyphersuma39823 жыл бұрын
Wazimke na nguo zake na nyumba zake na mapesa yake yote na kila kitu chake ila moto uko pale pale mana wamefia dhambini hawakupata nafasi ya kuweka sawa na Mungu acha nimtafute Mungu ningali hai mana sijui siku yangu hili ni fundisho kwetu sote
@saidakessy31753 жыл бұрын
Always on point sky🔥pole na mafua
@jarednyakomitta65703 жыл бұрын
Speed kills.The car reaches high speed within few seconds.
@keithsikobe21883 жыл бұрын
Hiii dunia tunapita mali yote itabakiii duniani
@salomewandya72573 жыл бұрын
Kweli hakuna ajuaye kesho,mwenyezi mungu tupe mwisho mwema
@aminaabdallah36443 жыл бұрын
Mungu awape pepo njema
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
ingekuwa bongo jioni limefukuliwa pesa zote zinachukuliwa chezea bongo wew
@mrsliverpool42353 жыл бұрын
Hilo kaburi lazma baadae livamiwe tu, walala Hoi Hawawezi kubali kuona pesa inafukiwa
@courtoiskimweli25063 жыл бұрын
😀😀😀😀😀sio POA
@mwanakombogodoro1413 жыл бұрын
😄😄😄😄Subhana-llah
@patriciacarlo72363 жыл бұрын
La Ivan Don mbona halijavunjwa
@khadijaali36883 жыл бұрын
Nani atakata hizo pesa za mashetani
@alwattanchinga3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqiykqdjmL-iq7s
@zakyahya46453 жыл бұрын
Kazi kweli kweli yetu macho na masikio
@samirnaty87743 жыл бұрын
Mi ni mdogo zodwa😂
@Vince-kw9hu3 жыл бұрын
Kumwabudu shetani kuna gharama hilo mlijue ndugu zangu Furahia alichokupa wewe kilicho na Amani
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Ginimbi mpe Hai Ivan done mwambie zari karud tena kwa diamond ila mlale Salam huko mlipo
@mwajabuhamis89243 жыл бұрын
Umenichekesha
@omarsharifa56063 жыл бұрын
😂😂😂nacheka Kama mazuriii jamni
@ashasaid59953 жыл бұрын
Uwiiiiiii jamani nacheka kama mazuri jaman
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
@@ashasaid5995 cheka tuu uongeze siku zakuishi
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
@@omarsharifa5606 ndo hivyo ndugu Dunia mapito tuu
@Jal2103 жыл бұрын
Naomba kweli maisha haya bora nife masikini
@cestlaviecestlavie40733 жыл бұрын
wake wa ma firmasons, halafu utaskia eti mimi ni tajiri, na kumbe urisi wa masheitwani 🙄😏...
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
Poleni Sana, Ajali Haina Kinga,
@تاتوجمعه3 жыл бұрын
Pole kwa mafua ugua pole😚😚
@sistertrashid24883 жыл бұрын
Pole utapona tu tunakuelewa ivyo ivyo
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@chibunews56423 жыл бұрын
Tunakutegemea mwanzo mwisho Sky na usisau na hushpappi
@sherin31713 жыл бұрын
Lakini hizo zote ..ata ukimwaga dola ni bure tu kwa sasa
@shamsahassan25863 жыл бұрын
Very true my dear,,ammal yako ndio itakayo kwenda msaidia
@@shamsahassan2586 Acha yaan binaadamu cc c kitu jana niliona ile video wale wadada wanavyolia kwa gari wanaungua na ckumaliza wallah ckulala leo hao wanafanya hayo kweli 😭😭
@mrambadiana96783 жыл бұрын
@@hanifaally4694 wapi nkaone
@nurukiingu11713 жыл бұрын
@@hanifaally4694 iko wapi nataka kuiona
@chiefkaitaba.m.94663 жыл бұрын
Huyo Karim tapeli kanihacha hoi kwahiyo serikali imejipongeza au? Mmhh maisha ya hawa jamaa ni maajabu sana
@zclassicfashionz3 жыл бұрын
Sawa kaka SKY nimekuelewa mafua ni shida siku izi
@ayshachondo90903 жыл бұрын
Pole kaka utapona ucjal
@elishalugano56793 жыл бұрын
Mimi na sema tena wengine ambao wanabaki uko kwa lusifer watubu muda bado iko kwao Mungu anawahachia mda ili wa tubu itakuaje upate ulimwengu mzima na ukose ufalme wa mbinguni jameni ? Ni heri ukufe katika Kristo juu utaishi .
@hereandnow6023 жыл бұрын
Kama KARIM alikimbia malawi kwa utapeli wa hizo pesa zote.. Basi hata huyo ginimbi itakua michongo yao inafanana... NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA "birds with feathers flock together " ndo hii sasa
@hadijahassan31133 жыл бұрын
With the same....
@rehemashafi48093 жыл бұрын
Dahhh kifo hiki mhm😭😭😭
@timochazze98453 жыл бұрын
Tusisahau kua kuna mungu katika dunia hii
@messaabbas83463 жыл бұрын
Pole sana sky kwa mafua,,,then R. I.P guys 🙏🏻
@salwasuleiman89433 жыл бұрын
MTU atapumzika kwa amani iwapo aliitafuta amani kwa Allah tofauti na hapo tusipeane moyo
@fatmasalim74263 жыл бұрын
Kweli kabisa
@euniceeunice76803 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀sio kweli. .damu ya Yesu tooo ...amna atae ingia mbinguni bila kupitia kwa Yesu...Mohammad kazaliwa kakuta ayo maandiko...
@fatmasalim74263 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 sibishani na ww kila mtu anaamin kile anachoona kinamfaa nimecoment kutokana na iman yangu wewe muamin yesu wako kivyako
@johnmgodi75453 жыл бұрын
Mi mkristo na nafikilia kuslim kuingia kwenye uislam.. kwenye yesu uongo na ujinga mtupu.. ndomana gwajima anawala sana dada zetu wa kwenye ukristo hakuna kujielewa hawajielewi.. sa kama huyo mimi anajielewa kwer
@fatmasalim74263 жыл бұрын
@@johnmgodi7545 😂😂 ila sikucoment kiubaya labda hakunielewa tuu
@zabiyafahmikhamis48733 жыл бұрын
Duuh pole sana kaka utapoa
@lenscraft9213 жыл бұрын
all is vanity, if he got wealth wisely, helped the poor, then he has a place in heaven. if wealth could be a ticket to heaven, he could be there without objection
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Rest in peace both of them🙏🙏
@walkerhugh2013 жыл бұрын
You all probably dont care at all but does any of you know a tool to get back into an instagram account? I somehow lost the password. I would appreciate any tips you can give me.
@keatonnixon45413 жыл бұрын
@Walker Hugh Instablaster :)
@oscartheicon27163 жыл бұрын
Hawa vijana wote wamekua magaidi sugu...how can such young men at their 30s became billionaires in such poorest countries like Zimbabwe and Malawi?? Matapeli wakubwa hao who worked with senior government officials to corrupt hizo nchi maskini duniani.
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Hivo pesa nipeni mm jamani naitaji2 sana
@ruthmgalula93603 жыл бұрын
Watupe kbs
@alexoklnda23533 жыл бұрын
Okay bro good job
@jamylahramadhani98623 жыл бұрын
Nmewaza kwa nn ginimbi hakuungua na wengine watatu wameungua mungu ana kila sababu ya kila linalotokea
Mbona hatuonyeshwi kwao kwenye amezaliwa wanako ishi wazazi wake
@zou74703 жыл бұрын
Dunia iyi inatudanganya kwakwel 😭😭sasa izo dollars zitamusaidia nin jamani 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Wallah tena mm ningekuwa karibu ningeziiba 2
@zou74703 жыл бұрын
@@Ryoof-qo7if 🤣🤣🤣siyo kuiba labda wataweka walinzi mana watamukuta wamemufufuwa 😅😅😅😅
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
@@zou7470 🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@paulinusdaki81453 жыл бұрын
Kwenye kifo cha huyu jamaa tunajifunza nn ndugu zangu? " Mtu anakufa wakati anatoka baa na azikwe na lundo la dollars ili kumuenzi kwa kula starehe sana na kwa Mungu je"?
@doreenmalesi60393 жыл бұрын
Funzo kubwa sana
@issakamangila91133 жыл бұрын
Iyo ndio asara ya kutafuta pesa kiu ujanja ss
@saggiemacyalue55573 жыл бұрын
Bwanaee si azikwe tu.. Hizi habari ziishe...
@nahimanamayassa83053 жыл бұрын
Acha azikwe na izo dola kuna watu wapo macho wataenda kubomoa kaburi
@maryoburu96203 жыл бұрын
🇰🇪 Try this in👈 a unique rain of bullets from RPG,callibooster, manpads will suprise the world.eti doo ilale Kwa mchanga and people are hustling day in day out without food
@munirashughuli72243 жыл бұрын
Pole kwa mafua
@anahna67883 жыл бұрын
Mzikie na hizo pesa kuone adhabu yenu kwa Mungu
@stellaloves98793 жыл бұрын
Pole kwa homa but bado sauti iko Sawa
@Theraldylaniscool3 жыл бұрын
It's all vanity
@mercymairah98963 жыл бұрын
Jamani mwenda zake ameondoka ,izo madola twaitaji wasitupee
@shamsahassan25863 жыл бұрын
Dunia nimapito kila kitu kitabakia
@kailomsewa22583 жыл бұрын
Mungu wangu kumbe alitapeli mtume
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
alotapeli sio Ginimbi ni limumba kareem
@sarahogama95403 жыл бұрын
Kina zari pia wachunge sana hizi mali za freemason ni hatari
@mapenzisorotanizimbazimba87423 жыл бұрын
Kimotoni Chao Hao wakina Zari Na mondi
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Zari na mond fremason
@carolinejuma31083 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 you are very clever my dear Freemason they choose for you woman to marry that’s why unawaona wanabaki na Mali because they can keep secret
@theafricanprincevivecongo86323 жыл бұрын
Ata akizikwa na gari zote
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Jamani 🤣🤣🤣
@ashuraussein75823 жыл бұрын
😭😭Kwaiyo ginimbi akuza toba
@lilianjeremia10243 жыл бұрын
Watu wanayo ela jmn mwisho wa siku unaacha kila kitu 🤦🏾♂️🤦🏾♂️rest in paradise 🙏🏽
@najmaulaya88193 жыл бұрын
Kwani hana.watoto jamn
@lucylucy24043 жыл бұрын
Afathali mwenzake anaacha watoto gimbi njee akuacha kitu zaid y hasara tuuu kumbuk kuowa mapema pesa munazo inashindikan nini tena unakufa bila kuacha kitu kw familia kwel.
@jacklinevalentine16493 жыл бұрын
Haki lyf is soo short may all those perished in this fateful accident rest in peace n may God give comfort to the entire family n those others who lost
@simonitaagesti36573 жыл бұрын
Hizo pesa mkitoa sadaka itamsaidia zaidi kuliko kumzika nazo zikamchome
@youtub83203 жыл бұрын
Hawa wote ni kina Evan semwanga poleni kina zari
@noelamaswe66193 жыл бұрын
Ee Mungu tupe moyo wa upendo ulichotubarikia tuwape wasionacho / maskini maana hawakupenda kuwa hawana kwani zipo sababu nyingi zinazowafanya kuwa maskini/hawana
@happysam2513 жыл бұрын
Hawa wanajuana kwa vilemba mwengine pia naona ashakuja kurithishwa Mali huku bongo...mtaskia mengine tena kwa huyo Mondy
@jasmine.mayala75973 жыл бұрын
Kaenda yy kawatoa na wenzie daaah 😣😣😣😣😣😣
@roseatieno66913 жыл бұрын
Hii gengi la the rich gang wanatumia giza mbaya kupata mali wakiwemo Zari na marehemu mume wake Ivan, na urafiki ya Zodwa na Zari ni kwa ajili ya mabwana zao na walifanya kazi pamoja. Hiyo familia ya mama dangote pia si wazuri ni kama wanatumia hizo nguvu za giza ndio mana wanaendana na Zari, na tayari tumeskia uncle Shamte anataka pia Zari amuconect na hiyo kundi kutoka SA . Maaajaabbuuu .
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Mali za masoon izo duuu ataazikwe na gar
@sondemtanashati61643 жыл бұрын
Ivi nyie kila m2 anaefanikiwa ni free mason? Mna wivu sana
@ashuuuaisha91223 жыл бұрын
@@sondemtanashati6164 dini gn inaluhusu uzikwe kwa kufuru. Uzikwe na gunia la pesa. Kama si uswetani ninini. Africa kuna mafakiri tere. Vipi hizo mali wasingepewa. Huyo ni alikuwa illuminate.
Inshallah allah amlipe kutokana na matendo yake inshallah
@shamimkyomugisha97423 жыл бұрын
InshaAllah..
@KhadijaKhadija-cv9db3 жыл бұрын
Eeh pesa za majin aende nazo tu
@kulwashabani33283 жыл бұрын
Acha ende nazo tu
@maryamkipee59623 жыл бұрын
Niko tayari kufa masikini kuliko magic
@hamidangitu2273 жыл бұрын
Nipeni mimi izo pesa nipate hata kijumba kidogo cha kujihifadhi
@leecode61353 жыл бұрын
Mkimwaga dólar tunkuja kufukua na kuzichukua hizo dólar faster mpka hilo jeneza tunalibeba na kulitia sokoni
@jamilaingu79223 жыл бұрын
Inna Lilah wainailahi rajhun
@Rylee_kerrueche3 жыл бұрын
Yaani mm nikiona hio video anayotoka club na hio ya gari kuungua amelazwa chini nasisimkwa balaa
@charlescosmas78233 жыл бұрын
Ndo utakapojua kuwa hakuna ajuaye nn kitatokea baada ya sec chache zijazo
@hadijahassan31133 жыл бұрын
Naomba hiyo video nione
@martsmart16663 жыл бұрын
God have mercy on them .
@frdausmwawughanga90473 жыл бұрын
Anaenda nazo wapi peaneni mayatima na maskn sadaka yeye alikuja bure na atarudi bure hiyo nikumkosea m mungu hayo yalikua yadunia so kumuongezea dhambi
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Hukuona bwana wa zari alivozikwa na pombe kwa juu na pesa piya ndo zao hawa watu
@frdausmwawughanga90473 жыл бұрын
@@Ryoof-qo7if wacha wafanye kila MTU na amali zake
@kwisa48993 жыл бұрын
Usiwapangie watu cha kufanya
@frdausmwawughanga90473 жыл бұрын
@@kwisa4899 mmmm site njia nihiyo bro hakuna anayewapangia hara hewan wakazike Tu pesa yao
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
@@kwisa4899 olo wapangiya ninani?wacha kudanndiya comment za watu km huelewi
@alicesamson63163 жыл бұрын
Pole sana kwa mafuwa
@karianajohnson95153 жыл бұрын
Magari kama haya huwaga hayaunguagi kabisa,,,,how come this?something happen there..tusijisahau duniani...huna mtoto huna mke pesa zako zote zinaenda wapi?
@ahz69073 жыл бұрын
Ni vyombo vya moto vinaumeme na mafuta kwanini visiungue? Hiyo ni ajali kwahyo inapotokea impact cheche zikatokea mafuta huwaka. Ni rahisi kuelewa kwa mwenye kujua magari.
@wilfredkuyonza6753 жыл бұрын
Ubatili mtupu hapo ndio utajua wanadamu hawampendi Mungu hizo fedha c zingefaa kusaidia wenye uhitaji, ni wangapi wanakufa mahospitalini kwa kukosa pesa za matibabu nyie mnataka kuzizika ardhini na marehemu Mungu awasamehe hamjui mlitendalo kizazi cha nyoka chenye ukaidi mwingi
@ashasaid59953 жыл бұрын
Kwakweli yaan mmmmh
@doreenmalesi60393 жыл бұрын
Wamesema apo juu pesa za kuzimu azitumiki Kwa sadaka
@zainbomary39703 жыл бұрын
Umesema ukweli daaah
@lulually67223 жыл бұрын
Hizo pesa ni za lusifer mungu wao wa kishetani hazifai kugaiwa sadaka kwa mtu yoyote na ada yao wakifa lazima baadhi ya pesa na vitu vyengine vya thamani azikwe nazo hiyo ndio sheria yao
@lulually67223 жыл бұрын
Huyu ginimbi bbaake ni gwiji ktk Freemason na ndio alimtumbukiza mtt wake na yy mwenyewe kumtoa kafara ndio Mana Hana majonzi yoyote na wasia wa marehemu akifa jumba lake liwe hoteli ya kitalii wanajua kila kitu wanachokitenda na ndio Mana alinunua kabisa jeneza