FUNZO latolewa kwa Wasanii wa kike, Tazama Balaa la KHADIJA KOPA, ISHA MASHAUZI na LEYLA RASHID

  Рет қаралды 36,790

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 92
@queenofireland898
@queenofireland898 Ай бұрын
Khadija kopa number one kwa taarabu Ana sauti nzuri ❤
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Kabsa❤❤❤❤❤❤😂
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 18 күн бұрын
💯💯💯💯💯
@lettysalala2504
@lettysalala2504 Ай бұрын
Isha bado yupo vizuri sana🎉🎉🎉
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 Ай бұрын
Mama wetu kimpenzi tunakupenda sana ❤️❤️❤️❤️
@rukiyakarim8169
@rukiyakarim8169 25 күн бұрын
Subhana Allah tumuogope Allah S.W duniya mapito jamani 😭
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 Ай бұрын
Beautiful mum.like daughter like mother.You and your daughter are moving the world in music. Much love mum Zuchu. Watching from the UK 🇬🇧❤❤❤❤❤❤
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
Bi khadija jaman unaamsha walio lala ❤❤❤😊
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Ай бұрын
Huyu ndiye Khadija Kopa the gwiji ya mambo❤❤❤❤
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Isha mauwa yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🌺🌺🌺🌺🌺
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Ай бұрын
Asanteni watanzania tunaweza❤❤❤🎉🎉🎉
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Ай бұрын
Mauwayako dadaisha🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂nakupenda naipenda huko wimbo
@user-qx2bh3gr1f
@user-qx2bh3gr1f Ай бұрын
Sauti ya mashauzi inanikosha🎉🎉🎉🎉🎉
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 Ай бұрын
Maashaallah Maashaallah isha mashauz khadija copa na reila nawapenda wote jamani ❤❤❤Nawapa maua yenu 🌹
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Ай бұрын
Jamani ndugu zetu badilikeni dunia haipo tena 😢😢
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Ай бұрын
umefuata nini huku😊😊😊
@tiijuma795
@tiijuma795 Ай бұрын
Hahahah😁😁.amekuj kutoa ukumbusho.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Ай бұрын
​@@ashurahatibu5069huku ndio kwa kufika kwenye ushetani tupeleke ukumbusho
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Nami nami nikamridhia nikaona hayawezi weueweeeeee💃💃💃💃💃
@SadaHamisi-el9kq
@SadaHamisi-el9kq 19 күн бұрын
Mashauzi ❤❤❤
@babuudullahmunisi4753
@babuudullahmunisi4753 Ай бұрын
Mm namkubali isha mnoo
@AshaSeif-yk2uo
@AshaSeif-yk2uo Ай бұрын
wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 18 күн бұрын
Mama Zuch No1 Pambeeee💯💯💯
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 Ай бұрын
Mamae...Isha kakiwasha Niko Dubai ila kama nnaipata live jamani raha jipe mwenywe 😅
@milindisaid6554
@milindisaid6554 Ай бұрын
Isha ww wakuache tu ni zaid ya Muimbaji. Duh unatisha zaid ya sn
@victorrock6660
@victorrock6660 Ай бұрын
iisha kiiboko😊
@liliandeus7809
@liliandeus7809 Ай бұрын
Tuseme ukweli Khadija kaweza kaweza tena 🎉🎉🎉
@LightWiliyam
@LightWiliyam 17 күн бұрын
Isha tunakuwekea walinzi dada Huna mpinzan❤❤❤
@queenofireland898
@queenofireland898 Ай бұрын
Number 2 mzee yussuf
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 Ай бұрын
Mama zuchu malikia wamipasho mwenyewe❤❤❤
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h Ай бұрын
Maman de ZUCHU très belle femme ❤❤❤❤❤🎉
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Ай бұрын
Langu rohoni ipo vizuri sana
@user-qx2bh3gr1f
@user-qx2bh3gr1f Ай бұрын
Isha wamoto❤❤❤❤
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
Sema mashauzi kachachuka jaman 🎉🎉🎉
@marycelestin6586
@marycelestin6586 Ай бұрын
Taarabu mashauzi ndio mwake ndo kilichompatia umaarufu......ndo maana akawa Malkia wa Taarabu anatashtiti balaa❤❤❤❤
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Ай бұрын
Fatma Issa katulia hao wengine mazogo tu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Hajui kuamsha ndio maaana😂😂😂😂😂 pole kwa maumivu🙄
@user-ow3rw4gf6b
@user-ow3rw4gf6b Ай бұрын
Jike la simba all the way
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Ай бұрын
Njote 🎉🎉🎉 pambe mnaweza ❤❤❤
@user-np9yb3iy8z
@user-np9yb3iy8z Ай бұрын
Mashauzi uwi
@muhiy20
@muhiy20 26 күн бұрын
Mama bado uwanjani مشاء الله تبارك الرحمن ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Wote pambeee❤❤❤
@user-wp6uc6sn4z
@user-wp6uc6sn4z 29 күн бұрын
La meilleure magnifique
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 Ай бұрын
Kulinoga juzi 😊
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc Ай бұрын
Aisha mashauz yupo vzr
@SofiyaOmar-qj6zn
@SofiyaOmar-qj6zn 28 күн бұрын
Uko vizuri maa leyla
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 Ай бұрын
Santeeeeeee🎉❤
@DertaEspoire
@DertaEspoire Ай бұрын
❤❤❤❤
@user-fd2ut2py7f
@user-fd2ut2py7f Ай бұрын
Leyla ni nomaaa
@malikimlisho2306
@malikimlisho2306 Ай бұрын
Kabsa yan ndio waliuwa na khadija kopa
@FatumaRamadhani-hi5rl
@FatumaRamadhani-hi5rl Ай бұрын
Isha jike la simba❤❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Ebu ludishen hii taarabu jamn
@salimsalekhe8286
@salimsalekhe8286 5 күн бұрын
Fatma issa had leo saut yako ipo vzr
@user-ml8bg7su2b
@user-ml8bg7su2b Ай бұрын
Naamii nami nikamringia nikaona hayaqeziiiiiiiiiiii❤
@MaryamHajj-ds8hl
@MaryamHajj-ds8hl Ай бұрын
❤❤❤
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 Ай бұрын
❤❤❤❤❤leylah
@RahmaAwadh-ul9yu
@RahmaAwadh-ul9yu Ай бұрын
Yaan khadija anaweza kusimama yy peke yake akafanya show moja ya hatariii
@malikimlisho2306
@malikimlisho2306 28 күн бұрын
Shida hamuelewi khadija kopa n malkia wa mipasho dunian na hakuna kama yeye.. apo ata me namkubali
@RahmaAwadh-ul9yu
@RahmaAwadh-ul9yu 28 күн бұрын
@@malikimlisho2306 Kabisaaaaaaaaa huyu mama ilitakiwa siku wangempa show yake peke yake uitwe usiku wa khadija kopa angenyoosha vzr sanaaa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Kopa unalaana hebu tubu jaman mtihan kufika umri huu hujatubu hao wote mlio pamoja ww ndo sababu utaenda ulizwa na Mungu wako ikiwapotosha wenzako
@SofiyaOmar-qj6zn
@SofiyaOmar-qj6zn 28 күн бұрын
Khadija ❤❤❤❤
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
❤❤❤❤, 💃💃💃🔥🔥
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Leyla wangu umetisha hiiii yaaaan umenifanya nidwd nyimbo.zote
@user-qd2bz1ik8g
@user-qd2bz1ik8g Ай бұрын
Nampenda huyu dd paka bc
@ZaynabMsury
@ZaynabMsury Ай бұрын
❤❤❤Layla wweeeee🎉🎉
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Pambeeeee tu❤❤❤❤❤❤❤❤
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Ай бұрын
Kumbe langu rohoni ikipogwa live tamu sanaa
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
Isha unatisha
@user-np6ti8lh7v
@user-np6ti8lh7v Ай бұрын
❤❤❤🎉
@sameraamiry3849
@sameraamiry3849 Ай бұрын
😢mishoga kama yote
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
Mama Jimbo vipi
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Isha wangu jike la simba likiamua kung'ata amuuuuuu
@adamummy4363
@adamummy4363 Ай бұрын
Michoko yakumwaga itakua ilikua inajamba tu😂😂😂😂dah
@user-mo3oo3mf9q
@user-mo3oo3mf9q 18 күн бұрын
Nampnd cn Leyla
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf Ай бұрын
Hao wala sio waimbaji wa twaarabu ni micharuko tu, walishaharibu maana twaarab,
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Raha tuu taarabu 😂😂😂
@TaarabChannel
@TaarabChannel Ай бұрын
Njooni na kwangu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Gwigi natamba nae hiiii
@malikimlisho2306
@malikimlisho2306 28 күн бұрын
Muwe mnaelewa apo kuna malkia wa mipasho khadija kopa na malkia Leyla rashid yeye na kila mmoja ana ladha yake apo..
@zulfahabib-jo9qp
@zulfahabib-jo9qp Ай бұрын
Ila tuseme tu ukwel zuchu karisi
@queenlinda255
@queenlinda255 Ай бұрын
Kanikosha kopa walahii
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 Ай бұрын
Jike la Simba limeng,ata k***Nina watakoma
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 Ай бұрын
Mweke kamba kabisa
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Ай бұрын
Kinanda cha rangu rohoni kizuri kinanikumbusha enzi zile magomeni traventain
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Kumzuia wala hawezi hahahaaaaaa bwana nnae mie😂😂😂😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Ай бұрын
😂😂😂lazima
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Ай бұрын
sasa siku akihamisha kibanda uje uliye😂madege dege haya😂
@faidahussein4319
@faidahussein4319 Ай бұрын
Pambeee
@NasraMiranda
@NasraMiranda Ай бұрын
Isha kiboko
@malikimlisho2306
@malikimlisho2306 Ай бұрын
Yan hawa ndio walio maliza show kbsa n hatari sana 💥💥
어른의 힘으로만 할 수 있는 버블티 마시는법
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 12 МЛН
СҰЛТАН СҮЛЕЙМАНДАР | bayGUYS
24:46
bayGUYS
Рет қаралды 797 М.
Cute Barbie Gadget 🥰 #gadgets
01:00
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 33 МЛН
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Isha Mashauzi
Рет қаралды 320 М.
ROHO WA BWANA//Buhare Sda Choir Musoma
5:09
Buhare SDA Choir Musoma
Рет қаралды 156
ENZI ZA HADIJA KOPA MWAKA  1990 ULIKUWEPO
12:47
Tifu Tv
Рет қаралды 11 М.
BALAA LA KHADIJA KOPA NI HATARI:ANYANYUA UKUMBI MZIMA
16:29
SHUGHULI ZETU
Рет қаралды 53 М.
Китайка и Пчелка 4 серия😂😆
0:19
KITAYKA
Рет қаралды 1,2 МЛН
🍁 Последний звонок
0:11
Ка12 PRODUCTION
Рет қаралды 4,9 МЛН
Прояви гостеприимство🤣#фильм #сериал #кино
1:00
Хотел парализовать друга😅 #freekino
0:20
The Worlds Most Powerfull Batteries !
0:48
Woody & Kleiny
Рет қаралды 24 МЛН