EXCLUSIVE na DR MWAKA na MKEWE, watoa siri hii kuhusu PENZI kunoga kila siku, ni mahaba MAZITO

  Рет қаралды 15,409

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@gracekahunda
@gracekahunda 16 күн бұрын
Wake zake wote bt Queen ni queneen kweli Kama jina lake...malikia mrembo...Quineen masanja
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 15 күн бұрын
Queen mrembo sana❤❤
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 12 күн бұрын
Queen ni nzuri
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 11 күн бұрын
Labda shape,ila sura hana😊
@meowzna
@meowzna 13 сағат бұрын
She's Beautiful Lady🎉❤
@nailaomar4810
@nailaomar4810 15 күн бұрын
Mashaallah ukivaa mtandio unapendeza sana
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 12 күн бұрын
Dr mwaka pole. Mrudie queen ndio alikuwa super.mtani wangu umepoooza. Duh?!
@Hadia-99
@Hadia-99 13 күн бұрын
Kicheko cha kujikaza
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 7 күн бұрын
😂😂😂😂
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 15 күн бұрын
Stara kushnehi😢😢😢 baada ya kuona queen masanja ana damshi🙈🙈🙈
@LydiaIsangi
@LydiaIsangi 15 күн бұрын
Siku hizi stara imekuwa ngumu,Mungu awafanyie wepesi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 15 күн бұрын
Nikuto jiamini,stara ndio vazi pekee lakupendeza kwa wanajielewa na walio na radhi za mwenyezi MUNGU, ila kwa walio laana wanaona kutangaza maumbile ya mwili kupitia mavazi ndio kupendeza hao wamelaaniwa
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 15 күн бұрын
Hawa wote hawakua wakizingatia stara wala siokua Queen au nani
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 16 күн бұрын
Mashallah mashallah mke kama mke kwenye ubora wako wifianguu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@marymanoni5536
@marymanoni5536 16 күн бұрын
Dr mwaka hana amani bac tu anajikaza maskini
@monjemghalu1734
@monjemghalu1734 15 күн бұрын
Kabisa uso wake unaonyesha tabasamu lake na bashasha mmh sioni
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 15 күн бұрын
Kabisa yani
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 14 күн бұрын
Ni mbaya mno mwanamke akikuchoka nq kuondoka alafu akaendelee na maisha yke alafu apendeze aongezeke aonjoy yni lazima mwanaume uumie 😅
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 14 күн бұрын
Wanawale 3 wote wamemkimbia😅
@SesiliaTemu
@SesiliaTemu 14 күн бұрын
​@@ElizabethWamchaYaaaani huwa anatamani hata akupige risasi ufe kabisaaaa!!!ila ndio yeye sio mungu 😂😂😂
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 15 күн бұрын
Hapa sasa ndy naamini upendo ni kwa mke mmoja tu,Mengine ni mbwembwe
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 7 күн бұрын
We umemaliza
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 16 күн бұрын
Bora ungevaa mtandio unapendeza
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 16 күн бұрын
Kumbe shungi huziba vingi😅
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Күн бұрын
Stara iko wapi Kwa mke wako😢😢😢
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 16 күн бұрын
Mwaka mcheshi Masha Allaah
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 15 күн бұрын
Mmmh haya maigizo tumeyachoka
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 16 күн бұрын
Dada ni mrembo 😊
@ntambisamwel4436
@ntambisamwel4436 15 күн бұрын
Mbona kama hawana furaha mwanamke anaonesha hana furaha
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 күн бұрын
Kabisa hana furaha kabisa anaji force tu kucheka 😂
@McT-m1m
@McT-m1m 16 күн бұрын
Ila uongo mbaya mimi nampenda dokta mwaka hata ukinooa bure nakubali
@RayChausa-g6m
@RayChausa-g6m 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Sarah-g9v4w
@Sarah-g9v4w 16 күн бұрын
@@McT-m1m 😃😃😃😃 harusi tunayo
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂​@@Sarah-g9v4w
@magejuliani5293
@magejuliani5293 15 күн бұрын
Hata mke anatabasamu Ila sura haimaanishi
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 14 күн бұрын
Umehonae
@j4amas5
@j4amas5 16 күн бұрын
Anakuheshimu wew lakin ameshindwa kumheshimu alomuumba akatembea bila stara
@avivtelcomms
@avivtelcomms 16 күн бұрын
Toeni ujinga wenu wa udini udini tu, maisha sio Allah tu
@TryphonRabson
@TryphonRabson 16 күн бұрын
Stara ndo nn nyny mnakalia miili badala ya roho stara ni tabia zako cyo nguo mungu hadili na mwili
@LydiaIsangi
@LydiaIsangi 15 күн бұрын
​@@TryphonRabsonni vizuri kuheshimu Imani za watu,tukubali kuto kukubaliana,lkn mwisho siku sisi ni binadamu tupendane sababu,aliye tuumba anatupenda hivyo hivyo na tofauti zetu.Mwisho siku Mungu ni mmoja
@PrincessMaryam-c1r
@PrincessMaryam-c1r 15 күн бұрын
​@@TryphonRabsonkila1 na imani na kila imani ina sheria zake na muongozo wake so sisi waislamu dini yetu inakulazimu ujistiri mwili mzima ispokua uso na vigaja bax
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 16 күн бұрын
Dokta qwini ndo wakwako qwini jamani mzuri sijui kwatabia jamani dokta ndo wajua
@MariSwai
@MariSwai 15 күн бұрын
MUNGU awatunze mmependezana sana
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 14 күн бұрын
Huyu dada anapendeza saana na ushungi
@jamil1547
@jamil1547 16 күн бұрын
Fake smile both of them 😂😂😂😂
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 12 күн бұрын
Amepooozaaaaaa
@dorisNyanda
@dorisNyanda 16 күн бұрын
Mke mzuri mashaallah.❤❤
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 16 күн бұрын
😅😅😅😅
@fatumajumaa7050
@fatumajumaa7050 16 күн бұрын
Kawaida sana hana uzur
@taseleli9181
@taseleli9181 15 күн бұрын
​@@fatumajumaa7050Uzuri anaujua Mwaka wewe huwezi jua uzuri wake acha roho mbaya na wivu
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 16 күн бұрын
Aya na hadisi nyingi kwa Dr mwaka ila mke wake no mtandio 😂
@DINASSOUR
@DINASSOUR 16 күн бұрын
Mke hajajisitiri
@DINASSOUR
@DINASSOUR 16 күн бұрын
Kuna mtu wanampitia apo yule alieomba divorce
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 16 күн бұрын
Si anashindana na Queen Masanja
@MaryamAbbas-o1c
@MaryamAbbas-o1c 15 күн бұрын
Anamuiga Quen masanja😂
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 15 күн бұрын
Anahubir asiyoyatenda wala hata angalau yakufanana na hayo
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 14 күн бұрын
Mwaka amefanana na mtt wa monalisa yule mdogo wa kiume😅
@RehemaJackson-s1r
@RehemaJackson-s1r 14 күн бұрын
Huyo ndo ilikuwa sababu ya Quen kuondoka 😂😂
@sarahkalinga2522
@sarahkalinga2522 7 күн бұрын
Ni mwanae kenzo ndo kilichomtoa qeen hicho
@Gody360
@Gody360 15 күн бұрын
Happy new year 2024
@SesiliaTemu
@SesiliaTemu 14 күн бұрын
Kwan mke wake wa kwanza alimficha wapiii
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 12 күн бұрын
Mitandao jamani
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 16 күн бұрын
mimi napenda sana dokta akucheka dr niowe jamani
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 16 күн бұрын
njoo chemba nikuoe mke wa pili
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 16 күн бұрын
Kweli huyu baba anafanana na mtoto wa Mona Lisa
@hanifa9153
@hanifa9153 16 күн бұрын
😂😂😂
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 16 күн бұрын
Sini wake mange alishasema​@@twiseghekisilu8845
@RayChausa-g6m
@RayChausa-g6m 16 күн бұрын
​@Kiyama-g😂😂😂😂😂bora umesema ikutoke8f
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 16 күн бұрын
Alirogwa akatogeka bibi huyu mpaka akamuachisha na mkewe akabaki yeye qween alimridhia ila huyu bibi yeye akawa mvunjaji
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 7 күн бұрын
Wake wadg ndo walivyo, wavunjaji sanaa
@jumaiddyjumaiddykichindo1316
@jumaiddyjumaiddykichindo1316 16 күн бұрын
Ndo maana Queen aliondoka.... Upendo uliegemea upande mmoja
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 16 күн бұрын
Anampenda qwin sema qwin hamtak
@ceciliathobias7603
@ceciliathobias7603 14 күн бұрын
sasa mtandio upo wapi jamani tena. queen njoo uone huku mwenzio nae hana hata kilemba
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 12 күн бұрын
mnalazimisha_furaha_ila_hamna_furaha_ya_kweli_na_mkeo_ane_konda_aibu_tupu_mnazo
@HajrahMuwinge
@HajrahMuwinge 15 күн бұрын
Tujitahidi sana ktk kutoa kwetu comment tusikufuru.
@rerisamba
@rerisamba 15 күн бұрын
Kumbe huwezi fake kucheka yani uso umegoma
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 16 күн бұрын
Mke mzuri sana
@aishaissa2512
@aishaissa2512 16 күн бұрын
Dr mwaka ndoa yake inatuvutia wanawake wengi mashaallh ❤️
@guugug9gt829
@guugug9gt829 16 күн бұрын
Mzuri gween
@hopechidera
@hopechidera 16 күн бұрын
Huyu mke wa Dr. Mwaka anaitwa gween?
@ZenaChuo
@ZenaChuo 16 күн бұрын
Anaotwa shimi mwaka​@@hopechidera
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 16 күн бұрын
​@@hopechideraAnasema yule aliyemuacha Qwen Masanja
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 16 күн бұрын
Huyu mbaya mno mmmmh cjui kwann wanawake wabaya ndo hudumu kwenye ndoa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 16 күн бұрын
​@@SimoniThomasi Kwani uzuri wa mwanamke ni nini 😮😮
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 11 күн бұрын
😏😏
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 16 күн бұрын
Wakenya wa Mwaka wana nywele duuuuuh Queen masanja huyu unuwele hongereni
@neemanyove9130
@neemanyove9130 16 күн бұрын
Wakenya?
@Sarah-g9v4w
@Sarah-g9v4w 16 күн бұрын
Hatimaye alibaki na mke mmoja akaacha wawili?😂😂😂
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 15 күн бұрын
Mmmhhh wa kwanza kaachwa lini?
@Sarah-g9v4w
@Sarah-g9v4w 15 күн бұрын
@khadijaamur6032 lini umeona nae akimnadi kama alivyokuwa anawanadi zamani?
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 16 күн бұрын
Huyo dada hampat queen hata kidogo
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 16 күн бұрын
Subuutu 😂
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x 16 күн бұрын
😂😂ndio maan kamtoa ili abaki mwenyew
@McT-m1m
@McT-m1m 16 күн бұрын
Sasa kivi labda wewe unampata
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 16 күн бұрын
Ampatie wap uso mzito Kama uji wa mchembe ulokosa moto
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 16 күн бұрын
😂😂😂​@@SimoniThomasi
@ibrahimmussa-e8l
@ibrahimmussa-e8l 16 күн бұрын
Dada hana furaha hata kidogo, kwawalio somea Cuba 🇨🇺 huwatunaangalia face contact halafu tunajua nini maana ya furaha au fake smile 😂
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 16 күн бұрын
True.
@HajrahMuwinge
@HajrahMuwinge 15 күн бұрын
Binafsi nimeliona hilo.....fake tabassamu.
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 16 күн бұрын
Dr acha uongo bwana wewe mbona umeowa mwengine tena
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 16 күн бұрын
Xhida wanawake mnawageuza wa mitandao badala wakalee watoto ndo mana mnaletaga mijamu
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 15 күн бұрын
Kama ni wazazi wote walee
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi 16 күн бұрын
Ila wanawake wabaya ndo hudumu kwenye ndoa cjui kwann,yaan huyu mmama kamtoa mke mkubwa kamtoa Queen pia cjui analoga
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 16 күн бұрын
Kwa sababu wanavumilia ujinga wa wanaume.Wazuru hawataki ujinga
@SilvanaKananda-t9c
@SilvanaKananda-t9c 16 күн бұрын
Maneno ayo sio mageni jijini
@EdnaWilliam-f4c
@EdnaWilliam-f4c 15 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 225 М.
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 399 М.
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН