FUSE X FILES: Je! RAIS RUTO anatusikikiza GPS? Sikiliza alichokisema, Au nini maoni?

  Рет қаралды 27,576

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

13 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 143
@billskeez92
@billskeez92 12 күн бұрын
GPS, FUSE,SNS mpo Juu zaidi ❤🔥👌 Sisi mashabiki wenu tunafurahii sana
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 12 күн бұрын
Kbs
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 12 күн бұрын
huyu niwa kutenga na kupanga tusha kuchoka zakayo enda tu nyumbani
@binkumbesa4181
@binkumbesa4181 11 күн бұрын
Dj Smaa utazungumza kiakili sana. Mara nyingi wenye mihemko na elimu za kikoloni wanachelewa sana kukuelewa
@amriseleman9395
@amriseleman9395 11 күн бұрын
DJ SMAA...... GPS..... GEOPOLITICS......❤ SNS.......❤ DJ SMA...HONGERA SANA. WEWE NI PURE GEOPOLITICS ANALYST KABISA.
@SundayMtachi
@SundayMtachi 11 күн бұрын
Hawasikilizi but problem solving skills ni common for a particular problem ni vitu zimewahi kufanyika miaka na miaka not only in Kenya
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 12 күн бұрын
Good job sma unaweza ubalikiwesan from 🇧🇮💐🙏🔥
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg 12 күн бұрын
Dots, facts & Logic ✊🏿
@noonelike6382
@noonelike6382 10 күн бұрын
Kudadeki big up Sana dj smaa na SNS 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x 12 күн бұрын
Ruto hawezi sikiliza sijui GPS sijui nn huyo ni gaidi na hivi vitu mnaongelea vimeongelewa kenya hadi tumechoka ndio maana tukaenda barabarani .Kama Ruto aliskiza baada ya vifo na majeruhi we unadhani podcast inaeza mfanya abidili nia???
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 11 күн бұрын
Smaa hongera kwa kazi nzuri sana,
@billskeez92
@billskeez92 12 күн бұрын
Uuwiano unaendana kabisa istoshi inaonekana vipindi vya Sns vinaenda vairo🔥
@allykwaya
@allykwaya 11 күн бұрын
Sns mnafanya kazi nzuri. Msichukukulie poa wakubwa wanachukua ushsuri wenu sema kimyakimya. 🎉🎉
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 11 күн бұрын
Daa! Smaa wonderful 👏🙌👍 asantee kwa hizi tips wewe unastahili ka ulinzi flani hiv una akili yako inayo hitajika na kiongoz wa nchi za Africa
@Hassan.Nassoro
@Hassan.Nassoro 11 күн бұрын
Dj Smaa Akili kubwa sana Mungu akuongoze brother unatufungua kwa mengi sana God bless you 🙏
@yusufmohamed7235
@yusufmohamed7235 11 күн бұрын
Tunafuatilia kwa ukaribu sana❤ from kenya
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 12 күн бұрын
Tupewe paybill ya china tutajilipia deni wenyewe #KENYA
@user-ke1hb4pk7h
@user-ke1hb4pk7h 11 күн бұрын
Umenimaliza😂😂
@mahamedabdi1881
@mahamedabdi1881 11 күн бұрын
Dj smaa bro uko vizuri sana keep going keep continue
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 күн бұрын
Wakenya wameamua
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 11 күн бұрын
Wananchi wakichoka 😢😢😢ndio haya yanayotokea mabadiliko yanakuja africa
@allykwaya
@allykwaya 11 күн бұрын
Dj smaa. Unamaono, Madam President washauri wake mko wapi??? VIJANA Kama hawa awape kazi wamsaidie kuijenga nchi. INSHAAALLAH IPO NAIMANI UTAKUWA
@missp1814
@missp1814 12 күн бұрын
SnS inasikilizwa na watu wengi,itakuwa washauri wake wanasikiliza wanampa madini nini afanye.....maana sahivi Ruto anatafuta njia ya namna gani kurudisha imani kwa wakenya.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 11 күн бұрын
Nimegundua sns ni shule ya viongozi wetu.
@SamuelOuma-uy2ci
@SamuelOuma-uy2ci 11 күн бұрын
DJ sma mimi natokea 254ila nakufatilia mno
@xfamefatetv
@xfamefatetv 12 күн бұрын
But Your talents #GPS are great
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 11 күн бұрын
MWANETU DJ SMA THE GENIUS MAN
@EdwinKihumbe
@EdwinKihumbe 12 күн бұрын
GPS akili kubwa
@malkavoice2570
@malkavoice2570 12 күн бұрын
Ruto hana maadili ya kuiongoza Kenya anatumia weledi pekeyake alafu wakenya wanahitaji maarifa coz hawana lugha sahihi ya kuelewana baina yao. Kawaambie hivyo wakenya waache wehu
@mscantraah8210
@mscantraah8210 12 күн бұрын
Hatumtaki kabisa Hana maana wa Lani dhamu huyo hafai kuwa rais wa kenya
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 12 күн бұрын
​@@mscantraah8210Ila MUNGU amewalpa Maana mulimchukia Odinga kisa almleta diamond kwenye uchaguz ksa hajamchukua msanii wa Kenya.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 11 күн бұрын
Kiukweli unaogea sana vitu vyaukweli
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 11 күн бұрын
Dj sma ulikuwa mbele ya muda
@djafro8729
@djafro8729 12 күн бұрын
Mimi ni mkenya. Zakayo uongo na propaganda kama za Amerika ndio mingi
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 11 күн бұрын
Mwamba Djay smaa
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 11 күн бұрын
Warra DJ smaa 🎉🎉🎉
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 12 күн бұрын
Nawakubali sana ,,,,,,,nice
@KelvinShirima-g6s
@KelvinShirima-g6s 12 күн бұрын
Big up brother
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 11 күн бұрын
Ruto must Go ata diaspora kenyans wamemkataa
@kimah9855
@kimah9855 11 күн бұрын
Ruto must go
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 11 күн бұрын
😂😂
@gabapentin8070
@gabapentin8070 11 күн бұрын
🔥🔥🔥
@mtumoja6945
@mtumoja6945 12 күн бұрын
Mm ni Mkenya lakini uyo ni muongo sana ruto
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 12 күн бұрын
Mbona mmechoka Ruto mapema sana au haya ni Maoni yako binafsi na si ya wakenya?
@ankalmzito254
@ankalmzito254 11 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪mpoo humu ndanii....❓❓
@noahmgaya6687
@noahmgaya6687 11 күн бұрын
genius sns😂😂😂😂🙏🙏🤝🤝🤝nandoman nika chaguwa sns kunavicha 😂
@kwisa4899
@kwisa4899 11 күн бұрын
sasa maandamano gani hayo pasipo shindikizo langu unawajua vizuri wanasiasa wa Africa
@CJ-vd9wn
@CJ-vd9wn 12 күн бұрын
Nyenyenye wakwanza sijui naomba like zenu😂😂😂😊
@kaittheleast
@kaittheleast 12 күн бұрын
Umemuwahi mtu wa kwanza kuomba like
@ramasefu9719
@ramasefu9719 11 күн бұрын
Waongoh wenywe ndi0 wana maliza mali za inchi izo magari zanini
@MuthamaSabastian
@MuthamaSabastian 11 күн бұрын
Alafu mupange nawao na mutenge na muahidi ama ni namna gani nyinyi wangwana na my friends
@STEVEN-f6g
@STEVEN-f6g 11 күн бұрын
Master mind djsmaa
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 11 күн бұрын
Kaka tunaomba utusaidie uchambuzi wa swala la mpina
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 11 күн бұрын
Let then cut down salaries of the mps, na watoe ma senators, MCs wanakula pesa za bure
@Mimi.Official
@Mimi.Official 12 күн бұрын
Nyinyi hamjui kwa nini watu wanavunja na kuchukua vitu. Ushajiuliza kwa nini 😂😂😂 hata hao police huchukua na hawafanywi kitu kwanza wanajeshi wanaingia supermarket anachukua shopping ya chakula anatoka anaenda. Na si kila maadamano watu huvunja 😅😅😂😂
@samuelally435
@samuelally435 12 күн бұрын
Pomoja
@user-su8yl5pe3r
@user-su8yl5pe3r 11 күн бұрын
Huo mswaada haukua hi wa bunge huo mswada uliandaliwa na IMF
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 11 күн бұрын
Madeni yatatuua waafrica.
@djafro8729
@djafro8729 12 күн бұрын
Ruto alikuwa makamu wa raisi miaka kumi alifanya nini. Raisi miaka mbili amefanya nini
@allahisone6386
@allahisone6386 11 күн бұрын
AJABU
@user-qg1cc1yx7f
@user-qg1cc1yx7f 12 күн бұрын
Jana FAIZA Aly akasema wa Kenya Maskini kwa kutukejeli
@alibinali_
@alibinali_ 12 күн бұрын
Sawa wa Tanzania matajiri
@allymtapera5370
@allymtapera5370 11 күн бұрын
Wakenya elewaneni ,mkuu kashaona palipotoboka
@papybenshi2463
@papybenshi2463 11 күн бұрын
DJ SMA nakukubali sana
@bmtv111
@bmtv111 11 күн бұрын
The genius DJ SMA Huyu jamaa atunzwe kwenye nchi hii maana anafaa hata kua raisi wa nchi huyu mtu ni Big brain tusimchukulie poa
@maxozone3762
@maxozone3762 11 күн бұрын
Huyu zakayo MTU mmoja asiye timiza ahadi
@Qqambaa
@Qqambaa 11 күн бұрын
Laiti angesema mapema tho is too late now
@KhafisaAli
@KhafisaAli 12 күн бұрын
Huyu kaenda kuchukuwa silaha za marekani ambazo sio saizi yake
@nomoboy152
@nomoboy152 11 күн бұрын
Sasa hizo silaha na magari ndege na kila kitu za kimarekani anataka azitumieje anavita na nani au anajilinda na nan kama ulinzi wa nchi Hilo jeshi mbona lilikua linamtosha viongozi wa Africa ni miyayusho sana
@allahisone6386
@allahisone6386 11 күн бұрын
​ NIKWELIIIII KBSAAAAAA
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 11 күн бұрын
GEN Z 🇰🇪
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 11 күн бұрын
Miya
@deekendi191
@deekendi191 12 күн бұрын
Tatizo sio expenditure, wizi na greed ndo tatizo.
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 12 күн бұрын
True
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 9 күн бұрын
KAMA SISI TULIVYOONGEZEWA KODI KWNYE LUKU BADALA YA 1500 SAS HVI 2000 MAMAE MBNA TUTANYOOKA
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 11 күн бұрын
Nothing new! We don't want dialogue!
@faisalahmed7757
@faisalahmed7757 11 күн бұрын
Vijana ndo wamechoma cz huelewek iZAKAYO MUST GOO
@zenooernest18
@zenooernest18 12 күн бұрын
Ruto #Genius sana
@djafro8729
@djafro8729 12 күн бұрын
Tutachoma state house
@allahisone6386
@allahisone6386 11 күн бұрын
Eeweeeeeh_🤔
@trendz_2548
@trendz_2548 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂Sma huyu jamaa muongo ajabu angalia interview leo usiku ndo uone ni nani.ameshatuuza sai anateka nyara watu hadi sasa hataki amani anatafuta wakubwa ni nani
@user-nz8ly5sr3o
@user-nz8ly5sr3o 11 күн бұрын
Brother ndio kazi yako na ww
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
Huezi tubeba ufala RUTO
@user-pt8wo4ss2p
@user-pt8wo4ss2p 12 күн бұрын
Mimi kwa maoni yangu ukitaka kubana wananchi wakati selekaili inakulabata sio lakini ukianza kwa selekali ikapunguza matumizi yake na ukaongeza kodi inakua balas
@FaustinoNifasha
@FaustinoNifasha 11 күн бұрын
Kakoma
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 11 күн бұрын
I don’t understanding how African contry have debt????😢😢😢😢???? And why??? No one will make me understand how African people had a debt 💸 for those grids West contry??????? In my life I want to understand that… Look 👀 our slavery since 1700 years ago to the colonization…and the Leaders of Africa pale hana Akili eti wa Afrika tuna ma Deni???? West contrys ndo wana deni letu kuuuuuuubwa na I don’t think 🤔 they can pay it for us Afrika….????????😢
@danielikonyeeki254
@danielikonyeeki254 11 күн бұрын
Anadanganywa na IMF(criminal organization).Amekua kibaraka
@kdloon2030
@kdloon2030 11 күн бұрын
Ruto kaisha ingiwa na hofu ya kuondolewa madarakani,usichezee nguvu ya raia unao waongoza pale wanapo ungana na kuamua moja!Tanzania tuendelee tuu kuwa na nidham ya uoga,tulio rithishwa!
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana 11 күн бұрын
Atoke huyooo kwel Kagame sio mshauli mzili inchii masikini itashauli nini inchiii tajili
@FadhiliSolomoni-jr6rs
@FadhiliSolomoni-jr6rs 12 күн бұрын
Sanaaa mkuuu
@jameskenny1808
@jameskenny1808 11 күн бұрын
Ume tuma jeshi la Kenya Congo kuuwa wa Congo but remember that one day you will pay back your stupidity With usa and Europe union. Ila ha muta weza hata kidogo
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 12 күн бұрын
Kwahio ilochomwa ni biashara..kwao ambazo ni pesa kutoka kwa wana nchi kuwalipa wao kwa kazi tunataka kufanyiwa....
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 11 күн бұрын
Huyu Ruto anashinikzo kutoka marekani ndy maana anaafanyiwa maandamano hapo Kenya
@kwisa4899
@kwisa4899 11 күн бұрын
ongeza kufikiria basi
@allymwilu8089
@allymwilu8089 11 күн бұрын
Wakened wangejua walimpata raisi mmoja wa maana sana wanachezea watamkumbuka huyu
@Kakaaomar
@Kakaaomar 11 күн бұрын
aminia hamna jipia kutoka kwake yote maneno tuu bila vitendo chamisingi hapa huyu jamaa aende tuu nyumbani
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 12 күн бұрын
Amesikia ushauri wako
@Laughfun48
@Laughfun48 12 күн бұрын
DJ SMA elewa Ruto hayuko tayari kuzungumza na wananchi kutafta suluhisho yake ni maneno mazuri tu,nia yake ni kutuliza maandamano kwasababu serikali yake imetikiswa anatumia the last line of defense (KDF) wakenya hawamwamini hata kidogo. Shida ya wakenya sio kulipa kodi bali matumizi na ufisadi Yanayoendelea hayataisha rahisi Maandamano yapo tena sana fanya utafiti kwa wakenya uelewe kindani kinachoendelea
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 12 күн бұрын
Sns u dont understand this man Ruto tell me which promise hhas he fullfilled so usijafante ww unajua siasa za kenya
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 12 күн бұрын
Tuletee vita Israel vs Hesbollah
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 12 күн бұрын
Sinza madukani #ndovudentalclinic
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 11 күн бұрын
App munatafuta sababu muwakamate wakeny miwaeke ndanitu mnajidai walio vunja bunge si wakenya atanyinyi mukiingia kweny kuminanane zao watawavunja by tz
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 12 күн бұрын
Anatusikikiza au anatusikiliza? Uhariri wa kichwa cha habari.
@mdl6463
@mdl6463 12 күн бұрын
RUTO anacheka na mtu hafai kuwa kiongozi kiongozi unatakiwa kuwa mkali
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 12 күн бұрын
Maandamano nchini Kenya wamo waloandamana kw ajili ya bajeti,lkn wapo wahalifu,waporaji,lkn naamini wapo waanndamizi waliovurugwa na safari ya Ruto nchini marekani kibajeti lkn Pia kwnini Ruto katika kipindi hiki cha geopolitics Hali olivyo Alf. Anafanya ushiruka na marekani?
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 12 күн бұрын
Corruption ndio imejaa kwa serikali yako
@Yayouselim
@Yayouselim 12 күн бұрын
Mume Tisha wazee nyie ndo mpango mzima
@MrAslan47
@MrAslan47 12 күн бұрын
itakuw vizur wakika wakaaaongey
@alibinali_
@alibinali_ 12 күн бұрын
Ruto amewadangaya wakenya sana alipewa nasafi ya kutimiza aliyo ya sema ata yatimiza sahi amebadilika kazi yake ni kudanganya wakenya na kuchukuwa hela zao hao anao waita waizi ndio ni wanaichi na ndio walimpa kura ruto mpaka leo hakuna chamaana alicho kifanya #rutomustgo
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 11 күн бұрын
Watuwake waliwasikiliza.
@rosemaryogambe4498
@rosemaryogambe4498 11 күн бұрын
I don't think so wanawakopi nop ni coincidence tu
@djsma255
@djsma255 11 күн бұрын
No 1 said amecopy mku
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 12 күн бұрын
Tanzania we Have Serious problems here kwanini Tusiwe tunazungumza hapa kama vijana ebu tubadilike wa Tanzania
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 11 күн бұрын
Ushamiss kufariki kk bc fanya uo ujinga ni bora ukae kimya tu😂😂
@betinvestment3204
@betinvestment3204 12 күн бұрын
Kwa haraka km ww nimsoma akili utagundua kwa kauli ya ruto afai tu kua kiongozi kwa wakenya wanachoma hadi nyumba za wabunge ambao wamepiga kura ndyo ili wananchi waumie alaf wewe unasema tutawakamata alaf unasema tumekubali tukae chini tuongee vipi nahao wananchi walio uwawa wakenya nao wakae chini muyaongee sindiyo? 😮😮
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 12 күн бұрын
Yamkosaji ayo amekwisha uyo RUTO laana ya kuwakbali mashoga wa magharibi
Rais RUTO amefanya kosa la kimkakati kufanya Round Table kipindi hiki!
30:23
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 25 МЛН
СТОЯНОЧНЫЙ ТОРМОЗ на Газель.
0:51
КОПАЛОВО
Рет қаралды 1 МЛН
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
PANKOV
Рет қаралды 5 МЛН
Mustang Shelby GT500: The Ultimate Muscle Car
0:14
9EPIC
Рет қаралды 11 МЛН
W truck driver #edit #trollface
0:20
TRET1
Рет қаралды 10 МЛН