SIRI YA NABII BG MALISA KWA PASTOR EZEKIEL& PASTOR TONY KAPOLA

  Рет қаралды 36,723

UKOMBOZI TV

UKOMBOZI TV

Күн бұрын

SIRI YA NABII BG MALISA KWA PASTOR EZEKIEL NA PASTOR TONY KAPOLA
#NabiiBGMalisa #PastorEzekiel #PastorTonykapola#

Пікірлер: 124
@christophermsekena616
@christophermsekena616 Ай бұрын
Hili ndio kanisa sasa.... sio hao wanaojiona wana hatimiliki ya Yesu na Roho Mtakatifu
@MarycianaGeorge
@MarycianaGeorge Ай бұрын
Yaan sijawahi kuona mchungaji mwenye moyo mzuri kama ww mungu akuinue zaidi
@upendomollel7706
@upendomollel7706 Ай бұрын
Mungu na aweke hiyo siri kwa watumishi wengine waache wivu na chuki wajue Mungu ni mmoja na vipawa vinatofautiana
@ApynesNzisa
@ApynesNzisa 6 күн бұрын
Amina Kila kiungo Cha mwili kina kazi yake jinsi walivyo watumishi wa Mungu walivyo uwivu mbaya nyie mafuta haya fanani
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 Ай бұрын
Yan kungekuwa na watumishi kama Hawa ❤❤❤
@NeemaJohn-kc6kv
@NeemaJohn-kc6kv 27 күн бұрын
Kiukweli tungekuwa mbali
@jamesderulo7572
@jamesderulo7572 Ай бұрын
Jameni huyu mtumishi ako na hekima, mungu azidi kumuinua🙏
@JescaBlessed
@JescaBlessed Ай бұрын
Uko vizuri mtumish wa Mungu nakupenda...
@mch.deosinkala3120
@mch.deosinkala3120 Ай бұрын
Nakupenda sanaaaa Baba
@OliverMutta-m8x
@OliverMutta-m8x Ай бұрын
Baba Mungu akuinue zaidi uiteke Mwanza
@EstaMabula-g2w
@EstaMabula-g2w Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa mungu ili tupone mwanza❤
@Norah-im7nb
@Norah-im7nb 2 күн бұрын
Amen mtumishi wamungu
@carolinenancyowino3222
@carolinenancyowino3222 Ай бұрын
Another level of anointing umeona kile watu hawaoni
@StevenMunugwa
@StevenMunugwa 14 күн бұрын
Very Smart and brilliant prophet
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 Ай бұрын
Unaroho nzuri sana mtumishi unarikiwe na mafuta yalipuke kwako aminaa❤❤❤
@MTEULETVONLINE
@MTEULETVONLINE Ай бұрын
Hahaha malisaa we noma sana,.. Geuza Bidii yako iwe kweli
@yohanesschawinga8475
@yohanesschawinga8475 Ай бұрын
Yaani tunamhitajii sana Mungu aliye Mtakatifu sana kutambua walio wake ,yaani huyo anaitwa pastor Ezekiel duuuuuu na Kapola daaaah niishie hapo tu
@johnjonasjonas7207
@johnjonasjonas7207 Ай бұрын
kweli kabisa
@Bonvivant_Richard_Mayila
@Bonvivant_Richard_Mayila Ай бұрын
Mbona duuuu daaaaa Ongea ueleweke Kiongozi Haya Mambo ya Kiroho hayana Janja janja
@karebukaminyoge
@karebukaminyoge Ай бұрын
Shida ipo kwako
@EmmanuelMajele-ny2hk
@EmmanuelMajele-ny2hk Ай бұрын
Shida lpo kwako usie amini
@Bonvivant_Richard_Mayila
@Bonvivant_Richard_Mayila Ай бұрын
@@EmmanuelMajele-ny2hk Kabisa %100
@marylyimo746
@marylyimo746 Ай бұрын
Ameen mtumish umenifundisha kitu.
@veeJesus
@veeJesus Ай бұрын
Mungu akufikishe mbali mtumishi. Nahisi Tanzania hii uko peke yako
@user-cs6tr8or7k
@user-cs6tr8or7k Ай бұрын
Amen Baba,shida ya Watumishi Wana wivu mpaka wanasahau tunda la Roho.
@florangaiza
@florangaiza Ай бұрын
Aamina mtu wa Mungu.
@hosannaprinting294
@hosannaprinting294 Ай бұрын
Amen. The more you give the more you receive. You're a wiseman our lovely father. That's why your Ministry is expanding widely every day. By so doing, May God bless you more anointing and expand your territories globally so that a number of people can receive Jesus Christ as their saviour and being freed from satanic tortures.
@socialmagazinetv7765
@socialmagazinetv7765 Ай бұрын
Very smart and vibrant, Godbless You sir. 🙌
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 18 күн бұрын
Ani nduguzangu tusipo mwomba mungu na kisoma vitabu mbalimbali hutajua kuwa hiyo nikweli au laa
@silviahnyakeri2891
@silviahnyakeri2891 6 күн бұрын
Uinuke juu zaidi
@Maryc2G
@Maryc2G 29 күн бұрын
Mwanza imefunguka ktk jina la yesu 👏🏽👏🏽
@hamisTopGlobo
@hamisTopGlobo Ай бұрын
Wisdom katika ubora wake
@juliananasari2526
@juliananasari2526 17 күн бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Amina nimefurahi sana mtu wa mungu ubarikiwe
@musamalaba6401
@musamalaba6401 Ай бұрын
Mambo ya Mungu bila kuwa na macho ya rohoni lazima upigwe za uso tu, Maana mambo ya Mungu hayatanbulikani kwa namna ya kibinadamu, 1WAKORINTHO 2:10-14 "YESU ALISEMA, WATAKUJA KWA JINA LANGU❤"
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 Ай бұрын
Barikiweni sana kwa kutambua uwepo wa bwana mungu watu
@user-pp3uk6yb2p
@user-pp3uk6yb2p Ай бұрын
Uko sahihi sana Mtumishi Mungu akutunze sana
@gmentertainmentcompany9353
@gmentertainmentcompany9353 Ай бұрын
God Point Mwanaume WA Yesu,ungesema hivyo Yule kijana mwanaume kiboko WA wachawi wasinge mrudishe
@lovenesssarungi2193
@lovenesssarungi2193 Ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@user-gj2gc4en3t
@user-gj2gc4en3t 26 күн бұрын
Hakuna anaye mungu hapo nyote mlimuacha mungu
@demetrianangela7648
@demetrianangela7648 Ай бұрын
Well said Pastor ❗ God bless you🙏🙏🙏🙏🙏🛐
@shizney.norry45
@shizney.norry45 4 күн бұрын
👏👏👏👏👏
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Ай бұрын
AMEEEEN MTUMISHI MUNGU AKUBARIKI SANA...NA POA AZID KUKUINUA KWA MOYO WAKO MZURI
@evodithobias1856
@evodithobias1856 25 күн бұрын
Hakika wewe ni baba kwa watoto wa Mungu,ubarikiwe kwa hekima zako
@judithenock2640
@judithenock2640 Ай бұрын
Mungu akubriki Mtumishi na wachungaji wengine wajifunze hata kutoka kwako
@PeacefulGoats
@PeacefulGoats Ай бұрын
Wewe man of god
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 Ай бұрын
Yule mungu wa dunia hii, dunia inapita na mambo yake yote
@lilianmuthoni2441
@lilianmuthoni2441 Ай бұрын
I feel sad for my country kenya 🥺yaani Neema imeenda ivo
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
No dont. Kenya itaenda juu..its a matter of time. njoo basi Tanzania ukatutembelee kidogo
@prophetgervasebenard7486
@prophetgervasebenard7486 Ай бұрын
Safi sana!🤝🙏
@barakawilliam3993
@barakawilliam3993 Ай бұрын
Nimekuelewa mtumishi wa Mungu.
@MCH.JANWARYDORNARD
@MCH.JANWARYDORNARD Ай бұрын
Je? Wewe ni mkweli????
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx Ай бұрын
Amen Mungu akutunze uu ndio ukiristo wa kweli Roho wa upendo uhamusho wote utakuijia kile walichofanya pastor tony na Ezekiel utapokea mara dufu yaani watumishi kama wewe ndio wanaenda mbali Sana na kazi ya Mungu, umeuujenga mwili wa kristo kweli kweli
@ElishaBensoni
@ElishaBensoni Ай бұрын
pepo wew kwenye fom ya kibnadam unasapot ujinga, anawafuas wangap mbona hawamp coment?
@ElishaBensoni
@ElishaBensoni Ай бұрын
sina mengi elewen neno bila janja janja, natakakuuliza jeee kwenye maandko kuna neno janja janjaaaaaaaaAa?????????!! nataka koment zenu
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 26 күн бұрын
Mungu ni wote kuuza maji siyo kwamba yeye hamujui mungu Kira mutumishi wa mungu anamaono ya kwhiyo wewe usipo uza maji watumishi wezako watauza maji watumishi wa mungu wacheni makasiriko kila mtu ahubiri aricho itiwa na mungu siyo kuwasema wezako wanauza maji wewe mwenywe huuzi maji lakini unauza vitabaa anani unvyo amini na mwezako muache amini anavyo amini
@user-ds5fk2cx3k
@user-ds5fk2cx3k Ай бұрын
Amen 🙏🙏 baba
@jacklinefelix8578
@jacklinefelix8578 17 күн бұрын
Uko saii baba
@miriamma3063
@miriamma3063 Ай бұрын
Amen hallelujah
@gifedmantv5747
@gifedmantv5747 Ай бұрын
Aminaaaaaaaaaa
@dvdshita
@dvdshita Ай бұрын
Ameni, nimepata cha kujifunza. Nitapeleka sadaka sehemu mbalimbali ili nipokee
@anethkabelinde5350
@anethkabelinde5350 26 күн бұрын
Pole
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 18 күн бұрын
Bg malisa wewe ni gwiji la huduma ,tangu kijana ubarikiwe sana niombee uchumi wangu na wanangu awoe na kuolewa wazae waongezeke
@NaomiNakhumicha4636
@NaomiNakhumicha4636 Ай бұрын
Ni kweli pastor
@FlorentinaFerdinand
@FlorentinaFerdinand Ай бұрын
Ameen sana
@elishamafulu106
@elishamafulu106 Ай бұрын
I received
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr Ай бұрын
@ibrahimuabinala695
@ibrahimuabinala695 Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@olivertadeo6991
@olivertadeo6991 Ай бұрын
Hallelujah 🥰
@elishamafulu106
@elishamafulu106 Ай бұрын
AMEN AMEN
@LindahEdwini-ux1st
@LindahEdwini-ux1st Ай бұрын
Amen
@kenethtv6932
@kenethtv6932 Ай бұрын
Nmekuelewa sana
@DeborahNyerere
@DeborahNyerere Ай бұрын
Ameni
@santebnassary7411
@santebnassary7411 Ай бұрын
AMEEEN
@faithjulius2506
@faithjulius2506 Ай бұрын
Amen Amen Amen Nabii wa Mungu 🙏
@mouriceochieng9002
@mouriceochieng9002 Ай бұрын
Aaamen
@IssaDanda-mg1uc
@IssaDanda-mg1uc Ай бұрын
True papa q
@MantleHeaven-ww3cb
@MantleHeaven-ww3cb Ай бұрын
Safi
@thewanjala1family
@thewanjala1family Ай бұрын
Hapo sawa
@stephanonyembedodo758
@stephanonyembedodo758 Ай бұрын
❤ ameen
@florence6127
@florence6127 Ай бұрын
Aki kenya yetu ina baki bila injili .😮
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
amna mambo yatakuwa mazuri tuu ndugu yangu. Mungu Anaipenda Kenya sana
@veeJesus
@veeJesus Ай бұрын
Punguzeni ujuaji. Nyie mnawatukana watumishi
@jasminerashidi2782
@jasminerashidi2782 Ай бұрын
Mungu akutunze hii ndiyo injili ya kweli sas siyo kupingana wenyewe kwa wenyewe
@papahcharles9022
@papahcharles9022 3 күн бұрын
Mmmh
@sadicksteven255
@sadicksteven255 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂 roho ya kuzimu I!ataenda kazi madhabahu imejaa ishara za shetani yaani
@emanuelmpamila6155
@emanuelmpamila6155 Ай бұрын
Nina furaha san kusikia ivyo,Mungu ni mwema sana mtumishi songa mbele
@EstherNafula-h1c
@EstherNafula-h1c 15 күн бұрын
Paster hspo unasema ukweli kabisa mungu wetu alisema usihukumu usije ukahukumiwa
@anethkabelinde5350
@anethkabelinde5350 26 күн бұрын
Waachie watu waende Kwa Mungu wa kweli,kujaza watu Ili uwapeleke MOTONI sio sifa Wala,kumbuka ulipokua fgbf ulikua ukifundisha nn na Sasa unafunfisha nn,MUNGU AKUREHEMU ILA MUDA WA MANABII WA UONGO UMEISHA
@evansjorammachajoram9746
@evansjorammachajoram9746 26 күн бұрын
Wivu utawaua
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 18 күн бұрын
Mungu aachwi maana aliumba yeye ndie uacha,Malisa umenena vema
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Ай бұрын
nimekuelewa Sana ,wanatajapaka majina waosaidia kwa vifaa by a kiroho,na wamekaukiwa,na hao wenye maji wanazidi kuinuliwa,
@pastormarkokabisatv6821
@pastormarkokabisatv6821 Ай бұрын
Umesema kweli mtumishi
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
Emmaaaaaaaaaaanuel
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq 29 күн бұрын
Hahahahaàa wanabidii katika Mungu lakini si katika maarifa
@jeraldjensen6504
@jeraldjensen6504 Ай бұрын
🎉
@BoazDillu
@BoazDillu Ай бұрын
MT 23:9
@joaoantonio155
@joaoantonio155 Ай бұрын
Wangewepo watumishi kama wewe Duniaani , watu Wenge wangekuwa sana kiroho
@PastorTimotheoUkombozi
@PastorTimotheoUkombozi Ай бұрын
Amiiìiina sana
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 29 күн бұрын
Sijawahi kukusikiliza niliambiwa wewe mbaya Kumbe maneno ya watu MUNGU WANGU NAOMBA UNISAMEHE KWA USENGENYAJI NA KUUKUMU WA WATUMISHI WAKO
@SilasWanjala-mh1td
@SilasWanjala-mh1td Ай бұрын
Hii kanisa iko wapi
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Ай бұрын
Huo ndio ukweri
@AnnaMbossa
@AnnaMbossa Ай бұрын
Mmmm
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 Ай бұрын
Kuna kipindi mwaka 2012 uliniita pale uwanja wa Relini Arusha, nikawa nimeshtuka mpaka.nikashindwa kwenda mbele...dah!mpaka sasa nateseka hata sielewi,naomba neno moja huko nipate ukombozi kwenye uchumi.nateseka mtumishi wa Mungu na uliniita nakumbuka ulisema kuna mtu anaitwa Robert tokea hotelini unaletewa jina langu na roho mtakatifu...ninaomba msamaha kwa Mungu wako nabii kwa kushindwa kufika mbele wakati ule🙏naomba pia uniombee rehema.
@albertfabrigas5383
@albertfabrigas5383 Ай бұрын
Ndugu Robert usijali bado hujachelewa tumia namba hii 0768321321 utawasiliana Moja kwa Moja na makao makuu na utapewa msaada na naamini kila kitu kitaenda sawa
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 Ай бұрын
​​@@albertfabrigas5383Asante sana Mtu wa Mungu,Nitamtukuza Mungu sana na mtukuza hata sasa kwenye hali hii ,pia nitaendelea kumtukuza zaidi nikipata fursa ya kukutana na Nabii BG.Malisa,mtumishi wa Mungu ili aseme jambo juu yangu🙏 Nashukuru kwa namba mtu wa Mungu.
@askarwayesu
@askarwayesu Ай бұрын
Mbona washirika wenu wakienda makanisa mengine tofaut na yenu huwa wanalipuka mapepo ?
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 Ай бұрын
*WEWE MMMOJA WA WACHUNGAJI WA GIZA* HUYO ROHO MTAKATIFU WENU ALAANIWE KWA KUWA ANAPENDa MAPAMBO, HAKEMEI DHAMBI KAZI KUFANYA BIASHARA NA KUAHIDI MAFANIKIO YA WASHIRIKA WADUMUO KUTENDA DHAMBI
@DiscoverWorldofWorship
@DiscoverWorldofWorship Ай бұрын
Nakuona mtakatifu na mkemea dhambi katika ubora wako 😢😢
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 Ай бұрын
Janjajanja tuu! mbona kwa mwakasege husapoti?🤔
@catherinegewe4183
@catherinegewe4183 Ай бұрын
Hapo sasa
@JosephJasson-fx6rq
@JosephJasson-fx6rq Ай бұрын
Mbona anatumaga sana
@DiscoverWorldofWorship
@DiscoverWorldofWorship Ай бұрын
Una uhakika na hicho unachokisema ??
@Life10061
@Life10061 Ай бұрын
chakwaza wewe ni nabii wa KWELI?
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg Ай бұрын
Wewe huna mafuta
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Ай бұрын
Tunashukuru wewe unamafuta
@Bonvivant_Richard_Mayila
@Bonvivant_Richard_Mayila Ай бұрын
Siraha za Kiroho Hizo!! hivi Umeelewa alichoongea lakini 😅
@prosistermsomaMsoma
@prosistermsomaMsoma Ай бұрын
Amen
@papahcharles9022
@papahcharles9022 3 күн бұрын
Mmmh
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri Ай бұрын
Amen
@mchisraelimbarikiwanassari3588
@mchisraelimbarikiwanassari3588 Ай бұрын
Amen
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 371 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 98 М.
NDOTO "17" ZINAZOFICHUA ROHO YA UMASIKINI
11:37
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 16 М.
Pastor Ezekiel explains how he utilises church funds
7:20
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 276 М.
Mwanamke Shujaa Ni Nani? | Night Of Miracles Mbeya | Pastor Tony Kapola
20:14
KWANINI SHETANI HUPAMBANA SANA MWISHONI? - NABII BG MALISA
1:04:08
Ukombozi Church Dsm
Рет қаралды 25 М.
SAA YA UKOMBOZI - NYOTA ILIYOIBIWA
55:45
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 21 М.
PESA ZA MAAJABU ZATOKEA KWENYE MKOBA BAADA YA MAOMBI YA KINABII.
5:57
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН