SIRI ZA KUWEZA KUONGEA KIINGEREZA HARAKA | James Mwang'amba

  Рет қаралды 237,709

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 326
@uwimbabaziperpetue3986
@uwimbabaziperpetue3986 2 жыл бұрын
Tunapenda masomo yenu Kwa nchini Rwanda. Asanteni.
@Black_hboy
@Black_hboy 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaah mjomb upo vizuriii xan kadri ya vitu nilivo fuatilia ww umevitaj vyote mungu akulip anko nimeikubali xan huu uxhauri🙏🙏🙏🙏
@talalfareed7772
@talalfareed7772 2 жыл бұрын
Thanks sana mjoba mm nimkenya sikufanikiwa na masomo kilasiku nilikua najiuliza nitajua kigereza anje bat nashuru kutuelimisha
@erastosanga1694
@erastosanga1694 Жыл бұрын
Thanks Mr. James mwang'amba you are all the best keep on truck assisting us length and width of how to learn English easily.
@msamgunda7684
@msamgunda7684 2 жыл бұрын
Asante sana. Ninaweza kuongea kingeleza sana bila hofu na mtu yeyote yule. Shida yangu, siwezi kuelewa kumuelewa movies za kingeleza au nyimbo za kingeleza. Haswa haswa za ulaya na marekan. Naomba msaada wako.
@IddKasabe-kf2wk
@IddKasabe-kf2wk Жыл бұрын
Wanatumia idioms ndo mana inakuwa ngumu mm ndo nimeligundua sikuizi mfano anaweza sema not my books anamanisha I disagree mfano hurry up mzungu anasema shake a leg balaa zito
@rosemakatia7377
@rosemakatia7377 2 жыл бұрын
Anzeni chekechea kuwafunza watoto wenu...sassa shuleni hata maths, chemistry ni kiswahili.mtazoea lini kuongea..kenya tuko mbele both english and kiswahili..am proud
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Swahili gonjwa
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 жыл бұрын
Mwalimu, James, nimeipenda Sana mafundisho hayo, naomba kitabu chako,
@gidiongidy9252
@gidiongidy9252 2 жыл бұрын
Alright thank you very much
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
good points sir. kigine ambacho kimenisaidia ni kusoma vitabu - mfano novels. ni siri mama yang aliniambia Mama yeye ni mkenya
@kimolyjunior7736
@kimolyjunior7736 2 жыл бұрын
Nakubali Sanaa mwalimuu me mwenyewe naweza kusoma kiingreza vizuri Ila kuongea siwez
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Utaongea vipi na haufanyi mazoezi yakuongea pia hauongei na mtu
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Uhali gani mwalimu, mimi nilikuwa naomba utupostie lile somo mbinu 12 za kuwacha ajira na kwenda kujiajiri shukran, naomba uposti ile video full
@nasrajumwwmitigatingsana7164
@nasrajumwwmitigatingsana7164 2 жыл бұрын
tunaitaj namba yasimu tuko bali ili tukipate ijo kitabu
@VairethLuhanzu
@VairethLuhanzu 2 ай бұрын
Nimependa mwalimu unavyo fundisha Mungu akubariki🎉
@mconedimple5364
@mconedimple5364 2 жыл бұрын
Aiseee nimekuelewaaaa umeongea vitu vingi mnoo 👌 nimepata vingi zaidi ya hivyo vitano upivyo sema
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 2 жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki
@YusufAli-ml5bm
@YusufAli-ml5bm Күн бұрын
Safi sana mr mwang'amba. tusaidie na mbinu za listening pia pls!
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz Жыл бұрын
Asante mwl Mimi nipo Canada na sijui rugha ya kiingereza i'la kwasasa naongea baadhi ya maneno lakini wakiongea huwa naelewa lakini nimeipenda uliposema tunatakiwa kuongea misamiati hio nikweli kabisa teacher Asante naubarikiwe
@MuhammedMchoro
@MuhammedMchoro Жыл бұрын
Dadaangu samaani nindotoyangu kwenda canada nixhatapeliwa sana naomba nisaidie mbinu
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 жыл бұрын
upo vzr Sana mwl I accept your training.
@lilianmbangwa5479
@lilianmbangwa5479 2 жыл бұрын
Asante sanaaaa nitafanyia kazi
@SaraM-m1d
@SaraM-m1d Ай бұрын
Namshukuru mungu nilikua sijui hatakindogo ilakwa sasa naweza kuonge
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 жыл бұрын
Asante kakaangu mwenyezi Mungu akuweke
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Ahsante na MUNGU akubariki..
@msafirimeshack9622
@msafirimeshack9622 2 жыл бұрын
Asante sana mwalimu kwa maelekezo sahii
@africangirl189
@africangirl189 2 жыл бұрын
Ata nataka kuongea Kikuyu haraka kiingereza hakina faida sana kwa maisha yangu kama Kikuyu, Kiswahili na kiarabu
@shiplegcm4948
@shiplegcm4948 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Njoo nikufunze Arabic utajua kuongea fasta
@adrostamathias6831
@adrostamathias6831 2 жыл бұрын
Hongera Sana Kaka nimekuelewa.sana
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu 2 жыл бұрын
Ahsante mwalimu Barikiwa kutoka Kenya
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Amiin
@Jrmontaiza
@Jrmontaiza 6 ай бұрын
Completely correct even for me it was difficult but now I know a little bit
@davidmathew6577
@davidmathew6577 Жыл бұрын
Bro James very thanks for the lesson
@rebecasanya8910
@rebecasanya8910 2 жыл бұрын
Kwakweli huko kwenye kuzama kwenye kingereza imanisaidi sana mm nilikuwa sielewe kabisa kingereza ila baada ya kuanza kufatilia movie za kingereza na music wa kingereza sasa hivi hunisemi kingereza kabisa japo kuongea ndio bado
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kutambua hili
@RaheemaOm-d5e
@RaheemaOm-d5e 26 күн бұрын
Ninaweza kikuu pata vip Jemes mwanga'mba
@waridyhomesteady9808
@waridyhomesteady9808 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo hili, limenifikia asubh sana ya leo
@andreaphocus1368
@andreaphocus1368 2 жыл бұрын
Hongera Sana mwalimu nmefurahi Sana kukuta madam hii mtandaoni, pia mm nitakuwa mwanafunzi wako
@anethamos1650
@anethamos1650 2 жыл бұрын
Nitumie nambake madam ya whatsap
@ShamilaAbdullah-w1f
@ShamilaAbdullah-w1f Ай бұрын
Unafundisha sh ngap nataka darasa
@clotildatarimo7847
@clotildatarimo7847 2 жыл бұрын
Great! I like it, quite true brother.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 жыл бұрын
hapa tanzanie watu wengi wanajua kuongea kiingereza shida kwakuongelea hakuna mtu akiongea wanasema anajivuna serikali ingepeleka mswada bungeni wa kuruhusu kiingereza kutumika kama ilivyo kenya ili watu wajifunze kuongea Kingereza mtaani hilo ndio litakuwa suluhisho. vinginevyo watafundishwa wachache kingereza mashuleni watafahamu lkn wataka jua wachache mwisho wa yote hawataweza kuongea kwakuwa watu waliowazunguka wengi hawajui kuongea Kingereza wanaongea kiswahili tu serikali iruhusu Kingereza kiongelewe mtaani ndipo watu wote watazungumza
@rosemasune8404
@rosemasune8404 Жыл бұрын
strong point!
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
Dr Nidal Qubein- Labanesse nafikiri...
@agnespeter8740
@agnespeter8740 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu
@evansnyabuto8020
@evansnyabuto8020 2 жыл бұрын
Amazing learning Mr James. From Kenya
@JacklineEzekiel-ii2hn
@JacklineEzekiel-ii2hn Жыл бұрын
Nakupataje meal na you tube
@evelynmsoma764
@evelynmsoma764 Жыл бұрын
Thank you so much man of God,Leo nimekamatika
@beatricemembi7686
@beatricemembi7686 2 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu
@peternengoswa6627
@peternengoswa6627 2 жыл бұрын
Asante Sana
@SheodBoy-rb4ve
@SheodBoy-rb4ve Жыл бұрын
Heee we ndugu na mama angu kbs mwana mboziiii
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Ila Asante kwa bidii yako n'a mafasilio mazuri
@ChikumbutsoYassin
@ChikumbutsoYassin 5 ай бұрын
Hello my dear brother i love this point❤
@JuchonlineTV
@JuchonlineTV 9 ай бұрын
Thank you mr james we will can go speak this language
@EmmanuelAwaki
@EmmanuelAwaki 3 ай бұрын
Asantee sana baba... Ninashida na ushauri zaidi inbox
@frankbenandi8764
@frankbenandi8764 2 жыл бұрын
mi inanipa tambu kuijua jamani ira nimetambua sili naimani haitonishida Tena💪🤝
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 жыл бұрын
Kiswahili tu hukijui utaijua English 😀😀😂😂😂??? Umeandika maneno kama (Tambu, ira, sili, haitonishida)
@pieremchome5202
@pieremchome5202 2 жыл бұрын
@@raffeiystar2870 jamani walimwengu wana mambo ,mbavu zangu mie
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Don't worry brother utajua to hakuna aliyezaliwa anatembea
@Papaahansmo
@Papaahansmo 6 күн бұрын
Nimependa❤❤
@aishaaljabal1640
@aishaaljabal1640 2 жыл бұрын
Thanks a lot brother
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Nateseka sana kujua kifaransa jaman sijui nianzie wapi niko ugenini😪😪
@jamesmwangamba5124
@jamesmwangamba5124 2 жыл бұрын
Tumia hizi mbinu nilizozielezea. Hasa full immersion
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Kweli kabisa nipo pamoja
@thomasjohn3499
@thomasjohn3499 2 жыл бұрын
JAMES NIMEKUMIS SANA TOM HAPA DEREVA WAKO WA ZAMANI. UMENIFUNDISHA UJASILIMAMANI MPAKA LEO SIWEZI KUAJIRIWA LABDA MIMI NIO NIMAJIRI MTU.
@OfficialDjgumbo
@OfficialDjgumbo 2 жыл бұрын
Shukran Sana nimejifunza kitu.
@rachelmduma7481
@rachelmduma7481 2 жыл бұрын
Thank you so much ilike
@yasintachale3534
@yasintachale3534 2 жыл бұрын
It's true to me am fail to speak English
@geofreyhinda6617
@geofreyhinda6617 2 жыл бұрын
Thank you for your message
@estermbega8154
@estermbega8154 2 жыл бұрын
Ahsante sana pia naomba mawasiliano yako
@ahmedrashed7138
@ahmedrashed7138 2 жыл бұрын
Naomba unifundishe kaka angu
@addushandu3089
@addushandu3089 2 жыл бұрын
Its a good speech brother. But na uwezo binafsi unahitajika. Lugha ya kusafirishwa na ndege duu nooomaa.
@rosewema7918
@rosewema7918 Жыл бұрын
😂
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj 2 жыл бұрын
Mi nahitaji CD ya full mafunzo naipataje!? Naomba kujua na gharama zake tafadhali!!
@Mosesyona-t9j
@Mosesyona-t9j 2 ай бұрын
Nimekupata mwalimu wangu
@fursaonlinetv
@fursaonlinetv 2 жыл бұрын
Mmefanya vizur Sana kumla for huyu mwl wangu wa Enzi zile ase
@ModaxMedia
@ModaxMedia 2 жыл бұрын
Mazingira ya studio yaboreshwe,inaonesha joto jingi studio
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Hi ni kweli kabisa mwalimu kama wanisemea me sikua muoga kuongea hata nikikosea naongea to kumbe ndio kujua alihamdulinllah kweli some time uwoga mbaya sana English kuandika kusoma lahisi lakini kuongea inakua ngumu hasa kwetu tzd tunaongea sana kiswahili ss tukija uku tunaanza kuona ugumu kuongea sante kwa somo zuli mwalimu
@samirhoo6416
@samirhoo6416 Жыл бұрын
Nisaidie Basi na mimi
@VeledianaKalolo
@VeledianaKalolo 9 ай бұрын
Thank you mr james
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 жыл бұрын
Am tz kweli hata mimi ni mmoja wapo😅😅
@queenmwakabuta
@queenmwakabuta 8 ай бұрын
Natamani sana kujua kuongea kiingereza
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Thank You!
@RobertJonathan-u7k
@RobertJonathan-u7k Жыл бұрын
Amazing❤
@fatumaSaid-k3t
@fatumaSaid-k3t 10 ай бұрын
Asante sana❤❤🎉
@faridasuleiman4110
@faridasuleiman4110 2 жыл бұрын
Thank you
@EmmanuelGalawa
@EmmanuelGalawa 8 ай бұрын
I get something today thanks alot mr
@successpathnetwork
@successpathnetwork 8 ай бұрын
You're welcome
@matridachatila6839
@matridachatila6839 2 жыл бұрын
Bora. Utuletee Icho kitabu
@RaheemaOm-d5e
@RaheemaOm-d5e 26 күн бұрын
Ninapenda sana kukuwa kingereza kwa sasa niko omani
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asante
@MussaMosses-ox5ut
@MussaMosses-ox5ut 6 ай бұрын
Shaloom ni unge
@joycealex2701
@joycealex2701 2 жыл бұрын
Ok sar , thank you ,I need that book please how can I gate and where? Yes ndo nimeanza zoezi jamani natamani sana kuongea kwa kujiamini
@shiplegcm4948
@shiplegcm4948 2 жыл бұрын
Hahaha utajua tu practice make perfect
@RosemaryNzoka-i3o
@RosemaryNzoka-i3o 2 ай бұрын
Mwalimu naomba niwe mwanafuzi wko plz
@Bint-Zanzibari
@Bint-Zanzibari 2 жыл бұрын
Hakika mm kuandika naweza na kusoma ila kuongea na mt siwezi🤣🤣🤣🤣hata kidogo alaf vitu vingi navielewe maana ila kumjibu mt ndo nashindwa
@davidsimlembe2834
@davidsimlembe2834 2 жыл бұрын
Hahaha umetisha mzee
@anamungure4100
@anamungure4100 2 жыл бұрын
Brilliant. I have enjoyed indeed
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 жыл бұрын
Mwalim tafadhali naomba mawasiliano mwanangu Yuko form four she need English teacher badly please
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Niandikie What'sApp tafadhali 0759191076
@HajiMkali-u9m
@HajiMkali-u9m 8 ай бұрын
Asante mwalim
@patrickmwambepo9849
@patrickmwambepo9849 Жыл бұрын
🎉thank
@nuhumoreninkoko8639
@nuhumoreninkoko8639 2 жыл бұрын
Thanks brother
@SarahGody
@SarahGody 6 ай бұрын
Naomba uniunganishe na darasa lako
@liliangeorge3429
@liliangeorge3429 Жыл бұрын
Nshawai kusoma kitab chako ni kizur sana
@PascalBUTOYI-cm1kt
@PascalBUTOYI-cm1kt 6 ай бұрын
Hongera sana
@thadeyshirima9750
@thadeyshirima9750 Жыл бұрын
Fact my brother
@emanuelgagaza1220
@emanuelgagaza1220 2 жыл бұрын
Mwalimu natamani sana kujua kingereza nipe muongozo
@btvonlinegospelfirst
@btvonlinegospelfirst 2 жыл бұрын
Thanks so much
@ediissa9837
@ediissa9837 2 жыл бұрын
You are right my brother
@latifaally5322
@latifaally5322 2 жыл бұрын
Asant kwa kuelimish watu wengine
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Lafiki yako alikuwa anajifungia ndani na ndio hao wakirudi nyumbani wakiwa viongozi wanakwenda kujenga vituo vya mabus jangwani bila mipango
@SarahGody
@SarahGody 6 ай бұрын
Mimi sijui ila nataka kujua unaweza kufundisha online naomba unisaidie ili niweze kujua kingereza
@annanestorymwijage7139
@annanestorymwijage7139 Жыл бұрын
Asante mwl naomba namba yako unisaidie kujifunza lugha ya kingereza
@salehbinkhamis1597
@salehbinkhamis1597 2 жыл бұрын
Brother mambo vipi
@Bint-Zanzibari
@Bint-Zanzibari 2 жыл бұрын
Shukran sana kaka Asante jamani
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Shukran mimi kwenye kuongea
@hawaomary2782
@hawaomary2782 2 жыл бұрын
Jmn mimi napenda lakini sijui kabisa nitajuwaje jmn
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
@@hawaomary2782 atamimi
@isyokyusa5197
@isyokyusa5197 Жыл бұрын
Soamazing❤😂😊
@isyokyusa5197
@isyokyusa5197 Жыл бұрын
❤😂😊😊❤😢
@isyokyusa5197
@isyokyusa5197 Жыл бұрын
So good
@LukasRimoneti
@LukasRimoneti 5 ай бұрын
Mwalimu nisaidie mm sijui kabisa natani kuju
Jifunze kuongea kiingereza hata kama umeishia shule ya msingi.
18:15
Jifunze Kiingereza Haraka
Рет қаралды 74 М.
JINSI YA KUWEKA MALENGO NA KUYAFANIKISHA | James Mwang'amba
20:21
Success Path Network
Рет қаралды 17 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
TOA SALAMU KWA KIINGEREZA BILA KUSITA!
11:07
Jifunze Kiingereza na Dorothy
Рет қаралды 49 М.
UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA
16:05
Success Path Network
Рет қаралды 29 М.
Jifunze Kiingereza  - Sentensi kwa Kiingereza
8:27:20
Learning Phrases with Chris & Friends
Рет қаралды 538 М.
AKILI ITAKAYOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA | PART 1
14:05
Success Path Network
Рет қаралды 23 М.
MAKOSA 10 UNAPOZUNGUMZA MBELE ZA WATU | James Mwang'amba
12:27
Success Path Network
Рет қаралды 31 М.
JITAMBULISHE KITAALUMA AU KIKAZI KWA KIINGEREZA!
13:17
Jifunze Kiingereza na Dorothy
Рет қаралды 24 М.
NJIA 5 ZA KUONGEZA AKILI ZAIDI
12:06
Success Path Network
Рет қаралды 204 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН