Soggy Doggy afunguka baada ya studio za Mjini FM kuteketea kwa moto, ampa pole Sallam SK

  Рет қаралды 13,983

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

6 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 44
@newzon5300
@newzon5300 6 ай бұрын
KAMA UNAJUA WAMECHOMA WANATAKA KULIPWA BIMA GONGA LIKE
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 6 ай бұрын
Duuuh pole sana kwasasa
@linkedstoretech2814
@linkedstoretech2814 6 ай бұрын
pole sana mjini FM i hope mna insurance /if you dont make sure you buy insurance
@user-bf4xh9kc3n
@user-bf4xh9kc3n 6 ай бұрын
Poleni sana
@onanarosse9657
@onanarosse9657 6 ай бұрын
Polen sana
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 6 ай бұрын
Poleni sana Mjini FM
@luisojr3480
@luisojr3480 6 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 6 ай бұрын
Pole sana kwa uongozi wa mjini fm
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Duu poleni sana
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 6 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu mwenyezi mungu awape nguvu
@samirmswahili
@samirmswahili 6 ай бұрын
Dah noma kweli polen sana kwa mitihan
@channyanjen9047
@channyanjen9047 6 ай бұрын
Pole Sana salam
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 6 ай бұрын
Duh poleni Sana
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 6 ай бұрын
+MUNGU+ awatie nguvu kwa changamoto hii kubwa🙏
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 6 ай бұрын
🙆
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 6 ай бұрын
Ingeunguwa usiku nisingesema kitu lakini kwa kuwa imeunguwa asubuhi nawatu wakiwemo lazma kuna uzembe umefanywa nawa tumishi waliokuwepo Sawa kuunguwa inawezekana lakini vifaa vya studio kuteketeya vyote hapo sielewi ila vingeunguwa badhi ningekubali .nauliza kama vyote vimeunguwa vipi na sim zawatumishi ambao walikuwa ndani nazo zimeunguwa?jibu ni apana Sasa kama simu zao hawakuzishau inamaana wangeokowa laptop microphone na vingine kwasababu studio vifaa vyake ni vyabei kubwa lakini sio vizito
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 6 ай бұрын
Daah😢😢😢
@RodrigueHabarugira-zj7uq
@RodrigueHabarugira-zj7uq 6 ай бұрын
Ajifunze uyo kipara na rohomba yake
@alkhudhertarek976
@alkhudhertarek976 6 ай бұрын
Roho mbaya gn alokufanyia ww
@user-fj7wu8ph1q
@user-fj7wu8ph1q 6 ай бұрын
diamond kashafanyayake
@putotamu7044
@putotamu7044 6 ай бұрын
Pesa za hamo vitapotea vyote
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 6 ай бұрын
Mh?!😮
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 6 ай бұрын
😂😂😂😂 bima hiyo ifanye KAZI tumechangia sana
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r 6 ай бұрын
Safi sana #nimependa
@user-jf3oj8nc6h
@user-jf3oj8nc6h 4 ай бұрын
ili niuma
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢jamani
@user-ps1ph9iv5b
@user-ps1ph9iv5b 6 ай бұрын
Pale unapo kosea mashert ya mganga
@dianavery5843
@dianavery5843 6 ай бұрын
😂
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 6 ай бұрын
Daa malipo hapahapa duniani baba anaroho mbaya huyu walau atajifunza kuishi na watu kwa upendo
@elisharaphael8680
@elisharaphael8680 6 ай бұрын
Duu mbona watu mnakuwa wepesi kuhukumu sana 🤔
@deogratiusnjau1744
@deogratiusnjau1744 6 ай бұрын
Jaribu kuficha upumbavu wako mbele za watu
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga 6 ай бұрын
Mbona mnaroho mbaya kiasi hiki
@renatusndege
@renatusndege 6 ай бұрын
Hiyo roho mbaya alikudanyia lini na wapi aisee?
@priscusgodwin
@priscusgodwin 6 ай бұрын
Itakuwa alikutenda🤔
@DM_15
@DM_15 6 ай бұрын
Salam kafanya mengi namaovupia ila ukidhulumu lazima ipotee, jamaa aliwai mkejeli konde akimuita panya mvutabangi hukokote ilikua nikumharibia konde image yake hayo niya hadhrani ya nyumayapazia je,Mungu kalipasasa akianza atakua na heshima sasa
@AnyoinetteIbe
@AnyoinetteIbe 6 ай бұрын
Sasa mafanikio gani konde anyone kumzidi Salam? Una akili primitive saana kuungua kwa studio inawezekana ni ajali tu kama zingine au upuuzi wa wafanyakazi kutojali ajali ya moto wa umeme unaweza sababisha maafa
FBI wathibitisha tukio la kupigwa risasi TRUMP ni Jaribio la Mauaji
5:12
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2,8 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 20 МЛН
Why 2024 Was the Least Proportional Election Result Ever
9:03
TLDR News
Рет қаралды 387 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 198 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН