Soko Lenye Wauzaji Wa Nguo Na Viatu Kwa Bei Nafuu Marekani | Hili Soko Ni Kama Kariakoo...

  Рет қаралды 41,336

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Пікірлер: 257
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@ibrahimutvibrahimutv237
@ibrahimutvibrahimutv237 Жыл бұрын
Brother nichukue tupige kazi wote huko kaka
@firsat1pharmacy272
@firsat1pharmacy272 Жыл бұрын
@@ibrahimutvibrahimutv237 😂😂😂 sio rahis kiivo kaka
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
​@@firsat1pharmacy272 kila kitu nia na kufocus
@martherraymond6752
@martherraymond6752 Жыл бұрын
Kaka jack we ni hatari
@salimfathiya1578
@salimfathiya1578 Жыл бұрын
Ho jack mambo plzz nipe namba yako nataka kuja US uwe guider wetu wakutuzungusha
@devanse9718
@devanse9718 Жыл бұрын
Aisee yaani mtanzania akikutana na mkenya full vibe hii inaonesha ni kiasi gani sisi ni ndugu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Damu moja
@salumsalum8866
@salumsalum8866 Жыл бұрын
mashoga
@devanse9718
@devanse9718 Жыл бұрын
@@salamahamadisudi1912 kweli
@salamahamadisudi1912
@salamahamadisudi1912 Жыл бұрын
@@devanse9718 yeah
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Wow that's great brother i see you've met our African brother that's sound awesome 👌 👏
@ludobudege1662
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Nashukuru sana video zako zinanipa upeo mwingi WA kufikiria kumbe ata bongo naweza kufanya kitu chochote na mambo yakaenda vizuri ubarikiwe sana brother tupo pamoja sana usivunjike moyo endelea kutupa madini mengi bongo tujifunze kutoka kwako watu wanandugu zao wapo huko lkn ata siku Moja hawawezi kutupa madini kama unavyotupa Wewe nakuombea kwa mungu akuepushe na mabalaa,husda, za watu mungu akusimamie kwa Kila jambo ili uendelee kutuelimisha zaidi
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante. Ubarikiwe pia!
@davidnkumbi539
@davidnkumbi539 Жыл бұрын
Yaan huyu kaka MUNGU amlinde san nime muadd leo tu lakin nmemuelewa san
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Mungu akubariki bwana mdogo Jack Kwa elimu kubwa unayotoa najiona kama nimefka USA kupitia Elimu unayotoa Mungu akuinue
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Bro i have some recommendation about if it's possible think about putting subtitle on your videos bro so that you can gain many subscribers from around the world..people loves what your doing bro keep it up 👏👏👏👏👏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks for the suggestion, I'll work on that!
@abdulmaliksaid9152
@abdulmaliksaid9152 Жыл бұрын
Give us your mobile number that it will be easy to come there bro tzn
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
uyo jamaaa kakusikia ukiongea kaona isiwe kesi thats y i love kenyans vlog yako inakutanisha wengi yani hapo angekua mbongo hata angekusikia angekukaushia tu. keep uploading more video brother
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Inaonekana ww ni mkenya pia lakini ulichokiongea sio kweli.
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
@@jaymandy8136 no mie mbongo kabisa pure 100% jla wabongo wengi wakiwa kiwanja hata akiskia unaonge kiswahili anaweza vunga usimjue msizoeane haya yapo japo sio wetu... na sie wachache sana tuliokua proud tukifika kwa wenzetu ni ngumu mnooo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😍😍😍
@daisythetech
@daisythetech Жыл бұрын
Hahaha sema kwel Mzee jack ni kama kariakoo..mpaka sabufaa
@kessylukombe1811
@kessylukombe1811 Жыл бұрын
Unachonifurahisha unatupa na thamani halisi ya shilingi ya Kitanzania big up Sana bro
@masengoclaude4932
@masengoclaude4932 Жыл бұрын
Asante sana kutuonesha soko hiilo lenye uzuri tena nkubwa. mimi nime penda kbsa!
@dicksonmarko7926
@dicksonmarko7926 Жыл бұрын
Aiseeh unafanya kazi nzuri sana mdogo wangu yaani kupitia kipindi chako huwa najionna kama nimewahi kufika USA
@michaelsamwel4169
@michaelsamwel4169 Жыл бұрын
Waao! I appreciate you, Nice survey,, safi sana nakupata hapa Mwanza Tz
@gigidaddy7605
@gigidaddy7605 Жыл бұрын
Aminia sana jack ukwel nakukubal kinyama mung akpe long life by gingi alone day from kaham
@alexmaige2638
@alexmaige2638 Жыл бұрын
Always you continue to doing great ,sir jack salute broo
@burningq3108
@burningq3108 Жыл бұрын
Umetishà mr jack endelea kututoa tongotongo mwamba
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Жыл бұрын
Jack ni mnyamwezi wa kwel hawa wa kwetu uku wana tuzingua aisee.
@emmanuelnyakatai7311
@emmanuelnyakatai7311 Жыл бұрын
Dah!! Unatisha braza kazi nzuri ase Kwa kutuonyesha USA
@canahtv3535
@canahtv3535 Жыл бұрын
Hongera sana jack uko vzr ndugu pamoj san
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!!
@moneymavericks480
@moneymavericks480 Жыл бұрын
Bro nakubali sana content zako bigup sana your youtube idea is great.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!!
@dopehood1476
@dopehood1476 Жыл бұрын
Nakubali sana boy angalau napata mwanga frani
@hamisikambona8763
@hamisikambona8763 Жыл бұрын
Alafu nimegundua wazungu hawana noma ata kidogo.
@hamadonso7320
@hamadonso7320 Жыл бұрын
Uko vizuri jack MTT was kahama
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Dah kumbe kuna sehem zingine kama uku tu
@salumufx1851
@salumufx1851 Жыл бұрын
Acha kujipa moyo .mbele ni mbele tu 😅😅
@leecode6135
@leecode6135 Жыл бұрын
​@@salumufx1851 umeona eeeh huyo jmaa anasema eti kma huku tu wee unyamwezini itakuwa sawa na Bongo sehemu gani!!!
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 Жыл бұрын
@@salumufx1851 😂😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Jamani nikweli hapo ni kama bongo Tu, si tunaona Kwa macho,,
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Yeah yeah yeah good job Jack keep going brother 💪💪💪👏👏👏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Ok wish you all the best brother 👏👏💪💪💪❤️🙏🙏❤️❤️
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
So educative! Big up brother!!
@ellygach6515
@ellygach6515 Жыл бұрын
Mungu azidi Bariki kazi yako
@all-africdesings5634
@all-africdesings5634 Жыл бұрын
Kazi safi .....mimi ni designer wa viatu za kiafrika je hii ulaya yaweza kaka nichanue mzito....nko Nairobi
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yes, hizo bidhaa zinapata wateja wengi sana since ni adimu!
@all-africdesings5634
@all-africdesings5634 Жыл бұрын
@@jackwausa woow .... nige kuomba kwa heshima kama unaeza tembelea area za bidhaa za kiafrika ivi tuchanuke pia
@stevenafraeli
@stevenafraeli Жыл бұрын
Hi am Steven from Tanzania
@louis001
@louis001 Жыл бұрын
ila anyways..... Watching from 🇰🇪🇰🇪
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Bigup jack I appreciate your work
@elishapaul1706
@elishapaul1706 Жыл бұрын
Una confidence we jamaa km umezaliwa huko ......nimegundua wanajibu vzr hawana karaha km huku
@alexmwakasape3452
@alexmwakasape3452 Жыл бұрын
Aisee wauzaj wa uku wana nyodo sana😅🙌
@samwelrobeth7763
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
Walusha nyimbo kwenye komputer sjawaona brother 😃😃😃😃😃
@oxwad3836
@oxwad3836 Жыл бұрын
Kazi nzuri bro👏🏿👏🏿👏🏿 . 🇹🇿
@ngaboespoir4580
@ngaboespoir4580 Жыл бұрын
You so cheerfully mn
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Жыл бұрын
Jack safii
@mosesboy5576
@mosesboy5576 Жыл бұрын
God bless you brother
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@luciewanjiru9873
@luciewanjiru9873 Жыл бұрын
Wakenya mko kila mahali apart from Skidrow 🤣🤣🤣🤣🤣..... May God protect Africans hustling in the west
@jumakhamis5053
@jumakhamis5053 Жыл бұрын
Maswali yangu mengi niliokua najiuliza majibu yake nayapata kwenye hizi video zako asante sana kwa kuniondolea kiu yangu ya maswali niliokua najiuliza
@ifudetourssafaristanzania3449
@ifudetourssafaristanzania3449 Жыл бұрын
Good job
@noahayoubameninaendereakubarik
@noahayoubameninaendereakubarik Жыл бұрын
Jack wa usa safi sana kazi nzuri
@saidomary7930
@saidomary7930 Жыл бұрын
Nakukubali sana aiseee unafanya mambo mazur
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante
@alainndindimaamuri8459
@alainndindimaamuri8459 Жыл бұрын
Jack yaani unaniuwa Sana
@Rennyanselim
@Rennyanselim Ай бұрын
Nimeopenda sana hii
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
naona ndugu yetu anatuwakilisha Kwa kiswahili lakini wabongo wanatona maoni kwa kiingereza haya bana, hongera dogo upo vizuri
@khamisslugiko4457
@khamisslugiko4457 Жыл бұрын
Dk24 sekunde ya 25 nmeipenda kuna wimbo ulkua unachezwa wimbo huo ni wa rema unaitwa come down kumbe na hko wanazipenda hzo ngoma 👋👍
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nyimbo za Nigeria zinachezwa sana huku
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 Жыл бұрын
😂 Eti ichi kidude Jack Bana
@bakarisultanindima3513
@bakarisultanindima3513 Жыл бұрын
Kaka fresh sana una mbambaa
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Thanks bro
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 Жыл бұрын
Tofauti na mtaa wa Kongo ni msongamano tu, mtaa wa congo kupita ni shida. Lkn hapo mtaa wa Santi Alli ni pasafi, njia zinapitika fresh tu.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana....
@PhilippeMaster
@PhilippeMaster Жыл бұрын
🎉okay
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Huwa nina enjoi sana kutazama video zako broh, big up nigga
@vidalyuki4916
@vidalyuki4916 Жыл бұрын
Nimependa San ulivyo tutembeza kwenye hayo maduka nimependa kazi yako uko vizur
@lucykhamsin3700
@lucykhamsin3700 Жыл бұрын
Sawa jack
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@frankmpembu
@frankmpembu Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka, Barikiwa sana.
@ladyshine8731
@ladyshine8731 Жыл бұрын
Shukrani sana bro
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ Жыл бұрын
Amazing video
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!
@stevenmacharia6455
@stevenmacharia6455 Жыл бұрын
nitumie number yako ya whatsapp tuongee
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 Жыл бұрын
Jack nakufuatilia sana mzee pande hizi za mwananyamala
@babianliza
@babianliza Жыл бұрын
Hi my kenyan fellow there.good wrk ndugu
@OmmysniperTV3839
@OmmysniperTV3839 Жыл бұрын
Nakukubali sana broo
@Goalscorer12
@Goalscorer12 Жыл бұрын
Hujawah niangusha damuyangu 👏👏💥💥
@heriseba8058
@heriseba8058 Жыл бұрын
Nakukubali mkali unatusanua mambele kama bongo
@Bachubazonlinetv
@Bachubazonlinetv Жыл бұрын
Bro safi sana
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz Жыл бұрын
Safi kwa jeudi Iko,ata Sisi sa congo tuna kupongeza.
@johnngitta369
@johnngitta369 Жыл бұрын
Kila laheri mpambanaji mwanetu 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@yvonneirakiza3990
@yvonneirakiza3990 Жыл бұрын
Safi sana
@madammbago9787
@madammbago9787 Жыл бұрын
Jamn Kama Ni tz hapo umuulze Bei kila duka hununui uondoke unakula misunyo au una ng'ang'aniwa ununue mpk utajuta kumbe huna Mia umeend uliza tu
@charleskisala7428
@charleskisala7428 Жыл бұрын
Safi kabisa, viewers wa kwanza
@KTMediatv
@KTMediatv Жыл бұрын
Mwamba nakukubali 🔥💪
@daisythetech
@daisythetech Жыл бұрын
Hahaha mambo ya vyupiii
@yunusjohnson4170
@yunusjohnson4170 Жыл бұрын
JAck inakuwaje mzee nitafte kwa nunberbyangu mzeee
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
One Love
@almuhtaramzamil
@almuhtaramzamil Жыл бұрын
Hili chaka hela yako tu lina kila kitu,uzuri wake hapo unatembea comfortable hakuna wale "two fingers artist" kama kariakoo,kkoo ukijisahau tu wanakupiga!
@fazilichipalu3295
@fazilichipalu3295 Жыл бұрын
Safi naweza sema nimefika hapo kwa bando la buku🤣🤣🤣
@mwashdatraveller3219
@mwashdatraveller3219 Жыл бұрын
Napenda kazi unayoifanya bro
@ediusgabriely615
@ediusgabriely615 Жыл бұрын
Dah kazi nzuri sana broo...but kuna kitu nataka kuulizia, Hv marekani hakuna pikipiki mtaani kama vile bodaboda😁😁 maana katikan video zako zote cjaona watu wakiendesha pikipiki kama ukubongo mtaani...
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pikipiki zipo ila sio kwa ajili ya kibiashara kama bodaboda za bongo
@kagirasta1476
@kagirasta1476 Жыл бұрын
Leo umetisha sana
@myhlmn3701
@myhlmn3701 Жыл бұрын
Poa sana..nakubali kaka
@barakaekuro
@barakaekuro Жыл бұрын
😂😂😂 eti hawa kweli wanayoa copy 🙌🏾
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Nimevutiwa mno na huko jamn kina makazi yetu wakenya huko na fursa za kazi zikoje huko yani bongo hii hapa naiona
@shaynexinnocent2821
@shaynexinnocent2821 Жыл бұрын
Mwanangu bado parefu
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын
We jamaa Mungu akujalie kwa kuanzisha chanel hii kuelezea mitaa ya huko. Maana nipo Bongo lakin Venis napajua😂. Naomba utuonyeshe mitaa ya wanaokaa waafrica wengi huko nackia ni Misschues (sijui nimeiandika sawa)
@davidnkumbi539
@davidnkumbi539 Жыл бұрын
Yaan we kijana ubarikiwe san
@coasterherman
@coasterherman Жыл бұрын
God bless you
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!🙏🏾
@coasterherman
@coasterherman Жыл бұрын
Unapambana sana kaka
@kayanzakidsafricana
@kayanzakidsafricana Жыл бұрын
Utuoneshe sehemu za wasafi wakubwa kwenye wanaishu
@naomigenchiri2223
@naomigenchiri2223 Жыл бұрын
Dah.. nahisi maisha ya ulaya ni magumu zaidi bora kwetu tu.,
@maulidi8479
@maulidi8479 Жыл бұрын
Hamna kawaida tuuu,, kule fedha ipo na watu wanalipwa kwa masaaa,,, ndani ya week kupata milion tano ni kawaida tuu,,, hizo bei kwao ni kawaida tuuu kulingana na uchumi wa nchi usika,,,, tatizo unataka ulinganishe na uchumi wa bongo
@chachamakenge8367
@chachamakenge8367 Жыл бұрын
Ukirudi likizo nipe taarifa,pia uwe makini watu weupe hawapendi maisha yao yajulikane wazi.
@MagidaFafa
@MagidaFafa 4 ай бұрын
Kumbe kama buza tu apo safi
@andreashayo6266
@andreashayo6266 Жыл бұрын
Unyama sana mzee baba
@longinolaurenttolotolo1946
@longinolaurenttolotolo1946 Жыл бұрын
Nimependa hiyo sehemu ni pasafi, hakuna msongamano wa magari kama ilivyo dar kariakoo ikiambatana na uchafu mwingi
@jumakhamis5053
@jumakhamis5053 Жыл бұрын
Na maguta huku ukikaa vibaya guta lipo mguuni kwako
@ShukuruTamla-lp6tm
@ShukuruTamla-lp6tm Жыл бұрын
Soko la santee Ally USA. Kuna kitu Cha kujifunza kwa wamachinga wetu hapa bongo.
@ismaelkazungu1917
@ismaelkazungu1917 Жыл бұрын
nakukubali xna man tunaitembea Marekani bila Visa
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Aisee Leo umenifurahisha najiona km nimefika marekani kumbe niko omani
@bkephasi
@bkephasi Жыл бұрын
Hii yao ni safi tofauti na kwetu hakuna ustaharabu kama huu
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
1 tishirt 19$ that is 1900ksh ?? That very expensive.. Korti 99$that is 9900ksh ?? Wah very very expensive nothing is cheap there
@Sarose_investment
@Sarose_investment Жыл бұрын
Jamaa Unasumbua wauzajiii aseeeee😂😂😂😂😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yote ili niwapatie bei ya vitu 😂
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Жыл бұрын
Trevor nakuona 😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@judithjudith529
@judithjudith529 Жыл бұрын
Na hii soko Iko state Gani.
@fatumajohn703
@fatumajohn703 Жыл бұрын
Jiandae siku moja uende live tukuulize maswali
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nitaenda live soon
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 Жыл бұрын
😂😂😂 anakukuta umetupia vitu kama ivyoo 🙌
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 Жыл бұрын
Kweli bongo mchawi pesa ujue bongo vitu bei rahisi ila mchawi pesa tu
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
MkasiTV
Рет қаралды 535 М.
APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)
6:56
Hapa Nilipo
Рет қаралды 53 М.
3 Nights Onboard US Navy's Largest Stealth Ship
19:52
Not What You Think
Рет қаралды 11 МЛН
MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
57:20
Physics Club September 23, 2024
1:06:29
Yale Physics
Рет қаралды 4,1 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН