SPIKA DKT. AMTAJA ASHAROSE MIGIRO NA MSTAAFU KIKWETE BAADA YA KUPATA URAIS WA IPU

  Рет қаралды 35,725

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Rais wa Umoja wa mabunge Duniani IPU Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania akitoa shukrani baada ya ushindi alioupata amemtaja aliyemuibuka na kufahamika katika Nyanja za kisiasa

Пікірлер: 27
@MatildaMwacha
@MatildaMwacha 11 ай бұрын
Dada nakupenda nakuombea Mungu akutuze maadui wako washinde kwa jina la Yesu
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 11 ай бұрын
Ooo Glory be to God...Hongera sana Mungu azidi kukung'arisha Speaker wetu.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 11 ай бұрын
hongera sana Dr kuna watu ukikutana nao unakuwa umekutana Na Bwana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 11 ай бұрын
Mwenyezi azid kukuongoza utafika mbali Mhe TA
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 11 ай бұрын
Mwanamke shupavu anajiamini, Mungu akubariki sana 🙏 Nakupenda sana ❤
@queenlinda255
@queenlinda255 11 ай бұрын
Ndio ule usemi unasema ukikaa na uwa jasmi lazima na ww utanukia jasmin hongera sana
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 11 ай бұрын
Balozi Dr. Asha Migoro ni mtu muhimu ktk maisha yangu
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 11 ай бұрын
Ngoja siku unaumwa ndo utajua hujui.
@romanilyimo
@romanilyimo 11 ай бұрын
​@@hamadsheni8997mtu anasema ni muhimu kwake kinachokuuma ni nn ss. Utaumwa ww wacha rohoo kubwa hyo mpaka inaonekana wazi
@romanilyimo
@romanilyimo 11 ай бұрын
​@@hamadsheni8997mtu anasema ni muhimu kwake kinachokuuma ni nn ss. Utaumwa ww wacha rohoo kubwa hyo mpaka inaonekana wazi
@godfreymasondaabel1904
@godfreymasondaabel1904 11 ай бұрын
🎉hongera Madam
@mwana4599
@mwana4599 11 ай бұрын
Ukiteuliww na Nani kuwa mbunge?
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 11 ай бұрын
Unahitaji mshauri kwenye swala la mavazi kwa kweli. Vaa yako haiendani na cheo chako
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 11 ай бұрын
Hana shepu ya kuvaa mavazi unayoyafikiri
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 11 ай бұрын
Anahitaji mshauri kwa swala la democracy in Tanzania.
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 11 ай бұрын
Anahitaji mshauri kwa swala la democracy in Tanzania sio kutawala kiubabe...
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 11 ай бұрын
Anahitaji ushauri wa demokrasia in Tanzania.
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 11 ай бұрын
Mmm lakini ubunge kapewa na nani?
@donatusmlowe7378
@donatusmlowe7378 11 ай бұрын
Nimuda tu utakuja tulia
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 11 ай бұрын
❤❤
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 11 ай бұрын
Dah kweli siasa ni nyoko lisu upo marekani tzania umepambana na swala la bandari .kuwa Bunge na spika wameuza nchi .Ukapaza sauti katika nchi za magharibi leo tulia ndio Raisi wa mabunge yote Dunian pamoja na uko ulipokimbilia dah pole
@Melini-f7t
@Melini-f7t 11 ай бұрын
Ndugu yangu nchi hii mh!
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 11 ай бұрын
@@Melini-f7t sio nchi hii na wenyewe waache kushobokea nchi za magharibi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 11 ай бұрын
Tulia jiandae pia kugombea Urais baada ya mama Samia ingia kwa kishindo
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 11 ай бұрын
Bado hujasema
@KedmooMjanja
@KedmooMjanja 11 ай бұрын
0:57 0:58 😊
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 54 МЛН
Nondo za Dk Tulia baada ya kushinda urais wa Umoja wa Mabunge Duniani
10:38
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН