SPIKA TULIA AMJIBU MWIGULU "MANENO YAKO YAFUTWE"

  Рет қаралды 174,303

TBConline

TBConline

Жыл бұрын

Пікірлер: 222
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Mwigulu wala hapaswi kuitwa Mheshimiwa, anajawa na jaziba kuonyesha kua hawezi kua kiongozi, lakini haaminiki na wengi huku mitaani ambako ndiko kwa wananchi
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Eti hata Mwiguri Mchemba naye aliwahi kugombea URAIS wa nchi hii Toba Ya-Rabbi. Mungu tuepushe na watu wa aina hii kuongoza nchi yetu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Жыл бұрын
Waziri wa fedha anatuzarau watanzania maana hata sisi wanainchi alitwambia tuhamie Burundi hivyo hafai kuwa kiongozi wetu.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Mwigulu ni wazi Nyota yake imefifia sana. Anatakiwa Kuokoka ili Bwana Yesu Kristo aisafishe Nyota yake. Au ajiripue aende kwa wachawi waganga wa jadi kama wafanyavyo wenzake ili asaidiwe, lakini ajue, waganga wa jadi ni mawakala wa shetani-ibilisi, hivyo, ukifa unakwenda Jehanamu.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Spika mpina alikuwa na hoja ya kitaifa aangalie hao waganga ndio wapiga kura ajifunze anadharau sana huyo
@bashangegoogle6714
@bashangegoogle6714 Жыл бұрын
Mwigulu Just Step Down for your own good and respect
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 Жыл бұрын
Asante sana mhs spika kwa hekima yako. Lkn waziri apunguze jeuri, cheo no dhamana. Ukipewa nafasi usijisahau na kudhani wewe ni bora kuliko wengine. Tanzania ni yetu sote. Tuige mfano wa mh rais wetu, ni mnyenyekevu sana hana makuu.
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 Жыл бұрын
Mwigulu ana kiburi sana, ni mbinafsi sana, anaangalia maslahi binafsi,hafai kabisa kuwa kiongozi
@babalao910
@babalao910 Жыл бұрын
Mwigulu ingekuwa enzi za Jembe ungeshatumbuliwa x2, xaiv jiachie huguswi.
@Dominaevance
@Dominaevance Жыл бұрын
Mheshimiwa Spika hukupaswa kumteetea Mtu mwenye level ya waziri Kwa kile alichokitamka anajua Kila kitu na alifaham kbsa alichokiongea Wala sio Kwa bahati mbaya
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Kapewa cheo kikubwa kuliko uwezo wake, cheo hicho kinahitaji hekma na busara, unaweza kuwa na PhD 100 kakini busara hutolewa na m/mungu, kwa hiyo muhusuka hajapewa hekma sasa huo ni muendelezo wa kauli zake za awali ashawaambia wafanya biashawa kama wanona hawatendewi haki wahamie Zambia au Burundi
@samweli7985
@samweli7985 Жыл бұрын
Mwigulu anazarau na kukurupuka sana tu, spika ukovizuri mungu akulinde, ila mwigulu hatakiwi kuwa waziri
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Mwiguru mh! 🤔Wahenga wanasema "Tafakari kabla ya kunena!" 🤗
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Waganga hao hao wa kienyeji ndio wanao watumia wakati wa kutafuta kula ninahakika asilimia mia na kwakua ninajua wapo waliopitia maisha hayo
@sheikhsabaya7234
@sheikhsabaya7234 Жыл бұрын
Muheshimiwa spika unatosha sana sana, Asante
@mariamlungu1153
@mariamlungu1153 Жыл бұрын
Nikweli bungeni sio kijiwe ,kunatakiwa maneno ya Sitara , ASANTE spika nimekuelewa sana Kumbe umeokoka mama
@goodluckwakristo6038
@goodluckwakristo6038 Жыл бұрын
Mimi nilikua nimekaa nawaza kuhusu mwiguli kuona kwamba anahaki ya kuwakejeli wabunge wezake. Mwiguli Huwa analewa sifa sana
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
✍️💯Mungu aendelee kukulinda mh spika
@neemahaule8407
@neemahaule8407 Жыл бұрын
Yaani spika unajua afu unajua tena..yaani unatosha mama.
@SaidAli-sg1qd
@SaidAli-sg1qd Жыл бұрын
Mungu atuepushe raisi kama mwigulu
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН