MR.RIGHT APATA WAKATI MGUMU/AFANYA MAAMUZI HAYA

  Рет қаралды 464,888

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE / @stbongotv
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU

Пікірлер: 264
@KyaruziInvestment-te6jr
@KyaruziInvestment-te6jr Жыл бұрын
Huyu aliyesema amepima mapigonya moyo amevaa vizuri I like that
@yasnaghump5763
@yasnaghump5763 Жыл бұрын
Mwijako anapenda Sana kuwa kiongoz kwenye kila kitu Kuna muda lijifunze kukaa kimya
@omarbarid-u1v
@omarbarid-u1v Жыл бұрын
MashaAllah napenda lulu alivovaa
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x Ай бұрын
Apo n leo2
@rugemalirakamgisha1543
@rugemalirakamgisha1543 Жыл бұрын
Huyo chitamu ana tabia mbaya Ali mkataaga mr light mzuri sana, mwachen aachwe tu
@tracymasangula213
@tracymasangula213 Жыл бұрын
Malipo ni apa apa dunian😂😂💔
@agnesssillo
@agnesssillo Жыл бұрын
Hahaaaaa atajua hajui mwaka huu
@Precious-vi8fj
@Precious-vi8fj Жыл бұрын
Wai sijapenda hat angemchagua yule mwengine uyo kaka amemchagua uyo dada anajua ataenda kulelewa
@aal8041
@aal8041 Жыл бұрын
Mmmmm allha atusaidie ndoa hii bona aina shekhe wala mchunguja jamni mungu atusaidie sijajuwa inaitwa ndoa ipi
@SuperkarimBenzema-o1h
@SuperkarimBenzema-o1h 2 ай бұрын
Lulu umependeza i love u ❤❤❤
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Жыл бұрын
Sijapenda tuu hawavai kiheshima,,,
@AnnaMuhema
@AnnaMuhema 7 ай бұрын
Wakivaaa manguo wakificha miguuu utaonaje kuna wachaga ujuw
@SAIDMBWEMBWE
@SAIDMBWEMBWE Жыл бұрын
Allah awape elimu pia na akusamehen m
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 11 ай бұрын
Lulu reo burundi tumekupaga Dati mwiimbaji❤❤❤❤
@ahazystanley-ew7wy
@ahazystanley-ew7wy Жыл бұрын
Hiii ni sawa na kusurport ushoga😢😢🙏🏿🙏🏿
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 6 ай бұрын
@@ahazystanley-ew7wy kivip Kwan kuna mwanaume kuolewa hapo acha ukuda
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Mwijaku😂😂c kwa shangwe hilo.
@essaumpuma2981
@essaumpuma2981 Жыл бұрын
Video zenu mnazikata sana zina boa
@maryjoseph2772
@maryjoseph2772 Жыл бұрын
Mwijaku anakiherehere jamn kha!!
@addocharles1167
@addocharles1167 Жыл бұрын
Mwijaku anamkono wakuozesha jamani hajawahi kufeli hongela
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Mashaallah 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 4 ай бұрын
Lulu hongera umevaa vzr sn
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Hapo ndo umesha ozesha mungu tusaidie
@princejalloh2767
@princejalloh2767 Жыл бұрын
Am favourite program I will one day mr right
@MwanaidTaki
@MwanaidTaki Жыл бұрын
Mh mungu amisimamiye hivi halafu mkitoka hapo mwaenda pima kweli au ni hukokuvamiyana
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 Жыл бұрын
Huku ni kujiuzaaa kbasaa daah Mungu tuhurumie
@rhodapyuza6053
@rhodapyuza6053 Жыл бұрын
Mnaongea sana
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Akuna Mungu Apo Pesa Na Shetani Kweli Jamani Ziko Ndoa Za Ivi Kweli Zenye Sifa Ndani Ya Msaafu Na Biblia Jamani Apa Duniani Pesa Izi Ziko Na Mambo
@madamhappymwalongo3653
@madamhappymwalongo3653 Жыл бұрын
Ndio zipo ester alichaguliwa pia kulikuaga na show za kuchafua mke mfalme ahusuelo alimpata ester Kwa style kama hii
@sabahsalim3306
@sabahsalim3306 Жыл бұрын
Mwakili wa zinaaa
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
da yani wanawake sijui kwanini awajithamini maisha Yao au mili Yao dunia mtaiyacha nawewe mwijaku unajifanya sana mtu wa dini apo unachochea uzinifu tu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Bro ujachaguwa mtu sahihi mana uyo dem anaonekana kbd ni pashukuna
@BrenderMartin-eb2on
@BrenderMartin-eb2on Жыл бұрын
Mwijaku anaharibu
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Nimependa kipindi shukran
@anitahlydia
@anitahlydia Жыл бұрын
This is so interesting! than here in Kenya
@emmagodson3048
@emmagodson3048 Жыл бұрын
Ndoa za kizazi hiki 😂😂😂 kazi mnayo 😂😂😂😂😂
@elizabethsamson4923
@elizabethsamson4923 Жыл бұрын
Kipindi kizuri ila wadada wanavaa hovyo
@makrinaibinga-on2qx
@makrinaibinga-on2qx Жыл бұрын
Dada mkubwa kuliko kaka
@rukiamkwayo6302
@rukiamkwayo6302 Жыл бұрын
Mwen jaku nakukubali sana
@irenekarume1470
@irenekarume1470 Жыл бұрын
Wawe wanajistill khama lulu diva hata siku moja mojaaa
@Ann-Strong
@Ann-Strong Жыл бұрын
Kujisitiri bila ya Imani bure
@RuthySulle-yc5dq
@RuthySulle-yc5dq Жыл бұрын
Jamn mnapatikana wp wapendwa
@LovenessPaskali
@LovenessPaskali Жыл бұрын
Na mimi nitaftieni mume jamani ❤
@shabanponera2895
@shabanponera2895 Жыл бұрын
Njoo nikuoe
@jamesswai6583
@jamesswai6583 Жыл бұрын
Unakosaje sasa
@SharonEndesha
@SharonEndesha Жыл бұрын
Huyu mwanaume aliye kukura hela mfukoni anakiherehere kingii😅😅😅😅 bila msimamo
@AnnaMuhema
@AnnaMuhema 7 ай бұрын
Mwijak
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Ndoa gan ama akatulie kwenye zinaa jakhanam inawasubiria nauj8nga wenu mkafikir mtakaa mpaka lin
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 11 ай бұрын
Kumbe mnawauza😢😢
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Mwijaku kungwii
@veronicahpallangyoh6065
@veronicahpallangyoh6065 Жыл бұрын
Hivi ni kweli au maigizo maana mi siamni mke yuko uchi mke gani huyo
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 3 ай бұрын
Achana na utani wa Mwijaku anamaneno Fulani yanayojenga maisha naomba siku mumlete Dotto magari
@arushamedia6812
@arushamedia6812 Жыл бұрын
Chitam utaondoka mwenyewe mbwa wew si ulimkataa mwanaetu 😂😂
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
🤣🤣🤣na ata achwa kaulizake zakijuaji sana mwanamke mjuaji sana Hua nikero kwanyumba
@khayrathahamadi656
@khayrathahamadi656 Жыл бұрын
Yan hat mm nasema abaki tuu ni mshenzi
@sarazacharia
@sarazacharia Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sarazacharia
@sarazacharia Жыл бұрын
​@@DM_15 😂😂😂😂
@tracymasangula213
@tracymasangula213 Жыл бұрын
Malipo ni apa apa dunian 💔💔🚮🙌
@franciskimosong7750
@franciskimosong7750 Жыл бұрын
So good
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 2 ай бұрын
Wote wabaya
@ZainabuHarida-e4k
@ZainabuHarida-e4k 27 күн бұрын
😂😂😂kama mwanaume uwii
@DicksonDeogratius-m6p
@DicksonDeogratius-m6p 3 ай бұрын
Kachagua mshangazi
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
mimi Ninaswari kwanini awo wadada Mnawaambia waje hapo Uchi😢Nawakati watoto wakiume Wamevaa nguo kwanini woteee wasivae nguo😢???
@Rdj__255
@Rdj__255 Жыл бұрын
Wao wameona nguo hizo znawafaa hawajapangiwa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@Rdj__255 Kumbee🙏
@RajabuOmari-p7w
@RajabuOmari-p7w Жыл бұрын
kwakweli mavazi ya wadada sio mazur
@vicentjulius
@vicentjulius Жыл бұрын
Watangazaji wa kike baadhi yao tu wanavaa nusu uchi sembuse hao mabinti? Nowadays hakuna maadili kabisa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@vicentjulius Kabisaaa
@frenciustryphone4531
@frenciustryphone4531 Жыл бұрын
Wanavaa vibaya n kama malaya tu hawana adabu hata kidogo
@MtaboraMuhidini
@MtaboraMuhidini 8 ай бұрын
Ameacha chombo ile daah
@JohnMalingumu-nh9le
@JohnMalingumu-nh9le Жыл бұрын
Dunia ya leo imejaa upumbavu tu,mwijaku nilidhani anaakili kumbe ovyoooooooo!!!
@fredysparta7014
@fredysparta7014 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@meckitilidatushabe
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@agnesssillo
@agnesssillo Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@HamisiJuma-z7h
@HamisiJuma-z7h Жыл бұрын
Mdada be mkubwa jmnii
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Uyu mama itakuwa anaela uyu semajamaaa alishtukiya iyo ndomana akamchaguwa
@neemalema5312
@neemalema5312 Жыл бұрын
😂😂😂Mwijaku Nakupendaga
@DanDanrez-ib3jo
@DanDanrez-ib3jo Жыл бұрын
Hello❤
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Kweli wambien wajisti uzuri nitabia ht mm nitakujabkuongeza jiko ila wajistir nikitoka Dubai tu pnp majaaliwa
@MonaAlmona-c1n
@MonaAlmona-c1n Жыл бұрын
Kwaiyo utaenda apo kwenye icho kipindi 😅 mtaan kwenu wameisha
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Mwijaku❤❤❤
@juniversal.onlinetv4163
@juniversal.onlinetv4163 Жыл бұрын
Sema kwamba hujuhi kuchagua
@VuwaiVuwai-eb2zy
@VuwaiVuwai-eb2zy Жыл бұрын
Sirias gara B kamaind maamuz ya mr right😂😂
@JohnMalingumu-nh9le
@JohnMalingumu-nh9le Жыл бұрын
Huyo mwanamke hajitambui
@Kenyan_Duke
@Kenyan_Duke Жыл бұрын
Hiyo kijana hatoshi na like jaguo,,,daa!!!
@emmagodson3048
@emmagodson3048 Жыл бұрын
Huu ni mchezo au comedy?? Mbona haiingii kichani wanachaguana kuwa marafiki au wanandoa, 😂😂😂😂
@Iamfarhya
@Iamfarhya Жыл бұрын
Et Dont dissapointed me😂😂😂😂 MWIJAKU
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Жыл бұрын
Kwa iyo apo ndo kashapata mke au mbona sielewi
@deogratuskakuru
@deogratuskakuru Жыл бұрын
ivi jaman tunaelekea wap Kuna ndoa za hivi kweliii ee mungu tusamehe ee mungu linda na watoto wetu wasipotoshwe
@ktigerman5736
@ktigerman5736 Жыл бұрын
Hakuna haja ya wapambe wanaondoa ladha ya kipindi wawaache vijana waamue wenyewe.
@menahallie5301
@menahallie5301 Жыл бұрын
Kipindi ni kizuri, Ila ambieni hao wadada wawe wanajistili jamani khaaaaah
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Wanahisi ili wapendwe lazima wakae uchi kumbe sivyo mwanamme alie timamu awezi chagua mwanamke alie acha mapaja mbele za watu
@agathaaroni7783
@agathaaroni7783 Жыл бұрын
Kabisa yan wanavaa uchi uchi tu hata wanaotaman wanaojistiri wanashndwa kutokana na hayo mazingira
@LoreenBernard-lr6cg
@LoreenBernard-lr6cg Жыл бұрын
Nakuunga mkono maana wote wanavaa nguo fupi mxuuuiew
@ZulfahAbdillah-fd5gq
@ZulfahAbdillah-fd5gq Жыл бұрын
Watangazaji wenyew wako uchi ndo watajistir washirik best
@tamimbinaltan1325
@tamimbinaltan1325 Жыл бұрын
Mungu akujaze kheir dada
@jacklinewilbard
@jacklinewilbard Жыл бұрын
Napita2
@mashaali6519
@mashaali6519 Жыл бұрын
Ammy gel una mikelele mbaka una boa
@KhalisMandela
@KhalisMandela Жыл бұрын
Mbona eriza hawamchagui jamani
@AnnaMuhema
@AnnaMuhema 7 ай бұрын
Yan video Tam na mnaikatisha
@annamakome2979
@annamakome2979 Жыл бұрын
hivi kweli hayo mahusiano huwa yanadumu yanayopatikana kwenye kipindi hiki? muwalete baadhi wenye mfano walotokana na kipindi hiki.
@tiffahrajabu5892
@tiffahrajabu5892 Жыл бұрын
Uko sasa kuuziana mbuzi kwenye gunia
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Mwijaku huyu mdada anae kikumbatia vip hajaolewa huyu alisema ndo wakat woko wakutoa
@ZainabuSarumu-o1z
@ZainabuSarumu-o1z 15 күн бұрын
Wachaaa we umechagua mushangazi ukalelewe 🫤
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Hiv wanaendaga wapi baada yahapo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mashee Na Wachungaji Mko Wapi Kondoo Wanapotea Ivi Madanguro Ya Waziwazi Aya
@LordGodskitchen6470
@LordGodskitchen6470 Жыл бұрын
Halafu wanapiga marufuku madanguro ya mafichoni km kinondoni, hata mbeya mafyati
@frankmayala4564
@frankmayala4564 Жыл бұрын
Hivi akichaguliwa ndiyo tayari ameolewa
@oman1oman179
@oman1oman179 Жыл бұрын
Ongereni
@KelvinJackson-bf1ki
@KelvinJackson-bf1ki Жыл бұрын
Ivii apo unachagua mke au wa kwenda kulala naeh hii dunia ipo siku tu tufany yote ilaaa tutaona
@bmstudio3712
@bmstudio3712 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RenzoJofre-my9lz
@RenzoJofre-my9lz 3 ай бұрын
Waooo
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
Mnaongea sana,kila mtu anaongea.
@mercymbithe0001
@mercymbithe0001 Жыл бұрын
Bona mm na enjoy 😂😂😂😂
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
@@mercymbithe0001 Me pia sijakutaja wewe kwamba unakerwa.
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he Жыл бұрын
Huyo kaka havuti bangi kweli
@janethjassonjoseph-se2ub
@janethjassonjoseph-se2ub Жыл бұрын
Iyo sura tu 😢
@sneckyBoe
@sneckyBoe 11 ай бұрын
I saf, watu wamenyetuka uko wamechoka sasa wanajiongeza ninyi ni kuponda tulien
@joycelulimo-gc4sy
@joycelulimo-gc4sy Жыл бұрын
Wawewanavaa vizur
@AshuraMustafa-z8o
@AshuraMustafa-z8o Жыл бұрын
Mnapatatu dhambi
@LordGodskitchen6470
@LordGodskitchen6470 Жыл бұрын
Hili mbona ni dangulo, serikali iko wapi?
@bagengift3488
@bagengift3488 Жыл бұрын
😂😂😂aya sasa
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 Жыл бұрын
😂😂😂
@Clex-f5s
@Clex-f5s Жыл бұрын
Waiting for such comment
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Hovyo kbsaa
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 Жыл бұрын
@@rehemakanyere4188 watu wanatafuta wake banaa😜
@kishkiozil2156
@kishkiozil2156 Жыл бұрын
hakuna wife materiel anaweza kusimama ati anatafute mume wote waongo ao
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
Sasa haya ndo madili gani ya kitanzania madili Hawa ndo wanachochea uharibifu watoto
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Жыл бұрын
😄😄😄😄eti kaacha kwenye gari
@jonabrnd628
@jonabrnd628 Жыл бұрын
Boy anatak kua kibenten. Mdada ujapat boy 💀😳
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Umalaya wa kimataifa
@tinerpatrick6386
@tinerpatrick6386 Жыл бұрын
Jamani iki kipindi ni cha kweli au
@rusiahnyabuto1741
@rusiahnyabuto1741 Жыл бұрын
Watu wakubwa makerere tupu kwani tunawatch nyinyi
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 Жыл бұрын
Wanawake tufanye kazi, tusije tukajiuza kwa mbwa wagonjwa 😏
@kelvinalfredy8988
@kelvinalfredy8988 Жыл бұрын
😂😂😂😂 dah nmecheka
@AngelinaGabriel-ro2tn
@AngelinaGabriel-ro2tn Жыл бұрын
Leteni hiko kipindi dodoma
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x Ай бұрын
Dah apo patata jaman pakumkumbatia dah
@rajtz6283
@rajtz6283 Жыл бұрын
Kina raheem atukosei😊
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 11 ай бұрын
Garabi mbona we hujichangulishe?
@shivuboy301
@shivuboy301 Жыл бұрын
kwer😂
@dennismadundounyamasanahom8435
@dennismadundounyamasanahom8435 Жыл бұрын
Hiki kipindi mwijaku anakihalibu Sana analopoka maneno mengine yasio na staha mwsho kipindi kinaonekana Kama Cha wahuni
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Acha utimu kikundi chenyeywe cha wahuni
PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA  MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT
10:43
ST BONGO TV
Рет қаралды 190 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
ZUCHU AKATA MIUNO DIAMOND BILA UOGA AKAMATIA CHINI KWENYE HARUSI YA JUX
3:32
LULUDIVA  ATANIUA  - LAVALAVA
5:18
Wasafi Media
Рет қаралды 283 М.
MR RIGHT AMCHAGUA TIFFAH AMKATAA MREMBO HUYU
6:05
ST BONGO TV
Рет қаралды 312 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН