Asalam alaikum warahmatullah wabaarakatu, mshkuru mola sheikh kwa mitiani,namola atazidi kukulipa jaza yako,kawaida mti wenye matubda mazuri ndo upigwao mawe,mola atawanusuru na kila shari inshaAllah.
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Allah awalipe kheri dunian n akhera wote waliochagia mjengo huo n awaogoze waislam wote apa n kesho akhera
@mufid7073 жыл бұрын
Allah ata kufanyinya wepesi na atawalipa khei nyinyi na family zenu Ameen Ameen.
@mhjgkgjfjzuzu95453 жыл бұрын
InshaaAllah Allah awape subira kwa mitiani mashekh wetu
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah sheikh Yusuf na ramadhan kwa kazi ngumu ya da'waa,Allah awalipe pepo na hao vijana waliosilimu Allah awaongoze inshallah
@ashrafbunu34833 жыл бұрын
Very sad to hear sheikh ramadhan is leaving this place,kwa kweli ingekuwa sibidii yako na kupenda kwa Allah hakungesimama msikiti na nyumba ya mwalimu umefanya kazi kubwa sana katika kufanikisha msikiti huyo na nyumba ya mwalimu umeacha kazi zako na kila kitu chako ,tunakuombea Mungu Allah akuhifadhi nakuendeleza ulilolifanya hapo mukoroweni Allah yuko nanyinyi na dua zetu ziko na nyinyi
@achanifumos10933 жыл бұрын
Amiin
@maherzain6153 жыл бұрын
Ameen
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Sheikh kuria Allah akuogoze apa n kesho akhera n uzidi kueneza dini ya Allah
@ashrafbunu34833 жыл бұрын
MashaAllah we see islamic religion rise in mukuruweni Allah awape nguvu na awalinde ma ustadh wetu
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@bradhadinnur3231 Жыл бұрын
Very proud of my Deen Alhamdulillah
@hassanmpemba57473 жыл бұрын
Masha Allah sheikh umeifanya kazi kubwa ishallah mungu atakulipa na waliochangia wote
@hasnakid Жыл бұрын
Aameen
@feysalshetti25833 жыл бұрын
mashallah, hakika uislamu ndio dini ya kweli
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@virginiawaithira1521 Жыл бұрын
Kabisaa
@khatibuhijja4593 жыл бұрын
Mpotmo kakubali mashaa Allah, Alhamdulillah
@SaidMgeni Жыл бұрын
MashaAllah Allah awajalie miongoni mwa watu wa peponi in shaa Allah
@maymgaya41922 жыл бұрын
Asalam Alaykoum Warahmmatullah Wabarakatuh, Mashekh wangu nawapenda sana kwa ajili ya Allah..... Nawaombea Allah Awalinde na awalipe kheri zake kwa mema muyatendayo🙏
@suleimanabdull19583 жыл бұрын
A/allykum Shekh mwambie wairimo aje asilimu abaya zake zipo na mume kama hana tutamuowa Biidhni Allah.
@hamisibugao3143 жыл бұрын
mashaAllah sheikh Ramadhan kuria bin kaguo,kazi yako inaoneka hatua baada ya hatua Allah akujalie jannat firdaus,
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
MASHAALLAH tabarakaAllah Allah awalipe wote walo jitolea kwajili ya Allah polen namitihan yote inayo yakuta iwe kuwa firaha kwenu Allah awajalie wote walo kuwa wa isilam awaimarishe wadum katika dini yao Allah atujalie mwisho mwema sote amiin ya Rabby 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻❤❤❤❤❤❤❣❣❣❣❣💕💕💕💕💕💕💞💞💞💞💞💞
@rizikiyahya95653 жыл бұрын
Allaah awape ngufu na afya.Bishop alikwendapi tumempeza kumuona pamoja nanyi.
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Wallah hii imentoa machozi jamani sheikh Allah akulipe kwa hili
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Masha Allah, da'aawah nzuri, Allah azidi kuwaonyesha haki wasio ijua haki na aweze kuifuata na Allah awaonyeshe shari waijue kua ni shari na waweze kuiepuka Amiin Thumma Amiin
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
Amiin ya Rabby
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri masheikh wetu, Allah awazidishie neema na amani jumbani kwenu, awaepushe na shari na fitna kwenu masheikh wetu na kwa wale waliojitolea kwa njia yoyote ya swadaka na Allah atujalie mwisho mwema sote Amiin Thumma Amiin
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
Amiin thumma amiin ya Rabby 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤝🤝❤❤
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Masha Allah kila nikiangalia hao walio silimu Masha Allah walivyo pendeza kuliko mwanzo Wana ngara haswa bila toshi mungu awape mwisho mwema amin
@hasahm19953 жыл бұрын
InshaAllah mambo yatakuwa mazuri..., Lazima mumin atapitia mtihani. Na baada ya dhiki ni faraja InshaAllah
@fatmabhai28122 жыл бұрын
Alhamdulilah.. mashalallah.. mungu awaongoze ktk njia hii ya na dini hii ya hakki. Wawe waislamu wa kweli na kufata mambo ya dini na aungu awape maisha mema na wawe mfano kwa wale wengine ambao hawajaingia kwenye dini ya hakki ya kiislamu. Mungu atup sooote khucni lkhatima amyyn yaa rabby 🤲
@saifalhussaini97023 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadhan kurya umeifanya kazi nzuri Allah akujaalie Jannat Firdous Ninakupenda ndugu yangu kwa ajili ya Allah
@maurinemagembe12333 жыл бұрын
Door to door???
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
MashaAllah hatimae wapeelewa Allah awadumishe katika uislamu
@Asiyah20003 жыл бұрын
اللهم أعز الإسلام والمسلمين وأذل شرك والمشركين وذمر أعدآك واعداء الدين يا رب العرش العظيم 🤲🏼💚
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@Asiyah20003 жыл бұрын
@@StraightPathDawah I'm Aisha btw 😁☝🏽
@andallaathman38563 жыл бұрын
Amin
@abdur-rahmanmuhammad85313 жыл бұрын
As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Masha Allah kwa mafundisho manzuri , Allah awajaliye khayr nyingi na awazindishie elimu 💝💛💜
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@mussahaji9053 жыл бұрын
I am from Canada I will visit you Sheikh Yusuf and Ramadhan..I Love you so much..pia nawaonea Choyo kwa kazi mnayofanya..I have your numbers
@saadiyaabdallah19103 жыл бұрын
Kwa kweli sheitwan amefanikiwa kuismamisha daawa katika mji huu wa mkuruwein kumpitia fitna alizo zitia baina ya waislamu, Alhamdulillah Allah aliwapeleka mashekhe wetu hapo kwa sababu ya kuuffikisha Uslamu na kwa idhini yake Allah mukajaaliwa kuijenga nyumba ya Allah na mukaleta Nuru ya Uislamu katika mji uliokuwa na WA islamu wachache, Naswaha kwa mashekhe wetu, walimu wetu, watetezii wa dini yetu Warithi wa kazi ya Mtume wetu Muhammad s.a.w Lazma muwe na Nyoyo strong, Na Allah anajuwa Niya zenu ni safi. Killa mwenye kutangaza kalima ya laliaha Illa Allah lazma atakutana na misukosuko, Majaribio na Mitihani aina mbali mbali, Nabiya Allah yunus Alipata Mitihani na Akaamuwa kukimbia ule mji,...., Allah awape subra na Uvumilivu na Inshallah Atawalipa JANNATUL FIRDAOUS. Mtu wetu Muhammad s.a.w alipigwa mawe alitaka kuuwawa alitolewa mji na watu wake na jamaa zake lakini hakukata tamaa ya kuulingania uwislamu. ALLAH AWALIPE JANNATUL FIRDAOUS KWA JUHUDI ZENU NA KAZI YENU NGUMU MUNAYO IFANYA NA MITIHANI MUNAYOPITIA.
@nurshariff25463 жыл бұрын
Jameni waislamu hatukosi chuki katika kila linalofanywa? Sijui ni nini kinaendelea bt nimeelewa kuna jambo
@anwarabdallah70952 жыл бұрын
MashAllah bro tuko pamoja Allah akujazi kila la kheri usiregee nyuma Kwa kazi ya dahwa.
@asdfnfmd54663 жыл бұрын
Mashallah tabarak rahman mpotmo nimekupenda kwa ajili ya Allah s.w
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Noma ramadhan kaguo uko poa, Allah akulinde,
@alwaysthink02203 жыл бұрын
Mash Allah the daawa ever
@rayhanrashid39283 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabarakallah
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@shindeznur72903 жыл бұрын
Mashaa Allah tabarakaallah Allah atulinde sote
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Maashaallaah mungu awaongoze waminikweli kweli ktk dini yakisilamu
@fauzenkassim84242 жыл бұрын
Mashaallah Allah awaongoze inshaallah
@aaibrahim44873 жыл бұрын
Allah awaepushe na fitna zozote ameen
@achouraachoura57632 жыл бұрын
Masha Allah vijana wanauliza maswali vizuri
@mussahaji9053 жыл бұрын
Imam have perfect Swahili..
@tahlil20153 жыл бұрын
Mansha Allah Keep going #Dawa Team.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran jazeelan, may Allah make it easy for us
@mhjgkgjfjzuzu95453 жыл бұрын
@@StraightPathDawah InshaaAllah
@husennuren3183 жыл бұрын
Mashallah
@alimatambwe34022 жыл бұрын
MashaAllah Jazakhallahu kheiri
@KomboHassan-r9y Жыл бұрын
Allah atakulipeni kheri
@mohammadalfani52433 жыл бұрын
Masha Allah
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@ashrafbunu34833 жыл бұрын
Aq need to visit this place n see how they will assist shekh ramadhan to assist on this new muslim
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@fatumaisack40943 жыл бұрын
Ma sha Allah
@mohamedmohamed-fs1tl3 жыл бұрын
mashaallah Allah bariik my brothers
@bentybenty23433 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah..Takbiiiiiir...
@mohammadalfani52433 жыл бұрын
Masha Allah maswali mazuri sana..mungu yuko nasi
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ameen
@أنا-ر8ذ2 жыл бұрын
Nimepata huzuni. Kidogo maneno ya imamu. Mungu awape. Nguvu
Very sad. Allah yuko nanyinyi na dua zetu ziko na nyinyi pia.
@saeedisa97983 жыл бұрын
MashaAllah
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqC5f3WHr5WahKc
@nuruyusuf6503 жыл бұрын
Aslm aleikm SSA kwa vile shiekh ramadhan mwaondoka tutapata updates kwl
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pYrYfoainbd1oZY
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Two yrs sasa hawa vijana vipi mrejesho wao
@pungopungo411 Жыл бұрын
Sio watatu tu mtawapata wengi Mungu hana hasara
@sharifbaalawi36192 жыл бұрын
Tabarakallah
@janenyambura9113 Жыл бұрын
Kijana amesimu mungu ambariki
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Wallah inatia huzuni Sana .Lakini pia nifuraha kwa upande mwengine.
@mohamedbaridhwan3017 Жыл бұрын
1:07:53 Hapo sasa shekhe ungempa pale Paulo alipobadilisha. Halafu pale paulo alipochukulishwa nazarene vow.
@mimwendwakabira85382 жыл бұрын
EASTLEIGH
@ambarnelly63042 жыл бұрын
🤣😂😂🤣 unaumia bureee
@abdinasirmohamed22383 жыл бұрын
🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏✔👌
@nuruyusuf6503 жыл бұрын
Wallai nahuzunika kama ambae nko mukuroine
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Nimetoa machozi
@shenjamamzingi79503 жыл бұрын
💖💚Dunia abdallah,hujambo ndugu yangu?💛💜
@kenyan97392 жыл бұрын
Who else has descernment sprit😂hawa watu bado atarudi to Christian
@abdirahmansiat62 жыл бұрын
Why are u thinking about them negatively instead of praying God for them to strengthen their faith
@hashimfaisal58582 жыл бұрын
Kwani ni kesho 😂
@charokazungu16552 жыл бұрын
Hizi hoja mbona dhaifu tu anafuata wasokua na elimu ndio uwasilimishe
@rajabumussa10827 ай бұрын
Tuko. Wote. Kufuatilia
@munasayed8657 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@mwanamtotomwamwero75113 жыл бұрын
Masha Allah
@aburaasmedia36823 жыл бұрын
Masha Allah
@Najdi3582 жыл бұрын
Mashaallah
@omargbabaomar20043 жыл бұрын
Masha Allah
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
Asaĺam Alaykum! MASHA ALLAH MASHA ALLAH ! MASHEKHE WETU ALLAH ATAWALIPA KWA MITIHANI MNAYO PITIA ,INSHA ALLAH ALLAH AWAZIDISHIE UJASIRI WA KUTETEA DINI YA HAKI AMIN AMIN AMIN, KARIBU VIJANA KATIKA DINI YA HAKI AMIN