Sugu aanza mikutano, amtaka Dk Tulia wakutane 2025 jimboni

  Рет қаралды 28,254

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

"Tunakutaka Tulia, tunakutaka Tulia tunakutaka Tulia" ni kauli ya mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu' akielezea hoja ya ugawaji wa Jimbo la Mbeya mjini iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni.
Sugu ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Jimbo hilo kwa kipindi cha miaka 10, (2010 Hadi 2020) kabla ya uchaguzi Mkuu uliopita kuchukuliwa na Dr Tulia Ackson ambaye pia ni spika wa bunge kwa sasa.
Akizungumza leo Alhamisi Mei 11, 2023 kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nzovwe jijini hapa, Sugu amesema alisikia hoja hiyo lakini hakuwahi kulielezea popote akisisitiza kuwa yeye analitaka Jimbo la Mbeya mjini.
Amesema yeye akiwa mbunge aliweza kuzihudumia Kata zote 36 za Jimbo hilo, lakini anashangaa hoja ya kuligawa na kwamba vyovyote iwavyo anamtaka Dk Tulia Ackson popote.
"Nashangaa kwanini huyu spika anapaniki tu, mimi sijaongea chochote tayari ameanza kuzungumzia hili jambo, sasa nasema hivi tukutane 2025 kwani aliyemuweka bungeni kwa sasa hayupo tena,"

Пікірлер: 112
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Mungu Ataamua yatakayotuokoa Tunamtaka YEHOVA ALIYEHAI Atusaidie tu.
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Жыл бұрын
hilo jimbo sio la mtu mmoja wewe ulikula kwa sehemu yako waachie wengine pia acha tamaa
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
tulieni sugu awanyoishe
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Жыл бұрын
@@emmapaul1766 atunyooshe kivipi? hebu toa maelezo kama mwanaume.
@TWENZETUEDEN
@TWENZETUEDEN 4 ай бұрын
Wewe bro.. Tulia ni tetemeko, wewe utatulia tu jaribu upoteze hela zako uone ubunge mbeya sahau for sure.
@tysonngeka6863
@tysonngeka6863 Жыл бұрын
Sugu unafaa kua Mbunge Lakin sio kushindana na Mhe. Turia.. Turia Ni Mtu sahihi kwa Mbeya
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
wasenge jiandaen kumpeleka kwenye matibabu huyo mwenye ukimwi wenu.
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Жыл бұрын
@@emmapaul1766 wewe bwana kumbe hauko timamu unamihemko sana unaonekana umeanza kufuatilia siasa mwaka huu, hebu jitathimini usije ukaukosa ugali wako.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 Ай бұрын
Kafanya nini Mbeya?
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 6 ай бұрын
Danganya mambumbumbu hayo but hapa funga king'amuzi.
@eliusnguaro8806
@eliusnguaro8806 4 ай бұрын
Hauna kitu sugu
@user-go2zk9gq1s
@user-go2zk9gq1s Жыл бұрын
Aisee tulia ww Dr tulia ni no nyingine
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
juz juz alileta wanengua viuno lakin alidoda leo sugu kashtua nyomi balaa
@user-go2zk9gq1s
@user-go2zk9gq1s Жыл бұрын
Mmh
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 6 ай бұрын
Sikiliza kiswahili, hakina hadhi ya kuongelea bungeni. Umekutana na malapulapu hayo eti nyokonyokonyokooooooo!!!! Una enzi wewe? Sugu bwabwaja weeeeee!!! But no one like DR Tulia Akson.
@philipomwatonoka1743
@philipomwatonoka1743 Жыл бұрын
Acha kujidanganya sugu miaka 10 yako hatukuona kitu danganya wengine
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
huyo mjinga wenu mbunge wa mchongo amefanya nini au kuleta kuna daimond wanengua viuno ndio kawafanyia kitu nyie machoko ya ccm.
@eddieeliakim6548
@eddieeliakim6548 Жыл бұрын
Ungeonaje kitu Wakati Magu na serikali yake ulisema wazi kuwa hapeleki maendeleo na fedha kwenye maeneo pinzani
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Tulia atakutuliza
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
labda atamtuliza mamake
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Tulia Ana jamhuri kubwa
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
jamhuri ya mashoga labda
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Heshima kitu cha bure
@NeemiaLotti-wl7hu
@NeemiaLotti-wl7hu 6 ай бұрын
Sugu umekuwa mbunge kwa miaka kumi umefanya mambo gani.hutamweza tulia wewe ungepumzika tu utapata tu aibu hats mwenzako godbkess lema pumzikeni waacheni wenzenu vijana wagombee.
@user-hz1xf1kl3l
@user-hz1xf1kl3l 4 ай бұрын
Hongera kiongozi huondio ukweli uliyopo
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Sugu wewe imba tu huna mpango wowote nimatusi tu unatama sana
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
nyie mikundu ya ccm tumewazoea subirin 2025 tutawanyoosha nguruwe nyinyi.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
machoko ya ccm yamechanganyikiwa na bado 2025 lazima muokote makopo.
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 Жыл бұрын
Dah Sugu anapendeka banaa dah na kauwasha moto hatariii dah na huo ni mkutano wa kata tu ya nzovwe na watu nyomi hatarii ila tulia aliwakusanya hadi kina mond na wcb yote ila hakupata nyomi dah hadi aibuu
@mangobase
@mangobase Жыл бұрын
Ongea sera Acha kulalamika mwanaume kulalamika ni dalili za udhaifu
@denishamka8657
@denishamka8657 Ай бұрын
Huyo mama humshindi we piga kelele tu
@yonakiyeyeu
@yonakiyeyeu Жыл бұрын
Tulia namwelewa sana Mimi wewe umefanfanya Nini barabara umeacha mbovu mwache tulia Hana neno namtu
@salom6403
@salom6403 4 ай бұрын
Ila ww muongoooo
@magembekisabo9632
@magembekisabo9632 Жыл бұрын
Sugu moto mwingine💪💪
@petermogha7025
@petermogha7025 Жыл бұрын
Sugu acha uongo
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
sema ukweli wewe choko
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 Жыл бұрын
Anacheza na Tulia huyu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
mashoga tulien dawa iwaingie
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Mbeya kwetu
@JoseMala-ld2vd
@JoseMala-ld2vd 8 ай бұрын
Nakubali sugu
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 Жыл бұрын
Sugu hana mpinzani
@user-bz3kk5te4m
@user-bz3kk5te4m 2 ай бұрын
Ali kwamishwa na mwenda zake
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 Жыл бұрын
Watu wa Mbeya ni welevu mbuge alietekeleza ilani ya chama kwa ukamilifu wana Mbeya wanamjua ,muda utasema!tuombe uzima
@leonardmartine662
@leonardmartine662 Жыл бұрын
Sugu moto chini
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 18 күн бұрын
Naogopa kuchagua wauzabandali
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Sugu kama Sugu
@sethmwakangata1871
@sethmwakangata1871 Жыл бұрын
Sugu kelele hazikusaidii mbeya imekushinda hata usemeje ubunge ndoto baba
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
Kelele anazo mamako huko ccm
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mwakamg'ata wewe ndio unaota kwasababu njia aliyoitumia Tulia kushinda ni njia haramu! Kama una uhakika unyang'anyi utajirudia basi sawa lakini uwezekano huo ni mdogo sana na hata hivyo kilio cha Mwaifunga na wengine ni nuksi kwake! Wewe dai katiba acha kutetea wenye dhamana wasiojali maisha yako!
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Tulia anataka vyeo vingapi ?😂
@AmosSniper
@AmosSniper 4 ай бұрын
2025 nimeipenda hiyoooo!
@upendomokye6803
@upendomokye6803 4 ай бұрын
Sugu amekula wamlete mwingine ndo naye alepo
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w Жыл бұрын
Ni kutapatapa tu dr Tulia yupo juu zaidi Sugu hamna kitu kuimba kwaya na uongozi wapi na wapi bana, hata hapo anahutubia hotuba haieleweki ,
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
kisa wewe senge lake huyo docta fake umesema
@asifiweutonga4493
@asifiweutonga4493 Ай бұрын
Ujui hata kuongea pambana na hali yako
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 18 күн бұрын
Sugu rais wambeya
@Ashahabibu-yr1rn
@Ashahabibu-yr1rn 5 ай бұрын
Wanambeya mpigeni tulia chini ,chadema ndo kila kitu
@user-ob9mc5zc1k
@user-ob9mc5zc1k 4 ай бұрын
Wewe huna jipya piga kelele tu SUGU hupiti hata kwa dawa kelele tu,njaa inakusumbua unataka ujenge hotel nyingine dhubutu.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 5 ай бұрын
CCM WALIO WENGI WAMESOMEA WIZI UKITAKA KUJUA MUULIZE CAG
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu unaonekana hujui hata maana ya usafi wa mazingira wewe endelea kutunga mistari ya nyimbo za bongo fleva wanaokushangilia wapo sawa maana siyo Kila anaye tabasam Ana furaha wengine wanakuona unachekesha
@GeorgeUsele
@GeorgeUsele Жыл бұрын
Dr tulia anataka jimbo ligawanywe muoga sana
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 18 күн бұрын
Ongea rais wambeya
@samsonkibona4332
@samsonkibona4332 Жыл бұрын
Nae huyu ni Muongo, Itende ndio kwetu niliondoka nyumbani 2005 Itende ikiwa na umeme tayari sasa yy anasema 2010😅😅
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz Жыл бұрын
tunajuwa sugu kapewa ushindi wa Mezani eti kashinda
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 6 ай бұрын
Tulia muuza bandari zetu
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
TULIA KALEWA MADARAKA, KURA ZETU WANA MBEYA NI KWA SUGU
@songolomgallah4017
@songolomgallah4017 Жыл бұрын
Wakazi wa mbeya tutakuwa tumelongwa sana kumtoa mhe tulia tukuchague sugu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
unafikir wewe na machoko wenzio huko ccm ndio wapiga kura pekee, 2025 lazima mnyooshwe nguruwe nyinyi
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
TULIA AMESHASHINDWA SASA AMEANZA KUTUMIA WASANII AKINA DIAMOND PLATNUMS ILI AJAZE WATU
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Tulia hana jipya amni ni kivuli cha magu tu sugu yupo juu amni tulia alibebwa na uchaguz mchafu tu wa magu
@ManenoGeorge
@ManenoGeorge 3 ай бұрын
Ww piga kaz hayo achan nayo
@ManenoGeorge
@ManenoGeorge 3 ай бұрын
Dr tulia
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 5 ай бұрын
Ukosahihi baba
@amontv8628
@amontv8628 Жыл бұрын
Ww ulifanya nini 😂😂
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
alimfanya mamako
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
​@@emmapaul1766 😂😂😂😂
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Ko wewe ndo ulisema Jenga barabara ipite hukuuu na kuleee Sasa kwa Nini usiseme wajenge hiyo ya mapelele kweli siasa ni mchezo mchafu bila kudanganya watu hawawezi kuelewa
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu fanya tathmini aliyofanya na anayofanya mwenzako je wewe ulifanya Nini siyo ooo nilikuwa natembea naona dampo limejaa napiga Sim inaonyesha maendeleo uliyofanya ni kupiga sim
@eddieeliakim6548
@eddieeliakim6548 Жыл бұрын
Kipindi chadema inaongoza Mbeya, magufuli na serikali yake ulisema wazi kuwa hapeleki maendeleo na fedha kwenye maeneo pinzani
@bonabonala5559
@bonabonala5559 6 ай бұрын
sema sugu mwamba wa mbeya mjini umepita wewe usimuhofie huyo kipofu wa siasa za tz
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
RAIS WA MBEYA YETU. TUNAKUPENDA SANA, NA TUNAKUAMINIA SANA WANANCHI WA MBEYA
@aureusngonyani4299
@aureusngonyani4299 Жыл бұрын
Sugu uwez kupambana na Tulia wewe, Tulia ni fire
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 Жыл бұрын
Labda wewe ndiyo hauwezi
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
wasenge jiandaen na huyo mwenye ukimwi kumpeleka hospital
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
​@@emmapaul1766 nani huyo😂😂😂
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu hukuwa na nguvu ya kuishawishi serikali kwa Mambo unayosema acha kudanganya watu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
nguvu ya ushawishi ya sugu unaipima wewe choko la ccm
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Unadanganya watu ulijenga barabara wadanganye wasio na elimu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
ungewa na elimu ungekoment upumbavu wewe choko la ccm
@songolomgallah4017
@songolomgallah4017 Жыл бұрын
Tutakuwa machizi sana kukuchagua wewe na kumuacha mhe tulia
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
unacoment kwa kujirudiarudia kama senge linalofirwa ccm choko wewe.
@asifiweutonga4493
@asifiweutonga4493 Ай бұрын
Wewe nenda tuu ukaendelee kuwa kaunta kwenye hotel yako tulia umuwezi wewe
@jamessichimata36
@jamessichimata36 Жыл бұрын
Hiyo kampeni au matusi?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
kawaulize wapumbavu huko ccm wenzio hilo swali la kichoko.
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Wewe sugu ongea point takataka maana yake Nini ongea point acha uongo lini na lini MBEYA imewahi kuwa Safi acha uongo Mimi siyo mwana siasa Sugu unaonekana hujui maana ya uongozi mbona husemi mambo anayofanya mbunge umeme hukusambaza wewe
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
point unazipima wewe choko la ccm
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu muongo barabara za MBEYA mjini yaani jiji hukujenga wewe ulikuwa ni mpango wa serikali kwenye bajeti ya kuboresha barabara zilizo ndani ya majiji na Kila jiji lilipewa kiasi Cha pesa kwa ajiri ya kujenga barabara zilizo ndani ya jiji, siyo kupitia wewe acha uongo Sugu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
mwambien huyo mbunge wa mchongo ajiandae
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu wewe Jenga hoteli ulizosema utajenga hotel zitakuwa chein tokea MBEYA iringa, mikumi, morogoro Hadi Arusha hapo ndo utakuwa umefanya maendeleo yako wewe siyo kuongea Kama umeehuka,
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Sugu unafaa tu kwa muziki wa Hip hop,Ubunge hauwezi,labda Ubunge wa hip hop tu ndiyo unaweza.
@robertkisasa1346
@robertkisasa1346 Жыл бұрын
😀😀😀Jongwe kama Jongwe...kati ya majimbo magumu sana nampongeza Mh Tulia kwa kuongoza kwa ueledi na umakini mkubwa sana ukizingatia ilikuwa jimbo la Upinzani. Natazamia mchuano wa huru na haki 2025...let the best one WIN
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Жыл бұрын
HANA WELEDI TULIA BHANA ... ACHENI UCHAWA NYIE
@SalmaAlly-dc2do
@SalmaAlly-dc2do Жыл бұрын
Wewe hupati ubunge kabisa tulia keshakuzima wewe
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu endelea kudanganya vipofu siyo wanaoona hujui uongozi wewe Sasa uchaguzi ukifika utakaposhindwa utasema wameiba Tena kura
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
endelea kubinua tako huko ccm
@JacobMasoko
@JacobMasoko Жыл бұрын
Sugu tuko pamoja nawe bonde la uyole
@stanmasnon5152
@stanmasnon5152 Жыл бұрын
Sugu alafu acha kupiga kampen za kutukana Mungu akupe hekima uwe unaongea na watu wawe wanakuelewa
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Жыл бұрын
KURA YANGU UNAYO SUGU. Asikutishe kalewa madaraka Tulia.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
Cccm na wafuas wa huyo tulia wote machoko mnamjaza kichwa ili 2025 aje apate aibu huyo tulia wenu na ile mbeleko haipo mtakunya kabisa.
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 Жыл бұрын
Uungwana ni vitendo
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 28 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 915
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН