Mambo 4 ya kufanya ili utanikiwe. 1. Displine - Nidhamu binafsi 2. Commitment - Kujitoa kwenye jambo fulani. All in. 3. Sacrifice - Kuachilia mambo ambayo unayapenda eg Entertainment udaku uhunzi nk 4. Ditamination - Kuamua haswa kufanya hilo jambo regardless kuna changamoto gani. Nice one JOEL NANAUKA. SEE ME AT THE TOP 🔝
@jorvithmofuga-ng1lf Жыл бұрын
Nakukubali sana brooo mungu akupe miaka mingiii sana ushauri wako kwe2 ni manufaa makubwa sana broo
@elkins_musa3 жыл бұрын
Naitwa Elikins Mussa ni mwalimu niliyekosa ajira serikalini kwa sasa mm ni msanii wa bongofleve na stendup comedy kutoka mkoa wa songwe napenda sana masomo yako kwa sababu yananiimalisha natamani nifanikiwe kukuza sanaa yangu
@thomvision19143 жыл бұрын
Good bro ...even Thom is a professional teacher!
@dionisswai53043 жыл бұрын
Kumbe shida kwangu kuna vitu vya kuacha tu mambo yawe sàwa, Asante
@Haleem_073 жыл бұрын
NASEMAJE... JOEL.. miaka 10 kutoka sasa kuna jambo Tanzania na DUNIA nzima litathibitika... it's ABDULHALIM FROM ZANZIBAR.. wengine tumepanda MIANZI YA KICHINA...
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Ahsante
@stevenbushiri22913 жыл бұрын
Ni lipi Hilo ndugu
@daniellepari45253 жыл бұрын
Ahsante sana mwalimu kwa somo lako ubarikiwe 🤞🤞
@longoriaetaan62103 жыл бұрын
Bwana Joel unanijenga tu sana Kwa mawaidha hayo
@annmulu9343 жыл бұрын
Brother Joel umenijenga Sana katika mafundisho yako, tangu niaze kukusikiza nimekuwa mtu tifauti Sana na vile nilikuwa mwanzoni Mwenyezi Mungu akuzidishie bro
@firdosoman31333 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka somo zuri sana
@MarcoPeter-y5n4 ай бұрын
Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki
@edommdende43093 жыл бұрын
Fact! brother nanauka ,,,endelea kituelimisha
@hiland255fundi53 жыл бұрын
Kaka hii ya leo umeua zaid sana
@abubakarkibwana7562 жыл бұрын
Asee Joel Nakukubaki Mpaka basi yaaaaani
@pauljosephtarimo22792 жыл бұрын
Upo sahii sana..Kuna vitu vingi vya kuacha
@abubakarkibwana7562 жыл бұрын
Dah umekuwa taa yangu bro ni mwaka wa Tano huu Assse we Mtu noma
@hendryprosper99503 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro joel mungu akupe miaka 100000
@pilichuli44493 жыл бұрын
Yaaaaaniiii Aishi miaka 900000000000000
@magrethmalangalila80412 жыл бұрын
Nasoma pharmacy natamani kufanya kwa kiwango Cha juu Sana naomba endelea kunisaidia maana Kuna mahaali nimetoka leo Mungu akubariki
@davidfrancis85823 жыл бұрын
Vitu vya kufanya ili ufanikiwe 1. Discipline / Nidhamu Binafsi 2. Commitment / kujitoa kwa kile unachokifanya bila kujali chochote 3. Sacrifices /kujitoa dhabihu kuacha na vitu ili ufanikiwe ie kuna vitu unabidi uache 4. Determination / hata kitokee nini lakini ni lazima nipambane
@johnwarioba46793 жыл бұрын
Asante kakaa
@johnwarioba46793 жыл бұрын
Me naitwa elinaice Asante umenifunza meng San na npo mbal
@samweldaniel3774 Жыл бұрын
Aisee brother napenda Sana mafundisho yako nakuombea mungu azid kukupa mafunuo mbalmbal naamin Kuna siku nitakualika kwenye kilele Cha mafanikio yangu
@ruthdaniel16882 жыл бұрын
Asante kaka nahitaji kitabu chako cha timiza malengo yako
@sarahwilliam2123 жыл бұрын
asante kaka ubarikiwe mara elf moja
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Nijambo jema mno Kujitambua
@jumajama28863 жыл бұрын
Kama wewe unazijua hizi njia Mbuna wewe hujafanikiwa
@mugishasine77783 жыл бұрын
Asante sana kaka uko mwalimu wetu
@ambrose_vevo1372 жыл бұрын
Aisee mabadiliko ni muhimu hapa
@zainabozainaty61883 жыл бұрын
Asante mungu aendeley kukuabariki ila kusema kweli vitu vyote ivo ulivyo vitaja mimi ninavyo tatizo sasa changamoto ni nyingi ila napambana kukata tamaa siwezi na kuna vitu vingi nimeacha ili nifanikiwe ila kila najitaidi kujaribu kabisa kupiga hatua panatokea changamoto za hapa na pale ila bado napambana na Amini ipo siku ntafikia malengo yangu juu ni nakiwii kabisa 💪💪na Mungu anitangulie kukataa tamaa siwezi wala kurudi nyuma nilazima nizifikie ndoto zangu
@mcchristmass76472 жыл бұрын
MUNGU akubariki kaka mkubwa
@japhetjohn56973 жыл бұрын
Asante Sana nimekuelewa kabisa Muumbaji anisaidie kuweka kwenye MATENDO.
@danieltoroka72813 жыл бұрын
Asante kaka nanauka naelewa sana mwanzo mwisho unacho sema 🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏wewe ni super man nakukubali kaka elimu yako iko juu zaidi 💪 sijapata kuona baraka nyingi kwako mungu awe mtetezi wako kwa kila jambo 👏👏👏
@africangoldenmusic80612 жыл бұрын
Shukrani Joel.May Almight God keep sharpening your brain.Kiukweli masomo yako yamebadili fikra potovu nilizokuwa nazo hapo awali.
@mansouromary92463 жыл бұрын
Ukweli mtupuu bro 💯
@jomomepukori62093 жыл бұрын
Hongera sana comrade!!! Karibu Monduli
@obedilaizer25802 жыл бұрын
Pamoja Broo...
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Ahsante kwa kunipa hamasa ya kuendelea kusonga mbele, haijalishi itatokea nini lakini lazima nifanikiwe katika nifanyacho. WEWE ni MTEULE #You HERO# 🥋🥊👉🏆
@renacyoscar21923 жыл бұрын
Unachokisema its exactly I used to practice always in my life .... Thanks for strenghten me to still doing the same
@newstar74152 жыл бұрын
New star
@herimailo53502 жыл бұрын
Asante bro nazidi kuimarika kiakili na kubadilika baadhi ya mienendo yangu
@paulfrenck72693 жыл бұрын
Ahsante Joel ubalikiwe saana
@mtundimtundi51533 жыл бұрын
Ubarikiwe
@cabasamusicworldwide8215 Жыл бұрын
You're so genius
@listonereuben71142 жыл бұрын
Teacher of my life god bless you🙏🙏🙏🙏
@josephjeremiah15262 жыл бұрын
Exactly my brother
@joseshimba36352 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka
@dullahwago53603 жыл бұрын
Kaka Joel ahsante sana 🙏🙏
@jameskulwa65303 жыл бұрын
Thank you joel
@anjelinamdugange8253 жыл бұрын
Kwa kweli nangoja kuwa mtu mkubwa, kupitia ushauri wako,big up. Brother
@SIAZMEDIA3 жыл бұрын
Shukran Sanaa #JoelNanauka kwa ushauri wako Mungu akubariki.
@nsiandeshoo2443 жыл бұрын
Joel let me add consistency ! Ni muhimu sana!
@neemakalinga82063 жыл бұрын
Thanks MUNGU azidi kukutumia kuinua akili zetu
@adelinakibejile46962 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe kaka
@judithnjalambaya24503 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho yako .Ubarikiwe
@saumusanjiama69913 ай бұрын
Shukran sana
@hitimanajoachim.thierry69363 жыл бұрын
Hakika bro you are talking the totally truth
@djramsoyusuph96613 жыл бұрын
Hata mimi
@eltonmnunga82283 жыл бұрын
Kaka u r blessed, endelea kutufunza na tukuwa sehemu ya ushuhuda kwa mfanikio tutakayopata kupitia mafundisho yako