Somo zuri🎉,Instrument sound hiko juu sana,ipungue sauti kidogo
@misanamanyama243 ай бұрын
@@RonaJumanne Sawa mkuu na Pole sana sana tunafanyia kazi
@EmanoelTarimo2 ай бұрын
Pamoja mkuu
@domcityfarmingcenter77543 ай бұрын
Tunashukuru kwa video zako zinajenga sana kuliko kawaida Niliweka ahadi ya kutazama video zako zote kisha nitoe Shukrani...🙏 Elimu unayotoa ni kubwa sana na pia unazungumza vitu kwa uharisia wake 💯... Mola akujaalie Afya njema ili tuendelee kunufaika na masomo yako UBARIKIWE SANA 🙏🙏🙏
@misanamanyama243 ай бұрын
@@domcityfarmingcenter7754 Asante sana kwa kuchukua muda wako kuandika maoni yako na hii inasaidia sana kuboresha mafundisho yetu.
@MedsonStarlon3 ай бұрын
Ahsante sana mwalimu,,, shukrani sana
@ProsperMgaya-q7b3 ай бұрын
Great teachings
@misanamanyama243 ай бұрын
Thanks for watching
@becamrindoko3 ай бұрын
Background music iko juu sana. Ila ujumbe nimeupata vizuri Shukrani
@misanamanyama243 ай бұрын
@@becamrindoko Tunalifanyia kazi
@misanamanyama243 ай бұрын
Samahani sana kwa usumbufu
@gabrielmasakwi17963 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Shule nimeipokea
@mathayothomas64293 ай бұрын
thanks alot.....
@shafiimpilika35743 ай бұрын
Akili kubwa bro, hongera sana
@OliverAnsibert3 ай бұрын
Boss wangu,, Asante sanaa
@emmanuelkayavugwa80493 ай бұрын
Shukran kwa mafundisho mazuri, ila tunaomba sauti iongezwe kidogo!!
@AdamYusuph-x2q2 ай бұрын
Elimu unayotoa ni kiwango cha juu bro, Asante sana, nataman wkt mwingine saut ya background isiwepo au iwe kw mbal sn iwe rahis kusikia madini yko vizr. ASNTE BRO
@misanamanyama24Ай бұрын
Asante sana mkuu, tutalifanyia kazi
@Kashushu_IT_Services3 ай бұрын
Mkuu punguza background music sound, hata ile inayoanza sauti ni kubwa sana. LAKINI SHOO ZIKO POW SANA. ILA NAOMBA ZINGATIENI HILO
@misanamanyama243 ай бұрын
@@Kashushu_IT_Services naamini technical team yetu inalifanyia kazi next Video itakuwa poa saana
@misanamanyama243 ай бұрын
@@Kashushu_IT_Services Samahani sana kwa usumbufu wa sound track kubwa
@stephanosospeter17093 ай бұрын
Asante brother
@misanamanyama243 ай бұрын
You are welcome
@khadijamohamed30433 ай бұрын
SAUTI KIDOGO
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana kwa maoni, haya yanatusaidia sana katika kuboresha
@Saidmarez3 ай бұрын
Thanks
@justinechuwa13883 ай бұрын
Hakika umeongea vyema ,
@costantinedraxler36293 ай бұрын
Back sound next time ipunguzwe kaka
@misanamanyama243 ай бұрын
@@costantinedraxler3629 well noted mkuu
@chambuamsanga10332 ай бұрын
Nashauri content serious kama hizi achanani na Background music, hii video sio burudani, hapa ni Darasani. sijawahi kuona darasani Mwalimu anapiga mziki
@misanamanyama242 ай бұрын
Asante sana kwa maoni, maoni menu yanasaidia kuboresha. Tutaendelea kuboresha kwa kadiri mnavyotoa maoni. Naimani video mpya imefanyiwa maboresho. Asante sana mkuu