TAFSIR ZA NDOTO NA MAANA ZA KUOTA NYOKA MAJALIS YA PILI // SHEIKH ABUU JADAWI

  Рет қаралды 14,751

ZAINAB ONLINE TV

ZAINAB ONLINE TV

Күн бұрын

TAFSIR ZA NDOTO NA MAANA ZA KUOTA NYOKA MAJALIS YA PILI // SHEIKH ABUU JADAWI

Пікірлер: 24
@AsumaniAbdul-hq7oq
@AsumaniAbdul-hq7oq 3 ай бұрын
Mimi asumini abdu niriota nanyonyesha mtoto kuamka asubui nikakuta sina mtot
@MefiaHussen-st1hq
@MefiaHussen-st1hq Жыл бұрын
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh leo mim nimeota nyoka nyubani kwetu wengi kila tukitoa ummja nje tunao mwingine mwisho wakajitokeza wengine
@swaumumakunga2469
@swaumumakunga2469 2 жыл бұрын
Masha Allah
@RehemaFesto-ig2zy
@RehemaFesto-ig2zy 2 күн бұрын
Mm nilimkuta nyoka bafuni ila alitoka bila kunizulu
@ShelaRashid-fo2rx
@ShelaRashid-fo2rx 3 ай бұрын
Kuota unapika nyoka
@ZakiaMahfudh
@ZakiaMahfudh 3 ай бұрын
Mm niliota nyoka mkubwa kama chatu ana rangi mbili yellow na green but alikua mpole anaishi nyumbani but mm nika panga njama atoke tukatoka akatufata kisha ........nikarudi nyumbani nikafunga mlango nikamuona kwa njee anapita akiwa mnyonge
@user-ec3jm3yd7q
@user-ec3jm3yd7q Жыл бұрын
Asalm aleykum warhmma tulwah wa barakatu shekhe naomb nikuulize swali je kam ukiota umelal na nyoka kwenyekichwa inakuwa na tafsir gan shekhe
@ابولاناالشبيلي
@ابولاناالشبيلي 2 жыл бұрын
assalam aleikum warahmatullahi wabarakaatu, shukran sana kw elimu hyo na nina swali ukiota nyoka wengi wadogowadogo wamekupanda mgongoni ukiwa umelala hadi ukashtuka usingizini na kupiga nduru hadi bado una waona ukiwa umetoka usingizini yamanisha nini, pia naomba niungananishe whatsup group shukran
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 2 жыл бұрын
Asalam aleykum Shekh mimi nimeona nyoka anazaa watoto wengi Lakin nikawa nawauwa lakini sikubahatika kuwauwa wote nimeuwa. watano hii ndoto inamaana gani
@mwasitisefu7866
@mwasitisefu7866 Жыл бұрын
Shekhe tunaomba tusaidie namba zako basi.
@zaitunimustapha9718
@zaitunimustapha9718 2 жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh naomba na mm niunge kwenye group
@jacquelinesadock-qj8ow
@jacquelinesadock-qj8ow Жыл бұрын
pol xna na kaz nzito unayoifnyaNaitwa jack naweza kukpgia simu niulize maana ya ndoto ninazziota samaan
@jushjuma553
@jushjuma553 Жыл бұрын
assalamu aleykum,swali langu ni nimeota nilikua na nikaa,lakini baada ya mashee kufika dakika chache nikajikuta nko peke Yangu na sioni watu wote walio hudhuria shekhe hii inamana gani
@sakinadjuma1681
@sakinadjuma1681 Жыл бұрын
Assalam Walkum warahmatullah wabarakatuh sheikh nimeota nyoka kubwa nandogo nyumbani kwetu kisha nikauwa. Iyp ndogo ikafa kisja nikaanza kuuwa iyo kubwa mupaka shangazi akaja akanisaidiya mupaka tukaiumiza ikakimbiya ndani ya mawe nyumbani manayake nini
@rizikikitsao3612
@rizikikitsao3612 Жыл бұрын
Assalam aleykum vipi hali shekhe .m nilikua naota mume wangu Afukuwzwa na watu na mabunduki wanataka kumquat mm nalia sana maana yake nn
@omanatr8729
@omanatr8729 2 жыл бұрын
Nilikuwa napenda kuota nyoka sana ila ninamiaka mingi sana siote tena
@SeleBobo-q1i
@SeleBobo-q1i Ай бұрын
Ukiota umemuona ndan chini ya kabati mana nilieka mayai 7 lakini aliyala 3 yaka baki 4 nikawa na wasi wasi kuwa kala nyoka nikamtafuta nikamuona nyini ya friji nikawaonesha kaka zagu akatoka nyoka akaenda chini ya kabati akaja mtu akataka kumtowa
@mwasitisefu7866
@mwasitisefu7866 Жыл бұрын
TUnakupataje shekhe tunaomba no zako.
@fabianpeter6629
@fabianpeter6629 Жыл бұрын
Shekh kuna ndogo huwa naiota sana kuwa naona ngoka inakuja kitandani kwangu na mm naamka haraka kwa kukimbia nini tafsri yake
@najmakassi1342
@najmakassi1342 2 жыл бұрын
Shekh no zako tunazipatia wapi kwababu Kuna mmbo mengine yanahitaji faragha na kuelezewa kwa upanaza zaid
@najmakassi1342
@najmakassi1342 2 жыл бұрын
Shekh namba zako tunazipatia wapi
@abdulndete8969
@abdulndete8969 2 жыл бұрын
Asalam aleykum je naweza kuuliza maswali je hapa au wasap
@husnaakram9571
@husnaakram9571 Жыл бұрын
Asalam aleykum shekh nimeota nyoka ananikimbiza sana af ananiuliza kwann uswali sala tano
@simonkoko2644
@simonkoko2644 2 жыл бұрын
Sheikh nmeota nyoka mkubwa yupo ndani ninapoishi nikawa namuogopa nkayoka nje kukimbia na yeye akazunguka ndani akatoka nje
NDOTO ZA SHULE NA MITIHANI
35:52
Bishop Emmanuel
Рет қаралды 18 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН
NDOTO UKIUMWA NA NYOKA NINI MAANA YAKE?
13:22
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.
UMUHIMU WA KUWATOLEA SWADAQA WAZAZI WAWILI SHEIKH ABUU JADAWI
29:13
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 50 М.
TAFSILI YA NDOTO ZA RANGI!! Ibn siriin
10:21
STARS TV
Рет қаралды 3,3 М.
Vunja Vunja Nyoka Wa Shaba
11:28
Bishop Augustine Mpemba
Рет қаралды 1,7 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН