Rip baba wewe ulikuwa msada Kwa wengi nikiona venye ulikua unasaidia bila ubaguzi kwakweli umeacha pengo Tanzania ambalo hakuna atakaye liziba 😭😭😭 am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Daudimoll86092 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 hakika utakumbukwa milele
@valenakomba9218 Жыл бұрын
KWA HILO NAGUFULI ULIISHINDA DUNIAA, NA INAKUHESHIMU SANAA. MAANA BAADA YA MUDA MFUPI MPAKA WAZUNGU WOTE NAO WAKAACHANA NA CARANTIINI ZAO. LAKINI HAYO YALIKUWA NI MAONO YAKO MAGUFULI.
@kambalekalemo99032 жыл бұрын
Nime lia kwasababu alikufa wakati yupo kwa mikakati yakutaka kusaidia Congo🇨🇩 , aka acha akisema tu kwamba sisi wa Congomani tupo wa ndugu nawa tanzania🇹🇿❤️
@felisterjonathan76382 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙏
@willistonemnengo2 жыл бұрын
Huyu ndie Raisi Africa ambae nilimutambua ,aendelee kupumuzika Kwa Amani.🇰🇪🇰🇪
@AthumaniAbdalah-vg5ti Жыл бұрын
Mungu akupumzishe baba, umetutoa gizani ingawa kinachoendelea sasa hapa tz, sijui ndolaana!!.
@JacksonChongela10 ай бұрын
Namkumbuka sana huyu mwamba JPM! Mwenyezi mungu ailaze mahala pema pe
@NamakoyeMadina7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EvalineMashaka4 ай бұрын
Amin
@cuthbertsasagu8320 Жыл бұрын
Magufuli tutaku miss baba yetu kipenzi. Nilikupenda sana upeo. Pumzika kwa amani baba yangu. Ameen. Wote tuko njiani.
@LowassaKipara11 ай бұрын
🎉😢 2:00
@DavidHubert-pw5lg9 ай бұрын
rest in peace
@Alephideli8 ай бұрын
W
@florangido2022 жыл бұрын
R.I.P. BABA, TUNAKUOMBEA UPUMZIKE SALAMA UKO ULIKO, NASI TUTAKUJA, ILI KWA PAMPJA TUMLAKI BWANA YESU MAWINGINI!! AMEEN
@salomewandya72572 жыл бұрын
🙏🙏
@salastinhail51652 жыл бұрын
Baba magufuli pumuzika kwa amani tulikupenda sana na mungu akakupenda zaidi
@NolascoMasaule Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele
@ExavellyWalazy4 ай бұрын
mwenyez mungu akulaze mahari pema peponi mueshimiwa
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
Nilikuwa nampenda sana Baba Maguful kwa kumtaja Mungu ni hodar sana Masha Allah..... alijuwa yeye kuna Mungu...na Yesu sio Mungu...
@salomemtwale53702 жыл бұрын
Sawa na zaburi 109 Mungu tunaomba usinyamaze juu ya hao waliohusika na huu baba
@AmaniMkaine-t2r Жыл бұрын
Banana mungu wa mbinguni akulaze mahali pema.mungu awakumbuke uzao walk daima
@dehain18482 жыл бұрын
Mtetezi wa nyonge hatuwezi kukusahau mzee continue resting in power😭😭😭😭 watching from kenya
@anithawidambe75432 жыл бұрын
TUTAKUKUMBUKA DAIMA MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI AMINA.
Dkt John P Magufuli. May his soul Rest In Peace. He lives in our minds, I loved and I still loving his comments!!! From Moz, 🇲🇿❤️🇲🇿❤️🇲🇿❤️
@AdamMikoka Жыл бұрын
Xxxx videoss
@ConsolataKalili Жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema pepon baba magufuli. Amina
@jtdphenom2 жыл бұрын
I love this man. He is a true leader. God bless his soul!
@kassimchuo52902 жыл бұрын
Aaaamin thumma aaaamin
@faustineluyange59452 жыл бұрын
Gllklljllllshĺslkjslhls
@faustineluyange59452 жыл бұрын
@@kassimchuo5290 slaklk
@faustineluyange59452 жыл бұрын
Ksslk
@faustineluyange59452 жыл бұрын
@@kassimchuo5290 ks
@victorbugobola22762 жыл бұрын
Acha hbr za maneno ya Kuambiwa mzee Muache mzee wetu wetu apumzke
@vincentagwata9459 Жыл бұрын
May you continue resting in peace Rais magufuli, you listened your electorate and help ed them solve problems without favouring the rich. Be blessed abundantly
@FelistaDugange-cm4xp Жыл бұрын
Pumzika kwa amani raisi wetu John pombe magufuri tulikupenda Sana ulilipenda taifa lako la Tanzania
@RoseMbwawa9 ай бұрын
Utakumbukwa daima baba i mc u Mungu akulaze mahali pema peponi Amina
@josephlorri4312 жыл бұрын
Huyu mwamba alikuwa jiwe hasa. Kipindi balozi Kijazi alikufa corona ndo iko peak times..lakini hakuna mteule wake aliyevaa barakoa.. JPM aliishi maneno yake.. R.I.P kiongozi wetu
@jastinesamboto46742 жыл бұрын
Mbona kafa Sasa kama alikuwa jiwe?
@faustinerobertmombo992 жыл бұрын
Unajua mtu mwenye wito wa uongozi huwa anaonekana tu hyo ndo alikuwa Kiongozi sasa but for now tunaendesha tu R.I.P JPM 😭😭😭😭
@patrickkwibe44312 жыл бұрын
Wazungu,walitumia ndugu zetu ili wakuue maana walijua wazi kwamba Africa utaibadilisha na kuwa Kama paradizo ndogo ya duniani,sitasahu pale ulisemaga kwamba utaweka Barbara ndani ya ziwa la Tanganyika mpaka DRC,ili mradi uchumi uongezeke,Baba we ni kichwa,we ni Simba,we ni mzalendo na uliipenda Sana Africa,RIP
@elizabethpetro12582 жыл бұрын
Umeandika kwa uchungu Sana' Mungu akufariji ' haya ya kaisali yasikukatishe tamaa.
@charlesmaina360 Жыл бұрын
Asanite kwa mheshimiwa Marehem Kwa kusimama na MUNGU siku sake zote akiwa Raise wa inichi. MUNGU yuko nae huko alitangulia Amen 🙏❤️🙏❤️ you
@MasuLaiso2 ай бұрын
Mamasamiya
@paschaziamathias5090 Жыл бұрын
Hakika umeacha pengo kubwa sana ktk Nchi yetu ya Tz, Baba,tunakukumbuka kwa mengi sana kipenzi chetu. Mungu akupokee ktk nuru ya USO wake, na utuombee nasi tuufikie Uzima huo wa milele. Aminaa.
@meysampaul10 ай бұрын
mteteziwawa nyonge ulalesalam
@Ndegesela10 ай бұрын
Bba yetu hakika wew ulikuwa jembe la watanzania htutapta kiongozi kma wew mungu akupumzishe kwa aman
@Ndegesela10 ай бұрын
Mungu hawez kkuacha hko ulipo akupe maisha ya milele...cku ikipendezwa tutakaa pamoja na kufrahi pamoja mungu muangazie mwanga wa milele
@rambostalon28882 жыл бұрын
Hatukuoni ila tunashindw kukusahau Ewe yesu kristo wa Nazaleth ulie mfufua lazaro mkumbuke kipenzi chetu rais wa wa nyonge bado tunakulilia
@lesikaredward27542 жыл бұрын
Mungu akutangulie miss you presedent magu
@hidayaswai31192 жыл бұрын
Magufuli mpendwa wetu,binafsi naamini maneno yako yanaishi.Duuh nyie huyu baba R.I.P a man of God who lead Tanzania,😭😭😭💔💔
@EstherKanjinura-b4lАй бұрын
Mungu alikutumiya baba kiukwer ulikuwa ukituhubilia nakumtanguliza mungu 😂😂😂❤
@ChaulaKelvin24 күн бұрын
Mungu ailazee sehem Salam roho na magufuli nilimpenda sn huyu rais mtu wawanyonge ❤
@shukuruamani6797 Жыл бұрын
président pumuzika ❤ 🙏.umeenda kama haunashida na DRC .mama suluhu mungu akupe nguvu. niwewe unajaribu sikiliza shida za wacongomani katika viongozi mbalimbali asante.❤🇨🇩🌹💪
@ThomasiKaminyoge4 ай бұрын
Mungu akuweke pepon hayati rais magufuli😂😂😂
@happyboy47810 ай бұрын
Utakukumbuka daima baba
@dogstz44732 жыл бұрын
ASANTE SANAAAAAAAAAAA 💪 mzee umetuachia urithi wa maneno na tunayafata kama 2pac vile🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MosesKiula-c3y2 ай бұрын
❤❤ Baba tunakuenzi binafsi nilikupenda napaka sasa Imani iliyokuwa unatupandia ni Imani am ayo tutaiishi
@monikamasasi75822 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima 😭😭😭😭😭Hadi kesho tutaendelea kuumia Sana
@msafirimkude26882 жыл бұрын
Tutakukmbuka Daima Manatulikua Bd Tunakupenda👋👋👋
@KZ2L2lzQyvl2 жыл бұрын
Subscribe
@RehemapaulMsumanji Жыл бұрын
🤗😂😍
@RahmRahmmy10 ай бұрын
Enyewe mungu umemchukuwa raisi mwaminifu, uzidi kumweka mahala pema peponi. Hakuna raisi Kama huyu duniani hapa😭😭😭😭
@BarakaMasabo-kb6hk Жыл бұрын
Hakika ni Nani atakae tufuta machozi sisi pia tunakuenzi vip mzee wetu mbona umetuacha papaya mamma hii
@josephatodimary36332 жыл бұрын
JK anadhani ataishi milele
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
Matendo mema yanaongeza umri hata kama atakufa utasubiria sana
@MpembaChapa11 ай бұрын
Mama Janeth Magufuli Mungu akutie nguvu akupe uvumilivu kwa baba yetu mpendwa kutuacha najua inauma sana ni pengo kwa taifa kwa ujumla 😢...... Mungu atuwezeshe watanzania kwa ujumla Amina❤❤❤❤
@AgnesKibuga-d3j Жыл бұрын
Jp ungekuwepo mpaka leo hii nchi yetu ingekua Mbal sana duh binadam Wabaya mh nitazid kukuombea magu
@wilfredkiruilimo Жыл бұрын
Rip african legend.How u loved ua electorates; visited them, heard their tribulations and sorted them head-on; delights my heart tremendously.May the rest of African leaders emulate this.❤ from 🇰🇪
@salomewandya72572 жыл бұрын
Hapa alikuwa ameanza kuumwa jmn,na msiba wa kijazi ulimuumiza sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭RIP baba
@chazyvictar59772 жыл бұрын
Pita uku
@EnjoyMaiko-eu1ps8 ай бұрын
Kwanini mungu anaacha watu wenyelohombaya waishi alafu watuwemakama wewe magufuli wanakufahalakaa duuuuu cjui nichaguwelipi kati yakuwa kama magufuli au niwe nalohoo mbaya makatili wanaishisana duuuuu🙏🙆
@elibarikioffical2 жыл бұрын
RIP MAGUFULI MY PRESIDENT,,Never forgettable
@muhammadbamus5767 Жыл бұрын
May your soul continue rest internal peace baba pombe magufuri, mahari tumefika tuna kumbuka neno lako kwa uzuli si kwa ubaya
@bestfriendokitokapalata61372 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi, sijawahi kona raisi kama wewe mpaka mwisho wa dunia hii hata kuwepo maana jina la Mungu ulilitumia sana kwenye mipango yako yote Mungu aipokeye nafsi yako kwa amani
@khadejakhadeja97132 жыл бұрын
Pole Sana Baba ulituvusha.salama.kwenye Corona hatujukaa.ndani.wala.kufa njaa mungu..atakulipia .haki.yako JPM bado tunakulilia. Rl P JPM
@afidhabui67672 жыл бұрын
Wanaomcha mungu siku moja tutakutana na maguli
@jamesmwangi85982 жыл бұрын
Huyu ni kiongozi mtetezi wa wanyonge
@annadotto24292 жыл бұрын
Endelea kupumzika kwa Amani baba, hakika sitakusahau milele
@soudsaidi97082 жыл бұрын
Yaaan daaaaah kwel chuma kimeanguka nchi hii inayumba yumba tu Kila sehem tozo watu bidhaa wanajipangia pangia Bei tu mitandao ndio usiseme
@elizabethpetro12582 жыл бұрын
Usisahsu makato ya kutoa pesa kwenye benk na cm Ni balaa tupu
@sheysarahnjeno52072 жыл бұрын
Tunakukumbka BABA Endlea kupumzika,MUNGU....Aendleee kukpmzisha akupnguzie adhabu ya kabuli
@restitutamassawe58282 жыл бұрын
Yani baba kma bado upo vile hatuna baba
@EnthusiasticDrumKit-on1qr9 ай бұрын
Ooooooh❤❤❤
@cnm29762 жыл бұрын
MUNGU Ndiye Muweza! Asante baba JPM.
@EliasJosefh-y7f11 күн бұрын
Nilikupend tulikupenda lakni Mungu alikupenda zaidi, Mungu akupumzishe milele mbinguni.
@patricksadock61982 жыл бұрын
really right ,, hakuna kama magufuli
@EnjoyMaiko-eu1ps8 ай бұрын
Duhuu vizuliuwa avidum mungu akulaze mahalipema
@safeprint9418Ай бұрын
Huyu Rais wa Tanzania Wema wake sasa ulihama Tanzania na kuelekezwa upande wa Kenya,wakenya wanampenda sana raisi wao wa sasa Daktari william Ruto Akitoa hotuba yake wakenya wengi wanashangilia kwa shangwe na nderemo mungu ampe maisha marefu rais wetu
@emilynyaki5590 Жыл бұрын
Rest in eternal peace the second father of our Nation,,, we will miss you dady🙏🙏🙏🙏🙏
@JamesNaftary Жыл бұрын
Amina kubwa
@sarafinasakalla11562 жыл бұрын
Duu Mungu akupumzishe kwamani 😭😭
@abedisofia27642 жыл бұрын
Kweli yako hakuna linalo kufika mbaka mungu atake nice one, mungu atakusamehe
@LeonoraTossi10 ай бұрын
Pole baba Mungu anajua mwanadamu hawezi
@MANIWAMICHANO Жыл бұрын
Ktk Maisha ya mwanadam yoyote anae ishi chini ya jua hakuna kitu kizur Kama kuishi vzr hata mng mwenyewe anapenda Hadi raahaa ,,yeemweee,,,
Huo ni ujumbe wa kweli wa hati makufuli, tuelekeze watu kwenye mungu, apana ku wapotosha, kuwaachia shetani ili awameze. Apumuzike salama.
@albartpaulo11832 жыл бұрын
Hakika kifo wewe ni katili sana ila ujinga mwingi uliyo nao wewe kifo unasahau kwamba unamuondoa mtu tu duniani lakini matendo yake yanaishi duniani na tutaendelea kuyaishi mazuri yake.
@salumsaid9532 жыл бұрын
Baba ulisema tutakukumbuka kwa yale ulioyoyaongea sasa wanyoge ndio tutakukumbuka kwa yale ulioyoyaongea mungu hakulaze mahara pema peponi hamina
@josephlorri4312 жыл бұрын
Alivyomalizia '...na sisi tupo njiani,tunakuja..'
@JosephOgola-mm6iwАй бұрын
It is one of the best sons of Africa who has no comparison. May the good lord rest his soul in peace. I respect him and all Tanzanians.
@IrenBeyanga-u5s27 күн бұрын
😭😭 wew ndie kila kitu wew ndie wew sjui hata nisemaje😭😭 baba angu mungu akulaze mahali pema
@samsonkaboko51372 жыл бұрын
Namuona yuda esikaliote na barakoa
@JanethFaida3 ай бұрын
Duuuh nimejokuta nacheka tuuu
@PeteloLameck10 ай бұрын
Nimeipenda
@GaudensiJames10 ай бұрын
Inatia huruma kwajembe kama hiring mmungu amrehemu mtu huyu kwani hakua naatia kabisa nimeamini siku zone msema kweri huchukiwa
@YusuphAbdilahikimolo Жыл бұрын
Huyu baba c alikuwa malika gabriel kabisa jaman😭😭I mc u ddy.ila mbn kwa mama uchumi umeshuka 😢 mambo yameenda hobelahobela ndan ya muda mfupi sn jm.MUNGU TUPIGANIE WATANGANYIKA JMN HALI YETU INAZID KIELEKEA KULE MAHAL NYE HERE ALITUTOA
@jordinmbavazi312611 ай бұрын
Unforgettable president dear Tanzanians
@ashuramusa87732 жыл бұрын
R I P Rais dkr. John maguguri eeh mwenyenzi tupiganie Waja wako 😭🤣😭😭😭😭😭😭😭
@patrickkwibe44312 жыл бұрын
🇨🇩 We love you so much I am always proud of you go well Papa
@paschalsimon33452 жыл бұрын
Hakika alikuwa mkombozi wa nchi yetu japo hatukulitambua hili, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina
@noelias_de_humbled2 жыл бұрын
R.I.P Magufuli may God put your soul in enternal peace ☮️
@salomejuma56722 жыл бұрын
R,I,P 😭.baba Magufuli , love my
@mosesekales82332 жыл бұрын
Moses
@mandachezi56042 жыл бұрын
arikiba
@Filbet Жыл бұрын
Valelia😢
@JacksoniAbraham3 ай бұрын
Hongera sana mkuu
@DhieuDeng-bj3ws Жыл бұрын
Magafuli alikuwa prezoo mazuri Baraza la Africa mzina😭😭
@GraceHamis-p1b10 ай бұрын
Mungu ailaze loho yako mahal pema pepon hakika ww ulilitetemesha jiji pamoja tanzania nzima🇹🇿😂😂😂😂😂😂😂oohoooo!
@jacksonbalili60412 жыл бұрын
MUNGU Alinde sana Tanzania
@Babygirlmammy2542 жыл бұрын
Wewe ni hero milele am from Kenya but you made it continue resting
@ignasimkavagila94882 жыл бұрын
Kilikuwa chumba Cha pua
@FulgenceMartin3 ай бұрын
Pumzika kwa amani Amani kamanda upon kwenye mioyo yetu bravo ❤
@EdwardSiriki3 ай бұрын
Pia dhamira yake wakati akiwa mwanafunzi alipenda awe askari trafiki
@jescamuijsers42062 жыл бұрын
Maumivu ya kifo cha rais wetu magufuli ni milele 😭😭😭
@JeffMuna-pv5ez Жыл бұрын
I LIKE THE WAY YOU GO
@JeffMuna-pv5ez Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 I love you so so much
@bennyjohn14122 жыл бұрын
Jamani Mzee amepumzika muache kurusha mambo ya ajabu
@FatumaMakungu-o8i Жыл бұрын
Mungu ailaze roho ajali pema mbinguni
@aishagobren40982 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima kwa maneno yako mazuri baba .tutakulia daimma I
@paschaziamathias5090 Жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi Ndugu yetu kipenzii sana;. Maana wewe ulikuwa kiongonzi wa kweli uliyeteuliwa na Mungu wetu mkuu.