Mimi ni muislam nampenda mtume wangu mohammad (s a w) na namtwii mola wangu Allah kama na wewe unakubaliana na mm like down
@aliybecka51693 жыл бұрын
Mimi si like ila nakoment, je unafuata maamrisho na unaacha makatazo ya Allah na mtume?
@mariamkhalfan23463 жыл бұрын
@@aliybecka5169 hayo mengine ni miongoni mwa mapungufu kwani hatujakamilika
@aliybecka51693 жыл бұрын
@@mariamkhalfan2346 Hapana unakosea kwa sababu hatutakiwi kifuata dini kwa hisia bali ni elimu na Allah anasema "sema ikiwa munampenda yeye basi munfuate mtume na yeye(Allah)atakupendeni na atakufutieni madhambi
@mariamkhalfan23463 жыл бұрын
@@aliybecka5169 shukran ndugu yangu kwa ukumbusho Allah akujaze elimu biidhnillah nakupenda kwa ajili ya Allah
@aliybecka51693 жыл бұрын
@@mariamkhalfan2346 Ahsante sana dadaa Allah akupe kheri na akujalie uwe mwenye kufuata mafundisho sahihi ya quran na sunnah na akuepushe na shirk
@lacroquetalacroqueta68133 жыл бұрын
Asalaam Alaikum, Msameheni waisilamu...huu ni mtihani Allah kawapa katika haki yenu, hakika ya Allah atatujaribu kwa khairi na shari sasa hapa tunatakiwa tuweni makini ili tufuzu, inshaaAllah atawapa zaidi ya hicho yalichochukua, msameheni , fajazakumullahu khairan
@selemaniselemani70143 жыл бұрын
Mashaa allah , allah awaongoze ,,! Uislam ni dini ya amani kabisa.
@methodiutou72783 жыл бұрын
Mimi ni Mkristu ila huyu jamaa amekosea sana! Mungu amsamehe maana hakuna dhambi mbaya kama kutumia jina la Mungu au Madhabahu ya Mungu kidhuluma
@FeisalMNoor3 жыл бұрын
Ma Sha Allah! The Goodness of Muslims in Islam 👏👏
@maryamabdallah31403 жыл бұрын
Allah amuongoze, huenda ikawa akaja kusimama imara ktk kumjua Allah...
@Dr.zaidi43 жыл бұрын
Kweli,watu wakifanyiwa hisani mwisho ujirudilia
@eusterusaji19202 жыл бұрын
In shaa Allah
@uthmanmaluja70053 жыл бұрын
Allah amwongoze afuate haq..
@suleimanisaid69263 жыл бұрын
Nimependa Sana uwamuzi.... mzuri tulio chukuwa waislam,na Mwenyezi Mungu atuzidishie na kutupa Moyo WA subra na uvumilivu....
@jumakalukule53123 жыл бұрын
M/ mungu hafichwi leo umeumbuka yani mungu akusamehe badilika mzee tafuta pesa kwanjia nyingine
@abdulhamidsalim6927 Жыл бұрын
Waislamu Twazalilishwa Subhanallah Allah Atupeupendo InshaAllah
@hafsahajiabeid57683 жыл бұрын
Allaahu Akbar waislamu wenzamgu tufahamisheni na.sisi namna yakumpata mtu alie kutapeli kupitia.simu ikasaidia.simu mpaka nyumbani kwake ukamgongea
@rezikomer95523 жыл бұрын
Mashallah niviuri utomudhurmungu akuzidishiye
@babalaocollectionnoumasana3 ай бұрын
Atakae msitili ndugu yake hapa duniani mwenyezi mungu atamsitili kesho akhera. Ni hadithi sahihi ya mtume Muhammad S .A.W. Allah atuhifadhi
@somane5122 жыл бұрын
MANSHALLAH ALLAH HAFID All of you
@ashunebeibe26412 жыл бұрын
Hasbana Allah wanemal wakil
@abdulsaid45793 жыл бұрын
Kaka yng Mungu akubaarik. Unamaono n busafa y hali y juu. Kw kuweza kumsoma huyo kaka n kumchambua kiundani. Ama kweli za mwizi arobaini..ushauri wangu mtafutieni kazi y kufanya ili akawalishe wanawe kw rizki za halali .
@hamadali50623 жыл бұрын
Ndugu ramadhani kasiba umefanya kazi nzuri Sana. Allah ukupe kila kheri
@hadharaalli52013 жыл бұрын
Allah amjaalie aweze kuingia kwenye dini hii ya hakk na Allah ameahidi kua ataulinda uislam mpaka mwisho wa Dunia
@@josephwilliam5813 ANGALINDWA YESU ASIPIGILIWE MISUMARI UBAONI UCHI .
@Awatee3 жыл бұрын
@@josephwilliam5813 ulikua unataka ulinzi gani ata wewe pia una malaika asubuhi jion usiku
@heyumi23403 жыл бұрын
@@Awatee wakiristo wanajua yesu aliteswa msalabani wakati hakuuliwa wala hakusulubiwa ila wanajifanya vichwa maji
@Awatee3 жыл бұрын
@@heyumi2340 Mtihan mkubwa dear ALLAH atuongoze ktk njia ilionyooka na atuepushe na ukafir pamoja na vizazi vyet Amiin
@mwanawatusalum57662 жыл бұрын
Mwizi.mkubwaaa uyooo anahayaaa mungu mbwa kazililikaaaa Sana surambayaaaa surandigo kamapliton
@asiyharoon94713 жыл бұрын
Subuhannaallah innalillah wainna ilaihi rajiun mungu amsamehe
@saynabmohammed62633 жыл бұрын
Huwenda Allah atampa tawhid
@sasha-ri7tf2 жыл бұрын
Inalillah wainailaihim rajuhun.
@rajeep-ni7lh2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@neemafatu4712 жыл бұрын
Anaweza kuongoka inshallah
@rajabpepo12243 жыл бұрын
Innalilah wainna ilaihi rajiun
@edoyoseph46062 жыл бұрын
Kongole sna waislam M/Mungu awape Moyo WA subra Zaid ila mpeleken kwa Paroko ktk Parokia alikokuwa anasalia asiseme TU mie Mkatoliki bc ikaishia hapo
@jacobponga15403 жыл бұрын
Assalam Aleikum ndugu zangu ktk imani, huyo tapeli ukweli amekosea na amekir kutorudia hilokosa tena, kweli mui huwa mwema na huenda pia akaslimu biidhinllah. asamehewe na asirudie tena, ni maoni yangu
@nooraallahuakibarumwenyeez30793 жыл бұрын
INNA LLAH MAA SWABRIN LAANATU LLAH POLE NAKUOMBEYA DUA SIKU USILIMU KABISA HAPO HUJATUIBIYA SS UMEMUIBIYA ALLAH NDIYO MAANA KATUBAINISHIYA MAANA MISKITI MADRASA HIZO N NYUMBA ZA ALLAH
@iddiali80573 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@zainabumartin95207 ай бұрын
Subhanllah 😢😢😢
@iddiali80573 жыл бұрын
Nusra ya ALLAH inakujaa iyo
@husseinsalimmaula42543 жыл бұрын
Mwenyezi mungu kamuumbua khabithi liamal huyo
@alialibablly70103 жыл бұрын
Si hoja kumpeleka polisi ilikuwa tumsamehe inshallah Huezi jua Mungu atambadilisha nia yake ikabaki story alivyo kuwa
@saudambinga38323 жыл бұрын
Subhanaallah 🙆
@saudahassan66673 жыл бұрын
Duh kanenepa mashavu mwizi uyooo loh aibu
@bahrujbaura80423 жыл бұрын
Anabahati angekua Mombasa Kenya angeshakufa!
@bongue60033 жыл бұрын
Subhanallah Allahu akbar
@majaliwamussa92683 жыл бұрын
Subhanallah
@salimharrasy70473 жыл бұрын
Muache asilimu kwa hiari yake. Kakosea na kama kawaida binaadam wote tunakosea.
@rukkyxarat3 жыл бұрын
Alisema anataka kuslim? Hata hilo.pia kwa sababu ya utapeli wake anaweza kuwa muongo
@mrematvbabakoku83363 жыл бұрын
Mkristo mwezangu ulikoingia umenitisha manake huko hakuingiliki wanapenda ligi kama ugali
@fatumamwalimu57652 жыл бұрын
Kwa hiyo amefanya vizuri kuiba? Hau yeye anaonewa?kwa hakika huu ni msiba!
@josephmangera67993 жыл бұрын
Hizo Ni tamaaa zake mwenyewe, Wala ukristo na uislamu hauusikiii ashughurikiwe Kama mtuhumiwa
@OfficialA836403 жыл бұрын
Subhannallah
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Halafu huyu nimemkumbuka alikiwa anafanya kazi ya kuwatapeli wapemba pale Bandarini alikuwa akichukuwa vichupa na kutia makaratasi ya sigara ya Rex anaipanga vizuri anasema ni dhahabu anauza kwa ajili ya matatizo anasema nimepata ajali ndugu yangu yupo Hospitali tumetokea mwadui na alikiwa akiramba sana wapemba wakitoka Zanzibara pale Bagage Rom kwa Bakhresa pale Bandari watu wanamjuwa sana huyo watu wamelizwa sana kwa kujifanya anauza dhahabu alikuwa na mwenzie mmoja mwanamke.
@hamisimuhammad36562 жыл бұрын
Innaalillahi wainnaa ilayhirajiuun
@asha.mwambamwamba17742 жыл бұрын
USO ulivyomshuja
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Subuhanallah inalillah wainailahi rajuun
@salimaalsharji83543 жыл бұрын
Asalam Alaykum . Sio kumuadhirisha . Mfikisheni kwa Sheikh amfahamishe ili apate sleem
@muhammadalibhaz13903 жыл бұрын
hakudhalilishwa ila hayo yalikuwa kuwathadharisha wananchi ili wasingiye mkenge katika jina la dini
@muhammadkipangatv26743 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautojli
@devothaignatus59113 жыл бұрын
Uwiiiiiiii mm kna kaka alinisumbua sana kila ciku anakuja kujenga madarasa imekuwa madarasa mala watoto yatima mpaka nilichoka kumchangia
@minskbelarus72553 жыл бұрын
MUNGU atakulinda
@thresherjordan68293 жыл бұрын
Nyie kuiba so vizur ila watu wa hv wapo wengi jamn kikubwa ni kupeleka mchango yetuuu sehem husika yan wapo kila kona namuonea huruma na umri umemtupa mkono 😪😪😪
@majaliwamussa92683 жыл бұрын
Allahu akbar
@edoyoseph46062 жыл бұрын
Huyu mpeleken Kwene Parokia anakosali kama kweli ni Mkatolic asiudhalilishe Ukatolik
@efrahfarahahmed89603 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@minabuelysee83 жыл бұрын
Allah azjdi kutuongoza Wakristo wajuwe kama sisi waislam ndio watu wazuri ndio tunachangia kwakua tunataka pelo yake
@peteryukunda92393 жыл бұрын
Jamani zeee zika,c ufanye kazi.
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mwenyeji huyo pote hapo kama hamuamini mpelekeni Bandari pale Bagage Room mpaka kurasini D.m.i. pale kulikiwa na mkungu pale asubuh anawatega wanawake wanaotoka Zanzibar na meli ya Asubuhi duu za mwizi ni 40 ana lugha tamu huyoo ya biashara zake.
@asmamjema85393 жыл бұрын
Kweli huyu baba jaman alinitapeli kwa swala la madini manzese wapo na mwanamke na mwanaume mwingine nawafaham Sana Allah azidi kuwaangaza
@habibaomary2283 жыл бұрын
Ahsnte umemkomesha kwann asipige kazi hata yakubeba magunia y viazi
@homemohammed32443 жыл бұрын
Huyo sheikh katumia busara Sana ila ngekuwa wengine hapo angekuwa sio Mtu hapo
@Dr.zaidi43 жыл бұрын
Mizimu na majini ya ukoo wake yamempendekeza milango ya misikiti tuu. Anafaa kutandikwa sana huyu mlevi. Kwanza wakatoliki ndio ukorofisha dunia nzima,kutesa na kuwatawanya wakristo wa kweli
@zubedalema66343 жыл бұрын
Huku mwandege katuchngisha sana
@nuratkalinga5813 жыл бұрын
Msiba huu Yarab
@solomonsteve37493 жыл бұрын
As/alykm warahmatullahi wabarakatuh Juu ya yote hayo. Huyu anaonekana kaupenda uislam. Na atakuwa na mchango mkubwa na uislam. Kama alivyo udhalilisha uislam nnaimani atauinua sana uislam kwa fikra na nguvu kazi alionayo. Tunamkaribisha ktk uislam je yuko tayari kukubali na kuufanyia kazi uislam?
@shameemrashid52193 жыл бұрын
Hapan Hutu anatafuta kula kupitia uislam wala hajaupenda
@josephwilliam58133 жыл бұрын
Kama ao waislam wangeufuata uislam dhidi yake basi angekua Hana kiganja,,,SEMA ubinadam walionao na si kwasababu ya uislam
@robertphilip3853 жыл бұрын
Waislamu wa Tanzania niwastaarabu sana ingekua Afghanistan wangemkata shingo
@mr.ab_officially65073 жыл бұрын
Hatari kubwa miaka 3 unachangisha kisha unaenda kunywa bia shetani we
@nassorhaji26373 жыл бұрын
Innalillahi wainnaailaihi raajiuun..ama kweli dunia imekwisha
@idrissamustafabukenya61103 жыл бұрын
Asalam alaikum warahamatullah wabarakatuh. Mumusamehe jamani.amekoseya lakini mumusamehe
@naimamunishi12413 жыл бұрын
Subhana Allah😥😥😥😥😥
@mariamali18873 жыл бұрын
Jamani makafiri mmanini na uislam . Hii si dhulma jamani. 🙉🙉🙉🙉 bora hata angekula na familia yake anaenda kunywa baa 😟😟😟
@georgesikazwe59143 жыл бұрын
Mshamba wa dini ww muovu ni mtu yyt ttizo elimu hamna
@salimmalaka2563 жыл бұрын
@@georgesikazwe5914 WEWE SIO MSHAMBA WA DINI???
@mohammedali16453 жыл бұрын
Watu hawachi Allah
@laurentjoseph29573 жыл бұрын
Kweli yawezekana alshaababu ni kichaka Cha wahuni kuuchafua uislamu
@jamilajuma7573 жыл бұрын
Ni kweli ni wachafuaji wa dini ya kiislamu
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Kwani hamjui??? Mbona kila siku tunakwambieni???
@ruqayaruqaya42833 жыл бұрын
Yn jitu zima limeadhirika kweli mungu huwa hamfichi mtu mnafki unatudhalilishia dini yetu na mungu leo kakudharirisha kabla hujafa acha kucheza na mungu ww mzee gojo😏😏
@alphayokibangali3783 жыл бұрын
Mnajiona mmekamilika "mnakumbuka mbagala mtoto aliyekojolea quran mlihaha sana mkataka kumuua badala yake mkachoma makanisa ila wakristo waelewa wakamwachia Mungu"
@mdgmedia25433 жыл бұрын
Kwa ivyo ww pia ni mwizi mwenzake
@zainabdjuma733 жыл бұрын
Eeeeh Allah mkubwa jamani Al shababu no ya Obama ndie kaunda hio
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Na akikamatwa huwa anajifanya mnyonge sana Duu kitambo sana Duu Sasa kkachoka kutapeli Dhahabu anajifanya mchangisha misikiti.
@taturajabu83772 жыл бұрын
Aibuu
@samwelkirimi59393 жыл бұрын
Kweri dunia ina mambo bila hukumu ya mwanadamu iko tayari adabu ya Mungu heri mwizi wa bunduki kuliko kuiba na mambo ya dini ya mwenyezi Mungu jameni afundishe kutii Mungu apate msamaha
@vincegelas3 жыл бұрын
Jaman mimi nipo himo kilimanjaro juzi kuna ostath kapita mtaani akichangisha hela anasema nizawatoto yatima hebu fuatilieni jaman, isijekua nimuhuni maana na mm nlichangia.
@salehkhamis86533 жыл бұрын
Hukmu yake huyo mwizi mpelekeni kwa viongozi wa dini wana ghulamaa mashekh ili akapewa hukmu inayoendana na Uislam
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Katumwa na kanisa ⛪ hili watu wajue kwamba waislam ni omba omba leo m'mungu kamzalilisha
@salimmgwame95043 жыл бұрын
Sawasawa, asamehewe baadae,Inshallah.
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Yote hayo yanasababishwa na uvivu wa watu kutokwenda msikitini sababu wangekuwa wanakwenda msikitini kwa wakati wasingetowa pesa zao mitaani wangetoa kule ndani ya msikiti.
@idrissaissa56073 жыл бұрын
Mannsha allah
@aminamarie23873 жыл бұрын
Subkhanallah Kwa nini jamani from Seychelles.
@ditirickkakuru37333 жыл бұрын
Mwisilam àna Mhoa mkiristo Mkirsito ana Mhoa Mwisilamu amezalilisha kote
@rajabukipara30083 жыл бұрын
We Fala Muislam Hawez oa Asiekuwa Muislam!.
@rajabukipara30083 жыл бұрын
Bora Ukae kimyaa!.
@AliMahmoud-p7o7 ай бұрын
Huyo muuweni
@waridiommy58232 жыл бұрын
Niwaambie kitu huyo jamaa hakutakiwa kuwekwa hadharani Kuna watu wanafanya matukio zaidi ya hayo Ila hawadharirishwi mgemling'ania tu akaukubali uwislamu
@hassinaalharthi59843 жыл бұрын
Jamani kisha kiri kuwa kakosea kwa hiyo mumsamehe Jamani... İla kəsi yake mwacheni Allah yeye ndie hakim mkuu...
@omarmutta49993 жыл бұрын
Huyu bwana yafaa atubu alafu asilim awe muislamu
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Uyo jamaa ayuko pekeake ni kundi kubwa la Romani katholik⛪
@cimpayeriziki50353 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amusamehe
@fatumamwalimu57652 жыл бұрын
Na ndio maana waganga wapo wengi wakienyeji wanajiita Abdulswamadi, hussein hassan, na nikina John na kina William