Рет қаралды 25,532
Alitawala siku tatu tu, lakini akalazimika kuishi uhamishoni kwa miaka 30, yaani kwa kila siku yake moja madarakani ilikuwa sawa na miaka 10 uhamishoni nje ya nchi yake. Ni Sayyid Khalid bin Barghash, shujaa wa Zanzibar wa mwishoni mwa karne ya 19.