Рет қаралды 10,261
Alitayarishwa tangu utotoni kwake ili aje awe sultani wa Zanzibar lakini miaka michache tu baada ya kuwa madarakani, aliamuwa kuachia usultani na kuishi kama raia wa kawaida nchini Ufaransa. Yeye ni kitukuu cha Sayyid Said bin Sultan.