Tazama alichotendewa Mama huyu na YESU WA EKARISTI

  Рет қаралды 191,201

Tumaini_Tv

Tumaini_Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 361
@elizawanarumoro6867
@elizawanarumoro6867 Жыл бұрын
Proud to be a Catholics I really love my church to thankyou Jesus I praise you dear Lord
@NeemaMasie-uq5sd
@NeemaMasie-uq5sd Жыл бұрын
Amen 🙏💪💪hakika nami. Ninaushuda juu ya Ekaristi Mkristu simama imara
@mellenarasa8497
@mellenarasa8497 Жыл бұрын
Yesu wangu wa Ekaristi nikombolee hii familia yangu ,nipanguze haya machozi katika ndoa kwa miaka 30 🛐🛐
@devothandumi4582
@devothandumi4582 Жыл бұрын
Barikiwa sana Dada kwa ushuhuda huo! Hakika umetuongezea imani wengine. Mungu aendelee kuipigania afya yako. Hakika nitazidi kujivunia kuzaliwa ndani ya kanisa KATOLIKI.
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Mh!
@ednabosire9037
@ednabosire9037 Жыл бұрын
Amen
@reginaandrew6891
@reginaandrew6891 Жыл бұрын
Amen. Ashukuriwe Yesu Wa Ekaristi! Proud to be Catholic
@carrenkapia7841
@carrenkapia7841 Жыл бұрын
Me too my dear, I'm very proud to be catholic
@scholasticawambugu2256
@scholasticawambugu2256 Жыл бұрын
Always and ever a Catholic.
@terrymuthoni4601
@terrymuthoni4601 Жыл бұрын
Oh Sacrament most Holy, Oh Sacrament divine. All praise and all Thanksgiving be every moment thine!❤
@frankmazinge3199
@frankmazinge3199 Жыл бұрын
YESU WA EKARISTI Ni Waajabu Inahitajika IMANI Hapa.Yupo Pale Kweli Kwenye. Monstrant.Tujenge Tabia Ya Kutembelea Kwenye Kila Adoration Chapel.Yupo KWELI.Utajutia Kujenga Tabia Ya Kutembelea na Kaa Nae Kwa Ukimya na Tafakari.Utatoka Bure.Asante Dada Kwa Ushuhuda na Ubarikiwe SANA.🙏🙏🙏
@cosmakomba6753
@cosmakomba6753 Жыл бұрын
Ahsante hakika unaniimarisha kii Mani zaidi ubarikiwe sana
@zawagift9361
@zawagift9361 Жыл бұрын
​@@cosmakomba6753 , kanisa ni jina tu, imani, msameha, ukweli, tumaini na upendo vinamshusha roho mtakatifu kwenye hali zetu, asante kumtukuza yesu Kristo mwana wa mungu aliye hai, from Nairobi we love you 🙏🙌 Amen
@MunganyinkaJeanne
@MunganyinkaJeanne Жыл бұрын
Thanks my dear lord🙏🙏🙏
@Tradingtips-2023
@Tradingtips-2023 Жыл бұрын
Yesu wa Ekaristi anatenda ....Naomba kuongezea jambo waumini wenzangu Padri Chris anaemzungumzia dada Yupo UDOM anakipawa kikubwa na Miujiza mingi ,yeyote mwenye shida ya kimwili amakiroho akipata mda amtafute Padri Chris atasaidiwa
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 3 ай бұрын
Naomba namba yake,nipo mbali
@jecintahkibuku5923
@jecintahkibuku5923 Жыл бұрын
Nakuabudu katika Hostia We Yesu Wa Ekaristi.... Nakupenda saaana. Nitautuma ujumbe Huu Kila Mahali watu wazidi kukutambua😊🕊️🕊️🕊️✈️
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 Жыл бұрын
Pia ingia yui tube, andika DIVINE UK RETREAT,, NA UFUATILIE JAPO KIDOGO TU, UTANISHIKURU
@patrickshirima3583
@patrickshirima3583 Жыл бұрын
Ahsante Bwana Yesu kwa makuu uliyoyatenda kwa mtumishi wako endelea kutusafisha Bwana Yesu kwa damu yako. Kwa ushuhuda huu wengi tutaamsha Tena imani
@salalagonzales5203
@salalagonzales5203 Жыл бұрын
❤ Yesu Kristo wa Ekaristi. Kaa nasi daima.Tuponye kwa huruma na upendo wako Mkuu
@novatusdonald7406
@novatusdonald7406 Жыл бұрын
Amina
@peluthbenedict7607
@peluthbenedict7607 Жыл бұрын
@@novatusdonald7406 , ,. ,. , , vvv v v. , .v.vv .
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Amina❤️🙏🙏
@user-kg9uz2hh1y
@user-kg9uz2hh1y Жыл бұрын
mimi naitwa Eng. Renatus Nyimbile anachoongea huyu madam ni cha maana saana,
@user-kg9uz2hh1y
@user-kg9uz2hh1y Жыл бұрын
Aleluya, Aleluya, leo kwa muda wa saa 4, nilikuwa nasikiliza nyimbo zetu za kikatoliki kwa you tube mpaka, nikafika mahali yuko huyu madam anazungumza juu ya YESU wa EKARISTI. nimetoa machozi sana, nilikuwa nimejilaza kitandani..mimi nampenda Bikira Maria sana sana. nimefanya Brain surgery mara 3 nchini INDIA-(Deldhi APPOLO hospital), ni hadithi ndefu. mimi ni mkatoliki ninaishi Arusha) itoshe tu kusema alichosema madam ni kweli., IMANI huzaa IMANI
@lucyluhumbika
@lucyluhumbika 3 ай бұрын
Asanteh sana dada Kwa ushuhuda wako ,,,Ee Yesu wa Ekaristi takatifu shinda na mm Kila wakati kweny maisha yangu, masomo yangu na Kila jambo ninalofanya pia naomba uiponye familia yangu hasa mdgo wangu 🙏
@olivermloso3497
@olivermloso3497 Жыл бұрын
Asante Mungu najivunia kuwa mkatoliki daima nitaishi humo nalipenda Sana kanisa katoliki daima na milele Ee Yesu wa Ekarst naomba unijibu nahitaji yangu yote ninayokuomba naomba yote kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu Amina
@winrose5491
@winrose5491 Жыл бұрын
Yesu anaponya kweli, nimekuwa nikiumwa na tumbo sana bila kuponywa na dawa lakini nilimwita Yesu na akaniponya🙏🙏 na sio hayo tu niko na kaka mmoja ambaye alikuwa ametoka nyumbani kwa zaidi ya miaka ishirini bila kurudi🙏 nilitenda kumwabudu Yesu nikamlilia amrudishe kaka home, na hatukukaa mwezi kaka akaeudi salama🙏🙏🙏 Blessed be Jesus Christ in the Most Sacrament of the Altar 🙏🙏🕊️🙏
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Acha kudanganyika
@joycehaule4520
@joycehaule4520 Жыл бұрын
Amen
@madubimabombe25
@madubimabombe25 Жыл бұрын
Yesu wa Nazareti.
@hyasintamsolla4887
@hyasintamsolla4887 Жыл бұрын
Hakika kuna nguvu kubwa ,majibu na uponyaji ya ajabu, katika kumuabudu Yesu wa Ekaristi 🙏
@atukuzwenoorath4254
@atukuzwenoorath4254 Жыл бұрын
Asante YESU WA EKARISTI upendo wako ni mkubwa sana maishani mwetu kwako yote yanawezekana. Amina
@annahmwikali-oo8fb
@annahmwikali-oo8fb Жыл бұрын
Proud to be a Catholic moyo mtakatifu wa Yesu tuobee,
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Жыл бұрын
Asante sana Yesu...jina lako litukuzwe milele🙏🙏😭 mimi nilipona kansa ya ziwa kwa njia ya maombi...nilitibiwa ktk baadhi ya hospitali ndogo na kubwa hapa Dar mpk ocean road lkn usaha na damu havikukauka mpk cku moja ya jumatatu nilipokutana na mama mmoja akaniombea kwa jina la Yesu( bila maji wala mafuta) Nilipona cku iyo hiyo! Kuanzia cku hiyo mpk leo cjawahi kutumia hata panadol kwa hili ziwa!! Ni hakika jina la Yesu linaponya! Jamani Yesu Kristo anaponya..🙏🙏🙏
@Valerie365
@Valerie365 Жыл бұрын
Katika Ekaristi tunapata uponyaji kamili. Maana Ekaristi ni Yesu aliye hai, Mungu wetu. Aleluya!!!
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Yesu wa ekaristi watu nyie mnataka kujaza makanisa kwann mnamgawanya yesu ila mm nawaambieni siku yesu akirudi mtaaibika sana wakowapi watumishi wanaomhubiri yesu aliyekufa.na.kufufuka mbona watu wanataka kusifiwa sifiwa
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Unajua Kuna Yesu wangp?na huyo WA ekaristi unajua asili yke? Ht hlo umbo LA hcho kifaa we unaitwa Yesu WA ekaristi ni Siri kubwa Leo huwz elew na ukielew hutaamn kwakuw umeaminishwa ila sekunde utakapotoka tu ktk mwili huu utaelewa yote maana wkt ukiw hvyo hutafichwa Tena ila Sasa Gal4:1+ inasema tulipokuw htumjui Mungu tuliongozwa na walotuongoza ht kuabudu vtu ambavyo c Mungu WA kweli na Isay 9:16 inakamilisha kusema WAWAONGOZAO WATU WNG NDIO WAWAPOTEZAO,wako wajuao UKWELI MiOngon mwako lkn KAMWE hawez kukuambia! Km n wakutak kujfnza wweza Sasa ila km unashabikia na kutetea DN kila la kheri!
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
@@festinamwakipale3919 Daaah! Dadaangu huwz eleweka maana Ufun17:1+ inasema KAHABA MKUU ,ameketi juu ya maji mengi( kundi kubw la watu,WA kila TAIFA,kabisa,LUGHA na jamaa),amewalewesha Kwa mvinyo ya uasherati wake( mafundsho yke ya uongo) ambayo watu wamefundshwa na wameyaamn wakijua ndio Neno lenyew kmbe n kinyume na aliyejuu! Ongeza maombi,Bwana afungue mwanapunda na awe na haja nae Ili walommiliki Kwa wz wasiendelee kumzuilia! ONYO KWAKO ULOLEWESHWA KWA MVINYO YA UASHERATI WA KAHABA MKUU Mungu anakupenda sana,naye anakutaka uondoke haraka ktk ngome ya adui yke,ukikataa na kushupaza shingo utaendachomwa moto pamoja nae jehenam maana dhamb na maovu YKE n mengi nayo YMEFIKA HT MBNGUNI!(ufun18:4) usipoelewa Leo au usipotaka kufuatilia Ili ujue ukimbie Leo kungali Bado na uhai,usijali Iko siku akili ztakukaa sawa,usihofu!
@NoreenMdoe
@NoreenMdoe 2 ай бұрын
Asante Dada kwa ushuhuda watufanya tumpende zaidi Yesu wa Ekaristi ubarikiwe sana
@evelynejuvenary2631
@evelynejuvenary2631 Жыл бұрын
Amen, Yesu wa Ekaristi aliniponya na maumivu ya kichwa na presha ya macho, Dada mimi nakuelewa Sana, nimetangatanga Sana hospital mpaka kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio, sauti ya Mungu ikanambia nenda parokiani kwa Yesu wa Ekaristi ongea nae na niliweza kutubu na kumwambia kila kitu na Leo hii naongea kwa kujiamini Yesu ameniponya, nampenda na nitamsifu siku zote za maisha yangu, yamkini najikwaa pahali lkn kinywa changu siku zote Jina lililo kuu kinywani Mwangu ni YESU WA EKARISTI, maumivu ya kichwa tangu 2018 mpaka 2020,nikapokea uponywaji 2021 mpaka Sasa ni mzima wa Afya na nikiumwa kichwa ni maleria, nikiandika sitaweza kumaliza furaha yangu na ushuhuda wangu, lkn huu ndo ukweli ambao nikiuficha bila kuuongea nitakuwa mchoyo wa fadhira kwa Mungu wangu wa Mbinguni na Yesu EKARISTI, ❤❤❤, Asante Mungu 🙏🙏
@olivermloso3497
@olivermloso3497 Жыл бұрын
Amina hakika Mungu yupo
@annamsuluja228
@annamsuluja228 Жыл бұрын
Eee Yesu wa Ekarist uliyemo katika maumbo ya mkate na Divai utusaidie na utuongezee Imani tupate kukuamini kweli! Yesu ninakupenda🙏❤
@japhethmynah
@japhethmynah Жыл бұрын
Amina 🙏
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Ahsante Yesu wa Ekaristi. Hakika yumo hai ktk Ekaristi Takatifu, damu halisi na nyama halisi. Anasikia tunapoomba.
@AgnesKalikawe-dz3ym
@AgnesKalikawe-dz3ym Жыл бұрын
Yesu wa Ekaristi ni mwenye upendo mkubwa na huruma nyingi kuliko tunavyofikiri Asante Yesu kwa kutuongezea imani kwa muujiza huu mkubwa
@theresiachami7872
@theresiachami7872 Жыл бұрын
Asante Yesu wa Ekaristi kumponya mama huyu 🙏
@praxedarutaselw4076
@praxedarutaselw4076 Жыл бұрын
Amina dada nimejifunza kitu kweli ukiwa na imani unapona bila gharama yoyote Mungu azidi kukupigania dada angu
@praxedkessy3807
@praxedkessy3807 Жыл бұрын
Yesu wa Ekarist ndo tegemeo letu tumtafute yeye atatenda makubwa juu yetu tunapswa kuamini na kumtegemea yy siku zote Amen.
@blandinanoah461
@blandinanoah461 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Glory To Jesus ❤️❤️Bwana Yesu ninakupenda
@johanajoseph878
@johanajoseph878 Жыл бұрын
Yesu uabudiwe, Yesu ushangiliwe na watu wote 🙏🙏🙏
@esthergichane3125
@esthergichane3125 Жыл бұрын
Thanks Tumsifu YESU MILELE NA MIIELE. AMINA.
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 Жыл бұрын
Hongera Kwa ushuhuda vizuri zaidi unamahubiri Mungu ni muweza was yote Amen
@martensnshimi3613
@martensnshimi3613 Жыл бұрын
Ahsante kwa ushuhuda Maman yesu azidi kuuponya ulimwengu.hasa Wale wasioamini kwamba Yesu alituadi kua nasi daima tukiwa tunamega mukate Kwa ukumbusho wa mwili wake Lio wutowa kwa ajili yetu n'a kumwanga d'ami yake takatifu kwa uponyaji wa Zambie zetu. Mungu wetu ni wa mille amina
@bintindimbo422
@bintindimbo422 Жыл бұрын
Aleluya! Tumwabudu Yesu Kristo Yu Hai mzima katika ekaristi
@winifridajohn7390
@winifridajohn7390 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏. Yesu wa Ekaristi anajibu Kila uombalo. Daima nitasimama katika Iman katoliki
@neemamajesi5237
@neemamajesi5237 Жыл бұрын
Ee Yesu wa ekarisiti sema na moyo wangu.🙏
@Rosesipendi-et3ih
@Rosesipendi-et3ih Жыл бұрын
Haleluyah!!!!. Yesu wa Ekarist Utusaidie..HONGERA DADA.MIUJIZA NI MINGI TUNATENDEWA KILA SIKU , ILA KWA IMANI HABA TUNAANGAIKAGA TU! IMANI YAKO IMEKUPONYA!!.
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 4 ай бұрын
Asante Yesu kwa Fabiora,nakupenda Yesu naomba uponyaji kwa familia yangu kiroho na mwili pia
@lucymbinya4651
@lucymbinya4651 Жыл бұрын
GLORY BE TO GOD FOREVER and Ever.... GOD Of Mercy
@WmareteMarete
@WmareteMarete Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa ukarimu wako! Tunazidi kushuhudia ukweli wa uwepo wako. Njoo kwetu Ee mfalme wa amani, wengi tunakuhitaji.
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 Жыл бұрын
Amen ! Asante kwa ushuhuda mzuri
@kaselemangote
@kaselemangote Жыл бұрын
Amen. I believe in Eucharistic Jesus. He's real. Jesus Christ I trust in you.
@norbertraphael5620
@norbertraphael5620 Жыл бұрын
Amina... Yesu wa Ekaristi, NI YESU MWENYEWE TUNAKUTANA NAYE. Amina
@betyanyas8780
@betyanyas8780 Жыл бұрын
Ameeeen dadangu, umenitia nguvu sana, barikiwa.. 🙏
@Thairuwan
@Thairuwan Жыл бұрын
Powerful testimony. Blessed be the Lord in the Blessed Sacrament 🙏
@muherefaustine578
@muherefaustine578 Жыл бұрын
Aleluya tumuabudu huyu yesu wa ekaristi hakuna haja ya kuangaika yeye ni tosha amina mpendwa
@katungekasyoka8513
@katungekasyoka8513 Жыл бұрын
Proud to be a Catholic by faith
@veronicahnyaigoti1731
@veronicahnyaigoti1731 Жыл бұрын
Amen na Amina. Tumshukuru na kumwabudu Mungu
@AgnesNjau-gt2ld
@AgnesNjau-gt2ld Жыл бұрын
Amina ashukuriwe yesu wa ekaristi, katenda maajabu
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 Жыл бұрын
Uko sawa binti mungu azidi kukupa amani ni dawa tosha hongera sana
@gettymo12
@gettymo12 Жыл бұрын
Amen 🙏 sifa na shukrani kwa mwenyezi Mungu
@sabinakushoka9737
@sabinakushoka9737 3 ай бұрын
Amina tunamshuru sana yesu wa ekaristi
@stellambunda161
@stellambunda161 Жыл бұрын
Ee Yesu wa Ekaristi nakuabudu, nakupenda na nakushukuru kwa matendo makuu kwangu. Amina.
@epinesmuhambe2492
@epinesmuhambe2492 Жыл бұрын
Yesu nakuomba uniponye, nishike mkono, niongoze oh Jehovah. Ekaristi takatifu🙏
@vitalismarunda6760
@vitalismarunda6760 Жыл бұрын
The Power of the HOLY EUCHARIST
@sifaodette3421
@sifaodette3421 Жыл бұрын
Amen mungu unisaidie unipe neema ya kumwaabudu❤❤
@roziegichuki9399
@roziegichuki9399 Жыл бұрын
Woow, Eucharistic Jesus i love & trust in you
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 3 ай бұрын
Amina,ushuhuda wako umeniongozea imani
@allesifunya5984
@allesifunya5984 Жыл бұрын
Asante Yesu sifa, kwa Yesu anaponya kweli ukikili kuwa NI bwana na mwokozi wa maisha yetu
@hanancabdi6531
@hanancabdi6531 Жыл бұрын
Amen na haimidiwe apewe sifa yesu wa ekarist
@isaiahboss
@isaiahboss Жыл бұрын
Asante Yesu wa Ekaristi, naamini hata mimi umeniponya ! Amina
@peterthaithi7583
@peterthaithi7583 Жыл бұрын
Ee Yesu Wa Ekarist Kuwa Mchauri katika maisha yangu.Amina
@margaretoyugi7137
@margaretoyugi7137 Жыл бұрын
Mkombozi wetu anaweza🙏🏽
@kyongagilbert8901
@kyongagilbert8901 Жыл бұрын
Fière de mon église.... Amen, gloire à Jésus eucharistique
@MutwalibAlamin426
@MutwalibAlamin426 Жыл бұрын
ANNA APIYO 🎉yesu kristo awengao ya maisha yangu na family yangu yote🙏🙏🙏
@felisterkokuberwa5783
@felisterkokuberwa5783 Жыл бұрын
Asante sana kwa ushuhuda huu Yesu yu hai Na live ktk sakrament ya Ekarist jamani wakatoliki tuwe na Imani ,yu heri aaminiye bila kuona acheni kukimbia huko na huko kudanganywa Yesu wa ukweli yu ktk Ekarist Takatifu
@venancemiyeji6804
@venancemiyeji6804 Жыл бұрын
Ameni sana ukuu wa Mungu upo uzidi kuamini tu
@ethelgivamakota7143
@ethelgivamakota7143 Жыл бұрын
Amina. Yesu wa Ekaristi ni Mungu Alie hai. Anaponya. Asante Mungu.
@emmahbooooo
@emmahbooooo Жыл бұрын
Yesu wa Ekaristi naomba unikumbuke, tarehe sita, mimi na familia yangu.🙏🙏🙏🙏
@vickyngowa9445
@vickyngowa9445 Жыл бұрын
Yesu Pelikane nitazame,na Kwa damu yako nitakase, tone Moja tu linatosha na Dunia yote yaokoka🙏
@simonmugo4512
@simonmugo4512 Жыл бұрын
Amina ushihuda wa nguvu sana barikiwe sana sister
@prudencewambui
@prudencewambui Жыл бұрын
Amina,Mungu nami nakuamini uniponye.
@happycosmas1763
@happycosmas1763 Жыл бұрын
Amina dada ubarikiwe sana
@claudettemurekatete4416
@claudettemurekatete4416 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽 ni Yesu Christu muzima ana ponya ukiamini 🙏🏽
@rebeccamwambapa9027
@rebeccamwambapa9027 Жыл бұрын
Yesu wa Ekarist niangazie mwanga na Moto wako ktk afya yangu. Amen
@rosemaryaori1228
@rosemaryaori1228 Жыл бұрын
Tumaini letu ni kwa bwana kwa maana Ana uwezo WA milele amen proudly to be a catholic 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MkendaMchungaji
@MkendaMchungaji Жыл бұрын
Nakushukuru yesu wa ekarist tuponye nasisi amina❤
@beccawambui8845
@beccawambui8845 Жыл бұрын
Wooow...what a wonderful testimony..we thank you Jesus for everything you have done unto our lives. I Trust and have Faith that wherever we surrender to you,you will fulfil it.we Glorify you our father Jesus..
@EmmaKitali-pw5xf
@EmmaKitali-pw5xf Жыл бұрын
Mungu wa neema wanjua na kupenda sana😅❤❤
@toheaveninjesusandmary.3781
@toheaveninjesusandmary.3781 Жыл бұрын
Ndiyo Sakramenti Kuu, Mwili Damu Ya Yesu. Amina
@jhstationery3036
@jhstationery3036 Жыл бұрын
Yesu hamna asilo weza ni wewe TU kujiweka tayari Kwa shida Yako iliyesu afanye kazi yake jamani tuwe TU na Imani yesu diye ddactari wetu hayupo mwingine nimebalikiwa sana Kwa ushajaa ulioutumia amina
@josephinekokushubila1050
@josephinekokushubila1050 Жыл бұрын
Ahsante sana dada Kwa ushuhuda wa kutujenga
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kumpinga dada huyu.
@gracewaswa9978
@gracewaswa9978 Жыл бұрын
Asante Yesu wa Ekaristi Kwa uponyaji huo
@hyasintamsolla4887
@hyasintamsolla4887 Жыл бұрын
Hakika Mungu yupo ndani ya Yesu wa Ekaristi ( ni Mungu kweli chini ya maumbo ya mkate na divai)
@GodfreyMtui-cu7uo
@GodfreyMtui-cu7uo Жыл бұрын
Mungu utukuzwe daima
@joshuakinoka1175
@joshuakinoka1175 Жыл бұрын
Asante Yesu wa Ekaristi Hakika nitadumu na Imani yangu Katoliki
@mosesmuthini8185
@mosesmuthini8185 Жыл бұрын
Asante sana Yesu wa Ekaristi
@datgurl_1
@datgurl_1 Жыл бұрын
Yesu wa Ekaristi takatifu aliniponya ulcers ni ushuhuda ambao sitakaa nisahau katika maisha yangu...Amenitendea makubwa sana namwabudu nampenda mpaka pumzi ya mwisho ntakayoivuta
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 Жыл бұрын
Eeh Yesu wa Ekaristi nakutumainia niponye na mimi pia🙏🙏
@veronikamwampashe984
@veronikamwampashe984 Жыл бұрын
Amina Dada yesu yupo ktkumbo LA mkate na divai jitahidi sana usjitenge Naye komnika utapona
@justinambrose3577
@justinambrose3577 Жыл бұрын
Amina! Ninakuabudu Ee Yesu wa Ekaristi takatifu.
@marietahjoseph5502
@marietahjoseph5502 Жыл бұрын
Very inspiring.....Amen
@anithashembilu7732
@anithashembilu7732 Жыл бұрын
Asante sana dada kwa ushuhuda huo mzuri. .
@pascalucircan9079
@pascalucircan9079 Жыл бұрын
Yesu Kristu wa ukariti na kuabudu moyoni mwangu yote!
@rosemaryodawa8501
@rosemaryodawa8501 Жыл бұрын
Asante sana Yesu kristo kwa uponyaji wako wadaima
@felisterligwa
@felisterligwa Жыл бұрын
Praised be the Lord of Eucharist ❤❤❤❤❤
@sofialinus8241
@sofialinus8241 Жыл бұрын
Amina, mimi pia ni mkatholiki nao ushuhuda mkubwa ambao Kristo amenitendea maishani mwangu, hakika Kristo yupo na anatenda wewe muamini ktk kweli na Roho pia uwe na nia njema
@catr4242
@catr4242 Жыл бұрын
Tunshukuru mungu kwa miujiza hiyoo jaman Kweli Yupo
@modesterrichardi-wn6hb
@modesterrichardi-wn6hb Жыл бұрын
Amina ninaamini maneno yako Dada nami nilishatendewa.
@nancylukela2468
@nancylukela2468 Жыл бұрын
Yesu wa Ekarist nikumbuke pia mimi nipokee 🤰🏽🤰🏽
@theresiachami7872
@theresiachami7872 Жыл бұрын
Amen Yesu akujalie hitaji lako
@tumainitelevision
@tumainitelevision Жыл бұрын
Yesu wa Ekaristi akupe kadri Uombavyo✝
@dianaminja3175
@dianaminja3175 Жыл бұрын
Namm pia Mungu nikumbuke
@lawrencekanyi8506
@lawrencekanyi8506 Жыл бұрын
Amina, asante yesu wa ekaristi
@EmmaKitali-pw5xf
@EmmaKitali-pw5xf Жыл бұрын
Asanti sana madm kwa hushumda huyu,naomba huniombe pia mimi mangojea mahajapu
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 397 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
22:56
Kwaya Katoliki
Рет қаралды 115 М.
Maisha ya Mt. Agatha. Na Frt. Benjamin Emmanuel Chalya
15:10
MAISHA YA WATAKATIFU
Рет қаралды 520
Je, Unajua Jinsi ya Kusali??| SIKILIZA HII VIDEO
23:23
The Servant Media
Рет қаралды 86 М.
Rozari Takatifu Matendo ya Furaha...... ( Jumatatu na Jumamosi)
37:44
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН