TAZAMA MAUAJI YA KUTISHA YALIVYOFANYIKA:MAJASUSI WA KOREA WALIHUSISHWA/ALISHWA SUMU KALI/KIM JONG UN

  Рет қаралды 16,059

Dar24 Media

Dar24 Media

4 ай бұрын

Mnamo tarehe 13, mwezi wa pili mwaka 2017, mauaji ya kutatanisha yalifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa, katika taifa la MALAYSIA, Kuala Lumpur International Airport (KLIA),
mauaji haya yakikatili, yalifanyika katika namna ya kipekee, na yaliyohusisha watu wenye ufundi wa hali ya juu katika kutekeleza, maswali mengi yaliibuka kuwa ni kina nani waliyohusika katika mauaji hayo..?
Waliagizwa na nani na kwa kusudio lipi?....zipo sababu za moja kwa moja zenye kuhusisha mauaji haya na mkono mrefu wa mtawala wa KOREA KASKAZINI, muheshimiwa Kim Jong Un.
aliye uwawa ni nani?....na upi ushirika wa mashirika ya kijasusi ya marekani kama CIA, na FBI katika mpangilio huu...
KARIBU UFUATILIE MAKALA HII YA "MAELEZO" ILIYOKUANDALIA MAJIBU YA MASWALI YOTE KUHUSU MLOLONGO WA MAUAJI HAYA.....ASANTE
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#dupamdupange #assassination #dar24

Пікірлер: 27
@dar24media
@dar24media 4 ай бұрын
Kwa kutazama makala hizi za "MAELEZO" usiache kufuatilia Dar24Media, kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi...ASANTE
@user-fq3bb3ty4i
@user-fq3bb3ty4i 4 ай бұрын
Marekani ndio madictector wanaowauwa viongez wazalendo
@Isaackkanyankole978
@Isaackkanyankole978 4 ай бұрын
Unajua🎉
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Ila bado inabidi mboreshe hivi vipindi, kwa maana hupati ile hisia km kitu serious, inaonekana km power breakfast fulani hivi
@ismailjuma9308
@ismailjuma9308 3 ай бұрын
Hongera sana dupa kwa simulizi mzuri ❤❤❤
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 4 ай бұрын
Makala nzuri brother mtafika mbali👍👍👍
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 4 ай бұрын
Ahsante sana kwa uchambuzi makini
@Jemima-hy6ws
@Jemima-hy6ws 4 ай бұрын
Hongela sana brother kazi nzuri
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek 4 ай бұрын
Noma sana🇲🇿
@migeyochieftz7871
@migeyochieftz7871 4 ай бұрын
Kichwa cha habari hakiendani na simulizi.!!
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 26 күн бұрын
😂😂😂😂kweli kabisa
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 3 ай бұрын
Unatisha mzee
@RealOmmy-ip7yn
@RealOmmy-ip7yn 4 ай бұрын
Daah nakubali sanaa
@johnmassika6004
@johnmassika6004 4 ай бұрын
Safi
@bongomastory791
@bongomastory791 4 ай бұрын
Alisimika misingi ya kijamaq sio ya kidikteta acheni upotoshaji
@dicksonalfred9483
@dicksonalfred9483 2 ай бұрын
Kwl
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 26 күн бұрын
😂😂😂
@bongomastory791
@bongomastory791 4 ай бұрын
Kwanin mnaeaita wakina Kim madikteta? Kwakuwa nchi za magaribi hawapo upande wao? Jaribuni kufanya utafiti zaidi sio kuleta wanayotaka magharibi
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Hata mie nashangaa, ubepari umewateka akili waandaaji wa makala haya
@autoroyaledubai
@autoroyaledubai Ай бұрын
uyu jamaaa bhana
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 4 ай бұрын
Tatzo sauti ipo chini sana
@canaljrtv5959
@canaljrtv5959 4 ай бұрын
Kunahitajika marekebisho sana katika kutengeza makala kama hizi ili ziweze kutoa mafunzo, na kufanya ufatiliwaji kwa muda mrefu sana . ilianza vizuri lakini SAUTI ipo chini sana tumeshindwa kuielewa. rekebisheni hapo plzz
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 4 ай бұрын
Demokrasia haina kazi njema
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Km north korea ni madikteta, basi marekani na israel ni wauaji, yuki mbaya hapo??
@saidsofo
@saidsofo 4 ай бұрын
Kama ni mauwaji mbona wa magharibi wanafanya mauwaji makubwa zaidi ya haya mbona hamuwaiti madikteta.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 119 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 47 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
Top statehouse secrets between Ruto and Raila exposed
13:32
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 16 М.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 119 МЛН