Hawa ndio zawaadi ambayo Allah ametujaalia watanzania kuwa na masheikh kama hawaaa,bila kumsahau othman maalim vyuma hivi dahh wallah napata raha sana kuwackiliza hawa elimu ya dini imewafikia na wanaifanya inavyotaka
@fahadfahmyАй бұрын
Mashaallah kwamara yakwanza kuona mtu kutunzwa kwakuadhini
@yukhyu-di2sw2 ай бұрын
Masha Allah maalim baba mlezi wetu kaka Allah azidi kukuimarisha na ss Allah atujaalie tufate nyendo zako njema
@faridfrefre352 ай бұрын
Acha kusifia masufi watu wa bidaah
@jemedarmohamed36442 ай бұрын
@@faridfrefre35ستموت بغيظك
@NaodaNaoda-du3xgАй бұрын
Tuwaheshimu maaheikh wetu,kuna watu hata hadithi 5 hajaifadhi,lakini Hodari sana kuwakosoa masheikh
@Sakinaamani-o1t2 ай бұрын
Walio soma Lamu wengi wao masha ALLAH tabaraka ALLAH
@faridfrefre352 ай бұрын
Hawa ni masheikh wq bidaah masufi makhurafi
@jumamohamed48082 ай бұрын
MashaAllah mashaAllah
@alimussa99932 ай бұрын
kitu kimoja nampendea huyu Mwamba, ukiacha uelewa wa Dini, ukweli yuko very simple na mtu wa kujichanganya. Mwenyezi Mungu azidi kumlinda na kumpa hekma
@faridfrefre352 ай бұрын
Acha kumsia Sufi huyu khurafiy Manhaji yake mbovu mtu wa bidaah
@jabirhussein41802 ай бұрын
@@faridfrefre35bas mlete baba yako tumsifie choko wewe
@عاشوراءبورندي15 күн бұрын
Jibu lizuri sana akhy@@jabirhussein4180
@WaziriQaadiriy2 ай бұрын
Màashaallah kipenzi chetu allah akuhifadh
@MzeeIsmail-e4z2 ай бұрын
Shekh allah akuzidishie heli nimejifunza mengi sana kupitia mawaidha yako
@faridfrefre352 ай бұрын
Mtu wa bidaah huyo sufi khurafi
@aliabdalla92972 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@husseinmwanjela86442 ай бұрын
Mashaallah
@RamadhanAlly-y5s2 ай бұрын
Mashallha❤❤
@Kizuamediatv2 ай бұрын
Maashaallaah
@Kimanga_Official2 ай бұрын
Mashaallah ❤
@abdallahsoud20332 ай бұрын
Subuhanallah hii adhana ilikua inafundishwa au iliku adhana kwa ajili ya swala kwa mudahuo mana sijaelewa😇😇😇
@athmansalim30662 ай бұрын
Nini uelewi hapa ? hii ni adhana ndio watu waswali, inaonekana Sheikh Walidi amekuja kufungua hii msikiti kwa hivyo amekaribishwa a adhini .
@abdallahsoud20332 ай бұрын
@ Unasema ilikua adhana makhsusi kwa ajili ya swala sasa iweje sheikh anaadhini halafu inatokea watu kumtunza fedha tena kwa kuichomeka kwenye kofia yake hilo ndo sikulilewa na pia si sahihi katika dini ya Allah. Tusikumbatie ujinga katika dini ya Allha kwani Rasulullahi swallallahu a’layhi wasallama alituachia dini ilokamilika hivo muongozo wetu ni Qur an na sunna. Khallas.
@Sofi99-u6o2 ай бұрын
Me pia nimeshangaa?? Na hizo cm?
@sulaymanqasim61862 ай бұрын
Soma kwanza
@Ibnhochii2 ай бұрын
@@abdallahsoud2033we ulitaka aache kuadhini amkatazee au ulitakaje
@shaibchat80542 ай бұрын
Sheikh walid unatisha Allah akbar
@NuhuM-s1x2 ай бұрын
Mashaalha
@farijalakhalid55582 ай бұрын
Safi sana hiyo qaswida na tukio
@ElBahrMedia2 ай бұрын
@@farijalakhalid5558 shukran
@rayisadesigns26462 ай бұрын
@@ElBahrMediakaka, nimeisikia sauti ya sheikh Idd Kirungi kwenye dhikri, hii ilikuwa wapi?!
@Muswlih2 ай бұрын
إذا لم تخلص فلا تتعب
@Abuuabdillah2592 ай бұрын
Duu mtihani kweli kweli sheikh wa mkoa hata kutia udhu hajui
@RamadhaniRudonongo-rg7oc2 ай бұрын
Inasikitisha sana
@jumambuma11012 ай бұрын
Wapi kakosea? na hata kama kakosea pasipo kudhamiria Hilo huwa ni ALLAH pekee