TAZAMA WAISLAM NAROMANI KATORIKI KUABUDU MUMGU MMOJA EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 9,028

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

7 ай бұрын

#0766998994 #call0688199370 #0788871769 #0688199370 #

Пікірлер: 67
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 7 ай бұрын
Wewe ni mtumishi kweli , watu wengi Sana wanakutazama kama kioo Usiwaangushe katika Imani Mungu akutie nguvu ufike salama katika safari ya kwenda mbinguni japo vikwazo ni vingi sana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 6 ай бұрын
Amen BWANA akulinde sana mtumishi
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 7 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Bwana, kwakweli kama kusema umesema, Mungu akubariki sana wenye maskio waskie.Ee tusaidie tuvuke salama katika Safari hii ngumu.
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 ай бұрын
Amen mungu akutiye nguvu
@user-yy8ol9ch4q
@user-yy8ol9ch4q 7 ай бұрын
Ee Mungu naomba ulitoe kanisà usingizi maana sehemu imelala amin
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 7 ай бұрын
Paschal umenifurahisha kwenye kusema ukweli wa neno la Mungu watu wamedanganjwa kuhusu watu watakuwa mbinguni alama ya mnyama ikiwa inafanya kazi au itakapo tangazwa
@Pendopasilika
@Pendopasilika 7 ай бұрын
BWANA YESU nisaidie unacho ongea ni kweli mtumishi wa MUNGU mengi tumeyaona ila watu wamepumbazwa na wachungaji wengi wanaona kwamba akienda chuo ndo kuielewa BIBLIA MUNGU atusaidie atupe neema ya kutambua majira haya tuliopo na yale yanayotendeka MUNGU akutie nguvu na utukumbuke kwa maombi washirika wako kama PAULO barikiwa
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 5 ай бұрын
Mungu azidi kutusaidia
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 7 ай бұрын
Ee Mungu tusaidie tuvuke salama katika Safari hii ngumu.
@EstaJeremia-fx9wj
@EstaJeremia-fx9wj 7 ай бұрын
Huo Ndio ukweli mtumishi
@JINALAYESUNIDAWA
@JINALAYESUNIDAWA 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@muthonijgatia4350
@muthonijgatia4350 7 ай бұрын
Amen mbarikiwa sana Mimi hukufuatilia sana na huwaunanijengasanakiroho
@Erishaernest-ik3kk
@Erishaernest-ik3kk 7 ай бұрын
mtumishi wa mungu kweri umetuambia mambo turio hubiriwa na. Bwana wetu. Yesu kristo na sasa tupo tunayaona nyakati hizi
@user-ld2qv1dc3u
@user-ld2qv1dc3u 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji wengi wetu tunapenda sana kula kuliko kumtanguliza Mungu na ndicho Icho kitakacho tupoteza wengi
@annajotham9478
@annajotham9478 6 ай бұрын
Nikweli hivi vyuo jaman du Mungu atusaidie
@NaomiThomas-uv7yk
@NaomiThomas-uv7yk 7 ай бұрын
Amina mtumishi mungu akutie nguvu na azidi kukutumia ili utukumbushe katk safali yakwenda bingun
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Mwanzo 24:26 [26]Yule mtu akainama akamsujudu BWANA. And the man bowed down his head, and worshipped the LORD.
@lixylyne.888
@lixylyne.888 4 ай бұрын
Yes
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 7 ай бұрын
Amina amina nakubariana na wewe mtu,chakushagaza wakatoloki wako na biblia yao
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 7 ай бұрын
Amina.kuna wakati natamani hata kukaa maporini kama waadzabe kuliko kushuhudia haya yanayoendelea huku duniani.Mungu atusaidie
@joaquinajosejose4743
@joaquinajosejose4743 7 ай бұрын
Amin Umbarikia Shana tumishi wa mungu
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 7 ай бұрын
Mungu tu atunusuru
@AishaEduardMbwambo-ux2dp
@AishaEduardMbwambo-ux2dp 7 ай бұрын
Kweli muinjilisti yesu atuwezeshe kuya shinda
@user-uc2fd5gs9l
@user-uc2fd5gs9l 7 ай бұрын
Sharon pole na uduma iliyojaa ukweli naomba unitumie SoMo la kuhani Musa la kuwa mwalim wa uongo samahn kwa usumbf
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
Mungu aturehemu sana na atupe nguvu maana dhiki inayokuja ni kuu kwa wakristo. Watu hawaelewi nyakati na majira tuliyonayo. Papa ni mnyama aliyetabiriwa katika kitabu cha ufunuo. Alikuwa na pembe mbili mfano wa mwana-kondoo, akanena kama joka. Anatembea ulimwenguni kote akiunganisha watu na ni nyoka iliyojificha. Ubarikiwe mtumishi.
@user-md7bq3ew4e
@user-md7bq3ew4e 7 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe ❤
@user-yu1dh1me3e
@user-yu1dh1me3e 7 ай бұрын
Amen Asante sana
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 7 ай бұрын
Ukweli mtumishi wa mungu
@veronicajohn1689
@veronicajohn1689 7 ай бұрын
Amina Barikiwa Kwa Ujumbe mzuriii
@Erishaernest-ik3kk
@Erishaernest-ik3kk 7 ай бұрын
Mungu akutie nguvu akupe mengi iri tuyajuwe
@AmosiRubeni-wp4ky
@AmosiRubeni-wp4ky 3 ай бұрын
MUNGU akibariki mpendwa
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 7 ай бұрын
Mungu nisaidie. Hili ndio kanisa limelazimishwa kushiriki nikatinda. Niliwaambia lugha sielewi na nikapona. Ndio maana sikosi kusikiliza mahubiri ya huduma hii na kujisomea bibilia kwa wingi.
@joannekesa1835
@joannekesa1835 7 ай бұрын
Amen
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 ай бұрын
Ilikua wao sio kwa sisi naata kama dini nimoja nisawa kwani mungu wetu nimoja ila sasa wewe unamkubalije moyoni mwako kwaza dini kwa sasa nikama siasa pia wengi tumebaki na vitabu ila mimi sijui kusoma ila nina neno au ujumbe toka kwa mungu kuna wengi awaijui biblia ila wanatumika na mungu chakwaza nimimi kisha ije biblia
@MelaNakuja
@MelaNakuja 4 ай бұрын
Kwan papa nae freemason
@mughishajohn3287
@mughishajohn3287 7 ай бұрын
Maandishia alio kwa bible tumeanza kuyaona na ubalikiw sana
@reeygeazy4908
@reeygeazy4908 7 ай бұрын
Nyakati hizi sio za kuleta mchezo na wokovu.
@daudimahenge4384
@daudimahenge4384 7 ай бұрын
Kweli
@ibraPJ
@ibraPJ 7 ай бұрын
Sio kila ishara ya mslaba ni ya mkatoliki wapo wengi wanaofanya hivyo,,, ko sioni sababu ya wewe kusema hao ni romani na hao wengine ni islamic. Hata huko makanisani na misikitini watu hawana imani moja japo wako ndani ya jengo moja. Mungu hatahukumu dini atahukumu nafsi moja moja,, hatasema wewe ulikua mroma basi umotoni. Ni mtazamo wangu tu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 7 ай бұрын
Hao sio waislam!!! Wameamua kujiita tu waislam, waislam tunamisingi yetu na taratibu zetu za ibada... hatuna huu upuuzi
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 7 ай бұрын
Hahaaaaa ABUDHABI, ndio makao makuu ya Hiyo dini ,alokuletea Uislam ndo amekuleyea na hii mmh Mungu tuu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
Subiria tu utajionea kaka... ati mko na msimamo wenu wakati papa alikuja mpaka Place inaitwa DOA saudi Arabia na akaongelea mambo ya dini moja. Na sasa inafunguliwa UAE.
@user-fx4gf5yw9w
@user-fx4gf5yw9w 7 ай бұрын
Nikweli mtumish wa mungu yesu atusaidie ktk safar ya kwenda mbingun maan kwa akili zetu hatuwez
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Mwanzo 17:3 [3]Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, And Abram fell on his face: and God talked with him, saying,
@daudimahenge4384
@daudimahenge4384 7 ай бұрын
Mimi naona tuungane tuu kama wakiukubali wokovu ila wakikataa basi vita vya kiimani na kidini vitatokea soon
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Mimi ni.mtumishi na huwa na sujudu.nikiomba na ninapata nguvu zaidi sasa tukikata madiko.tutaeda wapi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 7 ай бұрын
Kusujudu SIO shida kiimani LKN unaemaujudia awe MUNGU TUU MWENYE kustahili NDIO UKRISTO
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Niulise swahili mitume wote walishujudu.so hapa duniani ukisujudu.ni makosa
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 7 ай бұрын
Uislamu na u catholic ni kitu kimoja kabisa. Na padre ndiye aliyemsimika Muhammad kuwa mtume.
@paschaljohn7051
@paschaljohn7051 7 ай бұрын
NAOMBA KUULIZA HAPO SIJAELEWA HAPO HIVI HIYO CHAPA YA MYAMA UNAYO ONGELEA NI KUKUBALIANA NA HIZO SHERIA ZAO AU KUNA CHAPA NYINGINE AMBAYO TUTA PEWA?
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 ай бұрын
Kwani wewe unaabudu mungu wapili
@paschaljohn7051
@paschaljohn7051 7 ай бұрын
VIPI KUHUSU CHANJO YA CORONA,INA KAZI GANI WALIVYO CHANJA WATU AU NDO HIYO CHAPA YA MYAMA? NAOMBA UTUFAFANULIE HAPO
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 7 ай бұрын
Waambie watu wairudie sabato Mungu Maana siku ya j,pili niyamunyama waambie watu wazishike AMRI kumi nasabato ikiwepo Kutoka 20:8
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
Wewe uko wapi? We don't worship the day! SABATO katika roho ni pumziko hivyo kupumzishwa kwa mizigo ya dhambi ndio SABATO. kustarehe kwa wana waisraeli kwa mwili kulikuwa kunatafusiri agano jipya kwamba Yesu atakuja kuwastarehesha wamchao katika roho. Hivyo nyinyi watu wa sabato hamjui Roho mtakatifu, na amri ndio mnasema ni Roho mmepotoka kabisa nyie. Na yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa jirudieni mapema. Mungu anaabudiwa kila siku sio siku moja kwa week. Not at all, He is at work everytime. Hakipumzika sisi wote hatuwezi pumua utakuwa mwisho wetu.
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 7 ай бұрын
@@user-ii1qk9xn9z umejibu vema sabato ni AMRI kati ya AMRI kumi na mungano wamakani wanataka wote waabudu j,pili yaan siku ya kwanza ya juma
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
@@komandowainjiliyayesu sabato ni amri kwa wana waisraeli tu na sio kwa mataifa mengine. Alafu kumbuka kuna haina nyingi za sabato. Kama mnatii ijumamosi tu basi kuna kasoro mahali... Hivyo nawe waambie wajirudie mapema wamtafute Mungu kwa roho na kweli . Na wakubali kuongozwa na Roho na sio amri.
@user-jl6pd1yp1n
@user-jl6pd1yp1n 6 ай бұрын
Ww mbwa usitaje waislamu kafiri mkubwa ww
@CHRISMACHOMBE
@CHRISMACHOMBE 7 ай бұрын
Kwakweli naumiasana kuona tumejisahau, MUNGU afanye wepsi tusizione hizosiku.
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 7 ай бұрын
Msizionaje sasa nawakati zimeisha fika??..
@user-hv3mi6sy6o
@user-hv3mi6sy6o 7 ай бұрын
SISI WASLAM HAUWEZI UKATUCHANGANYA NA MAKAFIRI KABLA HAWAJASLIM.
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 7 ай бұрын
Wewe hujui unayosema. Moto wa jehanamu unawangoja msipookoka.
@user-hv3mi6sy6o
@user-hv3mi6sy6o 7 ай бұрын
WEWE MCHUNGAJI WACHA KUONGEA UONGO KWA WASLAM......MM NI MUSLAM PURE.......SISI WASLAM HATUTOBADILISHA MSAAFU NA QURAN......WALA HATUTOBADIRISHA JINSI YA KUSWALI......NEVER EVER STOP LIE.
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 7 ай бұрын
Na sasa wewe wafanyani hapa? Si uende umsikize shehe aendelee kukupotosha!
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 7 ай бұрын
Amen mungu atutie nguvu
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 7 ай бұрын
Amen
@bahatimaselo8528
@bahatimaselo8528 7 ай бұрын
Amen
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 796
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,4 МЛН
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 18 М.
MUNGU ANATAKA UONE KAMA YEYE || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
8:45
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 28 М.
MAJINA YOTE, NI MBELE ZAKO BWANA, SIONI MWINGINE MIMI, USIFIWE BWANA & MUNGU UNAISHI Min Danybless
34:11
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 412 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
ONA MAFUNDISHO YA ZINAA YALIVYO KUMBA KANISA EV PASCHAL CASSIAN
51:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 5 М.
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 45 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН