TAZAMA WATUMISHI WAKIMDANGANYA WAZIRI/AWAWASHIA MOTO''SAMAHANI MKUUU'' LETE FAILI HARAKA...

  Рет қаралды 2,583

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 15
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 ай бұрын
Fukuda wote upya tangaza ajira hao wanafanya kaz kimazoea ,wanaichafua serikali na kumfanya mama aonekane serkali yake haifanyi kaz
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 3 ай бұрын
Hawa ndo wanao ichafua serikali yetu nachama chetu chama chamapindu ccm watumbue hawana adabu
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 3 ай бұрын
HAO JAMAA HAWAFAI KUBAKI OFISINI HATA KWA DAKIKA MOJA..NI HATARI HAO NDIO WATU WANAOTOA HUDUMA YA MAJI.WANATIA AIBU.
@Maftah111
@Maftah111 3 ай бұрын
Dah tunasafari ndefu sana sisi waafrika😢
@AyoubAllyMatogoro-sn6ck
@AyoubAllyMatogoro-sn6ck 3 ай бұрын
Utendaji Mbovu Timua Maofisa Wote Hao Wanapeana Kazi Kwa Vimemo Wizi Tu Wa Kuwabambikia Watu Bill Za Maji Kubwa Washenzi Hao!
@anastazialushika
@anastazialushika 2 ай бұрын
Waziri kuwa kama Makonda hakuna kubembeleza timua wote Makonda habembelezi wazembe,waongo na wala rushwa
@jokatech1
@jokatech1 2 ай бұрын
We should Hire these "waziris" in Kenya
@NuruNyanja-kz1qr
@NuruNyanja-kz1qr 3 ай бұрын
Waziri tunaomba uje mwanza mtaa wa mhandu kisiwani tunateseka sana maji
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 3 ай бұрын
Uchafu mtupu timua wote hao
@2003hintay
@2003hintay 3 ай бұрын
Mimi hapo ningepiga makofi unidanganye waziwazi halafu dharau sikubali ni makofi na kazi mwisho akauze kandambili
@thomastemu3332
@thomastemu3332 3 ай бұрын
Mbane koo huyo mweshimiwa aweso
@saiditasher8362
@saiditasher8362 3 ай бұрын
Sana atamimi ngemtandika mbata
@bilid4128
@bilid4128 3 ай бұрын
😂😂😂😂 hio ni ofisi au Store
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 3 ай бұрын
Kiukweli unaweza kimbia na kutokomeaaaaaaaa Pasipo julikana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН