Hongereni sana TBC kwa Interview hii. Nimeshindwa kuelewa hii set up ya interview. Inawezekanaje watu watatu watangazaji pamoja na mgeni kuangalia the same position. Sijui sana lakini nakosa kuona professionalism kwenye aina ya ukaaji
@abdulikaku50805 ай бұрын
Rudini shuleni mkajifunze Tena. Mnamtesa mgeni wenu. Hana Uhuru wa kuzungumza
@sulemanmuyomba35244 ай бұрын
Hatuoni ndenge iko juu kwa nini
@saidmaziku89995 ай бұрын
Tunaomba muendelezo wa brigedia Bayeke
@Mtana-d2x5 ай бұрын
Aisee tupeni muendelezo wa maojiano ya brigedia bayeke