THE CLASSIC JOSLIN PT 1:MAANA YA WIMBO PERFUME/NILIWABADILI WAGUMU KUA MABISHOO/WALINIKATAA/WAKAIGA

  Рет қаралды 11,339

KuviFacts

KuviFacts

11 ай бұрын

Joslin ni moja ya wasanii wakali sana wenye uwezo wa kurap na kuimba .ambao ni wachache sana katikanistoria ya Bongofleva,Album yake ya kwanza inayofahamika kwa jina la PERFUME ilikua ni classic ,ikiwa na m,ikwaju asilimia 90 ilitawala nanga za BongoFleva na Rap,hapa akipiga stories na Jabir Kuvichaka kuhusu mradi wake huo ambao kimsingi ulikua na madini mengi sana usioyafahamu

Пікірлер: 42
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 11 ай бұрын
Nakumbuka unju bin unuq alituambia kilingeni 2013 kuwa joslin ni hiphop sana more than tunavyofikiri
@ruwaidamabrouk1797
@ruwaidamabrouk1797 11 ай бұрын
I wonder why this interview has not got many viewers coz it's very wonderful creativity interview
@alihaji5088
@alihaji5088 4 күн бұрын
Dj nakukubali sana maana kumtaja salehe jabiri ya ww kwwli music industry inaijua indeeb sana
@jimmyx8412
@jimmyx8412 11 ай бұрын
Napenda Sana Ngoma flan iv inaitwa Jose+Jose yupo na Jose mtambo
@jrxavihernandez7319
@jrxavihernandez7319 11 ай бұрын
Kuna shuhuli moja alimfanyia Byser kwenye dhahabu ya dully🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@marafikistation
@marafikistation 11 ай бұрын
Afu mule aliandika jamaa huyo
@jrxavihernandez7319
@jrxavihernandez7319 10 ай бұрын
@@marafikistation Aiseee🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@binsururu
@binsururu 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 11 ай бұрын
Heshima kwako Joslin, mmefanyamengi sana kwenye muziki huu
@CoachHafidh
@CoachHafidh 11 ай бұрын
Ametaja His 2nd album 'UMEWEZAJE' alafu wimbo ambao umebeba jina la album Umewezaje alifanya na lady j. dee....Boooonge moja la Ngoma aisee🔥🔥🔥🙌🏾
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 11 ай бұрын
Beat ya makochali kali sana nnayo kwenye simu
@luktz853
@luktz853 11 ай бұрын
Nkweli kabisa asee ni bonge langoma
@machiluelisha393
@machiluelisha393 8 ай бұрын
Ilikuwa ni nyimba hatari kabisaa
@OnlyRuky
@OnlyRuky 11 ай бұрын
Kaka big up kwa interview nzuri.... But back group music inasumbua please next time usiweke please inakuwa km makelele
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 11 ай бұрын
Mzikiwake unateka fikra kwajamii
@bainolatino3412
@bainolatino3412 11 ай бұрын
Rasta flaan hivi unaeza mwona bishoow Hana mbambamba mingi babuuu
@salumjumah5648
@salumjumah5648 11 ай бұрын
Mr nite basi joslin
@user-hi4tf5bf8v
@user-hi4tf5bf8v 11 ай бұрын
Joslin mchala
@paschalliving657
@paschalliving657 11 ай бұрын
Slang punch
@khatibumtaki7425
@khatibumtaki7425 11 ай бұрын
Joh rudi
@husseinbigga8021
@husseinbigga8021 11 ай бұрын
Kibonge tozi.. My brother unaua sana❤❤
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 11 ай бұрын
Jo's Jo's joslin
@kagirasta1476
@kagirasta1476 11 ай бұрын
Perfume (Ka harufu ka Bangi) mwamba alisifia sana mmea
@johnchakupewadc4679
@johnchakupewadc4679 11 ай бұрын
One love 🇹🇿💯
@mahamudhashim746
@mahamudhashim746 11 ай бұрын
Machiz wanasema m nariingaa daily street
@abdibuddy7583
@abdibuddy7583 7 ай бұрын
Hii ilinipita. Nimeifata humu 🙏 #2pacWithoutNoiseRing
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 6 ай бұрын
Ile intro ni balaa sana
@bainolatino3412
@bainolatino3412 11 ай бұрын
Joslin ulimzingua nini dj Steve b dj skillz
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 6 ай бұрын
Articulation ya Joslin ni perfect
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 9 ай бұрын
Perfume Best song of our generation
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 11 ай бұрын
👋👋👋 cool san
@nassirfundy1997
@nassirfundy1997 11 ай бұрын
Igonge tusikie
@user-th7ds6rx9i
@user-th7ds6rx9i 10 ай бұрын
Hiyo ngoma ya kwanza ya Joslin KUINGIA STUDIO naikumbuka sana inaitwa ningejua ni nyimbo ya joint mobb .corous inasema. NINGEJUA YA KWAMBAAA NIA YAKO KUNIUA NISINGEEE FANYA MAOVU, SASA YAMENIPATAA! NABAKI NINGEJUAA NINGEJUAAAA......! DULLY ALIFANYA COROUS ,Baadhi ya mistari ya Joslin inasema "machizi wakasema kweli inatishaa"
@Loismo
@Loismo 10 ай бұрын
JoseLiin 🔥🔥🔥
@benbranco3688
@benbranco3688 11 ай бұрын
Nliendaga kumuona kwenye show asee kigambon navy zaman sana 2006
@kelvinrichard2759
@kelvinrichard2759 10 ай бұрын
True legend
@tahataly2413
@tahataly2413 11 ай бұрын
🔥🔥
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 6 ай бұрын
Ni vita vya kiroho||hivi sasa ni soo||nitafanyajw
@bennylove6021
@bennylove6021 6 ай бұрын
Madawa! Madawa! Madawa!
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 5 ай бұрын
J unaongea kwa mapozi
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 11 ай бұрын
You don't use it man!
@abdibuddy7583
@abdibuddy7583 7 ай бұрын
Hii ilinipita. Nimeifata humu 🙏 #2pacWithoutNoiseRing
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 15 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 22 МЛН
02 - Il-Ministru tal-Ekonomija Silvio Schembri | Ricky Caruana Podcast
1:45:52
Ricky Caruana Podcast
Рет қаралды 4 М.
Hiki ndicho alichomanisha Dizasta Vina kwenye "MBUZI"
2:01
Di analystic
Рет қаралды 2,4 М.