Рет қаралды 6,496
Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano ya The Classic na mkali Joslin ambapo amezungumzia tuhuma za kua mraibu wa madawa ya kulevya ,Jinsi ambavyo pia hanufaiki na kazi zake zilizopo mitandaoni sambmba na kukosa mirabaha ya kutosha na mengine mengi