THE CLASSIC P FUNK EP 1:JINA P FUNK/HISTORIA YA BONGO REC/NATURE/AY HAKULIPA/NIDHAMU/SITAKI UJINGA

  Рет қаралды 51,825

KuviFacts

KuviFacts

7 ай бұрын

P Funk Majani anatajwa kama mtayarishaji bora zaidi kwenye game ya BongoFleva akiwa ameitumikia kwa karibu miongo mitatu sasa ,aliweza kufika katika episode hii ya kwanza kabisa na kupiga stories nyingi kuhusu safari yake ya muziki sambamba na waliomzunguka,katika episode utafahamu mengi ambayo pengine hukua unayafahamu kabisa kuhusu yeye ,karibu na uenjoy huku ukisubiria episode ya pili inayotarajiwa kufanyika vivi karibuni
#pfunk #majani #bongoflava #bongorecords #theclassic

Пікірлер: 171
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 3 ай бұрын
* Fid Q - the most intelligent with highest IQ and overall the greatest bongo hip hop artist of all times. * King Crazy GK - the greatest bongo hip hop visionary, who initially wanted to take bongo musics to the highest level, and one of the best rappers. * AY - the greatest bongo hardcore punch line real hip hop rapper of all times. * Prof Jay - the most credible and consistent bongo rapper of all times. * Kalapina - the greatest panafricanist and revolutionary bongo rapper of all times. * Ngwear - the most flexible bongo rapper, who could fit in all rap styles, of all times. * P Funk - the godfather and Alfa & Omega of bongo music followed by Master J. Much respect and love from Congo🇨🇩✊🏾
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 7 ай бұрын
Big fan of Pfunk from Mombasa Kenya nilistuka sana kujua ni yeye ali produce classics za mashifta ukoo flani 'pesa pombe' na 'system ya majambazi'
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
Kwa Tanzania kwenye miaka ya early 2000 he was everything wasanii wote wakali walirecord Kwake he is the True legend n God father of bongo flavour.
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 7 ай бұрын
Believe me not nmefatilia sana rappers wa Tz since way back nakubaliana na wewe
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 7 ай бұрын
Pia amefanya kazi na Kikundi Cha Kalamashaka
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
Heshima sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 ай бұрын
@@KuviFacts Bro Jabir tunashukuru sana kutupa tunachotaka fans wako na Sisi hatutakuangusha tutakupa support yetu ya kutosha
@isayaashangai1081
@isayaashangai1081 6 ай бұрын
Yaani bilaa hawa wadau ungekuta watu wanaimba bolingo walahi 😅😅😅Heshima kwenu
@DaudiJuma-kp5bm
@DaudiJuma-kp5bm 5 ай бұрын
😅😅
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y 7 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@albert1088
@albert1088 7 ай бұрын
We need to make documentary about this man bro......He deserves that....LEGEND.!!
@badifundi6089
@badifundi6089 6 ай бұрын
Paula karithi kila kitu kwa babake kasoro akili Tu
@rodgerswanjala8919
@rodgerswanjala8919 6 ай бұрын
😂😂😂
@DaudiJuma-kp5bm
@DaudiJuma-kp5bm 5 ай бұрын
😅😅
@solomonsudi8657
@solomonsudi8657 6 ай бұрын
Hakuna producer East Africa anakaribia Majani. Legend. Kwanza kwa hip hop ya Africa Mashariki
@nallynkeke103
@nallynkeke103 5 ай бұрын
Mika mwamba💪
@epitomeapex
@epitomeapex 4 ай бұрын
​@@nallynkeke103 KWELI ASEE MIKA MWAMBA NDO ALIOWAFUNIKA WOTE AKINA MAJANI NA MASTER J WALIOANZISHA GAME
@swalehngobele4812
@swalehngobele4812 7 ай бұрын
Sema hiyoo ya UKOO WA MAJANI KAIWEKA KITALAAM SANAA😂😂😂😂
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 4 ай бұрын
Hahaha
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 6 ай бұрын
Dr. Dre wa East Africa, Majani !!
@mcwillehard2070
@mcwillehard2070 6 ай бұрын
Nilichopenda zaidi ni ubunifu wa watu kumpa maua yake akiwa bado hai
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
pamoja sana kaka
@owenmutale8686
@owenmutale8686 7 ай бұрын
Ulimwengu ndio mama jay moe
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 3 ай бұрын
Dre, p funk are my greatest producers of all time
@amunisalim5839
@amunisalim5839 7 ай бұрын
Yoh... The Background sound..Sio lazima ...inaleta kelele
@kadengekitsao3885
@kadengekitsao3885 6 ай бұрын
huyu ajengewe sanamu lake wallahi, maoni tu
@victorosong132
@victorosong132 25 күн бұрын
1.Mzee wa Busara 2.Msinitenge 3.Mtazamo 4.Mangirima Hizi ni baadhi ya ngoma zilizopikwa zikapikika.
@harrykarua9238
@harrykarua9238 7 ай бұрын
Majani one of the greatest Producer to exist in this game of Tanzania..Salute sana kwake..💯👊👊👊👊👊
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 2 ай бұрын
"Mentor wa me, alishatufikisha kwa P Funk Majani"! If you know you know🇰🇪Kshaka Mashifta
@nahashonnderuwaithira831
@nahashonnderuwaithira831 6 ай бұрын
From 254 but this guy from the start Asap Asap this nigah need a billboard in TZ
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 3 ай бұрын
He needs a museum n highway
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 7 ай бұрын
Hasheem Dogo+Kalapina~Tunasonga nnayo kwenye playlists zangu
@biggiesmalls5050
@biggiesmalls5050 6 ай бұрын
Nikiwa Kenya Kuna radio station ilikua inaitwa Kiss FM ya bongo ilikua inapiga hip hop mno sijui kama iko ama vipi
@jameskilasa759
@jameskilasa759 3 ай бұрын
Ipooooo
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 ай бұрын
Ipo sem hain nguv km clouds efm wasafa etc
@simas.a1003
@simas.a1003 7 ай бұрын
That's p funk majani. The legend. Halafu mleteni na boni tumsikie baada ya hizo season 3 za p funk
@noahb2009
@noahb2009 7 ай бұрын
Boni tayari ameshapita hapo
@youngdira1584
@youngdira1584 6 ай бұрын
Bila shaka ndie ailiefungua kipindi for the first time
@dokta_suley
@dokta_suley 7 ай бұрын
Best Interview Ever all the way from LONDON 🎉
@mackamehassani201
@mackamehassani201 Ай бұрын
Acha niicheki tena hii interview aiseee, kuna kitu uwa nakipata kwa majani aiseee😅. Na arudi tn huyu mwamba for part two.
@maulidomary4123
@maulidomary4123 6 ай бұрын
Bcoz Ana asili ya mbele ndo Mana yuko perfect na time ya kazi na time ya Bata naf respect to majani Ila mwambie mzeee Kuna beats Kama Niko bize jafari au mtt wa kiume geez mabov au latifa ya mb 🐕 na hiyo hawatuwez bila kusahau zeze dingi lilikua na hasira Sana humo
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 ай бұрын
Mikasi yete na prof ludigo waalikuwa na hasira sanaaaa.. Achilia mbali sogg dogy na bizz man na yeye majani SHE GAT GWAN 🙌🏽WALICHAFUKWA
@mckobatz5861
@mckobatz5861 6 ай бұрын
😂😂😂 eti majani we mchumba tu acha kutubania masela
@chaneldimbaofficial
@chaneldimbaofficial 7 ай бұрын
Sema kwelii jina lina mfaaa kabsaa yani. Kilakityuuu MAJANI TUPUUU. YAN BANGI
@dj_wijo
@dj_wijo 26 күн бұрын
My favourite show show one day nipate guest dj hapa
@eddytheblayze3810
@eddytheblayze3810 3 ай бұрын
Hyo version II ya msela yakina ngwea inaitwa kwenye kila jamii Kina Bamboo na Jmo
@franciskassanga7999
@franciskassanga7999 6 ай бұрын
nilitaka nishangae, P-Funk bila Jay Mo (Mbakiajia)
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 ай бұрын
Majani bhna et weusi “wale watoto wanarespect..” nakubal eastaa✌🏿
@isayaashangai1081
@isayaashangai1081 6 ай бұрын
Embu fikiria tunasonga ingekosekana wanangu dah 😢😢😢
@xtra100
@xtra100 6 ай бұрын
Beat zote alizosema zilikuwa kali sana...beat aliyosahau ni JOSEPH...ya Prof Jize
@slimpirate6020
@slimpirate6020 7 ай бұрын
Hapa kenya 🇰🇪 tumamheshimu P-funk…👏🔥❤️ asante kwa interview 🙏
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 6 ай бұрын
Bonge la pindi hill jabili majani hua interview zake zinakua kali sana
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 7 ай бұрын
Baba wa bongo fleva
@blasssume116
@blasssume116 7 ай бұрын
Majani should make a documentary aisee god father
@dicksoniaidani3822
@dicksoniaidani3822 7 ай бұрын
Oyaaa weee mzeee Jabir Saleh hapo Majani aliposema ugali mboga za majani na kibua umefurahia sana 😂😂😂😂😂 mzee wa samaki
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
hahaha
@erqmusic5973
@erqmusic5973 6 ай бұрын
Tumia uboooo Yani tumia ubongo 🔥 😂😂😂😂😂
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf 4 ай бұрын
Majani ndio majani kapuni ngoma nzuri inatoka kwa majani salute kwako majani kutoka Amsterdam
@bittersweet1683
@bittersweet1683 6 ай бұрын
Mmenisoma ni beat kali kabisa na chid hakuyipatiya huruma
@walespamba8989
@walespamba8989 6 ай бұрын
Majani🔥🔥🔥
@kiatu
@kiatu 6 ай бұрын
Kiingereza wilikuwa nacho, siku hizi 🤔?
@kibakivideos
@kibakivideos 6 ай бұрын
Majaniiii tomb apaaa........... 🔥🔥🔥🔥
@ronaldiko8794
@ronaldiko8794 6 ай бұрын
MAOKOTO MUHIMU TRULY SAID
@biggiesmalls5050
@biggiesmalls5050 6 ай бұрын
🌹🌹🌹 apewe maua yake mkuu,,namtambua sana Juma Nature from +254
@giztony2009
@giztony2009 2 ай бұрын
Mzee nadhani bila kofia una poa sana kuliko unavokuwa na kofia yani hupendezi mkuu wangu, hapa anayeshauliwa ni ndugu mtangazaji wala cyo majani
@KuviFacts
@KuviFacts 2 ай бұрын
Mtoto wa kiume unaanza kumwambia mwanaume mwenzi hupendezi au unaopendeza?acha mambo ya kina diddy hayo mkuu
@ricchmontaana
@ricchmontaana 6 ай бұрын
The classic interview wazee wa hip-hop tukiwa na jabir tunajipata ⚓⚓
@farajiissa560
@farajiissa560 3 ай бұрын
Born love,majan p funk was genius all the time
@anthonykamaukuria
@anthonykamaukuria 6 ай бұрын
Wakitajwa watu katika bongo flavour P funk lazima awe.ni moja ya watu wanafanya bongo flavour ipewe heshima duniani ❤
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic Ай бұрын
mwanangu nimechelewa kuijua hii chanel🙌🙌
@LusajoMwakibasa-cr2je
@LusajoMwakibasa-cr2je 6 ай бұрын
Respect p. Funk majani
@managergoa6798
@managergoa6798 6 ай бұрын
Hii ninoumaa
@iamdjgunz1414
@iamdjgunz1414 6 ай бұрын
Huyu jamaa ana hitaji heshima kubwa sana kweny game ya bongo🙌🙌
@gedionsitta8896
@gedionsitta8896 6 ай бұрын
Jina wimbo background beat
@hassanshaaban9508
@hassanshaaban9508 5 ай бұрын
Peke yangu by Adili hisabati
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 4 ай бұрын
39:53 ❤❤❤❤ My favorite joh makini and the whole crew
@Djugaripro
@Djugaripro 7 ай бұрын
na emepita na ngoma ya janjalo kilimanjalo
@matthewkyamba3707
@matthewkyamba3707 5 ай бұрын
For real this dude alitengeneza hit songs zote n nzuri. #Much respect to him 🇹🇿
@user-rz6nz5dg1u
@user-rz6nz5dg1u 4 ай бұрын
Kaka kipindi kizuri ila shda ni moja tu unapoipiga ngoma kwaajili ya muhusika aichambue unafanya kama unaonjesha tu sekunde alafu inaikata sasa wengne tunachelewa kulipata kwa haraka ilo biti na kujua iyo ni ngoma gani ivyo nishauli uwe unaachia ngoma walau dakoka moja tu au moja kasoro ili nasi twende sawa kuliko kutuacha nyuma iko kipindi ni chetu tunaitaji twende sawa pia big up sana bonge la pindi
@KuviFacts
@KuviFacts 4 ай бұрын
Kweli kaka lakini tunafanya hivyo kwa sababu hiz nyimbo zina halimiliki tukiziacha intvw itakua na matatizo na channel inaweza fungiwa kwa kukiuka sheria za hakimiliki
@mwinyiheriabdul5191
@mwinyiheriabdul5191 7 ай бұрын
Beat. Mstar wa mbele ya pina moja kat ya beat kali mnoo.. Na beat ya nin mnataka ya pig black
@ngaukamaita3979
@ngaukamaita3979 7 ай бұрын
Kweli aisee!!Hayo madude si mchezo aisee
@henryjohn4781
@henryjohn4781 7 ай бұрын
P Funk a.k.a Mdach heshima kwako Legend.
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 7 ай бұрын
I respect Majani so much. Much love Mzazi wa BongoFleva
@benjaminnyatu4846
@benjaminnyatu4846 7 ай бұрын
KUTOKA MTAZAMO SALOON NAKUBALI SANA MWANANGU BIG
@everlastthebad4441
@everlastthebad4441 6 ай бұрын
KUVIFACTS....thanks
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 6 ай бұрын
Mwamba namkubali sana
@simas.a1003
@simas.a1003 7 ай бұрын
Pia namsubiri sana kumsikia Jacob makala a.k.a JCB (Jesus come back)
@MsafirLeuna-zz6rw
@MsafirLeuna-zz6rw 7 ай бұрын
Anauza album ya fundi Jcb pia unaeza ipata naweza patia namba yake
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 6 ай бұрын
P funk ni mmoja tu east Africa
@miltonemusumbah2544
@miltonemusumbah2544 7 ай бұрын
Bring back P. Funk We need him like evry week. He is everything in Bongo evolution. Much respect and much love Majaniiii
@jkifutu7936
@jkifutu7936 3 ай бұрын
Majani na kukubali sana mwanangu
@bosmutoto4416
@bosmutoto4416 Ай бұрын
P FUNK - GOAT
@engitech100
@engitech100 6 ай бұрын
Big brother PFunk, the Gogfather , GOAT when it comes to bongomusic
@Djugaripro
@Djugaripro 7 ай бұрын
He is the king of Tanzanian music
@voisaclassic1866
@voisaclassic1866 5 ай бұрын
Na huyo bonny love yuko wapi kwa sasa
@patrickjulius5951
@patrickjulius5951 7 ай бұрын
Bongo record TZ no 1
@ikabako2454
@ikabako2454 5 ай бұрын
The GOAT 🐐! Mastermind P Funk Majani
@trofinlyimo3520
@trofinlyimo3520 6 ай бұрын
Oraaa dingiii!!.. Ivi bado bongo rekod ipo?
@darhustler
@darhustler 5 ай бұрын
Its all about hip-hop, Dakika 12:01
@leonelleo4425
@leonelleo4425 7 ай бұрын
Hii kubwa sana Jabir..Mpe Hi mdogo wangu Mnubi hapo Efm..
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 2 ай бұрын
P Funk ni Jembee. Much respect brother. Peace.
@angedizzle1
@angedizzle1 7 ай бұрын
🔥 🔥
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 6 ай бұрын
NAPENDA music 🎵 Sana
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 6 ай бұрын
hiyo nyimbo ya profesa jay inaitwa taifa la kesho
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
sahihi kabisa,asante
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 6 ай бұрын
@@KuviFacts karibu sana kaka
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
pamoja na shukran kwa kutazama kaka@@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 6 ай бұрын
@@KuviFacts Kaka P fank majani akija tena mwambie aelezea hizi biti aligonga akiwa na mizuka gani, biti ya Pig black nini mnataka mazee/ hili game ya juma natural/ handsome ya dulli sky/ Jose mambo , umebaatisha jibu / mvua na jua ya jay Moe / maisha ya bodi ya jay Moe/ kama unataka dem jay Moe ft solo thang & Q chila & juma natural , yataka moyo ya profesa jay/ tathmini ya profesa jay ft jay Moe.
@malandichangarawe4568
@malandichangarawe4568 5 ай бұрын
Mkubwa P Funk. God bless you
@guluramadhani1799
@guluramadhani1799 7 ай бұрын
🔥👏👏👏🔥
@kionehamismahuruku6925
@kionehamismahuruku6925 7 ай бұрын
Noma sana.
@aloycemassawe3222
@aloycemassawe3222 6 ай бұрын
This is pure GOLD unasafiri mbali kukumbuka enzi hizo na kupata picha nyuma ya pazi. Mungu awabariki sana SAAAAANA!
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 7 ай бұрын
One of the best interview✌🏻
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 6 ай бұрын
Respect kwako majani
@eliusnchimbi716
@eliusnchimbi716 7 ай бұрын
P Funk is a legend🎉🎉🎉🎉
@swahili_tz
@swahili_tz 7 ай бұрын
💥💥💥💥
@bekacarter5348
@bekacarter5348 7 ай бұрын
Mdachi🔥
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
👍👊✌️。
@kaindulahwamburahaty6060
@kaindulahwamburahaty6060 7 ай бұрын
Legendary
@barakaekuro
@barakaekuro 7 ай бұрын
We need part II ASAP 🔥🔥🔥
@eliudeliakayela9598
@eliudeliakayela9598 7 ай бұрын
Beat king east africa
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 6 ай бұрын
1 of the best interview
@marungijustus6594
@marungijustus6594 6 ай бұрын
The best interview. I like it!!!
@vidicumbaya9155
@vidicumbaya9155 5 ай бұрын
💯🙏
@salumuseif3324
@salumuseif3324 7 ай бұрын
Tumemsubil sana nomaaaa
@hansonlz
@hansonlz 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@abdibuddy7583
@abdibuddy7583 6 ай бұрын
#2pacWithOutNoseRing signing in bro.
@samirmswahili
@samirmswahili 7 ай бұрын
🐐🐐
Ni moja ya nyimbo zenye hisia kali sana Emanuel Nkulila - Pain In Me
5:35
1 класс vs 11 класс (неаккуратность)
01:00
БЕРТ
Рет қаралды 4,8 МЛН
KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
42:18
arkas online tv
Рет қаралды 389 М.
#LIVE: BLOCK 89 EXCLUSIVE INTERVIEW WITH P FUNK - DECEMBER 20. 2019
1:20:35
THE CLASSIC JOH MAKINI:
1:13:33
KuviFacts
Рет қаралды 1,8 М.
DUDU BAYA AMCHANA MANARA KUHUSU MAKONDA| PUNGUZENI DHARAU SASA MMEUMBUKA
56:25
Billnass feat Jux - Maboss (Visualiser)
3:20
Billnass
Рет қаралды 406 М.