UTAPENDA FEROOZ, DAZ NUNDAZ, SUGU WALIVYOKUTANA (BONGO FLAVA HONORS) HESHIMA KWA WAKONGWE

  Рет қаралды 21,434

TimesFMTZ

TimesFMTZ

25 күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 78
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 20 күн бұрын
Elimu Dunia Daz baba,big up sanaaaaaa brother. Kipindi hicho hatukuwa na maokoto sana lkn tulikuwa na furaha mno,life was virtually free of stress unlike today. Tutakuwa wote ndani ya nyumba. Arise Blackman
@peterndondole
@peterndondole 18 күн бұрын
Nawakuli sana wote watatu
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 7 күн бұрын
Sugu forever ✌️✌️✌️✌️✌️💯
@samauvetonlinetv6298
@samauvetonlinetv6298 13 күн бұрын
Nakubali sana hiyo harakati. Pia niwapongeze wakuu Hawa ni noma enzi mpaka Leo. Big up Daz baba big up ferouz
@AntonMlyuka
@AntonMlyuka 22 күн бұрын
Tz inatakiwa kuwa na roho kama ya sugu bro mungu akupe maua yako
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 18 күн бұрын
DAZ BABA KICHWA SANAA WENYE D MBILI WENZANGU WATAKUWA WAMENIELEWA
@user-vv3hi7kt4f
@user-vv3hi7kt4f 23 күн бұрын
big up brother sung ww king of Tanzania 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@godsosmukama5958
@godsosmukama5958 7 күн бұрын
19th July ni Birthday yangu hongera sana Sugu.
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd 21 күн бұрын
Hongera sana sana Mr.Sugu. Huo ndio ulikuwa muzik.Ulikuwa na kila kitu. Hongera.
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 18 күн бұрын
daaaaah😢😢😢😢😢 nimekumbuka Kipindi nasoma Sinde primary school 2002 nikiwa darasa la sita
@jacobmsiganga4121
@jacobmsiganga4121 12 күн бұрын
Big up sana...
@NoahMalanga
@NoahMalanga 19 күн бұрын
jamaa wemekua daaa...nipo primary kipindi hicho🔥🔥
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 18 күн бұрын
Feruz hata ndevu hana...Bado mdogo sanaa
@muhsinramadhan1490
@muhsinramadhan1490 15 күн бұрын
Dah!! Big up Kamanda Sugu, ila huyo mwamba Dazz baba kazeeka sana cjui ni hiyo minywele! MUNGU amnusuru👏👏.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 18 күн бұрын
"🎤 ...yakimwagika hayazoleki maji kaka mwenye kipaaji, naa!, nakupa dibaji m'paka univike..taji..Nite chupa!"
@TizoOmary-fs8hg
@TizoOmary-fs8hg 15 күн бұрын
Mp sugu pamoja sana, jasili muongoza njia, mkumbuke na mdogo Ako baba t, selemani msindi, heshima kwako,
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 10 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉BADO TUNAWAPENDA SANA..YOTE NI MAISHA TU NA KILA KITU KINA MWANZO NA MWISHO WAKE.....SALUTY KWENU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AMwamzola
@AMwamzola 21 күн бұрын
Show itakua kali saba hadi rahaa Show love kwa ferooz na Daz b
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 18 күн бұрын
Ningekuwa bongo sio ya kukosa hii
@user-zk8sg3iw1z
@user-zk8sg3iw1z 19 күн бұрын
Safi Sana Sugu big up may God bless you 🙏
@idarousomar1
@idarousomar1 18 күн бұрын
Dah vimekutana vichwa vinne
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 18 күн бұрын
Itakua noma sana hiyooo🎉🎉🎉
@alexandermalima610
@alexandermalima610 23 күн бұрын
Big up Sugu,you are always real bro,that is hiphop
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 17 күн бұрын
Nomaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaa
@jumaibrahim4297
@jumaibrahim4297 18 күн бұрын
Daz Baba rasta zinamkondesha
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 19 күн бұрын
Appreciation about King Sugu.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 23 күн бұрын
Niite daz baba kama ukipenda niite daz 1
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 24 күн бұрын
Hii safi sana, Sugu anaweza sana!
@user-vm1hl8kc7t
@user-vm1hl8kc7t 21 күн бұрын
Nakubali sana sugu vizuri🤝
@MPOYOLAFILMS
@MPOYOLAFILMS 20 күн бұрын
Niite sajo a. K. a mentally... Yakimwagika hayazoleki maji... Na mwenye kipaji.... Univike taji...
@asherywilbard-yx6fb
@asherywilbard-yx6fb 16 күн бұрын
Nawakubali kinomanoma wazee
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino 16 күн бұрын
Bangi ni mbaya sana namakundi yanawaponza vijana ila hao jamaa Ngoma zao zitaishi milele ushauri waache madawa na wajiusishe na mazoezi makali watapendeza sana hasa uyo Daz baba
@seifhassan3811
@seifhassan3811 15 күн бұрын
Nawakubali sna wanangu ila fanyeni show tutawasapoti sana ludini jamani nawakumbuka sana kipind
@user-iv5wr9wl9u
@user-iv5wr9wl9u 23 күн бұрын
Wakubwa wa game hao
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 21 күн бұрын
Sugu hongera
@kulwamalingumu
@kulwamalingumu 18 күн бұрын
nawakubali sana
@livinswai9291
@livinswai9291 16 күн бұрын
Mtoe ngoma kama kundi bas wanangu tumewamis kinoma noma
@harrysonngosha7931
@harrysonngosha7931 22 күн бұрын
Safi sana sana sana sana
@AmaniCosmetix
@AmaniCosmetix 23 күн бұрын
Nimekubali
@evaristkobelo3936
@evaristkobelo3936 21 күн бұрын
Sanatu wanangu Larumba bamba tata
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 19 күн бұрын
duu loo inaniuma sana nikiwaona wanatakiwa wasanii wenye pesa ndio ivo
@NoahMalanga
@NoahMalanga 19 күн бұрын
King Sugu
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 15 күн бұрын
Bangi mbaya sana.. Wakati wenu umepita.... Ni uwanja wa Diamond kwa sasa
@kalezabongo2806
@kalezabongo2806 15 күн бұрын
Bila shaka we ni mtoto wa 2000
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 12 күн бұрын
We nifala acha mazarau daz nunda nyimbo zao zinaishi ad leo
@InspirationalGoldenRetri-xl2wn
@InspirationalGoldenRetri-xl2wn 15 күн бұрын
LaRhumba
@idarousomar1
@idarousomar1 18 күн бұрын
Mnastahili maua yenu kwa kweli
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 23 күн бұрын
Npo central africa ila siku hyo nitakuja
@YusufnduneJana
@YusufnduneJana 21 күн бұрын
Ebwanae itakua moto sana
@JumaWayeye
@JumaWayeye 14 күн бұрын
Huyo anayesema wakati wao umept hawajui hao wamba
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 19 күн бұрын
Njemba zimechoka kichizi
@user-zj7dr2sy7t
@user-zj7dr2sy7t 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@drmahwa8166
@drmahwa8166 17 күн бұрын
Acheni mibange tubuni kwa Allaah.miziki ya nini naumauti umetungojea?
@user-fq7ke7sd1y
@user-fq7ke7sd1y 15 күн бұрын
We Kuma nn Nan kakwambia mziki ni bange😅 usikalili nyoko
@khalifakatobo4184
@khalifakatobo4184 12 күн бұрын
Sajo unapita kama Ay kwenye flow
@AthonySaimon
@AthonySaimon 21 күн бұрын
Nipo urusi ila siku hyo ntakuja.
@sadamshantiwa9749
@sadamshantiwa9749 9 күн бұрын
@Athonysaimon Urusi ya nyoko.
@robbyawesometv7030
@robbyawesometv7030 19 күн бұрын
Will be there also
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 17 күн бұрын
Hy ngoma ya starehe itagonga mpaka kizazi na kizazi
@user-hd7vt8fk5t
@user-hd7vt8fk5t 23 күн бұрын
Daz baba ameua hapo
@DaudJofrey-yr2fn
@DaudJofrey-yr2fn 14 күн бұрын
Daz mkali san huyu mwamb
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 19 күн бұрын
shoo inatakiwa iwe kiingilio kikubwa watu tutakua wengi
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 15 күн бұрын
Sas huyo daz baba hilo zigo huko kichwani lanini
@jkifutu7936
@jkifutu7936 23 күн бұрын
Nipo Japani but iyo siku nitafika
@TonnyMaster
@TonnyMaster 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@VotanVotan-gb3hd
@VotanVotan-gb3hd 20 күн бұрын
Hili mbona jiwe la moto
@Magrethkilegu
@Magrethkilegu 19 күн бұрын
Hazielewi njemba
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 17 күн бұрын
Feruzi😅😅😅😅😅
@muddylikwena128
@muddylikwena128 21 күн бұрын
Mtu anapo ambiwa basi usimalizie kusoma
@sabasmichael1199
@sabasmichael1199 22 күн бұрын
Wapi Ally Mbongo wa Tanzaniano?
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv 17 күн бұрын
Oya mumetisha wanangu
@AnthonySindabaha-de3xb
@AnthonySindabaha-de3xb 19 күн бұрын
Campaign
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 18 күн бұрын
walete Mbeya Jongwe tukumbuke tulikotoka
@user-zw4dx4go8o
@user-zw4dx4go8o 11 күн бұрын
Ebhana mtoe bac jamani Kwa pamoja kama kundi kritiki simuoni
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 3 күн бұрын
Kritiki sasahivi nimchungaji mzeewangu
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 20 күн бұрын
Dubai ila lazima nije kiukweli nimepamiss nyumbani ni muda sijawaona kwenye majukwaa
@ahmadbihaytv4460
@ahmadbihaytv4460 19 күн бұрын
Nitafanya nini sasa
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 12 күн бұрын
Nawakubalia sana wote
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 17 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 237 М.
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
Boss (feat. Ferooz & Juma nature)
7:26
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 50 М.
Зря они облили полицейскую водой...😂
0:25