KUANZA SAFARI ZA SGR DAR - DOM, WAZIRI MBARAWA AKAGUA NJIA, JENGO LA STESHENI DODOMA "TUKO TAYARI"

  Рет қаралды 6,488

TRC RELI TV

TRC RELI TV

15 күн бұрын

KUANZA SAFARI ZA SGR DAR - DOM, WAZIRI MBARAWA AKAGUA NJIA, JENGO LA STESHENI DODOMA "TUKO TAYARI"

Пікірлер: 22
@user-fp9uu1xb7z
@user-fp9uu1xb7z 14 күн бұрын
Dah! Hii kitu Magufuli ilibidi aione na hata huko aliko Mungu amsaidie na ampunguzie adhabu ya kaburi
@vinny.morales
@vinny.morales 14 күн бұрын
Tunamshukuru sana Hayati John Joseph Pombe Magufuli kwa maono yake na uthubutu katika mradi huu. Aendelee kupumzika kwa amani🙏🏿
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 14 күн бұрын
wanakuchukiaa ss tunawajuaa haooo pigaa kazi tena hatutarudiii tenaa enziii ya mwariiiim😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 күн бұрын
uko huru mshukuru tu, ila nakushauri uzidi kumuombea marehem, ila wengine tunamshukuru saana Mama SSH kwa kuendeleza miradi yote ya maendeleo, kwa hakika mitano tena, amethubutu na ameweza, je una swali lingine? yule aliyekuwa anamwabudu Magufuli sasa hatunae tena , ila anaemuabudu Mungu , Mungu yupo na hana sifa za kufa, Tanzania kwanza Mengine baadae, kama una chuki hama Nchi
@khamissaleh921
@khamissaleh921 11 күн бұрын
Maono ya Marais wa EAC , Museveni,Kikwete na Uhuru kenyatta hio Reli iko katika manifesto ya Africa Mashariki na ilandaliwa na Mhe Rais kikwete na kwa upended wa Kenya Ni Uhuru Kenyatta ,kazi imeanza baada ya kuweka Mataruma na Mhe Samuel Sitta na ikaendelea kujengwa wakati wa Mhe Jemadari Magufuli na yeye akapendekeza iwekwe ya umeme badala ya dizeli ilio buniwa na Mh Kilwete .
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 14 күн бұрын
Baba Baba nakuita mala tatu na ya mwisho babaaaaa kwann uliwahi kuondoka mapema hivi daaa😭😭 pumzika kwa amani JPM 😭😭
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 13 күн бұрын
Acha kukosoa kazi ya Mungu
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 12 күн бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke nimemtaja Mungu hapo acha kunichonganisha na Muumba basi
@tulibakomwafula9079
@tulibakomwafula9079 12 күн бұрын
Asante Yesu kwa kazi njema. 🙏💃💃💃
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 13 күн бұрын
Hongera Sana Tanzania, Hongera Sana Raisi Wetu Mama Yetu Samia Suruhu Hassan, Hongera TRC..2025 tupo Na Mama tupo Na CCM.
@florianruttahindurwa1189
@florianruttahindurwa1189 13 күн бұрын
@trc mi nina swali, roof kwenye platform zenu hazijacover platform nzima,je nyakati za mvua ni utaratibu gani utafanyika ili watu wasiloe? pia stesheni ya dodoma inabidi kuwe na lane mbili ndani ya stesheni na ndo sababu ya kujengwa platform mbili, je itajengwa lini?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 күн бұрын
Mhe SSH amethubutu na ameweza saaana, yaani ana uwezo wa kushika kikombe cha kahawa na Kuongoza vizuri tu, sio kutumia mabavu na manguvu, Kuongoza Nchi ni coordination tu na ameimudu mno, kuunganisha Viongozi wakawa na lugha moja, tukiendelea hivi tutafika mbali mno. Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi Mungu mbarik SSH
@zawadix9574
@zawadix9574 14 күн бұрын
Jamani mbona ata sija skia mtu ana shukuru yapi merkezi.... contractor shames kweli
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 13 күн бұрын
Analipwa ni wajibu wake
@lifeonearth94
@lifeonearth94 11 күн бұрын
Magufuli ndo uti wa mgongo wa hii leli, japo samia pia kaimalizia na kaweka bei nzuri pia
@ahmadbawazir8639
@ahmadbawazir8639 13 күн бұрын
Tunaomba Kwneye booking pawe na sehem ya kuchagua seat number na sio.changanyikeni
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 13 күн бұрын
Hastaili kushukuliwa mm anaestahli ni hyt jpm nac hyo mnaempamba
@samkratos1
@samkratos1 14 күн бұрын
why don’t you give use updates of lot 4 and 5?
@DaudiMede
@DaudiMede 14 күн бұрын
Good question, and Lot 3 too
@samirsaid2087
@samirsaid2087 14 күн бұрын
Kumbe nyie amna mlichofanya mana kila kitu kafanya mwenyewe mama.mama oyeeeee
@hakarim786
@hakarim786 14 күн бұрын
Mizigo mnaanza lini?
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 14 күн бұрын
Bebeni abiria mda ndio huu.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 14 МЛН
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 649 М.
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
MegaBuilds
Рет қаралды 48 МЛН
Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
10:50