Mjue Chifu wa Wahehe, Adam Abdu Sapi Mkwawa

  Рет қаралды 67,822

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa amemkaribisha Rais Magufuli mkoani Iringa kwenye sherehe za Mei Mosi.
Je, unajua ni kwanini yeye amechaguliwa ingawa ni mdogo kuliko ndugu zake wengine? Sababu hizi hapa.

Пікірлер: 48
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumuona chifu wa kihehe damu imenisismuka maashaallah
@kelvinkihongoso9094
@kelvinkihongoso9094 6 жыл бұрын
kweli ana asili ya kiarabu
@shanynyalusi1507
@shanynyalusi1507 6 жыл бұрын
Kumbe uchief unalisiwa ha ha ha chief ni handsome
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wahehe wazuri pia wasomi
@stevenkapugi4209
@stevenkapugi4209 2 жыл бұрын
Jamaa mrembo.kinoma
@binurusm8886
@binurusm8886 5 жыл бұрын
Degeliinge !! Hili jina Limenikumbusha mbali sana, asante.
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
Niko jina Mkuu nimeshindwa kulokariri! Hongera kwa chief mdogo naipenda Tanzania!
@oyay2821
@oyay2821 5 жыл бұрын
Chief afaa asome awe mzuri kwa kutoa hotuba
@charlesabere
@charlesabere Жыл бұрын
I'd love to tour Iringa kwa heshima za Chief Mkwawa aliyewanyonga wajerumani 300 kule Lugalo ambapo hayo hauwezi yapata ndani ya vitabu vya history maana myahudi hataki ukweli huo ujulikane
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 4 ай бұрын
Hayo majina aliyoyataja hata moja sijakalili
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Vipi jamani huu uchifu na u mangi si ulishafutwa au ndio kuna sehemu na sehemu unakubalika.
@ftmat2805
@ftmat2805 6 жыл бұрын
Mashallah
@givasmwananzumi5941
@givasmwananzumi5941 6 жыл бұрын
vzr xn kijan n jamb l heshim kutunz tamaduni mungu awe awe
@gerradtarimo3077
@gerradtarimo3077 6 жыл бұрын
Upuuzi tu huo, et chifu hakuna chifu anaefanania ivo chifu hajui hata lugha ya nyumbani! Upuuuziiiii.....!
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 6 жыл бұрын
Gerrad Tarimo nenda iringa ukaomgee upuuzi huo ndio utajua ni chifu au laa
@gerradtarimo3077
@gerradtarimo3077 6 жыл бұрын
Hussein H Kitambi Mpuuzi tu huyo hamna chifu apo! Anaonekana hata kihehe hajui! Chifu wa Wahehe alafu yeye anaishi Dar au nje ya nchi pelekeni upumbavu huko na usanii wenu huo kuhadaa watu, chifu gani soft ivo ww!
@hildascorner2327
@hildascorner2327 4 жыл бұрын
@@husseinhkitambi1701 hasira za nn wewe sasa? Punguza wivu basi..ni wivu tuu
@nasragora8188
@nasragora8188 3 жыл бұрын
Ujui maan ndo maana unasema
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Tetete majina marefu utafikil ya kichina
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 6 жыл бұрын
Nyerere rudi uone machifu wanaanza kurudi
@hosianasanga356
@hosianasanga356 6 жыл бұрын
James Jahasa hahahahahahaaaaaa
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
James Jahasa hahaha kwel arud
@hosianasanga356
@hosianasanga356 6 жыл бұрын
Beauty Ibrahim kwanin arudi
@megapain33
@megapain33 6 жыл бұрын
Tutunze tamaduni: hongera magu
@nicksonthevet
@nicksonthevet 4 жыл бұрын
Nyela munoge
@maryamdounga2290
@maryamdounga2290 6 жыл бұрын
😂😂😂chifu mzr
@Princewaweru
@Princewaweru 10 ай бұрын
Hapo mlifeli kumpa huyu dogo
@hosianasanga356
@hosianasanga356 6 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa kachifu kaoga kinoma harafu naomb niulize ivi nikademu au kasela?
@godfreymhumba8275
@godfreymhumba8275 6 жыл бұрын
Hosiana Sanga wakiume huyo
@hosianasanga356
@hosianasanga356 6 жыл бұрын
godfrey mhumba nikajua ni dem nilitaka nianze mchakato wa namba ya simu
@godfreymhumba8275
@godfreymhumba8275 6 жыл бұрын
Hosiana Sanga hahaha haah sio mbaya wakiume huyo so kazi kwako
@hosianasanga356
@hosianasanga356 6 жыл бұрын
godfrey mhumba me mwenyew wakiume kaka
@yohanakigulu3372
@yohanakigulu3372 4 жыл бұрын
Hosiana Sanga a
@neemambuja435
@neemambuja435 6 жыл бұрын
jamani hii ni dharau chifu gani huyo labda ni wa ukoo wao mstujumlishe ninavojua mm machifu washakufa kitambo sana mstuletee kiki kwenye pikipiki
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Neema Mbuja yaaan mm nilishasahau habar za machifu
@marcodominico9503
@marcodominico9503 6 жыл бұрын
KWELI BADO MTOTO
@mgavinyimsilulwibako4277
@mgavinyimsilulwibako4277 6 жыл бұрын
Chifu wa nani bwana hata kujieleza hajui
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 жыл бұрын
Hako kachif nilidhan ni kadem
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 6 жыл бұрын
arafa iddy Hahahahaha umenichekesha sana daaah
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 жыл бұрын
mohammed abdallah Kweli so utani
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 6 жыл бұрын
Hahahahaha halafu kanaona aibu hakawezi kuzungumza
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wahehe wazuri
@deus8629
@deus8629 6 жыл бұрын
dogo kasoma ulaya then unakuja chief iringa
@kherryserera9451
@kherryserera9451 4 жыл бұрын
usilolijua n sawa na ucku wa giza..Alokuambia chief huyo alikuwa akisoma Ulaya n nani?😁😁
@nasragora8188
@nasragora8188 3 жыл бұрын
Usilolijua litakusumbua
@emanuelkikoti8022
@emanuelkikoti8022 5 жыл бұрын
chifu gan mm skatambui hako kwanin kila sku ni nyinyi2 muwape n.a. wengi
@summanelson5523
@summanelson5523 6 жыл бұрын
Kumbe machifu bado wapo!!!!
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 26 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 422 М.
MAGUFULI Amekutana na Jamaa Anayemuigiza Sauti Yake!
6:20
Global TV Online
Рет қаралды 120 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН