TULIWAAMBIA:DR SLAA ANACHAMBUA WALICHOFANYIWA WAFANYAKAZI WA BANDARI NA DP WORLD.

  Рет қаралды 19,996

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Ndugai alisema kweli nchi inauzwa sasa inekuwa kweli
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Hivi kweli ni Ndungai aliona haya.🙄 Wengine wote WAMELISHWA nini??
@raybirry3816
@raybirry3816 6 ай бұрын
BANDARI ZA ZANZIBAR ZIMEKWEPESHWA KWA KUSUDI KABISA KUUZWA KWA DP WORLD.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Mm uchaguzi wa mwaka wa 2024 2025 utakuwa kazi sanaaaa Mwenyezi Mungu tunaomba amani tu Tanzania
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Dr.mlipaza sauti sana kwa ajili ya taifa letu,mlidharilishwa kwa ajili ya nchi.Dr mpaka mkaitwa wahaini..Mungu tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Crister Shayo waliwadharau Tec Mungu anatoa jibu na pia hao wafanyakazi wa Bandari walishindwa kuandamana kuogopa virungu
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 6 ай бұрын
Kama mambo yako hivyo rais wetu huyu hatufai kwanini anatudanganya
@JaneJennifer-zk7bk
@JaneJennifer-zk7bk 6 ай бұрын
Baada ya kusema hayo, naomba uwashauri cha kufanya mheshimiwa, lakini pia wapo wanasheria wenye uwezo sana, naomba wasaidiwe kisheria maana watakuwa watumwa kwenye nchi yao muda si mrefu
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 6 ай бұрын
DR SILAA TATIZO WATZ TUNA MASIHARA NA MAMBO MUHIMU
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 6 ай бұрын
Kabisa
@MathiasLubuva-jv8fb
@MathiasLubuva-jv8fb 6 ай бұрын
WAFANYAKAZI WA BANDARI WAJITAHIDI KUWAWAWAZI
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 6 ай бұрын
Mmmmmm Mzee hakika umetema madini😢😢😢
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 6 ай бұрын
Tumekuelewa baba, tufundishe zaidi Nini chakufanya,hasa sisi watanganyika? Hali hii tutaikomesha kwa maandamano yasiyo na mwisho hii nchi ni yetu watanzania wote, siyo ya serekali.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 6 ай бұрын
Na nimesikia pia Jengo la makao makuu ya police linaondolewa kupisha Ujenzi wa gati 😂😂😂😂
@DismassYuda-lh7du
@DismassYuda-lh7du 6 ай бұрын
P
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
George hiyo ni trela mchezo wenyewe badooooo kutabomolewa kila kitu warabu wafanye yao tuliwakataa waarabu utumwa sasa wanarudi jamani waende zanzibar tujechoka utumwa na muungano uvunjike au kuwe na Serikali tatu kila mtu awe na kwai wa bara warudi huku na wa vusuwani warudi kwao
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 6 ай бұрын
Wariwazalau maaskofu sasa wajipange Kuja uku mtaani kuuza dagaaaa
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 6 ай бұрын
Wewe mungu ,mungu wewe tufanyeje Hawa viongozi walio uza bandari waondoke waingie watu kama huyu slaa mana wapo wengi wenye uchungu na nchiyao Yani nchi imeangukia kwa mafisadi wanaongozwa na utawala wagiza ewemungu tenda miujiza iliwajue kuwa upomungu mpenda haki
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 6 ай бұрын
Wewe acha kumuambia mungu kila kitu nenda kwenye maandamano tukomboe nchi yetu. Mungu kakupa akili ujue na utende
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Ameni
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Wabunge ni wapuuzi na wadanganyifu,mbona Halina Mdee alusimama kidete kupingwa yeye aliusoma wapi?
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 6 ай бұрын
KINACHOFANYIKA NI KAMA ILIVYOFAMYIKA ATC
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Nchi imeuzwa kwa warabu tayari
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 6 ай бұрын
Bunge dhalimu alitetei mwananchi wanatetea serekali dhalimu wote ni walanguzi wa mali zetu
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 6 ай бұрын
Wewe usiseme wabunge hawakutetea hoja ya bandari lakini hata wafanyakazi wenyewe wa bandari hawakujitetea wala hawakuunga mkono wanasheria. Sasa moto umefika kwao wajifunze na liwe funzo kwa watu wengine wanaojiona wako salama. Asante dr slaa
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 6 ай бұрын
Mama wa Tz wauza nchi wao wafurahia uwekezaji mnatudanganya. Haki nusu kwa nusu
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 6 ай бұрын
Wakati wanashauri juu ya mikataba mibovu , hamkujua amkeni ukishauza urithi huna chako mumeuzwa na ccm bila kujua walipotosha sana mtaani
@Irenediana-g5b
@Irenediana-g5b 6 ай бұрын
Mama tunakuomba mama yetu nasie tuliofukuzwa na mh magum hapo bandarini tunaombautusaidie kupata hela zetu za nauli na mizigo hatuna mtetezi mamangu mh Rais Samia suluu Hassan tusaidie Sisi tuliokuwa makuli wa bandari
@ashahania5207
@ashahania5207 6 ай бұрын
Ayaaa!
@thomasmallya670
@thomasmallya670 6 ай бұрын
Slaa wewe ni muongo sana. Unajua kupanga maneno ili watu wasio na utaalam wakuamini. Agreement siyo mkataba angalia dictionary. Agreement ni makubaliano. Mkataba ni contract. Acha kupotosha.
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 6 ай бұрын
Uongo Dr Slaaa uko wapi?kusema bandari imeuzwa misitu na madini ni uongo?mikataba ni ya siri ni uongo? Watanzania hebu tubadilike
@januarysila1569
@januarysila1569 6 ай бұрын
Wataperekwa muvomero kama hawana pa kwenda
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Chama cha wafanyakazi Bandarini wanasemaje?? Au kuna mambo wanayajua ambayo wananchi hawajui?
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 6 ай бұрын
Bila shaka wanalo wanalojuwa. Kimya chao kinatia shaka.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Adeline rushwa imetembea sanaaaa hapo kwenye chama cha wafanyakazi hamna jinsi huyo ndiyo mama aliyebeba wezi wa awamu ya nne tutamkumbuka sana hayati magufuli mungu amlaze mahali pema peponi amina
@anosiata8242
@anosiata8242 6 ай бұрын
Ni hatari
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Tutarudi kule kule kufuata vitabu vya dini vinasema toka lini mwanamke akawa nabii shekhe au Rais mqma washauri wake wamemuingiza choo cha kiume mama anarimotiwa sana maana siyo mfuatiliaji Tunaomba amani tu
@RashidiDaudy-ez6zt
@RashidiDaudy-ez6zt 6 ай бұрын
wakome majehu hao
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 6 ай бұрын
Mzee Slaa kwanini wajitesa rudi chama tupige kazi kwa pamoja, hiyo sauti ya watanzania ni fakes Group hiyo haito kufaidi kwa lolote...
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 6 ай бұрын
Na bado hakuna watu wajinga kama sisi watanzania utadhani ni maiti zinazo tembea. Na viongozi wamesha tuzoea. Wanajuwa hawa siku mbili wamesha poa, na hapo hapo kuna watanzania wenzetu wanao shiba wanakamata watanzania wenzao eti wachochezi wanaacha walio jamba na wengine wametema mate kuhisi harufui mbaya unakamatwa ulie tema mate jamano
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 6 ай бұрын
Nimesoma comment zote wanaopinga wote ni makafiri mfumo kristo umewalemaza walijua ni nchi ya makafiri peke yao.. Na mwaka ni samia 5 tena
@samwelmashamba8922
@samwelmashamba8922 6 ай бұрын
Acha udini ww
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Kunguni au chawa unawaza udini tu kichwani!
@YohanaMagembe-i6z
@YohanaMagembe-i6z 6 ай бұрын
Mtafuteni mlisho tumuulize maana ndio alikuwa msheleheshaji
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
user acha kutania watu hayo maoni yako ya kipelelezi hayawatishi watu huyo mrisho mchumia tumbo ni kama chawa tu wengine watafuta ridhiki usiwachafue kabisa watanzania wana uchungu sanaaaa nchi inatokomea wewe unasema utumbo wako
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Watanganyika/Watanzania tuamke tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi ujao kuanzia wenyeviti wa vitongoji, madiwani, wabunge mpaka Rais piga chini ccm! Amkeni vijana tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 6 ай бұрын
Wa fanya kazi hawata poteza kitu chochote selikali yetu ni sikivu Ita wapangia kwingine
@aminimushi6945
@aminimushi6945 6 ай бұрын
Kwingine wapi?
@bsmonline8482
@bsmonline8482 6 ай бұрын
😂😂😂 cheki huyu hahahaha
@JoachimMussa
@JoachimMussa 6 ай бұрын
Wewe mjinga tu unaposema watatafutiwa kazi nzingine tuambie kazi Gani tuambie zaidi ya bandali
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 6 ай бұрын
Mmm kazi ambazo hûwa tunambiana wa tz, kuuza mboga, kukaanga chips, boda boda, kupaka rangi, ubunifu wa kazi nzuri uliondoka na mwalimu. Hizi zilizobaki ulimbukeni shida sasa ngoja watugawie. Maisha ni jinsi inataka yawe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
user unahangaika sana mara unatoa maoni haya mara unabadilika pole sanaaaa jitahidi sana kuchunguza maoni ya watanzania na utayapata haswaaa poleeee uko kazini
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 6 ай бұрын
BILA SHAKA MIMI NAONA HUYU NI MKOSA RADHI ZA WAZAZI WAKE SI KAWAIDA TABIA ZA HUYU JAMAA KIVURUGE.KILA ANAPOKUWEPO NI LADHIMA AHARIBU.ALIHARIBU KANISANI WAKAMFUKUZA,AKAHARIBU CCM,AKAHARIBU CHADEMA NAKUMSALITI LOWASA,TUNDU LISSU,MBOWE,AKAHARIBU HATA KWS MKE WAKE.HUYU NI MKOSA RADHI KIVURUGE.
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 6 ай бұрын
Nenda kaliwe mkundu mbwa wewe.mwenye lana ni Mama yko msenge ww
@MasanjaNyanda-p1w
@MasanjaNyanda-p1w 6 ай бұрын
Aliyeharibu ni Samia na wapambe wake na hii ni tamaa za Samia na kuzarau watanzania kwa vile anajua hakuchanguliwa nao hana machungu nao aliyekuwa na machungu hayupo. RIP JPM
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
user pole sana nahisi hukukwenda shule na hujui lolote kakojoe ulale
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
​@@kichenjekichenje2072Hongera sana umempa live mjinga huyo anamtukana Dr mzima anaekuelemisha hana shule huyo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
​@@MasanjaNyanda-p1wmungu atatoa jibu tu hakuna lisilowezekana chini ya jua
@ephremmalley153
@ephremmalley153 6 ай бұрын
Dr. Sala tunakushuru sana kwa kuyafunua hayo. Tunaomba sana walioko katika Tunashukuru sana Dr. Slaa kwa kuyafunua hayo. Tunaomba wabunge wetu na serikali yetu tuyafanyie kazi hayo yote. Hatutaki kuamini kwamba nchi yetu inauzwa mikoni mwenu!
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 6 ай бұрын
Tutaheshimiana mtaan walishazoea kitonga
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 63 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20