Tundu Lissu awashukia Nape, Makalla "Katiba ndiyo inayowagawa Watanzania...

  Рет қаралды 27,658

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

19 күн бұрын

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amewajibu Waziri wa teknolojia ya habari Nape Nnauye na Katibu wa itikati na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Amos Makala kuwa yeye hana mamlaka ya kuwagawa watanzania na Wazanzibari bali Katiba ndiyo inayowagawa
Amesema ipo haja ya nchi kupata katiba mpya kwakua katiba iliyopo pamoja na kuwa na mazuri yake lakini imekuwa na Madhaifu makubwa ambayo yamekuwa yakiwafanya wananchi kushindwa kutatuliwa changamoto zao.

Пікірлер: 128
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 16 күн бұрын
Nape na Makala ni mawakala wa SHETWANI,piga kazi kamanda Lusu
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 16 күн бұрын
Wakala mkubwa wa Shetani ni TUNDU
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
​@@sskondopoleani9616 lete hoja tuichambue
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 15 күн бұрын
Ukweli mchungu hii ni Elimu ya viwango vya juu Sana
@user-md3le4ri5e
@user-md3le4ri5e 16 күн бұрын
Wenye uelewa mpana wa mawazo tumekuelewa sana
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 16 күн бұрын
Mmmmh
@PartySekemi
@PartySekemi 15 күн бұрын
Kwani yule mbunge wa zanzibar mohamedi issa alietaka tuingie zanzibar kwa kutumia paspot sio mbaguzi?
@JumaMohammed-ch1sm
@JumaMohammed-ch1sm 16 күн бұрын
Wazanzibari wana nchi yao na wanailinda watanganyika hamuna nchi. Kwa vile hamna nchi na katiba hamna pia
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 16 күн бұрын
Chadema kumbe hamnahaja ya mabavu hoja zenu tu zinatosha watz huku bara hawana uelewa
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 16 күн бұрын
Watanzzania wote wako na lissu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 17 күн бұрын
Hizo ni hoja za msingi sana wenye akili timamu tunawaelewa chadema kwa maslahi ya rasilimali ya mtanganyika enyi.misukule.ya.fisiyemu kakojoeni muendelee kulala
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 10 күн бұрын
Nlkuwa skuelewag kumbe wew ni noma sanà unajua mno bro lissu
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 16 күн бұрын
Nape na Makalla mpo? Ukitaka kubishana na Lissu, inabidi ujitafakari kwanza. Amefumua hata yaliyojificha, msiyoyatarajia yenye uhalisia wa ubaguzi, je mnalo nyie machawa?
@gebhardnyoni7246
@gebhardnyoni7246 9 күн бұрын
Tafsiri ya ubaguzi ipoje
@BossiLaizer
@BossiLaizer 16 күн бұрын
Mungu kukunusuru na risasi 16 ana malengo makubwa mno.
@ImmaThelonewolf-bk2cx
@ImmaThelonewolf-bk2cx 17 күн бұрын
Hiki chuma
@bakariissa3440
@bakariissa3440 10 күн бұрын
jamani tuweni makini uchaguzi ujao tuchague lisu ili tupate nchi yetu rasmi iliyopotea kwa sababu haipo
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd 16 күн бұрын
Pamoja sana lisu
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 16 күн бұрын
uje na songea mwamba
@user-cq4lp5rv1l
@user-cq4lp5rv1l 11 күн бұрын
Mara nying huwa unaongea point kwenye ardhi nakuelew kidogo ila kwenye nafas so sahihi maan iyo tanganyika haipo mnatumia sehem gn mmasem tz bara mara jumuhur wa muungano wa tnzania kwn si zimeungana kwa iyo ana haki popote
@user-xm6yw2rp2k
@user-xm6yw2rp2k 10 күн бұрын
Watanganyika wa melala sana wanatawaliwa na wazanzibari hoja za msingi sana anazotoa lisu 😮😮.
@user-ly3yy8iv9z
@user-ly3yy8iv9z 10 күн бұрын
Lissu tupambanie watanganyika
@EliezaKetapale
@EliezaKetapale 16 күн бұрын
Najua ccm amuwezi kusikiliza kwa sababu nyinyi wezi
@raykas9976
@raykas9976 17 күн бұрын
Mtu ambaye atakuelewa , hawezi kuelewa mpaka anaingia kaburini. Tatizo kubwa la viongozi wetu wa Tanzania bara Tanganyika ubibafsi mwingi hawajari vizazi vijavyo.
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 16 күн бұрын
Nakuunga mkono.
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 16 күн бұрын
kweli mkuu wewe ni mwamba
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 11 күн бұрын
Hayo ndo mambo magafur alikuwa hayataki
@twahirshali8014
@twahirshali8014 6 күн бұрын
Ukilala ukiamka wa Zanzibar wazazinbar wazazinzibar wazazinzibar. Koma na wazazinzibar
@tibonmbingi1082
@tibonmbingi1082 9 күн бұрын
Aminia baba
@LeonardOlemeikasi
@LeonardOlemeikasi 14 күн бұрын
Tupo pamoja
@obednyagani506
@obednyagani506 4 күн бұрын
Mbeba maono hafiiii mpaka yatimie
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 12 күн бұрын
One love Lisu.Wahamshe wengi Usingizi Sana
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 8 күн бұрын
Mimi naswali ni Mana ya Mtanganyika watazania wote ulilia neno Mtanganyika wakati mjuwi mana yake wala ni lugha ipi 😂😂😂😂
@MohamedHamis-ht8bb
@MohamedHamis-ht8bb 16 күн бұрын
Aise wananch tujitambue 2025 tusifanye makosa
@petersilas4234
@petersilas4234 16 күн бұрын
Udikteta wakati mwingine ni kipaji, huyu Lissu kwa tabia yake anajiamini kwamba ana akili kuliko wote wanaomzunguka. Ukimpa nchi ataongoza anavyofikiri yeye.
@johnmwanyika
@johnmwanyika 16 күн бұрын
Kwani uongo?. Ambae anamzidi Akili nae aje na hoja zake wapambane kisomi. Lisu sio mwenzenu Kama mnavyofikiri
@monelayongola419
@monelayongola419 13 күн бұрын
Angalia hoja anazoongea. Ni madini matupu. Ikiwa wanampinga, wajipange . Mbaguzi ni katiba nasio Lisu
@petersilas4234
@petersilas4234 11 күн бұрын
Za kwako ni lazima uchanganye na za wenzako, ndiyo hekima isemavyo​@@johnmwanyika
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 10 күн бұрын
Lisu ana akili kuzd wote ,angalia hoja zake ndo utajua
@BossiLaizer
@BossiLaizer 16 күн бұрын
Tukitaka kuwa huru tukajifunze Kenya
@petersilas4234
@petersilas4234 16 күн бұрын
Hamia huko!! Ukabila na ukanda ndio nyumbani huko.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
Katiba mpya ni mwarubaini wa changamoto inayotusumbu
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 16 күн бұрын
Wana jeshi wote ccm, wametuteka. Zanzibar emetekwa na jeshi.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 16 күн бұрын
Lissu kapiga kwenye mshono
@helencyprian8745
@helencyprian8745 16 күн бұрын
Kabisa ndo maana yanalalamika, wacha wapigwe
@PartySekemi
@PartySekemi 16 күн бұрын
Niwape mfano hai mimi 2019 nilikua machinga mwana kwerekwe zanzibar nilitumia kitambulisho cha machinga cha magu iliandikwa itatumika kwa jamhuri ya muungano nikakamatwa nikatoa nikaambiw ni cha bara kwani zanzibar sio sehemu ya muungano silipi wakachukua biashara yangu hadi leo nikawaacha nikaenda kuanzisha nyingine
@oscarmsigala6548
@oscarmsigala6548 15 күн бұрын
Pole sana Ndugu yangu Chinga wa Nyumbani.Amka sasa ni wakati wa wewe kusimamia upatikanaji wa Katiba ya Bara kwa ajili ya Watoto,Wajukuu na Vijukuu vyako vijavyo,Unga Mkono harakati hizi wala siyo dhambi,ni kwa sababu ya mambo kama haya yasiyoeleweka amabayo kwa kweli ni mengi na yanafaa sasa kwa Dunia ya sasa Lazima yaondolewe kwenye Katiba
@nassirnassir3623
@nassirnassir3623 9 күн бұрын
Hukujiongeza. Kwani kitambulisho chako unalipia wapi? Malipo unafanya bara itakuwaje ukitumie Zanzibar. Sasa Zanzibar watafaidika vipi?
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 16 күн бұрын
Naomba makala waombe uzimatu watayaona halo muda si mrefu hayo
@drkalokola5861
@drkalokola5861 6 күн бұрын
Lissu ulikuwa katika Bunge la Katiba mlipendekeza uchafu. Mlipendekeza vizuri kuwa asiyekuwa Raia wa Tanzania asipewe haki ya kumiliki ardhi. Halafu mkaongeza uchafu kwamba mwekezaji ahakikishiwe amepewa ardhi ya kuishi na ardhi ya kuwekeza. Haikubaliki katika nchi yoyote duniani iliyo na viongozi wenye akili.
@user-cp1pu4ev8h
@user-cp1pu4ev8h 4 күн бұрын
Wewe unayesema chadema hawana Sera huna akili kbb anasema lisu siyo uongo ni kweli mtupu yaani watanganyika sijui wakoje ni manyumbu
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 16 күн бұрын
Ushawahi kuona wapi binadamu anapigwa risasi kumi na sita na anapona,huyu mtu mungu ana mpango nae kutukomboa na haya mafisccm
@rajabumalilo1875
@rajabumalilo1875 10 күн бұрын
Namuona rwetamwa
@dennisungonella205
@dennisungonella205 16 күн бұрын
Lissu ni akili kubwa sana
@MwaitaBakari
@MwaitaBakari 16 күн бұрын
Kweli kk
@user-po9jw6pz8s
@user-po9jw6pz8s 12 күн бұрын
Watanzania yunajitambua, tunajua tuko kwa lisu
@helencyprian8745
@helencyprian8745 16 күн бұрын
Nikoo na Lisu na chadema kabisa
@williamreuben4866
@williamreuben4866 16 күн бұрын
Daah hatar sana
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd 15 күн бұрын
Nape kila akisimama anaongea pumbatu hajawahikuongea pointihata siku moja
@twahirshali8014
@twahirshali8014 6 күн бұрын
huna hoja Wewe.
@user-kk6bf6bt6f
@user-kk6bf6bt6f 16 күн бұрын
Mengine ukwel mtupu asema tundu lisu
@SantanaChilolos-ci4ht
@SantanaChilolos-ci4ht 14 күн бұрын
Tena mtamuunga mkono lisu kwa kubagua wa zanzibar badae ataanza wa zanzibar wengi ni Islamic tuwatenge badae ataludi kwenye ukabila Ndugu zangu wa Tanzania tuogope sana zambi ya ubaguzi na hapo lisu ameonesha kuwa yeye nikiongozi wa kikundi cha watu na si taifa Kwa wale walio somea 🇨🇺 tumeelewana vizuri
@user-ly3yy8iv9z
@user-ly3yy8iv9z 10 күн бұрын
Acha ujinga
@tobiasimruma703
@tobiasimruma703 15 күн бұрын
Nape analeta poroja badala ya hoja
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 16 күн бұрын
Hicho chama watu wote hawataki mbaguzi ww tundu lisu
@jamessiame5169
@jamessiame5169 16 күн бұрын
Wewe ni ccm kwani utakipenda
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 16 күн бұрын
Jibu hoja za msingi sio huo ujinga unaondika.
@PartySekemi
@PartySekemi 16 күн бұрын
Haujui unacho kisema na kama uko kijijini kwenu kaa kimya
@antonymomba8185
@antonymomba8185 12 күн бұрын
Lisu anatosha
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 16 күн бұрын
Hoja ya MR lisu inamashiko wanaompinga wako kisiasa na kulinda ugali na ajira zao watz tuamken kwenye maisha yetu ya Leo na kesho yetu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
Mwananchi wa kawaida anayepingana na hoja ya lissu ni wakuonewa huruma
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 16 күн бұрын
@@MiriamAbdallah umeonaee
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
@@husseinkonz5192 Iko wazi
@johnmwanyika
@johnmwanyika 16 күн бұрын
JAMANI WATANZANIA WENZANGU, MTU AKITOA HOJA ZA KISOMI NI VYEMA AKAJIBIWA KISOMI NA SIO KISIASA NDIO INAJENGA NA KULETA UELEWA KWA WATU. LAKINI MKITOKA NA KUSEMA MTU FLANI APUUZWE BILA KUJIBU HOJA, INASABABISHA KUFANYA WANANCHI WASIWAELEWE. UTAFITI UNATENGUMIWA NA UTAFITI SIO VINGINEVYO
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 16 күн бұрын
Sawa kabisa ndugu yangu. Maneno yako kuntu. Tatizo viongozi wetu hasa wa chama tawala, mtaji wao wa kuwawezesha kukaa kwenye viti au nyadhifa zao ni kwa njia ya kusifu na/au kutetea chochote kile hata kama uozo ukimgusa mama, CCM au muungano. Kifupi hawana uwezo wa kujenga/kujibu hoja kisayansi. Lissu katufumbua macho kwa mapya tuliyokuwa hatufahamu na mengine tuliyafahamu muda mrefu ila tuliyafumbia macho, kisa tutaharibu muungano! Big up Lissu.
@menyemusic
@menyemusic 16 күн бұрын
Mitanzania ni mijinga tu inawatumikia wanasiasa badala ya wanasiasa kuwatumikia wao. Shida yenu kubwa Mitanzania hasa Mitanganyika haijui nini inataka kwenye nini kwenye kwenye katiba
@SaidiMkome
@SaidiMkome 16 күн бұрын
Uwelewa wako mdogo sana
@pauljulius1662
@pauljulius1662 16 күн бұрын
Naomba kujua katiba ya Tanganyika Iko wapi ?
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 17 күн бұрын
Kwenye hili nakuunga mkono,ila tufanye tu bora liende maana hata sisi watu wa Kigoma tunaonekana wakimbizi wakati ndio tuliobeba jina la Tanganyika+Zanzibar = Tanzania. Hivyo tufanye Funika kombe mwanaharamu apite 😂😂😂. Hakuna usawa
@Soon815
@Soon815 16 күн бұрын
Unajua jina Tanganyika limetoka wapi???
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
​@@Soon815aseyejua maana kamwe usimpe utamwamsha
@SittaBuyambo
@SittaBuyambo 15 күн бұрын
Wewe saizi yako Ni Makonda
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 16 күн бұрын
Lissu mbaguzi
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 16 күн бұрын
Je umemsikiliza au akili yako ni ya panzi?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 16 күн бұрын
Hapo ni maji kufuata mkondo hawana akili
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 10 күн бұрын
Wew uende zanzbar kwa visa, wao wanakuja kwa visa? Nenda kamili ardhi zanzbar Kama utawez wao uku wamemilk huo sio ubaguz?? Uchawa unakusumbua
@drkalokola5861
@drkalokola5861 6 күн бұрын
Uongo huo. 1977 nilichaguliwa kwenda chuo kikuu cha Nairobi. Dikuulizwa kadi ya TYL. Lissu unajipunguzia sifa.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 16 күн бұрын
Mnamsifu mjinga huyo Lisu anajifanya anajuwa kila kitu wakati hajuwi lolote .Hafai kabisa hata kuongoza kitongoji
@Dd-mu4fj
@Dd-mu4fj 16 күн бұрын
We unaejua tueleze tusikie
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 16 күн бұрын
Jibu hoja kwa hoja. Amesoma vipengele vya katiba ya Zanzibar ww vikanushe kama una uwezo huo, acha kuandika porojo.
@fabby1181
@fabby1181 16 күн бұрын
Leo umepata Choo??
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 16 күн бұрын
@@fabby1181 ukihitaji maneno ya hovyo kwangu hayaulizwi.
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 16 күн бұрын
@@fabby1181 maneno ya hovyo kwangu hayaulizwi, ukiyahitaji sema. Tumia akili ukijibu hoja.
@SantanaChilolos-ci4ht
@SantanaChilolos-ci4ht 14 күн бұрын
Kumbe uyu mzee risasi zinamchanganya
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 17 күн бұрын
CHADEMA hawana HOJA sasa wanacheza karata ya UBAGUZI NA UDINI 🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@user-vg9sd2fc1k
@user-vg9sd2fc1k 16 күн бұрын
Wew na chama chako ndio hamna hoja.Miaka 60 mmeshindwa kuongoza nchi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 16 күн бұрын
@@user-vg9sd2fc1k FANYA KAZI HAKUNA MIUJIZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿IKO SALAMA CHINI YA SSH❤️
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 16 күн бұрын
We ndo boya kabisa , sijui unatokea upande upi katika muungano huu wa kibaguzi,.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 16 күн бұрын
@@user-fk6mt5ib6g WAULIZE TEC WANAJUA 🥳🥳🥳🥳🥳
@user-vg9sd2fc1k
@user-vg9sd2fc1k 16 күн бұрын
Kubishana na huyu jamaa ni kupoteza mda so 2kuache na maono yako.Naamini sisi tumechelewa ila tunaweza fanya kwa ajili ya vizazi vijavyo...
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd 16 күн бұрын
Pamoja sana lisu
Mwanzo mwisho jinsi Tundu Lissu alivyokabidhiwa gari lake na Polisi Dodoma
11:12
Nape amvaa Tundu Lissu Bungeni kuhusu kumwita Rais Samia Mzanzibari
13:09
Mwananchi Digital
Рет қаралды 37 М.
I PEELED OFF THE CARDBOARD WATERMELON!#asmr
00:56
HAYATAKU はやたく
Рет қаралды 33 МЛН
Ауылға қайт! | АСАУ | 2 серия
33:16
Qarapaıym Qanal
Рет қаралды 1 МЛН
Gwajima aangua 'kilio' Bungeni kisa ukatili kwa wanaume na wanawake
5:03
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
The Chanzo
Рет қаралды 137 М.
HALIMA MDEE AINGIA KWENYE 18 ZA TUNDU LISSU AFICHUA TUSIYOYAJUA...
13:54