#TUZO

  Рет қаралды 26,143

GeorDavie TV

GeorDavie TV

3 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 89
@suavisndayizeye5732
@suavisndayizeye5732 Жыл бұрын
God bless you so much BABA YANGU NABII MKUU GEARDAVIE
@dorinimalisa3062
@dorinimalisa3062 3 жыл бұрын
Amen napokea Uhuru wangu kuanzia leo Bwana Yes nisaidie hakuna kuteseka tena
@yahayatemu1858
@yahayatemu1858 3 жыл бұрын
Baba bwana Yesu, asifiwe, baba tunaomba maombi ya kufunguliwa, nimetoa sadaka ila sijasikia maombi juu yangu, .naomba msaada wa maombi
@JayaloSwagga
@JayaloSwagga 3 ай бұрын
Mimi naitwa peter nyaguti kutoka kenya, natamani nifike kwa Nabii mkuu ninafuraha nikiangalia tv najiskia kama roho yangu inarudi
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Napokea kwa jina la Yesu
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 Жыл бұрын
Naliinua jina Lako Yesu
@stephaniemmuya6588
@stephaniemmuya6588 3 жыл бұрын
Natamani nami siku moja kuja kusimama katika madhabahu yako mtumishi
@nurualphayo6557
@nurualphayo6557 3 жыл бұрын
Upako wa viwango vyajuu ,Amen.
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 3 жыл бұрын
Hongereni sana kwenu watu wa Dodoma
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Upako unainua unapandisha 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪kiwango
@sekellantondolo423
@sekellantondolo423 3 жыл бұрын
unastahili Tuzo Nabii Mkuu Baba yangu wewe ni tunu kwetu
@CRMEDIA-yd7dp
@CRMEDIA-yd7dp 2 жыл бұрын
Yaaan nabii hasaidiii mpk utoe sadka kweli mjin shule
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Mh! Huko ni kumwabudu mtu, siyo MUNGU!
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 3 жыл бұрын
Haleruyaa
@bernardkaite4183
@bernardkaite4183 3 жыл бұрын
Nyinyi nima shetani kwa hizo biashara mnazo fanya manabii wauongo mnyama yupo duniani now
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 3 жыл бұрын
Watu wanashida na mafanikio sio Mungu. Hapa ndio tabu kubwa ilipo
@elishamwanfinga1505
@elishamwanfinga1505 2 жыл бұрын
Kilaaminiye nakubatizwa ataokoka marko 16 ,15
@estherpassaris4912
@estherpassaris4912 3 жыл бұрын
Mimi naomba nifunguliwe njia. Nimeteseka na maisha sana. Mungu naomba unipee mume mwaka huu
@ruthmwamgunda1603
@ruthmwamgunda1603 3 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu hata mimi pia natamani siku moja nifike Ni mbali lakini kwa Mungu si mbali kupafikia ooo natamani mno
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
To God be the Glory
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
Many,many ,many, abundant BLESSES bestowed upon you by the LIVING GOD: JOYOUS DAYS MAN GOD. SENIOR PROPHET GEORDAVIE. THANK YOU JESUS AND AMEEN
@geraidinamutungi7122
@geraidinamutungi7122 3 жыл бұрын
Ehe Mungu wa Israel Kama ulivyo wafungua hawa nami kupitia hushuhuda huu naomba kufunguliwa
@erickelisa1066
@erickelisa1066 3 жыл бұрын
Too Much baba ,be blessed
@maxjofrey70
@maxjofrey70 3 жыл бұрын
Natamani sana jamani nifunguliwe daaah
@brownmbonimpa7088
@brownmbonimpa7088 3 жыл бұрын
Shelehe hii sikumoja itakuwa mbele ya Mungu, watu wa Mungu wanapofushwa mcho roho wa Mungu amesha wakimbia mda mlefu sasa nawaonya kama bado hekima ingari nafanya kazi maana ngumvu hizi sio nguvu ya Mungu bila kuwaficha manabii hawa watakiona kipigo mbele za Mungu. Ngumvu za shetani zinashelekewa? Ukiona mtu anagagaa chini wanaume kwa wanaume jua hizo ni nguvu za giza siwafichi sikumoja mtaikumbuka msg hii. Mtu akiwa na mapepo anaombewa haswa sio kama namna hio Yesu alisema baadhi ya mapepo yanatoka kwa maombi na hatachakura uche sasa mtu maneno mawili eti mtu amefunguriwa!!! Wekeni tahathali. Watu wangu wamekufa kwakukosa malifa.
@bigboys016
@bigboys016 3 жыл бұрын
Imani ibakie kuwa yakwako,wewe hujawahi kukutana na mungu akakuonyesha physically, kwamba MTU anafungukaje,upako unazidiana na uwezo unazidiana wewe kama unaweza kutumia masaa24 kumfungua MTU wengine wapo wamabarkkiwa kutumia sekunde,ndomana hata mashukeni wanafunzi wanazidiana uwezo,kunaanayefundishwa mda huohuo ameshika mwingine mapaka arudie mara b40, wewe amini unachokijua kuhusu mungu,na mungu Ndiye atakayetoa hukumu siku yamwisho mana hakuna Mwenye mamlaka yakuhukumu MTU duniani isipokua yeye mwenyewe,
@jameskalenze6314
@jameskalenze6314 2 жыл бұрын
Wacha Mungu ajidhihirishe kwa watu wake na hakuna mtu wa kupotosha hapo Kama huamini hiyo ndiyo level yako
@frankmakingi8930
@frankmakingi8930 3 жыл бұрын
Sisikii jina la Yesu kutajwa
@evelyneuwimana4010
@evelyneuwimana4010 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ila Nabi mkuu ni Yesu tu
@EmmanuelSanare-bc7si
@EmmanuelSanare-bc7si 11 ай бұрын
Amen 🙏
@catherinesumari7499
@catherinesumari7499 3 жыл бұрын
Uyu ndiye mungu aliye hai baba yangu mungu aliye ndani yako ni mkuu sana
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 3 жыл бұрын
Haleruyaaaaaa
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
amina baba
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Amen 🙏 Amen
@judymwende571
@judymwende571 3 жыл бұрын
Amen
@annahrayasi5936
@annahrayasi5936 3 жыл бұрын
Amina
@johnsonkanyembo4995
@johnsonkanyembo4995 2 жыл бұрын
Soit béni prophète de nation. Venez aussi au Congo RDC on besoin de vous
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Blessings Blessings Blessings
@heriethrobert2972
@heriethrobert2972 3 жыл бұрын
Super dadyeeee penda sna baba yangu unafanya kazi kubwa sna jamni
@zukramsuya9269
@zukramsuya9269 3 жыл бұрын
Barikiwa San baba
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@donathasimon9292
@donathasimon9292 3 жыл бұрын
GOD is good 🙏🙏
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 3 жыл бұрын
Nawaonea wivu jamani duuu wapi lake za mbeya na mchungaji Richadi Iyanga
@PeterKamachala-nr7qx
@PeterKamachala-nr7qx Жыл бұрын
Aponisaa nabihi
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
I connect
@mwajumamwanaisha7725
@mwajumamwanaisha7725 3 жыл бұрын
Nabii,nàtamani,nikufikie,Nina,shida,nyingi,Sana,,Niko,kenya
@samsonngweina1572
@samsonngweina1572 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana kuanzia leo sitaonewa tena mimi na family yangu
@mwauramwangi7068
@mwauramwangi7068 3 жыл бұрын
John..chega
@eduardomoussa4508
@eduardomoussa4508 3 жыл бұрын
Baba kwa sisi wenetupo mbali itakuwaje baba nabi tusaidiye na sisi baba🙏🙏🙏
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf Ай бұрын
Nisedie na mm baba ninashida najitado kutafuta lakin sifanikiwi
@reubenmwendwa6139
@reubenmwendwa6139 3 жыл бұрын
New wine
@moodyboma2717
@moodyboma2717 3 жыл бұрын
🙏,Ameeen..
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 3 жыл бұрын
Na mm napokea nikiwa Mombasa Kenya
@barakamollel9122
@barakamollel9122 3 жыл бұрын
Amen
@ABMROPE
@ABMROPE 3 жыл бұрын
Yesuuuuu power
@mariyaal5366
@mariyaal5366 3 жыл бұрын
Ameen 😭😭😭😭😭😭
@mariyaal5366
@mariyaal5366 3 жыл бұрын
Aleluya
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Amen Amen
@janethtito4777
@janethtito4777 3 жыл бұрын
Ameen
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
Mbavu zangu Mimi jaman🤣🤣🤣 iman yg ciamn
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
My goodness
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Hallellujah Hallellujah Daddy
@vickykapama8386
@vickykapama8386 3 жыл бұрын
HALLELUJAH
@bahatiamisi117
@bahatiamisi117 3 жыл бұрын
Naomba msaada ila niko mbali marekani
@fatumamahumba602
@fatumamahumba602 2 жыл бұрын
Jambo nabi nahitaji niongeye na wewe tapa namba yako je
@amanimadinda6081
@amanimadinda6081 3 жыл бұрын
🙏🙏 Ilikuwa siku ya baraka sanaaaa, kwa kuwekwa mahuruuu
@octaviusakizabraiton5133
@octaviusakizabraiton5133 3 жыл бұрын
Yesu alitpa jna lake lenye mamlaka ili kila mtu aokolewe kwalo sasa hyo hatumii jna la yesu huyo ni mganga kama waganga wengine waumin wake mmpotea anatiket ya kuzim
@JayaloSwagga
@JayaloSwagga 3 ай бұрын
Natamani nifike kwa kanisa uko pande gani, arusa ama darasalam
@nyangerisoleil4819
@nyangerisoleil4819 3 жыл бұрын
Tunataka ongeya na mutumwa
@abizacknkwankuzi7779
@abizacknkwankuzi7779 3 жыл бұрын
Mh mbona sisikii jina lenye mamlaka la Yesu Kristo likitamkwa
@solomonrwabose7600
@solomonrwabose7600 3 жыл бұрын
Ndugu yangu ni uchawi huu
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
@@solomonrwabose7600 kkkkk
@evamringo2331
@evamringo2331 3 жыл бұрын
Yesu yuko wapi apo jamani ..
@hoseejack2077
@hoseejack2077 3 жыл бұрын
Poleni wana wa mungu kwa msaada 0682446651 najuwa mnakiu ya kuurithi ufalme wa mungu lakini hapo bado ila kama mmefata miujiza na baraka za kibinadamu sawa lakin c,,,,,,,,,,
@magemushi5594
@magemushi5594 3 жыл бұрын
Acha tuone mengi kwakweli
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 3 жыл бұрын
ila tudanganyike mpaka lini nyinyi mashetani mutachomwa moto
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 3 жыл бұрын
Ameni
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 3 жыл бұрын
Mbona hausemi kwa Jina la Yesu? Je, unayafanya hayo kwa jina la nani? Ushindwe kwa JINA la YESU?
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 3 жыл бұрын
Heri wew uliyebaina kwamba hata jina la Yesu halitajwi, lkn kinachotafutwa hapa ni mafanikio ya muda
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 3 жыл бұрын
Heri wew uliyebaina kwamba hata jina la Yesu halitajwi, lkn kinachotafutwa hapa ni mafanikio ya muda
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
@@mwitamagesa1034 kwr
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Jesus Christ
@johnmicky2572
@johnmicky2572 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@wilbardchipanda
@wilbardchipanda 3 жыл бұрын
Shalom, utumishi ni safari ndefu sana. Kuna wengine wataamini nguvu halisi za Mungu na wengine hawataamini lakini sisi tunaamini kuwa Nabii Mkuu Dr.Geordavie ni Mtu wa Mungu na ametumwa na Mungu. Kuna mambo mengi sana yamefichwa katika ulimwengu wa roho na hauwezi kabisa kuyatambua kwa kutumia Theologia ila shule ya Roho Mtakatifu pekee ambayo ni adimu na ngumu sana kwani Roho huchagua kama apendavyo yeye. Tangu nimekutana na Baba mwaka 2015 nikitokea Makanisa yanayoaminiwa kwamba ndiyo yana Mungu wa kweli nikiwa mgonjwa katika mwili wangu lakini baada ya kukutana na nguvu hii nilipona kabisa na maisha yangu ya wokovu yamekuwa imara zaidi kuliko mwanzo. Mwenye masikio na asikie. Shalom
@mwlvicent5160
@mwlvicent5160 3 жыл бұрын
Huna Lolote we shetani tuuuu... Watu wanakuheshimu baadala wamuheshimu Mungu... Una mabodyguards baadala ulindwe na malaika... Eti Una nguvu Kuliko mwingine unamzidi hata Mungu kweli??? Watu wanakuita baba kwa minajiri ipi??? Jehanum is waiting for you
@jennydouglas7279
@jennydouglas7279 3 жыл бұрын
Na swala la mtumishi kuitwa baba ni kwa sabbu yeye ni baba wa kiroho kumbuka popote alipo onekana mungu Kuna mtu aliyesabbisha mungu kuwa pale ndio maana tunasema mungu wa Musa, mungu wa elia ,mungu wa yakobo, mungu wa ibrahimu mungu alimwambia ibrahimu wewe utakuwa baba wa imani kwa hiyo hata huyu mtumishi Joe anaitwa baba wa imani wa kiroho kwa mujibu wa Bible.
@fredxl5981
@fredxl5981 2 жыл бұрын
I connect
@charitygichinga178
@charitygichinga178 3 жыл бұрын
Amen
@mamy8220
@mamy8220 3 жыл бұрын
Amina
#APONYWA KIZAZI KWA TAMKO LA NABII MKUU - GeorDavie TV
6:46
GeorDavie TV
Рет қаралды 11 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 19 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,5 МЛН
ANGUKO LA SHETANI  |  BISHOP ELIBARIKI SUMBE  27/10/2019 (FULL VIDEO HD)
2:36:25
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 15 М.
Twenty percent  - HODI KISONGO
3:08
Uamsho Injili Ya Kinabii Music Collection {UIKMC}
Рет қаралды 1,2 М.
Part 1: Mungu ameamua kuviringisha aibu yako mbali .....
12:25
EAGT CHEMCHEM TV
Рет қаралды 6 М.
SOMO: IMARA KULIKO MWANZO - GeorDavie TV
48:41
GeorDavie TV
Рет қаралды 1,9 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН