No video

#MAHUSIANO

  Рет қаралды 335,651

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 566
@gracemfangavo4824
@gracemfangavo4824 3 жыл бұрын
Hii sio sawa kabsaaa me nadhan njia njema angewaita faragha jmniiii, unaweza ua mtu kwa presha et😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@apostlesamwelisautiyasimba238
@apostlesamwelisautiyasimba238 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaa kwa hapa amewadhalilisha Sana Ni bora angewaita pembeni maana Hawa tayari Ni Wana ndoa
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 2 жыл бұрын
Dhambi haina faraga
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Hapana hii nizuri zaidi kwaajili yakuwajengawegine pia ndani yakanisa
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 6 ай бұрын
Huu ndio ubaya miongoni mwa mabaya mengi ya ukiristo kudhalilisha watu
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 4 ай бұрын
Kurekebisha dhambi haina faraga.hiki alochofanya nabii mkuu na wengine wanajifunza na kujirekebisha wenyewe. Ingefanyika faragha wengine wasingejifunza.Asante
@apostlesamwelisautiyasimba238
@apostlesamwelisautiyasimba238 3 жыл бұрын
Kwa kanisa kubwa Kama hili vijana na mabinti wa Aina hii huwezi kuwakosa kanisani Mungu tupe Neema Tuongoze Hawa kondoo salama
@lovenesskarengi915
@lovenesskarengi915 3 жыл бұрын
Nachukia sana aibu hii sijawahi ona mtumishi wa mungu asiyekua Na kifua inaonekana huyu mtumishi yupo kimwili Wala si kiroho watu wa mungu someeni sana Bible Na mungu atusaidie
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Very right bibilia inasema watu wangu watapotea kwa kukosa kujuwa maandiko.
@janviersobhane8828
@janviersobhane8828 2 жыл бұрын
Dada acha wajinga wadanganywe,hakuna utumishi wa jinsi hiyo huo,unaitwa upumbavu.( hayo ni mambo ya ofisini sio madhabahuni) Mungu hakuwahi kudharirisha biblia ni amini na kweli.huo ni unabii wa kusomea saikolojia za watu,sio unabii wa mafunuo kutoka ofisi ya mbinguni.
@ijuekwelitv3150
@ijuekwelitv3150 3 жыл бұрын
Watu mnateseka aiseh na haya yanatokea hasa pale mwanadamu anapomtegemea mwanadamu mwenzie na kumsahau Mungu hatimaye kudhalilishwa mbele ya hadhira
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Watanzania angalini sana hawa manabii wanapenda sana kutenganisha ndoa sawatu na yeye yesu yule mwanamke alie vumaniwa kasamehewa bure kwambiwa wakwaapi wates wako
@leatitiamirimba4546
@leatitiamirimba4546 3 жыл бұрын
Amini kuna watumishi wa Mungu na kuna wacaguliwa
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 3 жыл бұрын
Pole dada mwenye watoto...MUNGU Ni MKUBWA watakua tu
@sweetylyimo3462
@sweetylyimo3462 3 жыл бұрын
Baba yangu,baba yangu ninaekupenda,kweli wewe ni nabii mkuu tena mungu anakutumia vipasavyo,be blessed mhe.Nabii Mkuu
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Жыл бұрын
Jamani kama mnaigiza kwaajili ya kufurahisha watu mungu anawaona
@edinanoel6151
@edinanoel6151 Жыл бұрын
Ndo dawa mmezid
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Amen.kweli baba una Roho wa Bwana yu juu yako.kitendo ulichokifanya hapo si cha kawaida ni advanced sana.ubarikiwe mtu mkuu wa Mungu
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Nahisi ni Sanaa tu inachezwa lakini ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.....Sanaa tuuu....
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Mh....iii maelezo yako bado hayajashibisha juu ya ukweli unaoufunua zaidi ya kuona visa na matukio ya kutungwa ni wazi sikatahi kile unachokitoa kwa wale wanaokuamini....unajua sasa watu wengi hujificha katika dini katika kuyatimiza mahitaji yao ya msingi,mara nyingi huwa napenda kujadili juu ya ukweli unaofanywa na baadhi wa viongozi wa dini ambao uitumia dini ni Kama ni chombo Cha kutekeleza biashara zao.....siku njema, ukweli anaujua Mungu pekee...
@lydiakundu429
@lydiakundu429 3 жыл бұрын
Shikamoo baba, Naomba. Kwa hisani yako ufunguo kanisa hapa Kenya, Napenda huduma yako sana sana ili nasi tukaweze kunywa maji kwenye kizima chako
@drinozzsamson8676
@drinozzsamson8676 Жыл бұрын
Naitwa zachalia daudi msaada wangu mkubwa ninaombi naomba mala 3 naomba tena mala3 naomba nipatetu namba ya nabii mungu tena jambo juu ya kuomba namba za nambii nifanikiwe amen🙏🙏
@landiismollel4075
@landiismollel4075 3 жыл бұрын
Jamani huu Ni sinema kabsa,Ni game limetengenezwa😆😆😆😂
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Nashangaa! Kanisa limekuwa kichaka watu wanafanya uzinzi wao kwa wao kanisa moja wake 2 alafu unasema umeokoka! Heri kuwa baridi kuliko kuwa vuguvugu.
@zabiboamissa18
@zabiboamissa18 3 жыл бұрын
@@marymfugwa847 ll
@williamsofia7372
@williamsofia7372 3 жыл бұрын
Jamani ..mbonna tunaangamia kwa kukosa maarifa...kwel nabii gani wa namna hii...si tujifunze ukweli ..
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 3 жыл бұрын
Sema alivyo nyoa tu anaonekana ni tatizo sana. Kiduku hiki
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Ase kweli mkuu
@madundaconstruction2469
@madundaconstruction2469 3 жыл бұрын
kabisa,huo mnyoo wa kiduku noma...
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 жыл бұрын
Kanitoa machozi aisee huyu Dada😭😭bt hongereni kwa kupatana👏👏
@hapi6113
@hapi6113 3 жыл бұрын
Mm pia nimeumia Sana
@nassoroamri1510
@nassoroamri1510 3 жыл бұрын
L. .,.
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 3 жыл бұрын
Hata me nimelia aisee
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
Ndoa zina maumivu 😭😭
@shinshi9696
@shinshi9696 3 жыл бұрын
Pastor katumia hekima ya hali ya juu sana. Huyu mwanaume Ni mshenzi sana
@estersteven1720
@estersteven1720 3 жыл бұрын
Kwel adi nimelia mwanamke hakika anamjuwa Mungu
@janeombati2290
@janeombati2290 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu nakufwatilia nikiwa narobi Kenya nimeumia sana na nimenjutia dhambi zangu zote na ninakili katika jina ra yasu mwana wa Mungu nimenziacha kuwanzia reo jina ra Bwana Mungu na damu ya yesu kristo msarabani ikaniongonze handi nitakapo Kutana na wewe
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 3 жыл бұрын
Barikiwa Nabii. Nabarikiwa sana kwa mafundisho yako.
@louisejeanne1760
@louisejeanne1760 2 жыл бұрын
Mpaka na mimi nalia kweli dada 😥😥a Mungu awasaidie na kuwalinda katika ndoa yenu 🙏🙏
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Kwakweli namshukuru mungu sana kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye njia ya haki uislamu huyo jamaa tunamjua fundi mpiga rangi huo ni usani unafanyika hapo watu wanashangalia na kusema ameni kweli inasikitisha sana sana aya ndani ya quran inasema viongozi wao wa ibada wanawapotosha watu wasimjue mungu wa kweli na kula Mali zao kwa njia ya baatuli wanapotoshwa wengi sana hapo
@user-dj2zk9js7v
@user-dj2zk9js7v Ай бұрын
Huyu si mtumishi wa mungu wa kweli ako anaangamiza watu tu
@asumptamwende1941
@asumptamwende1941 2 жыл бұрын
True this is man of God watching all the way kenya
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Dah hili kanisa noomaa hongera mchungaji
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Mungu msaidie Jmn
@joycezulu2750
@joycezulu2750 Жыл бұрын
Natokeya Zambia nakukumbali mtumishi wamingi
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 2 жыл бұрын
Mbona hivi mke wake yupo hapo kumbe na hawara nae yupo tena na mimba juu ndio nini madhabahu ya vipi hii jmn hapana 😢
@mariethapomamiminaombaaanz8221
@mariethapomamiminaombaaanz8221 2 жыл бұрын
Mimi hata sijaerewa
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 жыл бұрын
Mtumishi umefanya Jambo zuri saana ubarikiwe mno
@mchbofficial
@mchbofficial 3 жыл бұрын
Naona kuna watu zaidi ya mmoja😁😁 kama unahisi huyu jamaa ni fake gonga like hapa.
@moreenikutwa4232
@moreenikutwa4232 3 жыл бұрын
Good tunataka watu huyu sio wa baba wetu wambinguni wa baba tunawajua wanatenda miujiza kqa jina la yesu
@munezeroliliane9532
@munezeroliliane9532 3 жыл бұрын
Cakushangaza sijawayi kumsikia akiambia watu watubu zambi kwamba YESU Christo anarudi kulicukuwa kanisa lake🤷🤷🤷 mimi inanipaga ??? Kabisa
@anitharoby6210
@anitharoby6210 3 жыл бұрын
Ok
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 Жыл бұрын
Kuna Illuminati nyuma ya huyu mzee ukitaka kujua nenda umchunguze Safari zake na nchi anazokwenda
@isaackamando8484
@isaackamando8484 3 жыл бұрын
Halikupaswa kuongelewa hadharani, ni aibu sana
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 3 жыл бұрын
Hongera sana nabii, kijana nae very humble
@mosesmwasanga4697
@mosesmwasanga4697 3 жыл бұрын
Kiukweli, Hapo Kwenye Majina kuandikwa MTU mwingine Inavunja Moyo Sana.
@julithageorge1704
@julithageorge1704 2 жыл бұрын
Uwiiiiii nimelia jamani Mungu akutunze nabii mkuu nakupenda baba
@moseserasto7011
@moseserasto7011 3 жыл бұрын
Mbona pastor Kama ana command yaaan, it's like udharirishaji hivi. Ila i think hii ni game
@richardmeja8936
@richardmeja8936 2 жыл бұрын
nabii nakufatiria Sana ntafika hapo kwako nakupenda sana
@patrickmsekwa7773
@patrickmsekwa7773 2 жыл бұрын
Sasa kumuuliza mwanamume kama watoto ni wa kwake kwani anayejua ni mama wa watoto ndiye anajuwa baba zao. Halafu hilo suala ni la ndani si busara kuendesha kesi namna hiyo. Kama si picha ya kutengeneza, basi hapajatumika busara. Watoto pia wanajifunza nini hapo. Na pia watoto ni mali ya Baba na mama. Unaposema mke kumzalia mume maana yake nini. Nadhani ungefungua NGO au taasisi ya kuendesha kesi na sio kuita KANISA. Hapo hakuna sifa za KANISA la kweli.
@mrtontz6379
@mrtontz6379 2 жыл бұрын
Baba MUNGU akupe maisha marefu unasaidia sana
@Johnh-xt1zy
@Johnh-xt1zy 4 ай бұрын
Amen be it done to me according to your word Jesus Christ name
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Hii sio sawa mmemumiza mwingine sio sawa
@judithshabani1272
@judithshabani1272 3 жыл бұрын
Akuna cha kumuumiza kwa sababu yeye kavamia ndowa ya watu ♥️❤️🙏🏻
@koikalamu6476
@koikalamu6476 3 жыл бұрын
Charles 🤣🤣🤣
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Kuzalilishana 🙆‍♀️
@sitisaid8543
@sitisaid8543 3 жыл бұрын
@@rosnykayiba6013 baba nabii mm huwa niko na shida na mahusiano waeza niambia yenye niko nayo sasa ivi yatadumu baba nabii
@sast8409
@sast8409 3 жыл бұрын
Umeonaee yani ovyo
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@sitisaid8543 wewe unamuomba binaadamu mwezi muombe allah atakujibu haraka kuliko binaadamu allah akuongoze nduguyo yangu inshallah amin amin amin Allah karim
@sitisaid8543
@sitisaid8543 3 жыл бұрын
@@aishaarusha894 s ninabii ndio mana namuuliza
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@sitisaid8543 wewe na bii wako ni muhamad s w a sio huyo haina haja ya kumuuliza
@happynessheri8021
@happynessheri8021 3 жыл бұрын
Nashindwa kuelezea vile hii video imenifundisha, imenigusa na imeniimarisha, MUNGU WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIJAZAVYO akuimarishe, akuinue, na akuzidishie hekma yake, vijana tunaangamia wewe Mungu amekuleta kututoa kwenye shimo, unalea washirika vizuri kama baba na WATOTO wake, I like it for sure.. Be blessed Man of God
@stephenjefaofficial
@stephenjefaofficial 9 ай бұрын
Mtumishi mungu akubarik saaana hii hali imetesa watu wengi sana hasa wana mzik ndio tumepotea kabisaa tamaambaya sana
@moreenikutwa4232
@moreenikutwa4232 3 жыл бұрын
Wanadamu mtambuwe ata shetani hutenda miujiza jina la yesu halitajika hapo tambuweni kila nabii siku za mwisho watakuwa kqa jina la yesu lakini wengi wameweka mikataba na kuzimu ombeni mungu awape roho awafunuliw nabii wakweli
@joycenaftali2269
@joycenaftali2269 3 жыл бұрын
Upo sahihi
@queenmwaweya9691
@queenmwaweya9691 2 жыл бұрын
Kabisa nashangaa halitajwi jina la YESU hapo
@kizaanthony9162
@kizaanthony9162 3 жыл бұрын
Aiseee huyu mtu nimemfwatilia sanaaa ila hadi kufikia hapa sijawahi kumuelewa kama unabii wa sasa uko hivi acha wengine tukae, una waumini wengi ila sji kama wanakuelewa au to maajabu unayoyafanya ndo yanawafanya wasahau kauli zako coz una u mimi ndani yako wala humhusishi mwenyezi Mungu "mm nina uwezo" "mm nimekusamehe" " nataka uwe hv" dah eeh Mungu najua mm ni mkosaji na ni mdhaifu pia ila naomba uniepushe na maswala ya kuamini kila kinachofanyika kupitia jina lako maana wengi wanalitumia sana kwa maslahi yao binafsi
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Nakupenda Nabii wa Mungu, haya mambo yapo makanisani na nafurahi unaonesha. Wengine wanayaficha na kuwalaumu wanawake tu. Ukweli nakuelewa Geordavie. I wish to meet you face to face bt protocol is another issue
@philimonphilipo316
@philimonphilipo316 3 жыл бұрын
Mimi naona kuna manabii wengine ni watu wa hajabu haya una yafanya mbele ya watoto ukiwa na maana gani unawajengea nini na bii ukiwa unataka kuwaonya wambie uko ogisini sio mbele ya watoto huo ni kuwaharibu kimawazo watoto nayi waumini tumieni akili sio shida zenu kanisani hao sio mungu niwatu tu
@gideongerald2846
@gideongerald2846 2 жыл бұрын
Kuna kastori katamu hapa ka mahusiano kukiwepo na nabii wa kuona hivi safi sana
@bernicenduku9003
@bernicenduku9003 3 жыл бұрын
Mama na watoto kunashinda ,nabii protect the kids🙏🙏🙏
@Le_pastor_ORONGAI
@Le_pastor_ORONGAI 3 жыл бұрын
For this geordavie salute to you papaa
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Uchungaji Ni kazi ngumu nanizuri Sana mwenye kuelewa ameelewa
@MICHAELMOBILECARE
@MICHAELMOBILECARE 2 жыл бұрын
So touching and wise.kusema ukweli nabii Mungu amekupa wise knowledge i reconnect
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 жыл бұрын
Dah Mungu atusaidie na atusamee vijana tunamkosea sana
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@samwelmkilya9236
@samwelmkilya9236 Жыл бұрын
Huyu nambii hapa ndo nimemdharau anadhalilisha, yesu alisema ambaye hajazin ampige mawe mama hyu wore wakakimbia
@kipronoofficial6867
@kipronoofficial6867 3 жыл бұрын
Good work nabii wa mungu pia mimi niombe maisha yangu na yaweze kuwa ya manufaa,na shughuli ya comedy iwe murwa
@AliOmar-vc4ey
@AliOmar-vc4ey 3 жыл бұрын
Hapa ndo tuone kua Mungu ni mkubwa amemuumba mwanamme si wa mwanamke mmoja ndoa ya mke mmoja ni utumwa na chanzo cha mateso hapa suluhu ingekua ni ndoa ya mke zaidi ya mmoja
@esthernambeye627
@esthernambeye627 3 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu tumuogope public sure what kind of pastor baba tusamehe wote ni wenye dhambi
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Powerful powerful anointing deliverance from Daddy Nabii Mkuu
@rabbithare381
@rabbithare381 3 жыл бұрын
Pastor, pls keep and protect the small children from this kind of exposure.... Not good for the children to be present there......
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 3 жыл бұрын
Sure
@MrTringuy
@MrTringuy 2 жыл бұрын
@@mariasixmund7964 annointing protects them
@macynzilani1142
@macynzilani1142 3 жыл бұрын
It hart me so much na sio hata mimi nimefanyiwa hivo
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Amina baba hiyo ndo kwel anayoitaka mungu ubarikiwe sana
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Mmm kazi ya Mungu ni ya Mungu
@sia5533
@sia5533 2 жыл бұрын
I la wanaume wanazambi sana
@lindajohn8236
@lindajohn8236 3 жыл бұрын
It's so touching,God bless you Nabii
@user-nf1er6sb8p
@user-nf1er6sb8p 3 жыл бұрын
Waaah aki but mungu ndiye mwenye uamuzi kwa kila jambo bt mmmh
@adratabubakary4863
@adratabubakary4863 3 жыл бұрын
I'meniuma Sana pole kweli huyo ndiye me mwema
@magemushi5594
@magemushi5594 3 жыл бұрын
Inauma sana ila mungu ni mwema azidi kuzitunza ndoa zetu na watoto wetu
@augustinobenedict9562
@augustinobenedict9562 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefuu Amen
@nahimanabella2478
@nahimanabella2478 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba Muchungaji
@nellynelly8796
@nellynelly8796 2 жыл бұрын
Inaniliza sana,mungu azidi kumuinua mchungaji mkuu
@saramwankemwa5574
@saramwankemwa5574 3 жыл бұрын
Shikamoo mtumishi Nina miakaa 37 naitaji mme baba
@julianakiure7395
@julianakiure7395 3 жыл бұрын
Hahahahaaa
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Ni kazi njema sana hii!!!
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
@@amritsandhuministries1823 🤔🤔🤔
@hakitv4717
@hakitv4717 3 жыл бұрын
Katika Jambo ambalo jamaa anazidi kukosea ni kujitetea mbele ya Mtumishi wa Mungu Baba! Ninaomba msamaha kwa ajili ya huyo kijana!
@davidngoy8845
@davidngoy8845 3 жыл бұрын
Shikamo mutumish naomba namba
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Wow congratulations mtumishi from Kenya
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 жыл бұрын
Huyu anataka kukaa na watoto wake siyo mke upendo hupo kwa watoto siyo mwanamke
@annamkilo3133
@annamkilo3133 2 жыл бұрын
Ila uyo dada alie kataliwa mazabahuni daaah sijui ana jisikiaje uwiiiiii
@isackwilliam1105
@isackwilliam1105 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe ,unapatikana wapi? Nikufuate uniombea
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na mafundisho yako Nabii...
@lothisakayo1373
@lothisakayo1373 2 жыл бұрын
Huyu nabii yuko vizuri mungu azidi kumlinda
@mgodomavah2284
@mgodomavah2284 2 жыл бұрын
Paster I like your wisdom
@marrydallas3337
@marrydallas3337 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu naomba uniombee maana Nina mengi sana yanayonisonga moyo wangu
@avarmadiasbl
@avarmadiasbl 2 жыл бұрын
Mungu anaweza sana
@neemadickson4068
@neemadickson4068 2 жыл бұрын
God bless you Nabii Mkuu
@brendafassie9181
@brendafassie9181 3 жыл бұрын
País God naitaji usaidiz kwa maisha yangu then naitaji no nidze kufika, uko
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
Tazama hapo juu kwenye description utaona mawasiliano
@salumkarim69
@salumkarim69 3 жыл бұрын
kissatul mawdhu,a...ni visa vya kupangwa tu hakuna mtu wa mungu mwnye akili timam na hekma anaweza mdhalilisha mtu eti kigezo anatakaswa roho ....wenye Akili atafakari....ALHAMDU LILLAH KWA NEEMA YA UISLAM.
@PeterKamachala-nr7qx
@PeterKamachala-nr7qx Жыл бұрын
Amudjambo baba sisituko Congo tuta kupataje baba
@rmmedia3288
@rmmedia3288 3 жыл бұрын
Baba Mungu Azidi kukuinua unatusaidia Sana🙏💪
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 жыл бұрын
Naomba cku yoyote akija Dar unijulishe mpendwa nina matatizo makubwa
@rmmedia3288
@rmmedia3288 3 жыл бұрын
@@lilyrose7983 Kwa Maelekezo ya jinsi ya kupata Huduma tumia mawasiliano yafuatayo: +255784315191 au +255754315191
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 жыл бұрын
@@rmmedia3288 Asante ubarikiwe
@rmmedia3288
@rmmedia3288 3 жыл бұрын
@@lilyrose7983 Karibu sana katika Huduma ya Ngurumo ya Upako Tupo Kisongo, Arusha Tanzania!!!
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 жыл бұрын
@@rmmedia3288 Asante sana
@antonywanyonyi4195
@antonywanyonyi4195 2 жыл бұрын
Nabii God bless u,and pray 🙏 4me
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 3 жыл бұрын
Mmmmmh nashindwa lakusema
@mmasymery391
@mmasymery391 3 жыл бұрын
Amen baba niguse na mm mwenyematatiz kama hayo
@zawadibagunda1306
@zawadibagunda1306 2 жыл бұрын
Je suis tellement touché 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 from DRC God bless you
@j.s.nyerere2837
@j.s.nyerere2837 3 жыл бұрын
Hakuna hekima iliyotumika hapo mtumishi ameumiza mioyo yahao mabinti japo niukwel umeshatokea
@jesusmightyworrior7216
@jesusmightyworrior7216 3 жыл бұрын
Hekima ya mungu itumike
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
Wow that's God
@usher1094
@usher1094 3 жыл бұрын
Baba namii niombeye nipone niokoke baba kweli tyuu
@usher1094
@usher1094 3 жыл бұрын
Ameen baba
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Жыл бұрын
Asante mungu🙏🙏
@josephsijaona4510
@josephsijaona4510 3 жыл бұрын
Machozi yamenitoka sana daaa!!! Sisi wanaume
@josephsijaona4510
@josephsijaona4510 3 жыл бұрын
@@rosnykayiba6013 Asante Sana maelezo sijayaelewa vizuri nabii
@borinuomaltha7485
@borinuomaltha7485 3 жыл бұрын
Mpk nime Lia na watch nikiwa Bahrain
@sifasanga7866
@sifasanga7866 3 жыл бұрын
Mnawaathiri watoto Kisaikolojia. Wanaonaje hayo?
@lackiuslameck6157
@lackiuslameck6157 3 жыл бұрын
nikweli hilo
@joanithamwaudama9928
@joanithamwaudama9928 3 жыл бұрын
Kabisa
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Kabisa apo mimi sijapenda
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 3 жыл бұрын
Absolutely
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 3 жыл бұрын
Minor case must finished at the office...this is stupidity absolutely
@ajuayekipege137
@ajuayekipege137 3 жыл бұрын
Nakupenda sana baba naamin kufunguliwa hata afya yang
#SHULE YA MAISHA:  "MAMBO 7 YA KUEPUKA KWA WANADAMU"  GeorDavie TV
1:04:33
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 9 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 24 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 20 МЛН
GEORDAVIE LIFESTYLE  HOUSE/CARS/FAMILY/CASH$
4:07
BONGO SIMULIZI
Рет қаралды 438
ELEWA CHANZO CHA MATESO YAKO 18-11-2020
1:31:53
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 144 М.
HEKIMA ZILIZOFICHWA - GeorDavie TV
58:59
GeorDavie TV
Рет қаралды 19 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН