Viugomvi ugomvi msiwe mnavitoa hadharani, malizeni mambo yenu kwa siri mkiendelea hivyo mmekwisha.Anzeni kugombana 2026.Kama nyie ni vichwa ngumu endeleeni mtaona cha moto.
@brendangabriel16432 ай бұрын
Dr. Slaa, hili una hakika nalo au ni kutuvuruga? Hasa hilo la Same una uhakika kizuizi cha mkutano kimetoka ndani ya CDM? Kama huna hakika, kwa nn ulizungumze?
@Mima-cl2im2 ай бұрын
Mbowe sio kiongozi wa ukweli. Ni kiongozi ameweka pesa mbele kushinda kitu chochote. Kiongozi wa chama ni Mbowe tu, hakuna wengine? Mbowe anatumia mali za chama kama zake binafsi. Mbowe huwezi kumukabidhi nchi ATAITAFUNA
@brendangabriel16432 ай бұрын
Sasa hv nchi inatafunwa sana, je huoni? Ila Mbowe ndiye ataitafuna, sio?
@brendangabriel16432 ай бұрын
Slaa unabuni buni ya kusema na kutunga yasiyokuwepo. Eewe ni mvurugaji tu. Bora uwasiliane na chama kama kuna jambo unalitaka, kuliko huu uropokaji
@heavenmshiu63112 ай бұрын
Mzee unamaliza vibaya
@francismlembwa27332 ай бұрын
Huyo.mzee slaa ni kibalaka TU
@SufianiYusuph2 ай бұрын
Tukigombanishwa itakuwa faida ya nani?
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
WAKATI wa bandari walikuwa wana BWEKA pamoja sasa wanageukiana 😢😢😢😢😢😢😢SIASA HAINA RAFIKI WALA ADUI NI MASLAHI TU