UCHAWI DAWA ZA KIENYEJI SIO ZAMBI EV PASCHAL CAASIAN

  Рет қаралды 1,538

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

16 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370

Пікірлер: 21
@ContentClam-df1vy
@ContentClam-df1vy 7 күн бұрын
Mtumish naomba mungu akuinue saana mm umenijenga saana Kwa nyimbo zako n mahubir YAKO Hawa nidanganyi tena
@JosephTherathini
@JosephTherathini 7 күн бұрын
Mungu azidi kukutumia. Ila ujue kuna dawa nyingi zimevumbuliwa na waganga wa kienyeji . Na pia kuna vituo vingi vya hadawa za kienyeji yana mahusiano makubwa na roho ya gza. Ok ni bora sana mtu akachuma miti yeye mwenyewe kuliko mtu kwenda kwenye hivi vituo. Au mtu apate maarifa zaidi kuhusu mimea.
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 14 күн бұрын
Amen Amen 🙏 leo tunaangalia namna shetani anavyomuiga Mungu kwa usahihi na kuwasilisha tofauti alichokiiga. Mungu ndiye Muumbaji na mmiliki wa vitu vyote. Shetani naye anadanganya kuwa ndiye mmiliki wa vitu vyote. Kimsingi anayetoa mibaraka ya utajiri ni Mungu kwa sababu Yeye ndiye mmiliki wa vyote. Dawa za kienyeji sio mbaya.... Ubarikiwe sana Mtumishi umenibariki sana kwa neno hili. Umenifundisha jambo jipya 🙏🙏 asante sana ulindwe siku zote
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 14 күн бұрын
Aaame ammen utukufu kwake
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 13 күн бұрын
Umenena vyema mwinjiristi Mungu awe pamoja nawe
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 13 күн бұрын
Amina
@ibramakula2303
@ibramakula2303 7 күн бұрын
Ata mm naamin hvo mtumish wa mungu ila hii nimipango ya wazungu bado ss niwatumwa wa wazungu kidigitali walibadili tu mfumo wakutumikisha wanatutumikisha kiakir kidikitali
@AyubuJuma-df4pn
@AyubuJuma-df4pn 14 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu. Nakupata vizuri sana. MUNGU AKUBARIKI SANA
@JoyceMmari-rc9yv
@JoyceMmari-rc9yv 14 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv 14 күн бұрын
Mutumish wabwana somo nzuri ubalikie
@jakobobuyonga3427
@jakobobuyonga3427 14 күн бұрын
Mungu azidi kukutumia zaid na zaid
@user-dz8qh6yb2x
@user-dz8qh6yb2x 14 күн бұрын
Mtumishi Asante sana🙏🙏
@Mamantontine
@Mamantontine 8 күн бұрын
Ushirikina nini? Tuambie hatujui
@user-lu2or6mm4g
@user-lu2or6mm4g 14 күн бұрын
Amen
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 14 күн бұрын
Ukweli mtupu
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 14 күн бұрын
Panadol , na wezake wametumaliza.
@Mamantontine
@Mamantontine 7 күн бұрын
Kama mtu nimgonjwa analala.kwenye ndoto unaona mtu anakuambia kamata majanifulani ujitunze naunakamata unakunywa nakweliunapona ilenayo niushirikina?nionyeshe baba
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 14 күн бұрын
Hata wamisionari walioleta enjili Afrika walichangia sana kuipotosha sana Bibiria maana waliwazuia waumini wao kutoamini dawa zamimea nawatalaamu wamimeahiyo eti wachawi nawapagani hadimajinayetu nayo wakawadanganya hivyohivyo baadhi yawaumini wa madhehebu hayo hatahawaisomi Bibiriahadi leo nawanaongoza kutojua bibiria hadi leo.
@user-jr5fv1yd1o
@user-jr5fv1yd1o 14 күн бұрын
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒛𝒂𝒊𝒅𝒊 𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒕𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒄𝒉𝒐𝒎𝒃𝒐 𝒄𝒉𝒂𝒌𝒆,,❤❤
BILA KUWA NA SIFA HII WEWE SIO MKSTO EV PASCHAL CASSIAN
30:56
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,1 М.
KUMBE NJAA TU NDIO INA WASUMBUWA? EV PASCHAL NJAA YA NENO
47:23
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,7 М.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 126 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 50 МЛН
Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro
45:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 5 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 60 М.
KEKI YA UPAKO NIKAFARA YA MWAMPOSA UKWELI WAWEKWA WAZI EV PASCHAL CASSIAN
1:06:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,5 М.
WANA WAKE HAWATA INGIA MBINGUNI? EV PASCHAL CASSIAN
1:00:35
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,9 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 44 М.
USFANYE AINA HII YA MAOMBI NI YA KISHEATANI EV PASCHAL CASSISN
58:57
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3 М.
CASSIAN AMKEMEA MATHA NAKAJALA KUWA KUWA UCHI EV PASCHAL CASSIAN
1:03:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
Obby Alpha - Umenitendea
3:38
Obby Alpha 🏅
Рет қаралды 6 М.
Shuhuda mbali mbali za wadada jinsi ya kulinda ujana wako
2:01:50
NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU
Рет қаралды 2,6 М.
Оказался НЕНУЖНЫМ и Его БРОСИЛИ🐶💀
0:38
ИССЛЕДОВАТЕЛЬ
Рет қаралды 4,4 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
ЕМУ БОЛЬШЕ НЕ ПРИДЕТСЯ НИЧЕГО ВЫБИРАТЬ😂😂😂
0:39
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 8 МЛН
🤣МАЛО КУПИТЬ ЛОШАДЬ
0:18
Бутылочка
Рет қаралды 6 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
0:12
Laro Benz
Рет қаралды 25 МЛН