KEKI YA UPAKO NIKAFARA YA MWAMPOSA UKWELI WAWEKWA WAZI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 2,943

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

7 күн бұрын

Пікірлер: 31
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 6 күн бұрын
Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu Maana chakura unacho tupakuliya nicya uzima wamilele🎉🎉🎉
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i Күн бұрын
Mwenye sikio na asikie roho asema na kanisa.Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 6 күн бұрын
Aliye na sikio na asikie maana Roho wa Bwana amenena. Nyumba ya Baba imebadilishwa na kuwa ya kufanyia biashara. Mungu aturehemu. Ubarikiwe sana mtumishi 🙏 kwa kunena kweli ya Kristo.
@MWL_LUPIMO
@MWL_LUPIMO 6 күн бұрын
AMEN 🙏
@Pendopasilika
@Pendopasilika 5 күн бұрын
Roho yake inamuuma kwa sababu watu wa MUNGU wanapotea hizo keki haziwapeleki mbinguni Bali kuzimu MUNGU wafungue waijue kweli yake ni kundi kubwa sana linalopotea
@elishamafulu106
@elishamafulu106 6 күн бұрын
I received
@VeronicaGaspary
@VeronicaGaspary 3 күн бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa kuwaabia ukweli Mungu akufunike
@PendoGodfrey-lu2pm
@PendoGodfrey-lu2pm 6 күн бұрын
Aisee
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 6 күн бұрын
Ameeen, wahubiri watu watu wa Mungu kosa lao na mwenye fahamu na afahamu. Mungu atusaidie tusiamini tunavyo laghaiwa kwa jina la Yesu na kuamini kua kweli.
@user-sj8sd6op1z
@user-sj8sd6op1z 6 күн бұрын
Hii ndiyo maneno ya uzima
@LuckyMountainRange-lk4iq
@LuckyMountainRange-lk4iq 6 күн бұрын
❤❤❤nakubali asilimia 100 napenda sana mahubiri yako niukweli kabisa watu wamepotoka imeingia kwa keki sasa
@imanimwanjoka2671
@imanimwanjoka2671 6 сағат бұрын
Walioleta dini wanawacheka sana, wao wapo busy kujenga nchi zao
@BestBisanda
@BestBisanda 3 күн бұрын
Anaumia sababu ameona rohonyigi zinapotea anataka watu wapone kwan akilu zetu zipo kwa vitu vya kupita
@Eacko87
@Eacko87 4 күн бұрын
Mtumishi iseme kweli
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 5 күн бұрын
Isaya 58:1 piga kelele usiache, paza sauti yako kama tarumbeta, uwahubiri watu wangu kosa lao.......
@shigongoshuli6320
@shigongoshuli6320 6 күн бұрын
Amen😢
@nicholaschalle8288
@nicholaschalle8288 3 күн бұрын
Hii ndo INJILI INAYOPASWA KUHUBIRIWA na WATUMUSHI WA MUNGU katika ULIMWENGU wa sasa Na kizazi hiki,
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 6 күн бұрын
🙏🏽
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf 5 күн бұрын
Ujasiliamali!
@GadieriSayon
@GadieriSayon 5 күн бұрын
Kwer hutu weka hur
@jericonzogolo149
@jericonzogolo149 3 күн бұрын
Baba akubariki sana mtumishi unafanya vizur kama Baba alivyokuagiza
@user-lk5it5zy6m
@user-lk5it5zy6m 2 күн бұрын
Amen nabarikiwa sana
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p 3 күн бұрын
Yaani wewe ni mlopokaji unapoteza mda nitakuona wa.maana Kama utamfanya zmaridi na watu wake kumjua mungu. Na Kama yesu angehubiri injili ya paskari hakuna ambaye angemfata. Miujiza iliyokuwa inafanyika ndiyo iliyosababisha watu wamfate yesu.
@BestBisanda
@BestBisanda 3 күн бұрын
Mimi naona yupo sahihi kama humuelewa kaa mbali sisi tunamuele wa mtumishi Paschal sema tupone mpakwa mafuta na Bwana
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p 3 күн бұрын
@@BestBisanda hana.kazi... waliopakwa mafuta huwaoni kwanza wengi waliotoka.kuzim.wanasumbua makanisa wanasumbua watumishi waliotoka filimasoni no shida hawafai kuwa watumishi.
@user-kd4bh1jq5g
@user-kd4bh1jq5g 5 күн бұрын
Tuambie wewe ndowakweli tuthibitishie maana unawaponda watumishi roho yako inakuuma wanavyokuwa nawaumini Weng wenzako
@user-ss8mn8wu5r
@user-ss8mn8wu5r 5 күн бұрын
Sikiliza anachokifundisha uelewe usifanye ushabiki ndugu yangu
@user-ql2gw1yb3i
@user-ql2gw1yb3i 3 күн бұрын
Tena wewe unae sema kwamba anawaponda watumishi ,inawezekena nawew nimyongoni mwao , acha aseme ukweli wa kiristo mungu akubaliki mtumishi kwakusema ukweli mungu azidi kukupa ujasili wa kuihubi kweli
@PaulinaMajengo
@PaulinaMajengo Күн бұрын
Anaye sema ukweli na kukemea maovu hajawahi kupendwa biblia inasema kua rafiki wadunia tayar ww ni adui wa Mungu yakobo 4:4 watu wanapenda kupambwa hata kama wamekosea Mungu hayupo hivyo
JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI  KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN
1:25:54
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 59 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 21 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 156 МЛН
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 21 М.
CASSIAN AMKEMEA SHEHE SURE  MAJINI ANAPOTISHA EV PASCHAL
1:29:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,7 М.
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 56 М.
KUMEKUCHA CASSIAN AMVAA KIBOKO YA WACHAWI
2:52:06
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
Pius wilson vs Kiboko Ya Wachawi live performance ✨
1:43
Pius Wilson
Рет қаралды 18 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 24 М.
КАКОЙ ЛОГОТИП ЛУЧШЕ? #Shorts #Глент
0:32
ГЛЕНТ
Рет қаралды 2,3 МЛН
ЕНЕШКА 2 СЕЗОН | 2-бөлім | ТОКАЛ АЛЫП БЕРЕМІН
23:12
Sigma Kid Hair  #funny #viral #comedy
0:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,4 МЛН
Парковка ТАКСИ от клоуна!
0:22
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 4,1 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
0:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 8 МЛН