UDADAVUZI mtitiriko wa TRUMP kupigwa risasi! Kulikuwa na SNIPER wa pili

  Рет қаралды 34,209

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 243
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 3 ай бұрын
SNS is having very talented men starting by the CEO SKY himself but I confess that DJ SMAA is another phenomenon. Kudos to the whole team of SNS. Watching from D.R.CONGO
@abuuabuu274
@abuuabuu274 3 ай бұрын
Allah amekujaalia ufaham na akili nyingi ungekua Kuweza kufumbua kitu good job DJ sma
@abuuabuu274
@abuuabuu274 3 ай бұрын
MashaAllah
@kassimbayuu
@kassimbayuu 3 ай бұрын
Amyn
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 ай бұрын
Kipaji kikubwa icho kabisaa
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 3 ай бұрын
Mwalimu DJ sma, mwenyez Mungu akujaalie maisha mareefu yenye afya njema, akulinde leo na kesho, akufungulie milango ya rizki na aijaalie familia yako maisha marefu yenye afya njema, aamin
@BenyassearButoyialfred
@BenyassearButoyialfred 3 ай бұрын
Hakuna cha uwalimu hapo. Bali hawa wajama hua wanatafsiri hari zawengine japo simbaya. Ila sio wachambuzi.
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 3 ай бұрын
@@BenyassearButoyialfred tafsili na ww bas fungua channel yako tuangalie
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 ай бұрын
​@@BenyassearButoyialfredUna roho mbaya sana na uchawi juu yote sababu ya umasikini mkubwa ulionao.
@TheSadicLife
@TheSadicLife 3 ай бұрын
​@@BenyassearButoyialfredbado ni elimu tosha, labda hufahamu nini maana elimu.
@athumanijumanne4114
@athumanijumanne4114 3 ай бұрын
​@@BenyassearButoyialfredhater sana we jamaa, chambua na ww basi kama unauwezo
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
TUNAJIVUNIA MAENDELEO YA WACHAMBUZI WATU TANZANIA MAELEZO NA VITENDO MBALIKIWE CHANNEL YETU ❤❤❤🎉🎉🎉
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 ай бұрын
Waulize kuhusu bongo hawana taarifa yoyote😂😂
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 3 ай бұрын
Aisee Wanajua vizuri sana, sema kuna kitu filani hivi kwa ajili ya mambo ya kiusalama. Ila kama wewe unajambo lako linalohusu humu inchini kwetu, wee wafuate private ndiyo utajua kama wanajua. 🤗🤗🤗🤗
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
​@@charlesboniphace2249. 😅😅😅 Una mwanasheria ww
@allymwalim6363
@allymwalim6363 3 ай бұрын
Noumah kweli....brother uko vzr sana ninakufatilia kutoka zanzibar
@RAMAMOHA-vn9xv
@RAMAMOHA-vn9xv 3 ай бұрын
DJ SMA on
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 3 ай бұрын
Dj smaa Mungu akubariki sana na azidi kukupa maarifa zaidi
@josphatmbugua9097
@josphatmbugua9097 3 ай бұрын
Dj sma uko Sawa Kwa uchabuzi wako mzuri kabisa, be blessed tunakufwatilia tukiwa huku Nairobi
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 3 ай бұрын
Safiii sana...kaziii nzurii 🎉🎉🎉🎉
@salumadam2862
@salumadam2862 3 ай бұрын
Dj smaa wewe ni next level 🔥🔥
@lettysalala2504
@lettysalala2504 3 ай бұрын
Safi sana kaka unafanya kazi nzuri
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 3 ай бұрын
Mchambuzi wa kiwango cha juu sana. DJ smaa, may God bless you.
@martinhipolitichuwa366
@martinhipolitichuwa366 3 ай бұрын
Aisee huu uchambuzi ni wa uhakika mnooo. Hongera sana ndugu yangu
@officiallugano8991
@officiallugano8991 2 ай бұрын
I got you, man. You have touched the right place.
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 3 ай бұрын
upo vizuri bro🔥🔥🔥
@eve3894
@eve3894 3 ай бұрын
Wow amazing kazi nzuri kweli. Asante kwa kutufungua macho ❤
@joneskessy5649
@joneskessy5649 3 ай бұрын
Hizi ndo contents nazo zitaka ytb zina ujazo wakutosha..big up sana dj sma..kazi nzuriii mnoo I appreciate🙏
@thelaoban6236
@thelaoban6236 3 ай бұрын
Good Job Dj Smaa you are the Best 👍
@Nyanda506
@Nyanda506 3 ай бұрын
Upo reality sana ..Walinzi wazembe ama walipanga hilo tukio kama raia tu walimuona akitambaa juu paa .😮😮
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 ай бұрын
Tanzania tunamtu mkubwa san big up bro wewe si wahapa niwambali sanaa
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 3 ай бұрын
Hii serikali isipojua inamtu muhim sana pamoja naali bs tena
@paulrutechura-oe7tu
@paulrutechura-oe7tu 3 ай бұрын
I appreciate. From Shinyanga
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 3 ай бұрын
Pamoja from Oman 🇴🇲
@yohanachacha8890
@yohanachacha8890 2 ай бұрын
Kazi nzuri big up ufike mbali
@Joseph-u4p2w
@Joseph-u4p2w 3 ай бұрын
I commend the efforts and time to put all these together brother 🙏
@joycekonga4095
@joycekonga4095 3 ай бұрын
dj smaa umetishaa🔥🔥🔥
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje 3 ай бұрын
Nakubali Sana Bro. Najua sio rahisi kutengeneza video kama izi . Ila naona kama Trump watamfanyia mchezo hatoshinda Uchaguzi huu .
@dadychaps7527
@dadychaps7527 3 ай бұрын
Uko vizuri mzee baba💯🙌🔥
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 3 ай бұрын
Fact And Logic
@ludanchuwa5054
@ludanchuwa5054 3 ай бұрын
Dj sma maneno ya Jeffrey Sachs yametimiya hongera sna
@AmaniSelemani-in1ln
@AmaniSelemani-in1ln 2 ай бұрын
Bro vipi kuhusu protest ya bangladesh imekuaje ukiposti video itakuwa unyama❤
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 3 ай бұрын
MashaaAllah DJ smaa upo vinzuli MashaaAllah
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi 3 ай бұрын
Kaka unatisha km putin salute kwako
@saidjuma7878
@saidjuma7878 3 ай бұрын
Dg sma nakupata kutoka zanzibar
@MenMakona
@MenMakona 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana bro
@LazaroRaymond-vr2kd
@LazaroRaymond-vr2kd 3 ай бұрын
Uchambuzi mzuri keep going broh
@saidalflan6515
@saidalflan6515 3 ай бұрын
upo vizur san mkuu
@water_music40
@water_music40 3 ай бұрын
Nigaiye namba ya huyo alie kutengenezea meza me mwenyewe na studio yangu nataka anitengenezee
@MkomboziMwachanga
@MkomboziMwachanga 3 ай бұрын
Kikubwa dua popote 😊
@abel_esam
@abel_esam 3 ай бұрын
DJ Sma. Umetisha, you are a pro my brother💪🏾
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 3 ай бұрын
Safi sana mkuu habari nzurie
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 ай бұрын
Bro umetisha sana
@Mwamba67
@Mwamba67 3 ай бұрын
Smaa sio Dj niamini mimi,,,!!
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 tuambie aisee,.
@erickericsson3584
@erickericsson3584 3 ай бұрын
Asante sana dj sma
@chrisbee7876
@chrisbee7876 3 ай бұрын
Upo vizuri Sana di sma nakukubali sanaaa
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 3 ай бұрын
Umetisha kwa uchambuzi mzuri sana mpaka
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z 3 ай бұрын
Asante mwalimu wangu naendelea kukuamini
@JohnmuvungaVitale
@JohnmuvungaVitale 3 ай бұрын
Unaogee kwli so far watasema ww ni mpinzani walivyo wajinga from? 277
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 3 ай бұрын
djsima mungu akulinde ❤mashaallah
@thestonetown3302
@thestonetown3302 3 ай бұрын
Akili mingi sana❤️❤️❤️
@benmcdream2268
@benmcdream2268 3 ай бұрын
Dj smaa hakuna mchambuzi bora kam wew Afrika
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga 3 ай бұрын
Dj smaa wewe ni atari
@ms_teeonly
@ms_teeonly 3 ай бұрын
Dj sma safi sana, asante
@zainulahmed8206
@zainulahmed8206 3 ай бұрын
DJ kwa heshima yako Sio kujoin Dort ni ku connect dort umesema kuwa usharekebisha ila uko vizur kwa Analysis
@dulayowakiba569
@dulayowakiba569 3 ай бұрын
Ungetumia nguvu kutoa udadavuzi wa matukio ya nchi yako.. uyo Trump ana magwiji ya usalama sema alishaliwek tegemeo Kwa mungu wake basi.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Kaka dj smaa naomba utufahamishe kuhusu kenya ...nasikia mambo sio mazuri kabisa nasikia watu wanauwawa ovyo na watoto wanatekwa na watu wananyonywa damu na wanauza viungo eti nikwel kaka dj smaa??naomba utufahamishe kaka..kuhusu kenya nikweli hali ni mbaya sana??? Nataka utufahamushe mim nakuelewaga sana wewe dj smaa ukiwa unaelezeaga
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
Nitaifanyia kazi🙏
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 3 ай бұрын
kabsa kaka ​@@djsma255
@alexmugo3159
@alexmugo3159 3 ай бұрын
May you have whatever you need to upgrade your equipment to highest level in GOD's
@murtalla2826
@murtalla2826 3 ай бұрын
Fundi mwanetu #DJSMAA🎉🎉
@AlliyMohamedAlliy
@AlliyMohamedAlliy 3 ай бұрын
🤦‍♂️Hii ni mipango ya kicyasa inawaumiza kichw!
@niyongabofreddy
@niyongabofreddy 3 ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana dj sma nakufwatilia kutoka Burundi
@athanasius7921
@athanasius7921 3 ай бұрын
mpka sasa....sidhamn kama hilo limetambulika lakn.. kwa akiri yaziada wenda hata aliefanya tukio is second sniper...
@mwalitv4555
@mwalitv4555 3 ай бұрын
Safi sanaaaa tunahitaji chambuxi za hivi wwl donee kk
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Dj Smaa ni KGB intelligence service. Umetusha mkuu kwa uchambuzi.
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 3 ай бұрын
Kazi nzuri Dj
@omarwahab7191
@omarwahab7191 3 ай бұрын
Hongera yako mkuu kwa uchambuzi wako mzuri
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY 3 ай бұрын
DJ SMA umetisha
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 ай бұрын
Huyu mzee maadui zake lazima wamo ktk Serikali ya the Democratic. Trump ni tishio kwao kwa uchaguzi wa November. They wanted to accomplish the game early in the morning. Ila tu tukio hilo is a shame to a big Nation as USA. Congrats Dj Smaa!
@denisrenatus4935
@denisrenatus4935 3 ай бұрын
Walikua wanasubl afanye mauwaj wamuue pia mchezo uishee haya mengine n kutuvuruga
@Tinge-Tanzania
@Tinge-Tanzania 3 ай бұрын
Aiseee Yani unavyochambua ni kama vile Alex Mohone kwenye Prison Break. Umetisha sana
@THEFACTTVCHANNEL-b2x
@THEFACTTVCHANNEL-b2x 3 ай бұрын
❤❤❤❤😂😊 Much love brother
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 3 ай бұрын
Pia kaka huyo mdunguaji alijua vipi kua kwenye lile Jengo hawajaweka ulizi akaenda huko juu haliyakua huwa walizi hawatoi taalifa kua watakaa maendeo gani😊
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 3 ай бұрын
Umeona eee😂 huu ni mchezo
@coolsinare8824
@coolsinare8824 2 ай бұрын
uchambuzi mzuri sana lakini vipi Tundu Lissu?ile si ilikuwa hatari kuliko hii??au kwa vile….?????
@sicac33
@sicac33 3 ай бұрын
Nice content, ila its why kuna baadh ya watu wanasema SS na FBI they have a lot to answer to this scenario. Au watu wanasahau issue ya JF Kennedy's assassination, the involvement of the gvt.
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 3 ай бұрын
Nakukubali sana DJ sma a.k.a van diesel
@nzeyimanaayubu
@nzeyimanaayubu 3 ай бұрын
Uko vizuri
@radirapperrecord391
@radirapperrecord391 3 ай бұрын
This one is dope
@iddsimba3849
@iddsimba3849 3 ай бұрын
Wao wazungu mwenyewe sisi watu weusi anatuchukia alafu nyinyi mnajipendekeza kwake
@JumaSaid-g5u
@JumaSaid-g5u 3 ай бұрын
Nilitazama movie ya Shooter the same scenario exactly Happened.
@XhebbyMandevu-u1h
@XhebbyMandevu-u1h 3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 3 ай бұрын
Kwauchambuzi huu inatosha kusema kuwa huu mchezo umechezwa na baadhi ya walinzi au kikundi chote na Tramp akiwemo. Hata kama ni nchi isiyokuwa makini kiasi gani wabgeona mtu anapanda juu wangemchangamkiabharaka haraka, iweje nchi kubwa kama hiyo dakika 2 zote zipite bila kuambizana na kumshughulikia. Halafu risasi ilipomchubua sikio akazuiwa na walinzi alipata wapi ujasiri wakuinuka wazi wazi bila kinga ya walinzi akinyoosha mkono juu? Yeye alijiakini vipi kuwa adui ni mmoja tu ameshadhibitiwa!?. Hata ukiangalia walinzi waliokuwa nae jinsi wanavyomkinga ni kizembe zembe sana kama sio tukio kubwa na kama vile hawamlindi mtu aliyewaki kuwa raisi. Action walizochukua hazilingani hata therusi na action ambazo wangechukua walinzi wa nchi za Africa kwa tukio kubwa la namna hiyo.... HILI TUKIO HALINIINGII AKILINI nikijumlisha uchambuzi huu hapana.
@BoazCharlesTz
@BoazCharlesTz 3 ай бұрын
Ata kama ingekuwa trump ndio amepanga, kwanini secret service wasingefanya kazi Yao maana secret service hawaongozwi na trump wao wanafanya wajibu wao wa kuhakikisha usalama, kwahiyo walivyoona mtu anapanda au ata anaonekana ataharakati hatarishi kwanini wasichukue hatua means wanahusika coz wangeweza kuzuia shambulio Pili unajua risasi Haina macho ebu assume jamaa amekksea kidogo tuu hapo sianaondoka na kichwa, sio rahisi kujipangia kupigwa risasi ni Bora kama Ingekuwa ni ufyatuaji wa risasi juu kuwashitua watu ila hii ni amepigwa yeye, so issues ni kwamba secret service wanahusika na kama hawahusiki moja kwa moja basi wame neglect kazi na wajibu wao kitu ambacho kinawatia kwenye hatia Tatu point muhimu hawakuweka snipers kama water tower na alipokuwa mdunguaji
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 ай бұрын
Kwa maelezo hayo ni wazi kbs ishu imetengenezwa tu kama movie ili apate uruma Kwa watu kwasababu endapo ingelikuwa ni kusudio haswa la mauwaji na watunguwaji wazuri wangepewa kazi iyo asingelikuwa mzima hd leo huo ni mchungo umetengenezwa tu
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 3 ай бұрын
Wanadamu ni mungu ufalme wa mungu kama mbingunii kama duniani
@MohammadMohammad-n2q
@MohammadMohammad-n2q 3 ай бұрын
❤ Oman
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 3 ай бұрын
Asantee Kwa kutuelimesha
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 3 ай бұрын
As per what you have shown, it is clear that the secret service agency has proved failure.
@franklukazula
@franklukazula 3 ай бұрын
Big up bro❤
@itaelmanang2968
@itaelmanang2968 3 ай бұрын
God is great
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 2 ай бұрын
if you got a big screen, your work would be easier brother
@Is-hakaAbdallah
@Is-hakaAbdallah 3 ай бұрын
Nakubali kazi kaka
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 3 ай бұрын
Dah uko sawa kabisa kk😢😢
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 3 ай бұрын
Asante bro
@RAMAMOHA-vn9xv
@RAMAMOHA-vn9xv 3 ай бұрын
Yes
@ElishaMgale
@ElishaMgale 3 ай бұрын
UNAFANYA NJEMA SANA MKUU
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 3 ай бұрын
Dj sma nimependa sana huo uzinduzi wa uchambuzi. Sidhani kama kutakuwa na taarifa tofauti sana na hiyo. Mwenyewe naamini kabisa huo ni mchongo kabisa uliolenga kumuua Trump. Na haujatoka nje ya serikali. Na kuna sababu kwanini kwenye water tower hakukuwa na counter sniper. Na kuna sababu kwanini walipuuza taarifa ya eyewitnesses. Na kuna sababu ya kwanini walidai kwamba ile sehemu ambayo gunman alikaa haikuwa kwenye mamlaka yao. Naomba kuwasilisha.
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 3 ай бұрын
Leo nmekuwa wa kwanza. Wa kununa wanune tu 😂😂
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 3 ай бұрын
Chukua🎉🎉🎉yako kwa kuwai
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 3 ай бұрын
@@RamadhaniMohamedi-de2vc Shukrani. Dah kuna jamaa mmoja alipanic sana siku moja hapa hapa sns et kwasababu tu mi nlisema leo nmekuwa wa kwanza. Nlimshangaa sanaaa. Vitu vya kawaida kama hivi anapanic. Tuendelee kula madini.
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
🎉
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 ай бұрын
Dj smaa🙌🙌✍️
@ahmedymahmudu9532
@ahmedymahmudu9532 3 ай бұрын
Safi sana brother
@RashidFarid-y7o
@RashidFarid-y7o 3 ай бұрын
Babu uko vizuri
@AbbasMagambo
@AbbasMagambo 3 ай бұрын
Safiiii
@THEFACTTVCHANNEL-b2x
@THEFACTTVCHANNEL-b2x 3 ай бұрын
I from Malawi
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
Very very nice
@JacobjacobExaud
@JacobjacobExaud 3 ай бұрын
Daah hatari sana
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 15 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 2 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 54 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 84 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
12 Greatest Comeback in Liverpool History
28:20
GrdArena
Рет қаралды 388 М.
The Klopp Era - Top 10 CRAZY Matches
17:30
Anfield Legend
Рет қаралды 1,3 МЛН