Kaka upo vizuri sana mtangazaji nimekuelewa sana sana
@ConsolataSwallo2 ай бұрын
Jaman kaka ni mstarabu uyu❤
@dechaggagirl16143 жыл бұрын
Wakaka wadogo wadogo nyinyi mna tabu sana mie ata nkifikia kutaka kuolewa nitamkubalia mwenye umri umeenda c saana kivile ila umri kidg uwe juu mungu nijaalie ya rabby
@hamzamussa32763 жыл бұрын
Njoo nikuowe
@asmahassan75703 жыл бұрын
Upo km nn
@hamzamussa32763 жыл бұрын
@@asmahassan7570 mkubwaa
@aishashaibu56413 жыл бұрын
Omba mungu tu minilimpata alienizidi miaka 10 kilichonitokea mpk naingia kburin sitasahau
@hamzamussa32763 жыл бұрын
@@aishashaibu5641 nikwel mapenzi siyo miaka
@QwQw-tr7gy3 жыл бұрын
Vijana wanasumbua mpaka ambao atujaingia kwenye ndoa tunaogopa
@rahimaaaaa56823 жыл бұрын
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@sadaali90383 жыл бұрын
Uyu kk nimempenda kwa sababu anajielewa sana
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji ni mpambe kwa kweli 😂😂😂😂😂😂😂
@tousihhhh67653 жыл бұрын
yaa nitamunganisha mb zamwaka
@gracejesca69133 жыл бұрын
Umeonae
@naamohamed99643 жыл бұрын
Mtangazaji upo vzr ktk sekta hii lkn unanikera hizo nywele kwa kaz mpo vzr team maximum tv sbb mmepangilia vipengele vyenu na watu Wanayo Endana nayo zahir sad moment kido huku kwenye udaku Fabian camera man mana mpole yule kuongea kwake bora akae nyuma ya camera😃
@naylamimi11823 жыл бұрын
Sa nywele zake we zinakuhusu nn jmn we fatilia anachotangaza
@naamohamed99643 жыл бұрын
@@naylamimi1182 we coment yangu inakuhusu nini???
@naylamimi11823 жыл бұрын
Inanihusu sababu umecoment mxeeeeeeew
@naamohamed99643 жыл бұрын
@@naylamimi1182 duhhh kweli nimeamini kuna watu ukorofiii upo kwenye damu haya mama asante nashukuru
@janemusumba8203 жыл бұрын
Wanaume wengine wako na laana daima huyu Sasa asha Pata chenye alikuwa anataka Sasa ashaondoka muogope Mungu
@annettecilus73503 жыл бұрын
Ila wastara kweli kwenda kutoka na msanii tena brother men why? Siatafute mtu mzima tu atakae muheshimu na kuheshimu watoto wake
@safiaimran7123 жыл бұрын
Sindo apo
@rahimaaaaa56823 жыл бұрын
M2 mzima anogi😂😂😂
@hildadaniel48923 жыл бұрын
Kweli atulie vijana watamuumiza
@adijaadija99233 жыл бұрын
ila kumbuka alipo kutowa wastara ulikuwa umepoteya mda mrefu wastara aka kufufuwa ila naona jeuri imezidi
Ndio sema inaonyesha kila aina ya habari kwa iyo usishangai
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
@@ashnuhu1420 sawa
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Mtangazaji tupe ubuyu tuumungu'nyue 🤣🤣🤣🤣
@fatmamashallahdadadidahama98243 жыл бұрын
Kumbe hiii n maximum TV eeeeh mumejiunga n huku tutakuw pmj in sha allah
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Hem Nambie Kwa hivyo hii Chanel ndo ya Zahir?
@hajeralqaidi21153 жыл бұрын
Ndio ya zahir
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
@@hajeralqaidi2115 ahaa saw ahsante M Zahir nampenda
@Kakwasi3 жыл бұрын
Huyu presenter mkorofi
@yunyun7993 жыл бұрын
Wa 13 ku comment😁😁
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Hongeraaaa 😀😀
@khadijahali48373 жыл бұрын
Wote wamekutana watu wa ovyo 😏😏
@naamohamed99643 жыл бұрын
😃😃😃😃
@khadijahali48373 жыл бұрын
@@naamohamed9964 😂😂
@asmarajabu57863 жыл бұрын
Huyu mtangazaji mmh anapenda ubuyu
@yunyun7993 жыл бұрын
😂😂😂
@asmahassan75703 жыл бұрын
Hhh wajina
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Hahaaa umelielewa hili inavoonekana mtangazaji anataka warudiane 😀
@aishakinia49573 жыл бұрын
Z anton haupenzi kua msanii kwa muonekano wako wa dini.... Haipendezi kabisaaa kituko unavyo vifanya kuchepukachepuka na wana mama.... Hope unaelewa dini
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Kweli kabisa
@prettynayally21773 жыл бұрын
Watu hutumia kivuli cha dini
@aishabushiri54463 жыл бұрын
Wastara huna bahat ya kuishi na wanaume kwasababu kila mwanaume unaempata haudumu nae mnaachana,, tulia tu fanya yako, na mungu amekujaalia unauwezo mzur tu kimaisha Sasa unahangaika nn na vitoto vodogo???
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Wakumi Ku comment
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
Mtangazaji ukosaii kupatanisha ila jina nani maana tushamzoea ka zaihr
@Imanikkk3 жыл бұрын
Hana ishu huyo malaya wa kiume limbukeni wa wanawake
@aksarashid70803 жыл бұрын
Kwer
@Imanikkk3 жыл бұрын
Na we dada yetu usimuamini mwanaume sw
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
Kumbe alikuwa mpenzi wake kweli me nikajua mume wa ndugu yake
@Imanikkk3 жыл бұрын
Huyo kuku hawezi kufanya usenge huo
@hadijagumbo923 жыл бұрын
Mboniii dipuu
@salmaabduli7003 жыл бұрын
Wekaka zantoo nakupendaaa
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Hahaaaa umuombe mtangazaji akupatie namba Zake
@fairamkhan47443 жыл бұрын
Drama tu hawana maajabu🤣🤣🤣
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Umeazimaa mara yako sasa hapo jibu gari sio yako
@hildadaniel48923 жыл бұрын
Kumbe na wewe umeonaa
@nurafedrick3783 жыл бұрын
@@hildadaniel4892 😂😂😂😂😂😂😂
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
He makubwa wastara, akimbia tena ndo kama walivyofanya, Kwa amba lulu na nuh mzuwanda wakimuoj amba kumbe nuh alikuwepo hakumuona alijificha
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Z Anton kaludi ndani ya gemu alipotea paka tulimis
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Kanenepa mwenyew kapendeza yeye na bint kiziw
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Ya wastara alimsifia kuwa mtu wa dini ndo mana alimpenda,
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Ya, yuko pisi z Anton
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Z mpole kama kaka yangu
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Wewe hutosheki na wewe unazarau mtu akikutamini mpe thamini yake kabisaa wewe ulimkosea wasitara alihojiwaa wewe ulieka skt mbele hata ikafikia mambo yako humwambii anashutukaa kitu umepitishaa wewe pekeyako na alikusaidia sana mwazoni
@mariamkanjenje13343 жыл бұрын
Dou
@salmaally92883 жыл бұрын
Wa pili
@tamaraseff.97073 жыл бұрын
Uyu n mchokochoko kaka
@monadinadi52953 жыл бұрын
Ndio raha ya kutembea na watoto wadogo lzm upate misukosuko Kwani kunaulazima Wa kuolewa na watoto kwann usiende msikitin imamu aktangazie kuwa una tafuta mume upate mume bora. Ona unaibika ss hahaha haloooo Wa kubwa tuseme na nyege zetu jmn. Dah aibu Sana. Umri hamuendan hahaha jikite kwenye biashara tu jmn aibu tu una wafundisha nn wanao ss. Z bdo kijana bhana
@aminazulikha72553 жыл бұрын
Kweli kabisa
@FSalim-ee5cf3 жыл бұрын
Si mdogo bali maumbile
@mariamukila50743 жыл бұрын
Uyu kaka mkubwa SEMA tabia. Mbaya
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
Sasaivi ndoa nyungi za vizee za vijana zimekuwa na majanga nikuomba mungu tu nawala uyo mkaka sio mdogo namapenzi ayana umri
@salmajumanne89143 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 nikwli kabisa mtume alimuoa biaisha nimdg sana hawalikumbuki hilo bando kiigizo chetu