MSAMBATAVANGU AMFOKEA WAZIRI GWAJIMA HADHARANI, KIGWANGALA AJICHANGANYA "WANAINGIZWA KWENYE USHOGA"

  Рет қаралды 33,463

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 281
@SomoKidawa
@SomoKidawa 4 ай бұрын
Halafu wabunge wakiume mmekaa tuu huyu mama ameongea point sana
@fadhiliibrahim9702
@fadhiliibrahim9702 4 ай бұрын
Wabunge wa Iringa Mjini ni fire tulikua na Msigwa sasa Msambatavangu mwendo ni huu 🔥
@JoelMajura
@JoelMajura 4 ай бұрын
Mama jesca Toka nilipokuwa iringa ukawa unapiga kampeni nilikuona wamaana adi leo nkukubli mama wa iringa ongera kwa kupewa upeo kama uo unaongea vtu fact sana salute kwako
@JoelMajura
@JoelMajura 4 ай бұрын
Mama msavatavangu ni kweli kbsa kwa sababu tunateswa sana na wanawake wanapewa kipaumbele Sana kuliko sisi ata ukipenda polisi ukiwa hauna kosa ila utagandamizwa na mwanamke kutetewa sana
@mariamarywenslaus2938
@mariamarywenslaus2938 4 ай бұрын
Kwqhy wakamtunza nakumtunza pesa ameongea pointi sanaaa ni kweli❤❤❤😂😂😂😅
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 4 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa MUNGU akubarik san haki saw
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Nakupenda sanaaaa wewe Mbunge unafanya kazi sana huko Bungeni na upate Ubunge kila wakati Jessica
@uswegemwakalobo6220
@uswegemwakalobo6220 4 ай бұрын
Safi safi
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 4 ай бұрын
We mama unaakili nyingisana kuliko mama mkuu
@JaphetMgomba
@JaphetMgomba 4 ай бұрын
Ahsante sna maam
@maulidmwegio5704
@maulidmwegio5704 4 ай бұрын
Daaaah..!!! Huyuu MAMA, Mh M'bunge Ameongea Vizuri Sana.
@GodfreyHaiki-gp6ry
@GodfreyHaiki-gp6ry 4 ай бұрын
Hoja bora sana
@edwinbuganga3205
@edwinbuganga3205 4 ай бұрын
Safi sana
@ezrayjesus
@ezrayjesus 4 ай бұрын
Wemama mungu akuengeze siku za kuishi
@tumahamza8972
@tumahamza8972 4 ай бұрын
Nimekupenda sana mama. Yaani sijui nikupe mau kiasi gani.
@ibrayomapenzi7048
@ibrayomapenzi7048 4 ай бұрын
JAMANI TUMCHANGIE BEI GANII HUYUUUU MADAM
@mbarakaabdallah6526
@mbarakaabdallah6526 4 ай бұрын
Daaah huyu dada anaakili sana aisee hii ni sababu kubwa ya ushoga na single mother
@Commentsplus
@Commentsplus 4 ай бұрын
Pointi 10000000000000%
@justinesima2221
@justinesima2221 4 ай бұрын
Vizuri sana Mbunge natamani upate mdamrefu zaidi wa kuwa bungeni
@mariamarywenslaus2938
@mariamarywenslaus2938 4 ай бұрын
Big up mama loveeeeeeee moreeee
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 4 ай бұрын
ni kweli kabisa mama mtoto wa kiume anasaaulika sana
@mbarakaabdallah6526
@mbarakaabdallah6526 4 ай бұрын
Jamani nawaomba nyie wananchi wenye huyu mbunge mumpitishe tena 2025 ana vitu vingi sana atawafikisha mbali sana
@stanleymanya438
@stanleymanya438 4 ай бұрын
Mungu akubariki mama
@davidpeter8099
@davidpeter8099 4 ай бұрын
Hivi huyu kigwangara ni mwanaume au ni upinde wenye cheo cha uwaziri
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 ай бұрын
Naomba vijana wa iringa mjini nawaombeni baada ya bunge la bajeti hii kuisha wakampokee mbunge wao kwa maandamano pale zinapoanzia kona za nyang'olo mkiniunga mkono wazo langu na mimi nitakuja kuambatana na nyie kwenye hayo mapokezi
@lulukanyika5371
@lulukanyika5371 4 ай бұрын
Wewe mtu wa maana sana kwenye hii nchi
@2.12carrental6
@2.12carrental6 4 ай бұрын
Siku Izi Huko Dar kuna Sherehe za Machokoo
@TejonnNdile
@TejonnNdile 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@PhilimonNyenzi
@PhilimonNyenzi 4 ай бұрын
Nikuite nani hakika wewe ni mtetesi wetu, Asante Asante Asante hongera mp
@abouuwaysrajab8579
@abouuwaysrajab8579 2 ай бұрын
kweli kasema huyu mama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@williamkavavila608
@williamkavavila608 4 ай бұрын
Mhe.Uko sahihi mno,Mungu akubariki! unaujua UKWELI,wewe ni mama halisi,wakati mibaba imekaa kimya eti!
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 ай бұрын
Kigwangala we siku hizi utakuwa shoga tena utakuwa unapigwa nyuma wewe
@africayetutv329
@africayetutv329 4 ай бұрын
Kama mnakumbuka vizuri Ndugai alishawahi kuwambia wengi wakamuundama, ukweli Mimi nilijua tangu mwanzo wliposema tu wanawake ndio kipaumbele kwa kila kitu sasa ona yameanza
@kelvinmhanga3052
@kelvinmhanga3052 4 ай бұрын
mtoa taarifa kakurupuka au katika usingizini alitaka kumharibia pozi tu mama yetu
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 4 ай бұрын
ninawasiwasi na kigwangala kama ni mwanaume kwa uhalisia wake,Mh Jesca anatetea wanaume halafu mwanaume badala ya kuongeza moto eti oooh watunga sera .....hovyooo kabisa
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 4 ай бұрын
Safi sana Mama angu
@edgarkeya437
@edgarkeya437 4 ай бұрын
saf sana msambatwa
@FaidikaSamwel
@FaidikaSamwel 4 ай бұрын
Sitisheni msaada tubaki na utamaduni wetu mama sema wambie ukweli
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Kigwangala anazidi kujizika😅
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 4 ай бұрын
Mama umeongea point maua yako yanakuhusu
@Mweya-87
@Mweya-87 4 ай бұрын
Sauti ya wanaume imesikika
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 4 ай бұрын
Mama Mungu akutunze pale unapoteleza kama bin Adam akusamehe huwa unachangia vizuri
@EdwardMazuri
@EdwardMazuri 4 ай бұрын
Tunataka wabunge wa aina hii wenye uwezo wa kuchangia bila uoga na kwa point
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 4 ай бұрын
DU!WEWE MBUNGE UNAAKILI SANA MITANO TENA IKIWEZE KANA UPEWE HIYO WIZARA UNA MAONO SANA NIMEKUPENDA SANA😂,
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 4 ай бұрын
Tungepata mbunge kama huyu Jimbo lanjombe tungejivunia sana
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu 3 ай бұрын
Yaani kama wabunge mtapitisha hiyo.mkaacha kuikubari hoja ya huyo mbunge mtakuwa hamna akiri.huyo mbunge yupo sawa kabisa
@MagetaNilla-sy8nz
@MagetaNilla-sy8nz 4 ай бұрын
Na liling'ang'ana mdamlefu taarifaa taarifaa😂 hivi hilo janaume limefikaje bungeni😇😇😇😇🚮
@PartySekemi
@PartySekemi 4 ай бұрын
Kabisa kabisa na ndio maana waziri anakuja kututania eti aje kuigza bungeni 😢😢😢
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 4 ай бұрын
Hawa ndo wabunge sasa. Sio hii mibaba imekaa tu hapo
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Yaani hapo umenena mamaaaa, ndo maana miaka hii wanawake wamepata viburi mnooo
@AbdullatifMbago-cn3pc
@AbdullatifMbago-cn3pc 4 ай бұрын
Huyu mama huwa namkubal sana alisema sitaki usenge
@dianamakatu9298
@dianamakatu9298 4 ай бұрын
Apewe ulinzi dada umenigusa sana dada .tanzania tunataka wabunge kama hawa .
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 4 ай бұрын
Mama yangu Mungu amekuona kigangwala umechemsha jumla au ndio fedha za ngo ndio zinawatoa akili mkumbuke mtahukumiwa baada ya maisha ya hapa duniani
@lembricesaravo3543
@lembricesaravo3543 4 ай бұрын
Wizara kadhaa zimekuwa weak na zinafanya kazi kwa juujuu tu. Hii wizara nayo pia haitendiwi haki✅
@nelsonluwiana10
@nelsonluwiana10 4 ай бұрын
Hongera Sanaa mama umeongea maneno ya ukweli kabisaa
@MaxmilianKachatilo
@MaxmilianKachatilo 4 ай бұрын
Safi sana
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 4 ай бұрын
Yaani mheshiiwa pokea mauwa yako.Watoto wa kiume wamekuwa na msongo wa mawazo Hawajielewi sana.Kwasababu wamenyanyapaliwa kila sehemu.Si kwenye Elimu si kwenye ajira.Wasichana wanajengewa mabweni ili wasibakwe,lakini wanaume !!!!!!😂😂😂Umenisemea Mungu akubariki maana mimi nina watoto wa kiume tuuuu jamani Pokea mauwa yako.
@Fundi12345
@Fundi12345 4 ай бұрын
Yani huyo mweshimiwa kaona mbari san selikali haijawahi kungundua hiloooo kabisa wanadili na wamama tu ajabu kabi. Wanaume walio kabizuwa dunia hawapo poreni wanaotaka 50,50 sheria ya magaribi wamerizi tz poren sana nawataka babunge wenye akili kama huyo mama wako wapi ?
@abouuwaysrajab8579
@abouuwaysrajab8579 2 ай бұрын
na hiyo ndio sababu ya ndoa kutodumu wanawake wanye kipato kuolewa na wanaume hali ngumj....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abouuwaysrajab8579
@abouuwaysrajab8579 2 ай бұрын
na nidhamu alio iweka mwenyez mungu ni kuwa mwanaume ni msimamizi wa mwanamke ..ikiwa kinyume basi meli itashiba maji tu...taifafa litapiga muheleka ktk... magonjwa, maasi , majanga, ushoga, uchumi.. Mama kasema kweli kwa maoni yangu
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 4 ай бұрын
Hivi huyu Kigwa mbona anaongea mambo ya ajabu aisee?
@Anithawilielemi-uh3ww
@Anithawilielemi-uh3ww 4 ай бұрын
You are perfect Mama,Mrs:Gwajima has been showing weaknesses all along
@amosibilingi4299
@amosibilingi4299 4 ай бұрын
We hujui tu, mh. Gwajima ndo muumini mkubwa wa hayo anayosema jesca, ila sema anafuata maelekezo ya mh. Rais, ila moyo wake hauko huko kabisa, jaribu kufuatilia hotuba mbalimbali alizowahi kuongea utagundua hili.
@edwinbuganga3205
@edwinbuganga3205 4 ай бұрын
Ngoja sasa aambiwe ukweli
@sponsor7882
@sponsor7882 4 ай бұрын
anamuogopa mama
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 4 ай бұрын
@@amosibilingi4299 uUko sahihi sana. hizi ofisimzina mambo mengi sana
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 4 ай бұрын
Mmmmmmh!!!
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 4 ай бұрын
Kingwangwala hapo umechemka
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 4 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki kwa viwango vikubwa kwa msaada wako wa TAIFA
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 4 ай бұрын
Mama uko vizuri. Hao wapumbavu wamepewa hela na wazungu ndo wanapanga mambo ya upuuzi.
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 4 ай бұрын
Asante sana Mh mbunge Hawa ndo wabunge Sasa kwenye jamii, mbunge anaongea hadi unasikia hisia kweli mtu kaongea. Na kweli Tunakoelekea kutakuwa hakuna kuolewa au kuoa maana wanaume tumetekwa madaraka na wanawake, ni lazima tuweke usawa kwa jinsia zote mbili.
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 4 ай бұрын
Aliyetoa taarifa ka senge hivi. Yaani mama anaongea point yeye anakuja na usimba na uyanga
@sponsor7882
@sponsor7882 4 ай бұрын
wasagaji ni wengi sna cku izi
@ellyemily4234
@ellyemily4234 4 ай бұрын
Yaani provider anaachwa kwenye mambo ya uchumii ... alafu watu wake wanakuzinguaa ukishindwa lea watoto unashikwaa
@jacksonrabson6439
@jacksonrabson6439 4 ай бұрын
KIGWANGARA kawaje????
@DAUDIMAKARANGA
@DAUDIMAKARANGA 4 ай бұрын
Mama nimekuelewa chkua maua mama,
@robertombewa5109
@robertombewa5109 4 ай бұрын
Mpeni mauwa yake
@AbdalahMsaga-wf6zl
@AbdalahMsaga-wf6zl Ай бұрын
Mwenyez mungu mjaalie maixha malef ila naogopa wasije wakamuua maana tanzani haitak metetez na viongoz wameridhika et
@AbdalahMsaga-wf6zl
@AbdalahMsaga-wf6zl Ай бұрын
Kwanin ras asiulizwe yeye anaweza? Au mmewe anaweza? Bas kama hawawez watamke hadhalan kuua mpngo wa junxia 1 ?
@emmanuelmwaipopo3039
@emmanuelmwaipopo3039 4 ай бұрын
Nashangaa taarifa imetoka kwa mwanaume alafu dakatari😂
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Huyu Mama hanaga kazi Chafu. Ni spana tuu, sio akina Babutale machawa
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 4 ай бұрын
Na huu ndo mfumo ulio asisiwa na Mungu wa Mbinguni. Protocol za kifamilia zinapoharibika ndo mambo ya ushoga na mengineyo yanapokuja
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 4 ай бұрын
Mungu amesema mwanamume aishi na mke kwa akili maana mke ni rahisi sana kugeuza maneno ya Mungu na kuchukua ya shetani na kumshahiwshi mume nae akubali. Leo wanawake wamechukua neno la shetani la kupinga ukichwa wa mume katika kumpinga Mungu alieagiza hivyo. Kama Adamu wanaume wameungana na wanawake kuidhinisha kuwapandisha juu wanawake dhidi ya wanaume. Mwanaume yeyote asie na akili za kumtambua mwanamke alivyo ataona anafanya vyema kumwitikia mwanamke. Na hoja kuu ya mwanamke ni mwili wake wenye kuvutia na wala si maneno yake, na ndio maaana wanawake wanajitahidi sana kujionyesha miili yao maana ndio hoja yao kuu ya kuwashawishi wanaume kama alivyonaswa Adam, Daud, Samson, Seleman n.k. Wanawake wana mvuto mkubwa sana ambao mwanamume rahisi kuvutwa nao. Bahati mbaya mvuto huo wanautumia kupinga neno la Mungu na kumvuta mume nae aungane nao. Ndio maana utaona makanisa mengi yenye mafundisho potofu kinyume na neno la Mungu waumini wake wengi ni wanawake, wanaume wanavutwa humo na wanawake. Kadhalika hapo bungeni wanaume wamenywea wala hawasemi chochote kwa sababu hawapendi wajulikane na wanawake kuwa wanawapinga wakihofia vyeo vyao na kununiwa na wanawake wabunge na mawaziri. Eti unalisikia lijanamume lisilojitambua linakubaliana na hila za wanawake dhidi ya wanaume. Wanawake wengi wanatambua vita vyao dhidi ya wanaume, lakini wanaume wanaunga mkono vita hivi pasipo kujitambua na hivyo kuidhinisha na kuunga mkono vita vya rohoni dhidi ya Mungu. Shetani anapinga neno la Mungu la ukichwa wa mwanamume akiwatumia wanawake wasiomcha Mungu. Hongereni sana kina mama wenye hofu ya kweli ya Mungu maana hao ndio jeshi kubwa. Mungu akusaidie mama wewe na familia yako usifuate kamwe kimbunga hiki cha haki batili za wanawake zinazowasomba wanawake wengu hukumuni. Fedha za bajeti hiyo ni mpango wa wazungu, na ndipo wasiojitambua wanayakumbatia na kuifanyia harakati. Shetani anajua kuwa mume ni jasiri wa kukemea uovu wa watoto kuliko mama. Hivyo ili utovu wa adabu wa watoto na wanawake uendelee pasipo kipingamizi, ni lazima mwanaume aondolewe ukichwa wake kwenye familia na jamii kwa ujumla. Nchi yoyote ambayo wanaume wameondolewa ukichwa wao, maadili huko yako sifuli. Ndiko tunakoelekea na tunasukumwa zaidi kwenye hili. Kinachofuata ni kushuhudia majanga kila iitwapo leo.
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 4 ай бұрын
Mama umetuongelea vema kabisa , maana jamii kazi kutunyooshea vidole tu watu wanapo left group . Ila kumbe serikali ndio inaamua kutudidimiza kwa makusudi
@bonifacemphumuhila
@bonifacemphumuhila 4 ай бұрын
Maskini Kingwangala Dr wangu unashindwa hekima na mwanamke! Nilidhani madaktari wanaakili kumbe unatuabisha wenziyo!
@raymondmjebe2412
@raymondmjebe2412 4 ай бұрын
watoto wa kiume tumesahaurika sana izi NGO'S zinapotuplek ni ovyoo sanaa aseh sjui tunatengenez jeshi la namna gani apo mbeleni
@hassanmatumba5272
@hassanmatumba5272 4 ай бұрын
Maneno yako yataishi mh Jesca, critically said
@azorheradius8681
@azorheradius8681 4 ай бұрын
Duuuh kumbe kuna wanawake wenye mawazomazuri kiasi hiki. Tatizo ni kwamba wako wachache sana. Hongera sana mama, wewe ni wa pekee, uelewa wako uko juu sana
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 4 ай бұрын
Kiukweli dunia inaua kwa nguvu kubwa sana Uanaume ndani ya wanawaume"Masculinity". Harakati zote na mipango yote ni kwa wanawake na watoto vijana na wanaume nobody care. kila uchwao zina jengwa shule za wanawake ila hakuna anae wajali wanaume. ani mwanaume hakuna anae mjali hata
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 4 ай бұрын
Huyu mama yuko sahihi kabisa kunamuda watu wanapaswa kufanya uchunguzi watakubaliana na maneno ya huyu mama Asante mama nyie ndio wabunge mnao stahili kwenye bunge letu
@nasrqmatimbwa6688
@nasrqmatimbwa6688 4 ай бұрын
Iv kigwangala mbuge Wawapi vip serikali haion haja kwenda kujenga milembe kwenye Jimbo la kigangwala,maaana Nina mashaka na wananchi wake
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m 4 ай бұрын
Msambtavangu,hongera sana! Una akili timamu hasaa !
@TooPerfect23
@TooPerfect23 4 ай бұрын
Huyu mama kwanini asipewe wizara ya wanaume kabisa. Inaonekana ana vitu vizuri mno.
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 4 ай бұрын
Wabunge kama hawa hata wasipofanya kampeni Warudisheni Bungeni mtakuja kunishukur💝💐💐💐🙏
@jayzeem14
@jayzeem14 4 ай бұрын
Kigangwala yuko sahihi lakini haizuii kuweka mikakati ya kuwahusu wanaume na Vijana kwenye maeneo yenye changamoto
@TejonnNdile
@TejonnNdile 4 ай бұрын
Safi sana mbunge makin Kwa hapo nakupa zote Tanzania tunapotea sana, ukiwaacha wanaume hakuna jamii hapo
@nestorymanyama
@nestorymanyama 4 ай бұрын
Safi sana Mama...na Mungu wa Mbinguni Akubarik
@moseskita4251
@moseskita4251 4 ай бұрын
Wewe ndo mbunge sasa na unajielewa na unauwezo mkubwa sana wa kutatua changamoto katika jamii kwa ku deal na chanzo
@AbdalahMsaga-wf6zl
@AbdalahMsaga-wf6zl Ай бұрын
Mama shkamoo mimi nakuelewa sana iv huyu rais haon haya? Au kuana maslah anapta kwake
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 4 ай бұрын
Wanaochangia maswala ya ushoga waongezewe muda mnakimbilia wapi taifa linaangamia
@nizarmanji5343
@nizarmanji5343 4 ай бұрын
My dear upo juu mno!mawinguni!!yaani kama kungekuwa na usajili mimi ningekusajili uwe mbunge wetu..yaani wewe ni mwakilishi wa watu na unamuogopa mungu..hizi sera za dunia za kishetani zinamtenga mwanaume kwa makusudi kumshoofisha mwanaume ambae ndie aliepewa mamlaka ktk dunia hii ...na ndio maana mambo ya hovyo yanazidi kusambaa ikiwemo ushoga na usagaji...lakini pia kutengeneza wanaume tegemezi kwa mijimama halafu tunalia lia
@DanieljobPeter
@DanieljobPeter 4 ай бұрын
Nafikiri huyu mama anastahiri kuikalia nafasi ya huyo gwajima anastahiri😮😮😮
@yohanamnyeti7222
@yohanamnyeti7222 4 ай бұрын
😂mimi nilichoshangaa ni mtoa taarifa nae kupiga makofi baada ya mongering kukaa
@titusmwilombe9332
@titusmwilombe9332 4 ай бұрын
Mama umeng'ara kwa hoja. Umeshinda zaidi ya kushinda.
@alphoncejoseph5413
@alphoncejoseph5413 4 ай бұрын
Uyu kigangwala afai kabisaaa yaani anatoa taarifa gani shenziii kabisaa
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 4 ай бұрын
Hao wanaume wanatulia maan a wao tayari ni wabunge,ila ngoja watakuja kutuomba kura
@wokovumwazembe3505
@wokovumwazembe3505 4 ай бұрын
Hakika iringa inapata watu sahihi Sana yaani huyu mama na Msingwa wako sawa kabisa hongera Sana Mama Mungu akubariki
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
Ozoda - Lada (Official Music Video)
06:07
Ozoda
Рет қаралды 13 МЛН
MBUNGE KISHIMBA ALIAMSHA BUNGENI LEO SAKATA LA MFUMO WA ELIMU
10:38
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН