Prof.Wewe ni kichwa,mahiri Sana wa kuwasilisha, kongole
@samhadas80093 жыл бұрын
Asante sana professor
@laiserkuyan60753 жыл бұрын
Waziri kabudi tunakukubali Sana wewe Ni mzee unae juu istoriya ya nchi yetu unafaa kuwa kiongozi mukumbwa unajua mengi kweli
@laiserkuyan60753 жыл бұрын
Watanzania tumeechimu mzee wetu waziri kabudi Ni mzee wa miaka Anae juu mengi ya nchi yetu pia inchi za inche tuzema Ni mzee wa Taifa la Tanzania Anae juu istoriya yote
@samhadas80093 жыл бұрын
Wewe ni zawadi ya Tanzania I don't know if Tanzanian appreciate your contribution To there Lives.
@simonlukiko28503 жыл бұрын
NAKUBALI SANA NAKUBALI MNOOO
@mohamedkalimanzila77793 жыл бұрын
Toa elimu kaka.
@uyovudispensary69393 жыл бұрын
Gd
@abdallasuleiman68793 жыл бұрын
Muungano
@ausonjustinian54943 жыл бұрын
Mzee mm nilikutaka ww uwe ndo makamu wa raisi kwa uelewa wko mzr. Nakuombea uraisi.
@casmirygregory49903 жыл бұрын
Sasa wa Afrika mbona tuna chukiana angali ss sote ni nduguu
@shamomar6293 жыл бұрын
Je alieleta jina la Tanzania mnamjua?
@alihijiiddi89772 жыл бұрын
SEMA WACHA UTENZI NA NGOJERA TOWA UWONGO WAKO TUNAKUSIKILIZA HAPA
@mohdmbarouk84653 жыл бұрын
Mtafuteni Shekh Hasan Ilunga ndio mutajuwa ukweli wa mambo sio kwa huyo