PROF KABUDI AELEZA SABABU ZA KUWAFICHA BAADHI YA WAJUMBE KWENYE MAJADILIANO YA MAKINIKIA NA WAZUNGU

  Рет қаралды 44,568

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 6 жыл бұрын
Brilliant. Among the best minds in Tanzania. Hawa watu walikuwa wapi? Hii ni faida kubwa ya kutambuwa watu wetu.
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 6 жыл бұрын
Zach Maselle ndg yangu maneno hayo tumeyasikia sana ndg yangu labda kama unayasikia Leo
@ayubnsajigwa1037
@ayubnsajigwa1037 6 жыл бұрын
+Jovent Johansen Mushwaimi ,Haya maneno yamesikika toka serikali ya awamu hii inaingia madarakani , lakini pesa hazionekani kila kitu tunakopa , hata wakulima wanakopwa pesa zao walizotunziwa
@ritamutoka7768
@ritamutoka7768 4 жыл бұрын
Sio kila kiongozi anayependa kuteuwa watu mahiri katika nyanja mbalimbali kwa woga wa kukataa kuonekana hana ufahamu au kwa kutaka kuburuza wasaidizi wake kwa sababu ya kutojiamini.
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 4 жыл бұрын
@@ayubnsajigwa1037 siku akili yako itakapokuwa pana utaelewa kuwa kuna kitu kimefanyika tofauti na awali.
@brunomichael7870
@brunomichael7870 5 жыл бұрын
Prof kabudi am like your speech ,it's so good congratulation
@butungo1
@butungo1 6 жыл бұрын
Asante sana mh. Palamagamba
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 6 жыл бұрын
perfect speech!
@gabrielmashauri8236
@gabrielmashauri8236 5 жыл бұрын
Prof ,you are a great thinker!Respect!!
@jensennashon6147
@jensennashon6147 6 жыл бұрын
Hongera hon prof kabudi..ila PhD yako ulaya
@subramashs2236
@subramashs2236 6 жыл бұрын
Jensen Nashon hongera
@prochesilyakurwa815
@prochesilyakurwa815 6 жыл бұрын
Hakithis country is full of intelligent and brilliant leaders who are straight forward for the beat of the state and its people .....i real appreciated ur effort jah
@jmahwea
@jmahwea 6 жыл бұрын
good speech
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 6 жыл бұрын
Uko vizuri
@edsonseveline1993
@edsonseveline1993 6 жыл бұрын
badala ya noaha tungekuwa tumeanza kuona walau baiskel ili tuwe na matumain
@godfreyshila3969
@godfreyshila3969 6 жыл бұрын
safi sana
@leonardmaganja9535
@leonardmaganja9535 5 жыл бұрын
Tanzanian think tank
@musadosa4115
@musadosa4115 6 жыл бұрын
uko vzr sana
@reginaldsephania6123
@reginaldsephania6123 6 жыл бұрын
Good
@andreadamiani4613
@andreadamiani4613 5 жыл бұрын
@@reginaldsephania6123 Brilliant person
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 6 жыл бұрын
Baraza LA Mawaziri teh teh teh teh teh teh teh
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 жыл бұрын
Kungepatikana wakuu wa nchi kama 40 tu hapa Africa wenye mfano wa Kabudi na yule PLO Lumumba wa Kenya.wazungu tungewakomesha,wangeiheshimu Africa
@luckykyando695
@luckykyando695 6 жыл бұрын
Big up mzee kabudi
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 жыл бұрын
Safi
@mwidzuhuluhapalataii6945
@mwidzuhuluhapalataii6945 6 жыл бұрын
We will not agree on every issue. But let us respect those differences and respect one another. Let us recognize that we do not serve an ideology or a political party; we serve the people.
@garenaali5938
@garenaali5938 6 жыл бұрын
yuko makini sana huyu mzee
@tonyamos8669
@tonyamos8669 6 жыл бұрын
Kama hakili yako ndogo huwezi muelewa kabsa
@emmanuelmwangwa3620
@emmanuelmwangwa3620 6 жыл бұрын
ally mausa akili si hakili
@hadharmiabdallah3530
@hadharmiabdallah3530 4 жыл бұрын
Nakupongeza kwa ufafanuzi kila unapopata nafasi ya kutoa hutuba
@hadharmiabdallah3530
@hadharmiabdallah3530 4 жыл бұрын
Kwa kila ambae aliepata kumfundisha lazima afaulu hata kama ni kichwa maji
@jmahwea
@jmahwea 6 жыл бұрын
good
@godlistenoljange496
@godlistenoljange496 6 жыл бұрын
Nampenda sana huyu babaq
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Mwenyez MUNGU aenderee kuwaongoz viyongoz wetu vyema
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 6 жыл бұрын
Du! hii Tz hawa wasomi wetu mil3$. Watanzania wangapi wanajua kwa Tsh.?
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 5 жыл бұрын
Ndiyo manufaa ya kuitumia elimu yako vzuri kwajili ya manufaa ya wazawa.
@johnsonphilliminus4199
@johnsonphilliminus4199 6 жыл бұрын
Duh! Huyu mzee naye, kwani moja ya matumiz ya fedha zipatikanazo si ulipaji wa madeni? Haya hautaki kusema real figure ila sitayari umeshasema mmepokea? So sio lazima wajue watakuja tu. Pili kutokutaja ni kiasi gani serikali imepokea au inatarajia kupokea ni kuruhusu kuliwa hizo fedha pia bila kujua ni nani kala na kala bei gani, yaani ni kuruhusu ufisadi usiokuwa na maswali. Hii ni inchi ishu so kunatakiwa kuwe na ushirikishwaji katika kila lifanyikalo kwa wananchi na hasa bunge linalotunga sheria na kupanga budget. Habar za fedha za inchi kufungia kama personal issue hapana kwakweli kama madeni yapo na hiyo sio sababu. Mzee anajaribu kutumia misisitizo kwenye utoaji taharifa yes he has a good way of presenting Ila anachokisema it's none sense. Guys u need to understand these two things.
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 6 жыл бұрын
Nyie ccm ndio hamkuliona kwa ajili ya maslahi yenu,lakini watu wenye akili timamu na wenye ueledi,na wenye uchungu na nchi hii,mliwatoa nje ya bunge ili mpitishe na mkapitisha sasa leo mnajifanya mnazungumzia kwa hisia. Acheni unafiki huo sio,,sio sawa tukamatieni wale wote walioipigania ile sheria na mikataba yote ya kishenzi si mnao na mnawajua kwa majina na mali zao.
@kamandamasanilo4858
@kamandamasanilo4858 6 жыл бұрын
Wanavyoongea unaweza dhani ni watu...
@chrisantgeorge6018
@chrisantgeorge6018 6 жыл бұрын
KAMANDA MASANILO mbwakoko nakupa pole. nyinyi machagadema mtaishia kuumizwa tu kwa namna yoyote iwe usiku au mchana. mtakoma
@kingkiwango1435
@kingkiwango1435 6 жыл бұрын
Haha
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 жыл бұрын
Kweli wewe mwalimu unaemfundisha kama ajakuelewa atakuwa ana madini joto
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 6 жыл бұрын
LA grand prof sio mchezo kabisa
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 5 жыл бұрын
Kipindi cha lissu alikuwepo????❓❓❓❓❓❓
@bakarikambi6507
@bakarikambi6507 5 жыл бұрын
Prof.Kabudi umenikumbusha mwandishi wa Mashetani prof.Ibrahim Hussein-a great thinker.
@khalidricco3907
@khalidricco3907 5 жыл бұрын
huyu kabudi ni mr misifa hana lolote kuna maprof kibao nchini lakini hawana misifa kama yako kenge wewe.
@damasmaleo4845
@damasmaleo4845 5 жыл бұрын
Sheria mbovu mliptsha ninyi mkijisifu leo mwarekebisha kwa majdai nakujua mwanzo 🤣🤣poleni
@hemedlugenja6464
@hemedlugenja6464 6 жыл бұрын
Sahihi Prof lakini wanyonyaji toka enzi tumepata Uhuru ni chama Tawala na wala si upinzani.
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 6 жыл бұрын
ruling ignorance is easier. hizo fedha ni mali za nani? ni za Wananchi wa Tanzania au nyie viongozi
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 6 жыл бұрын
Kwa hiyo hakuna haja ya kulipa madeni hayo !?! Teh teh teh teh teh eti wtz watuelewe kwa hoja nyepesi hiyo kweli profesa !?!?
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 6 жыл бұрын
Kwanini mawaziri wote wasimamie mikataba? Huu ni upuuzi mmeshaiba na sasa mnajitia mnataka kudhibiti CCM mmeitelekeza nchi na wananchi wake .hakuna maji ,hakuna miundombinu ,elimu ,afya barabarana mambo mengi yanayohitajika katika maisha ya wanaadamu. Mkisimama mnajifanya wema na huku nnaiba mali ya watanzania kwa manufaa yenu.Mchelewa sana kuzuwiya na sasa ni kujifanya tuu.
@fadhilhussein9059
@fadhilhussein9059 6 жыл бұрын
Bakari Mngazija jifuze siasa mzur sanaa na ujuwe huyo ni wazir wa katiba na sheria
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 6 жыл бұрын
Prof Kabudi hizi mbwembwe za kutwa kujisifia umemsomesha nani na nani kwa kudhania utawahadaa watu hilo sahau. CCM waliambiwa na mapema waache kufanya siri kwenye mikataba wakakaidi.
@shekhekassim6402
@shekhekassim6402 6 жыл бұрын
Uongo mtupu
@jmahwea
@jmahwea 6 жыл бұрын
good speech
@amirmotors9735
@amirmotors9735 6 жыл бұрын
Uongo mtupu
@japhetmwamlenga7078
@japhetmwamlenga7078 6 жыл бұрын
Amir Mpenike mjuwe ili iweje bac tupe ukweli wewe unayejua
@jut1161
@jut1161 6 жыл бұрын
Amir Mpenike watanzania hatuna shukurani
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 299 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН
MANENO MAZITO YA PROF  KABUDI KWA MAKAMU WA RAIS MTEULE DK  MPANGO
7:39
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
Prof. Palamagamba Kabudi Amwaga Madini Bungeni
41:02
Global TV Online
Рет қаралды 109 М.
Why Spain's Socialists are U-Turning on Immigration
10:51
TLDR News EU
Рет қаралды 166 М.
How a Feud Over Libya's Central Bank Could Restart its Civil War
10:16
TLDR News Global
Рет қаралды 88 М.
Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'
5:47
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН