Semina Ya Neno La Mungu KKKT Kanisa Kuu Lushoto [MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU]
Пікірлер: 45
@lazaroraphaelmwandosya7010Ай бұрын
ameeeeen
@TimothyAnna-iz1rc3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@jescarwegoshola17543 ай бұрын
Amina ubarikiwe Mwl Mwakasege, Mungu ni zidishie Imani 🙏
@ephraimkyando67443 ай бұрын
Mungu Akutunze Mwalimu Wangu.
@upeonyambo46453 ай бұрын
Ameni.Asante Kwa neno zuri.Nasumbuliwa na Mgongo,Naomba maombi mtumishi.
@jacksonshukrani15993 ай бұрын
Mungu nipunguzie Mashona nguo, Mungu usinitie majaribuni.
@johnedwardkassawa29523 ай бұрын
Amina kubwa mtumishi wa Mungu Nimebarikiwa Sana Na mafundisho
@priscajohn20093 ай бұрын
Amina Mwl....Mungu atusaidie tuishi kadiri ya mapenzi yake.
@edwardpeter85693 ай бұрын
Ujumbe bora wa mwaka... Mwenyezi MUNGU atabakia kuwa MUNGU hata iweje... Ee Bwana tujalie imani, matumaini na upendo wote na hata tusiowapenda
@graysonlikwama1873Ай бұрын
😢
@janeflorencesajjabi15453 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN,YESU AKUTUNZE. Mwl.Mwakasege.
@jernmroso3 ай бұрын
Dear father barikiwa sana❤
@rosinawawuda74323 ай бұрын
😂Baba Yangu You Look Very Very Smart Kweli Neema Ya Mungu Haifanyi Watu Wake Wachafu.Wewe Ni Kielelezo Kwa Wote.Always Stay Abundantly Blessed With Your Great Entire Family . Rose From Kenya Watching Live Upendo Media.Kiroho changu Kimekuzwa .Asanteni Sana Morning and Evening Glory.Upendo Media Hongereni Sana Nakosa Maneno.Lugha.Since 2019 to Date Baba Alisema Hakuna Umbali was Maombi
@andondilechaula63133 ай бұрын
Ameen mtumishi MUNGU akubarik sana
@johnsonnoah4673 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@bernadethashiduki69363 ай бұрын
Mungu akutunze Mwl.
@abelmakito-go3qo3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@IreneMlay-qs7wj3 ай бұрын
Ubarikiwe san mwalimu
@frhebron3 ай бұрын
Mungu akubariki Baba
@BarakaMbonile3 ай бұрын
Hila kwangu jipya
@anthonypascal16873 ай бұрын
Hallelujah!!!
@didasmswete6783 ай бұрын
Amina 🙏
@uvccmsenetiiringa72723 ай бұрын
BARIKIWA SANAAA BABA
@lazarochingula78533 ай бұрын
Amen!
@EmanuelBadi3 ай бұрын
Asante Dear Daddy❤❤
@paulaugustino32423 ай бұрын
Amen 🙏
@sarahmwakagugu66633 ай бұрын
Amen
@sedekiabilijite55163 ай бұрын
Amen❤❤❤❤❤❤
@YohaniRisasi3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwa mwarimu na baba nimeota ndoto moja mara tatu kwa siku tofauti ndoto ipo hivi nirikuwa nyumbani turipo kuwa tukiishi zamani na familiar baba mama nasi watoto wanane.ndoto inanionyesha mama akipika chakura Shea yangu anakwenda kuweka chooni mara ya Kwanza nirikura na mara ya piri ila mara ya tatu ni majuzi sikura kwani nilijisikia kinyaa Sana na kukasirika niripo toka chooni nikakuta mm na wenzangu wanakura pare nnje nikauriza kwanini mie nawekewa chooni ninyi mnaria hapa mm akakanusha mmja akasema nikweri Kira wakati unamwekea chooni ila mm sio vizuri basi nikaria Sana mwarimu imekuwa ina nisumbua Sana na sijafahamu maana yake tafadhari ushauri na majibu mungu anasema Nini nami
@eneamsanga34803 ай бұрын
😂😂😂 Mungu hatishiwi
@magdalenemohamedi70613 ай бұрын
wow..huu ni ufunuo.mpya..
@daudsamwel-vv5sy3 ай бұрын
Amina
@stephanosospeter17093 ай бұрын
Ameen
@EdwinEdward-ze2eq3 ай бұрын
Hakika kweli watu wengi tunaamini kupitia vitu
@ndinahnsaji82943 ай бұрын
Hakika nimebarikiwa na SOMO hili
@kanankirannko61743 ай бұрын
Kuna masomo mengi yaliyonibariki ila hili limenibariki mno
@IvanSedekia-bv8ep3 ай бұрын
Baba ,Mama kafanya kazi kukushawishi mpaka umevaa suti . Kongole kwake😂😂
@jaligawesa3 ай бұрын
True🎉❤
@davidnyambuche3523 ай бұрын
😆😆😆😆usimtishie Mungu
@namnyakiabell38183 ай бұрын
🙏🤍
@inukauleunywe57173 ай бұрын
Unaanzaje kumtishia Mungu? Unamjua unaye mtishia?
@TheclaKomba3 ай бұрын
🎉❤❤🎉😊🎉😊00000000000000000😊
@inukauleunywe57173 ай бұрын
Biblia inasema....Mungu ni moto ulao....sasa cheza uone