Dr Chris Mauki : Utajuaje kama mpenzi wako sio mwaminifu?

  Рет қаралды 110,025

Chris Mauki

Chris Mauki

4 жыл бұрын

Wengi hupata shida sana kugundua kuwa mpenzi sio mwaminifu, na wakija kugundua basi ni kwakuchelewa. Nini kikufanye ugundue mapema ili muweze kusahihishana na kuyalinda mahusiano yenu? Hizi hapa dalili nakupatia

Пікірлер: 122
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 4 жыл бұрын
Mungu nisaidie nisiweke Ubongo wangu kwa Wanaume. Nimekuweka wewe wa kwanza ktk Maisha yangu. Na pili Watoto wangu endelea kuchochea Moto huu ndani yangu.
@kelvinhomba4068
@kelvinhomba4068 3 жыл бұрын
Sa utapataje watoto bila mwanaume au una watoto tyr
@reginadavid5678
@reginadavid5678 Жыл бұрын
Amen kabisa inaumiza sana
@salmaabdul6154
@salmaabdul6154 Жыл бұрын
Amen 🙏
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@WardaSaid-gg8qk
@WardaSaid-gg8qk 11 ай бұрын
Kwakweli wanaume wenyewe hawaeleweki😂😂
@jacklinejames6991
@jacklinejames6991 Жыл бұрын
Hapo kwenye simu ni kweli kabisaaaa.... Kwa sababu nayapitia haya
@mockyjohn3528
@mockyjohn3528 4 жыл бұрын
Ongera sana kaka, hayo unayosema ni kweli kabisa
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 4 жыл бұрын
Asante sana kaka Yangu
@miriamelias6973
@miriamelias6973 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hichi unachokisema Asante sana
@johngumbi3171
@johngumbi3171 Жыл бұрын
Thanks kaka mauki you are amazing nimepata madini sahihi kwa wakati sahihi. Unapatikanaje kaka nahitaji kukuona
@officialarafa6511
@officialarafa6511 2 жыл бұрын
Haya mazingira ya simu ni 100% true👍
@rosetagaye5731
@rosetagaye5731 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa yan hiyo ya2 inanihusu Mungu anitie nguvu kwakwel
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Safii kabisa bwana daktari
@HadijaSalim-qx8fw
@HadijaSalim-qx8fw Жыл бұрын
Good work u have help me alot..👌
@njaumage2123
@njaumage2123 Жыл бұрын
Dah kaka nakukubali salute kwako
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Жыл бұрын
Asante Sana
@jumamagangajuma8858
@jumamagangajuma8858 4 жыл бұрын
Hongera san
@rachelsteven1881
@rachelsteven1881 3 жыл бұрын
Naomba namba zako kaka ,nahitaji ushauri wako sana
@gffghgfdd9004
@gffghgfdd9004 2 жыл бұрын
Asante sana
@fredyaddy5024
@fredyaddy5024 3 жыл бұрын
Good doctor
@evefesto1985
@evefesto1985 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Kaka
@mercyadangahi1991
@mercyadangahi1991 2 жыл бұрын
Am proud of you coz you always speak the reality. All this have been passing through my life and l couldn't persevere l had to quit coz longer change
@tausimbilinyi5426
@tausimbilinyi5426 2 жыл бұрын
0
@btylove1870
@btylove1870 4 жыл бұрын
Simu zinawekwa kwenye airplane mode ukiwa nae!! Inasikitisha sana mauhusiano ya sasa fake fake fake
@estamathew5167
@estamathew5167 2 жыл бұрын
Mmh wanamme hawa mbwa
@HajiKahema-tw5to
@HajiKahema-tw5to 4 ай бұрын
😢😢😢😢
@julianamgoha2357
@julianamgoha2357 3 жыл бұрын
aiseeee uko sahihi kabsaaaa
@mercylinekerubo6425
@mercylinekerubo6425 Жыл бұрын
Very very true
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Haya ndio wa kwangu ako nazo kwa sasa mungu nitie nguvu
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 3 жыл бұрын
Thxz Chris point noted.. 🌹💕
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana Catherine
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 3 жыл бұрын
Nimependa contents zako kaka, apo kwa kuchelewa kutoka yananikuta ila bado namchunguza
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Kwelii dr 4
@zaharamohamed3254
@zaharamohamed3254 2 жыл бұрын
Hatari sana
@francinechirezi506
@francinechirezi506 3 жыл бұрын
Ume nifurahisha eti kweli uki hona sim hake ahina hata sms
@yustamwasakujonga5531
@yustamwasakujonga5531 3 жыл бұрын
Asante Dr
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Kwenye cm apo mmh, nilisoma naniii mbili nikamkamata nilimtega KWA sms nika ona cm nikiwa nae atumii naaki iweka anaifunika kioo, nikipika niko mbali nae anachat yuko bz , kunamda UKIWA nae ukimwekea mkono anakutoa, anaku ambia joto pia anataka utulivu alale, ukiaga kutoka anafurah saana, ilA ninajifunza sana nakala zako, asante
@meaningoflife651
@meaningoflife651 Жыл бұрын
Manukato, kuchelewa kurudi, na kufuta msg zote kwenye cm na kujipenda anajali sana anavotoka kwenda kazin apendeze hii tofauti na zamani yani ckuhzi atapima nguo mbaka basi ni kaanza kubarika ivi karubuni tokea nijifungue sasa mtoto wetu ana miezi 6 sijui ata nifanye nini kosa dogo nkikosea anakua mkali ananuna ata week aisee nashindwa kuelewa sometimes natafutiwa vikosa tu ilimradi nionekane mkosaji nakubari Naomba msamaha anakwambia yameisha lakn hakuongeleshi yan sijui nfanye nn navumilia kwa sasa kwasababu ya mwanangu ntakapo muachisha ziwa akifunga tu mwaka ntaangalia utaratibu mwingine apa Naona sina changu kabisa
@FatmaMohamed-fh1vv
@FatmaMohamed-fh1vv 8 ай бұрын
Wangu ana mengi Kati ya uliyoyataja. Na nimepeleleza na kugundua kuwa kweli.
@sintaaugustino909
@sintaaugustino909 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@danielshemi1177
@danielshemi1177 4 жыл бұрын
Dr mauki I am happy with your counselling which has motivated me very much. God bless you.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
Thank you sooomuch
@eddywiser1649
@eddywiser1649 3 жыл бұрын
God help me
@mariamassouman8780
@mariamassouman8780 4 жыл бұрын
Thx a lot Dr...kwenye signal 1 haswa kama umepiga ramuli 😂😂😂iyi topic kizazi sana
@user-kf5fy5pe9z
@user-kf5fy5pe9z 3 ай бұрын
Fact
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Sometimes mtu hubadilika kutokana na Hali ya maisha kubadilika au upeo wa kujitambua kuongezeka. Pia hata swala la cm, wakati mwingine mume/mke anailinda cm kutokana na aina ya kazi aliyonayo, inawezekana kazi aliyonayo inahitaji confidential zaidi,kuwa mke au mume haimaanishi eti ushinde na cm au ufahamu each and every thing. Kuna baadhi ya kazi Zina masharti kama hayo kuwa mke /mume asishike cm yako mara Kwa mara may be itokee kama an emergency. Kikubwa ni kufahamiana tu na uaminifu utawale.
@sebastiancosmas7920
@sebastiancosmas7920 Жыл бұрын
Mfano Kaz gan? Hapana sio kweli hapo kuna matabaka 2,humwamini,hujawa tayali kuweka waz mambo yako kwake ,
@jibabahbah5188
@jibabahbah5188 3 жыл бұрын
Yani umenigusa hayo yote ulioyasema ndio yanitokea kwa sasa
@jibabahbah5188
@jibabahbah5188 3 жыл бұрын
Naomba unisaidie wako nifanye nn doc
@rispathequeen
@rispathequeen 4 жыл бұрын
Hiyo yote Dr hilikuwa ya kwangu thax is truth about my past.
@wilsonnsalanje7841
@wilsonnsalanje7841 4 жыл бұрын
Pole dada. Na sasa vipi?
@Awatee
@Awatee 4 жыл бұрын
Pole san mahusiano nitayaskia kwa watu tuu kwa sasa siapi lkn mhh kwa kwel wanaume wa sasa asilimia kubwa waache wapendwe na mama zao tuu ctaman bora niwe peke yang
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Hapo kwenye cmu ndo penyewe sku hiz🤣🤣🤣🤣
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
🙏🤔
@estamathew5167
@estamathew5167 2 жыл бұрын
Jamn mm cwaamini kabisa wanamme ,,,hivi viumbe mmh😪😪
@nickkinyangai7521
@nickkinyangai7521 4 жыл бұрын
Brow uko vzr sana keep it up kaka tuokoe
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Kweli Yani hawa wanaume wanaume wanatutesa sana Yani bac tu
@janethmwacha9355
@janethmwacha9355 4 жыл бұрын
Mbona dr unaongea ki probability..
@AbubakariDaudi-zs6wp
@AbubakariDaudi-zs6wp Жыл бұрын
Kiukweli ayo ndio maisha nayopitia kaka
@collinsolero3688
@collinsolero3688 Жыл бұрын
100%
@eliudboniphacemkude2058
@eliudboniphacemkude2058 Жыл бұрын
Mimi mpenzi wangu kanunua simu na kasajiri laini mpya na hataki nijue kama kanunua hivyo vitu na hiyo laini haitumii kuwasiliana na mimi yan kwasasa sina hamu nae kabisa na mpaka namuogopa saana
@marymusangi5568
@marymusangi5568 4 жыл бұрын
naomba namba yako pzy
@daggie2542
@daggie2542 3 жыл бұрын
Unachoma man
@neemamakuyafaustine2939
@neemamakuyafaustine2939 2 жыл бұрын
Me. Nataka kumuacha. Mume wangu tabia zake chafu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Muite mwambie Kwa UWAZI na upendo
@bahatikimario3941
@bahatikimario3941 2 жыл бұрын
Yote umegusa sehem husika
@seifseif681
@seifseif681 Жыл бұрын
Dr criss naomb niwasiliyne na ww naomb namba
@frostworrier5748
@frostworrier5748 4 жыл бұрын
Dr nahitaji ushauri wako
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Kwenye dalili ya nne imeningusa sana
@zainabumussa697
@zainabumussa697 2 жыл бұрын
Kaka naomba unitafute namba zangu nimeacha hapo please
@esthermademba4043
@esthermademba4043 3 жыл бұрын
Napend xna ushauri wako kaka
@antoniojovenssalassini6686
@antoniojovenssalassini6686 Жыл бұрын
ilo nikweli, muidumbe msumbiji
@okandafu8045
@okandafu8045 3 жыл бұрын
Chris you streghthen me everytime i listen to you..how can i talk to you in person..
@ameerzain6857
@ameerzain6857 2 жыл бұрын
I dont mean to be so offtopic but does someone know a tool to log back into an Instagram account?? I was dumb lost my account password. I would love any assistance you can offer me
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Dr namba zako kwa ushauri zaidi na zaidi
@janeshangii7330
@janeshangii7330 4 жыл бұрын
Hongera Sana docta kwa mafunzo
@Kal-Mary
@Kal-Mary 4 жыл бұрын
zitizame kwa iyo comment ya ju yako amezipana
@naslaibrahim580
@naslaibrahim580 3 жыл бұрын
Nakuomba unisaidiye dc mim nin mwanaume niko naye myaka2 lakini tunakalibiya gufunga ndoa amenikataza kuwa namuuliza ao kuchukuwa sm yake je mbon ninamashak nae nifanye nin
@carzolaalone3126
@carzolaalone3126 3 жыл бұрын
Anakupenda hataki uumie🥳
@nailatkatanga5342
@nailatkatanga5342 2 жыл бұрын
Samahan Dr , mm ni msichana wa miaka 20 Nina boyfriend ,nipo nae kwa Sasa tuna miaka ,5 , na tunapendana Sana, lakin kilio changu kwasasa ni dalili usemayo ya simu , nimeshawah kukuta message za mapenz akichat na mtu mwingne , na nilisha samehe Mara kwa Mara , lakin bado mpaka Sasa wanaaendelea kuchat , na anamtafuta , DR CHRIS nlikua naomba ushaur wako ,kuhus hili , je niachane nae au nifanye plse
@hassanrajabu724
@hassanrajabu724 2 жыл бұрын
Endelea nae tu miaka mingi sana hiyo
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 4 жыл бұрын
Me ndo sisemi
@yasintakasunzu6265
@yasintakasunzu6265 4 жыл бұрын
Mahusiano ya sasa ni msalaba, wa kwangu kama anaenda chooni anayo, bafuni anakwenda nayo hata umeme ukiwepo, siku moja usiku alipigiwa simu akakata baada ya hapo akatext fasta, nilipo hoji nilipigwa kipigo cha mbwa mwizi, ila yeye sasa simu yangu anaikagua kila dakika. Wanawake hatuna furaha na mahusiano yetu.
@shanawilliam1050
@shanawilliam1050 3 жыл бұрын
Daaaah mbaya sn
@happymarko9729
@happymarko9729 3 жыл бұрын
ilike it doctor
@kilumamboje9854
@kilumamboje9854 2 жыл бұрын
Jamani pole mpendwa ata mie nayapitia
@zakiayasin4782
@zakiayasin4782 2 жыл бұрын
Kwel umegusa kwenyewe
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 2 жыл бұрын
Pole dadngu
@hildamoi78
@hildamoi78 3 жыл бұрын
Doctor nahitaji ushauri wako
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
0713407182
@mwanaidhassan229
@mwanaidhassan229 3 жыл бұрын
Pia hasira zisizo na maana ukali ukali wa kijinga red flag 😂😂😂
@luciamutongore799
@luciamutongore799 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌achaaaaa
@nsabimanalovelly7708
@nsabimanalovelly7708 3 жыл бұрын
Kabisa
@estamathew5167
@estamathew5167 2 жыл бұрын
Daaah yaan ata mm hicho kitu kinaniuz sana😪😪
@leahkhatoroinjenikhatoroin6151
@leahkhatoroinjenikhatoroin6151 3 жыл бұрын
niulize kuna vile hizi tabia zinaeza kubadilka ama ningumu?
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Inawezekana kama mtu amedhamiria yeye mwenyewe
@josephinealpha185
@josephinealpha185 Жыл бұрын
Ni vigumu kubadirika tabiya hizi
@rajabalbert1692
@rajabalbert1692 3 жыл бұрын
Nitumie namba yako
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
0713407182
@tatukarata6072
@tatukarata6072 2 жыл бұрын
Na Kama hajipend kila ukitaka awe simat hamna hapo vp
@grancebeuty2443
@grancebeuty2443 4 жыл бұрын
Kwa iyo nisijipende jmnn au kuvaa vzr duhh hii point naikataa
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 4 жыл бұрын
Haujaelewa anasema Mtu anabadilika ghafla wakati c kawaida yake.
@elibarikikateman5846
@elibarikikateman5846 4 жыл бұрын
ukiciliza maelezo aliyoyatoa utaelewa vzur, rudia kuckiliza hyo point
@hellenkellen8273
@hellenkellen8273 2 жыл бұрын
Sure
@estamathew5167
@estamathew5167 2 жыл бұрын
Hujamuelewa kabisa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
May be anabadilika kutokana na kujitambua au Hali ya maisha kubadilika Sasa ataachaje kujipenda? Kuna baadhi ya point hapo Dr umeteleza kidogo. Hata kwenye cm pia wakati mwingine anailinda kutokana na aina ya kazi aliyonayo Ivo inahitaji husiri zaidi. Ivo lazima utazame na aina ya mume ulienae.
@saadahussein1158
@saadahussein1158 4 жыл бұрын
Naomba no yako ya simu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
0713407182
@meshackally9057
@meshackally9057 3 жыл бұрын
Mauk me nashida ya ushauli me napati kana dodoma naomb ushauliaako no yangu 0679684092 ningepa ya kwako nikupgia n0mba sana
@judithyngasa8553
@judithyngasa8553 Жыл бұрын
100%
Dr Chris Mauki - Utajuaje penzi la mpenzi wako limeisha?
12:39
Chris Mauki
Рет қаралды 346 М.
Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki
9:01
Hamasika Tv
Рет қаралды 6 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 28 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 70 МЛН
JINSI YA KUDUMISHA MAHUSIANO YA MBALI
19:24
ACADEMICIAN MEDIA
Рет қаралды 20 М.
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 98 М.
KAMA USHAAWAHI SALITIWA NA MUME AU MKE DAWA YAKE SIKILIZA HII
31:50
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 560 М.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 127 М.
Ukiyaona Haya Ujue Mpenzi Wako Hana Mwengine By Mr.Kadili
12:44
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 63 М.
Mfanye nini pale mpenzi mmoja anapochepuka?
10:07
Chris Mauki
Рет қаралды 62 М.