Ongera kaka Joël nanauka Ni mimi Kabura Abedi kapanga sabiti swabur Kutokea Congo na Burundi hadi Tanzania
@anastasiamainaministries27003 жыл бұрын
Asante Sana mkufunzi wangu,, hua najipata nimechaguliwa kiongozi kila mahali niedapo , sometimes nashidwa lakufanya,, nashukuru tangu nikufwate nijifunza Sana barikiwa na ulindwe naungu
@evangelistnoel Жыл бұрын
Mungu akulinde na kukuinua
@stevenwolter68883 жыл бұрын
Hakika kuna maarifa flan Mungu kakupatia ushee na sisi jamii yako, Mwenyezi akupe unyenyejevu zaidi, Nguvu, afya, kwa maneno yako aliyokupa tuzidi kufumbuka mcho ili nasi tujifunze kitu cha kufundisha wengine piah, See me at the top.
@gilbertnduwayo54362 жыл бұрын
Mwarimu kiongozi Joel Mungu akubariki sana! Somo lako linagusa maisha yetu! We really like your lessons that you posted every single day, God bless you brother forever
@prospersanga79423 жыл бұрын
Unajua paka unakera Bro
@MichaelJumbe-wu7iv Жыл бұрын
Good bress kazi ya Joel
@eliyawilliam92093 жыл бұрын
Asante sana Napenda kusikiliza masomo yako hasa ya uongozi
@mkaapwekekariakoo64172 жыл бұрын
basi unavozungumza afu unatabasamu, ndo najikuta na mie nimesimama na wewe nakungoja umalize kuzungumza na mie niwasilishe mada yangu... ASANTE
@NelsonMelita-sx3ik Жыл бұрын
Amina nitapata aje vitabu sako
@williamcosmas1986 Жыл бұрын
Asante kaka Nanauka
@sheilamustapha62173 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na akutimizie lengo lako kaka joel
@vailetheanyambilile97493 жыл бұрын
Asante sana brother
@neemamroso68643 жыл бұрын
Asante sana nakufuatilia sana kaka Joel
@suemundati17653 жыл бұрын
You are such a blessing! God Bless You & Increase You!
@hamzandalamila85293 жыл бұрын
Nikweli kaka iko sahii mungu akujalie kila lenye kheri
@dorakiyao45092 жыл бұрын
Ooooh!! my God ,thanks alot
@rosemarysulle92887 ай бұрын
😂😂wanasema ana misifa,anajiona anaweza,ila wa Tz jmn
@blaylimbu65753 жыл бұрын
Nayikubali sana elim yako
@wemakalamu35383 жыл бұрын
You are genius be blessed
@mwajumamwishehe27433 жыл бұрын
Asante sana kaka na mungu hakubariki🙏🏿👏
@robertgordon27453 жыл бұрын
amina bro
@patrisheradam57903 жыл бұрын
Asante sana
@albertnyagetera59083 жыл бұрын
Keep pushing brother Joel. Your life is an insipiration to many youths. If you can achieve all that, it can be done to us as well if we believe and put in the work. Naendelea kushikilia maono yangu hata kama mazingira na wengine bado hawaoni nionacho. Nipo STENDI YA BASI hata hapa nilipo napita
@davidawet32142 жыл бұрын
Touched
@blaylimbu65753 жыл бұрын
Mwl mm maisha yangu na ndoto zangu ni kuwa tajili mkubwa was kimataifa toka nikiwa mdogo safari ilianza vizuri duh! Sijuwi nifanye nn ili niongee na ww kwanjia ya cm
@sedeckmtafya23753 жыл бұрын
Nimekuelewa sanaaa Kaka Joel
@mariabange92083 жыл бұрын
Kaka naomba kujua vitabu vyako vinapo uzwa
@ombenidamson96793 жыл бұрын
uko vizuri , ila mm natafuta vitabu vyako kila nikitafuta mtandaoni sipatiii mwee
@doreneliar89983 жыл бұрын
Nakukubali sana
@barakanyamafu59373 жыл бұрын
Joel wewe ninoma sana
@samwelmollel6023 жыл бұрын
Amina
@VictorKashindiАй бұрын
Joel naitaji vitabu vyako, nitavipataje?
@jamesibrahim88493 жыл бұрын
I'm motivated
@tujulishanesandawegroup1729 Жыл бұрын
Masomo haya nitayapataje kwa nji ya whatsapp?
@denssimon55853 жыл бұрын
Very true💪🏿💪🏿💪🏿
@deenicktz44062 жыл бұрын
Nondo makini sana
@anastasiamainaministries27003 жыл бұрын
Kenya watching👌👌
@yassirmohammed50673 жыл бұрын
wewe ni mwanaadamu🙏😔
@nohalesilwa66533 жыл бұрын
Thanks
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
SAFI SANA
@eliasenye67793 жыл бұрын
Natamani sana kaka nije nichukue kitambu chako unapatikana wapi
@josephubanyase44703 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi unafugua akili ya watu wng.
@denssimon55853 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@helenamusa4323 жыл бұрын
namba tatu niyamuhimu
@maombifranco3 жыл бұрын
Part 4 nasubiri kwa hamu
@agnesslyimo56773 жыл бұрын
🙏
@sheikhibrahimkishki75923 жыл бұрын
Nahitaji namba za mwalimu
@joelnanauka3 жыл бұрын
Karibu sana Sheikh Ibrahim,namba ni hii +255756094875
@sheikhibrahimkishki75923 жыл бұрын
@@joelnanauka shukrani sana
@shubackmashinga35353 жыл бұрын
🏆🏆🙏🙏
@athumanisungamoyo11 ай бұрын
Hakika mental mhimu sana.
@alexlingwendu67803 жыл бұрын
True .Nilijipangia na kujitamkia ktk Maisha yangu kabla sijafika Miaka 25lazima niwe na Nyumba na 'Sio Bora mradi Nyumba tu 'Nyumba nzuuri Dar es salaam.Hakika ndivyo ilivyokua Teena nikiwa nimezaliwa Iringa nikakulia Iringa Dsm nikaja baada ya kumaliza Form Four .Teena. Safari yenyewe nilifanyiwa mpango na Mwanafunzi niliekua nimemuacha kidato kimoja shuleni Udzungwa .(Dabaga)Baada ya kumaliza Form Four Nikiwa nasubiri matokeo Jamaa yangu aliekua anatokea dsm Na nilikuanasoma nae Udzungwa ?Ndugu Aloyce alikuja kuniomba nimtafutie Mtu ataekuja kufanya kazi dsm ya kukatia majani Ng'ombe wa ndugu yake. Nikamwambia Mtu huyo umepata akashangaa saana.Kivipi?Akauliza .Nikamjibu Ni Mimi mwenyewe.Na ndo safari ya Maisha ya dsm ilianzia hapo.......Now Nipo vizuri na ninamshukuru saana ndugu Aloyce coz yeye ndo Mungu alimtuma Aje anionyeshe njia.
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Hongera sana! Uthubutu wa hivyo ni mfano mzuri hasa Kwa vijana wa sasa