No video

Ukiota Meno Basi Jiandae Na Bishara Hizi - Sheikh Khamis Suleyman

  Рет қаралды 34,538

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Ndoto ni Bishara ZaMaisha Yetu Kwa Asilimia 85 Hivyo Kua na Utaratibu Wa Kuzitambua Ndoto Tunazoziota.
#masjid_mtoro_onlinetv #Ulimwengu_wa_Ndoto_Ukiota_meno

Пікірлер: 61
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
Shukraniii sheikh wangu
@nahyanhareb4053
@nahyanhareb4053 4 жыл бұрын
Shukran
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
Shukraniii
@SamiraNifashasssc-vn9bx
@SamiraNifashasssc-vn9bx Жыл бұрын
Sija kuelewa ata kweli meno ya mbele ni mume sasa kafanya nini sasa
@Chery_cherryy
@Chery_cherryy 4 ай бұрын
😂😂😂
@sabraothman6750
@sabraothman6750 4 жыл бұрын
Mm niliota tulikwenda kwenye harusi halafu meno yangu ya mbele ya juu yakatoka halafu yakamalizima yote kutoka nikawa nalia najiuliza meno yangu yametoka yote lkn sijachukua muda nikawa na meno mengine mazuri yaan yamejipanga vzr wallah sasa mm nataka unisaidie kunitafsiria hiyo ndoto
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 Ай бұрын
Ulipata tafsiri yake
@jaisuriapidas372
@jaisuriapidas372 3 жыл бұрын
shukran
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 жыл бұрын
Mimi niliota meno,zote kuonka nakutafuna,,kubakia kibogoyo,ama kweli dalili moja nikonai kati ya marathi uliotaja,subhanalah Allah atuepushe na mathari
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
Mmh nimeota asubuh hii
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 Ай бұрын
Ni kweli au
@jfjgxcv5859
@jfjgxcv5859 2 жыл бұрын
Assalam alaykum sheikh naomb unisaidie tafsir ya ndoto kuota jino moja la mbere awuna manayake nini mala kwa mala huwa naota ivo🙏
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 3 жыл бұрын
Naomba tafsiri nmeota ndoto kuwa mtoto wangu wa miezi 10 ameota meno siku moja Tena meno yote kasoro Yale meno ya kung'atia ya juu na chini hayajaota Nini tafsiri yake shukran
@allykasoni2729
@allykasoni2729 4 жыл бұрын
Sasa ukiota hayo menobna kmnulivotafsili kua huenda ikawa watu wa kiumen kwakonama kiken ama marafik sasa wamefanyaje sasa!? Ndo watakufa ama niaje!? Elezea vzr dr
@florienneniyonsavye3113
@florienneniyonsavye3113 2 ай бұрын
Mimi nliota mtoto wangu changa ameota meno mawili juu mmoja chini
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Asalam waleykum shekhe mimi nimeota nipo nyumbani na ndugu zangu nikaiyone ndege inapita angani laki ndege ile ilikua inaanza kuwaka moto je hii inamaana gani
@AbdallaYahya-bc9zb
@AbdallaYahya-bc9zb 2 ай бұрын
Assalam Alaykum jee ukionata jino moja la?juu la mbelee ndo limengoka
@asiaali-zk7tr
@asiaali-zk7tr 2 ай бұрын
Assalam alaykum mim nimeota meno yang yanangok hii ina maan gani
@zainabafadhil7996
@zainabafadhil7996 11 ай бұрын
Ustadh naomba unieleze iii mimi ilikuasakumi na mbili usubuhi niliota jino moja lajuu laniuma nikaenda osii Dactari akanitoa jino moja likatoka ii inamanisha nini?
@user-qx7jg4gh6i
@user-qx7jg4gh6i 10 ай бұрын
Mm nimeota nimetoa meno ya juu mwenyewe
@taybakhan8059
@taybakhan8059 3 жыл бұрын
Shukurani
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum, Maalim! Je, kuota unatoa nyama zilizo ganda baina ya meno? Maana yake nini?
@mwarabuabdillah-tg1rf
@mwarabuabdillah-tg1rf 2 ай бұрын
Mimi nimeota mwanangu anaota meno matatu Kwa pamoja ila ni ya pempeni
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Naam Ustadhi nimeota nimeona meno zamea na ni meno 6 za juu
@asiyajuma3135
@asiyajuma3135 Жыл бұрын
Mm ni liota meno ygu yote ya mengoka
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 Жыл бұрын
Je ukiota mna busina na mpenzi alafu meno ye yenu ya kangongana inamahana ngani?
@FarhaInamahoro
@FarhaInamahoro 4 ай бұрын
Samahani sheikh apo sijaelewa cocote maana iyo ndoto inanisumbua tafazali unaweza ukanifahamisha kung'ooka meno yambel
@chunaababnaa3335
@chunaababnaa3335 4 жыл бұрын
Selewi hizi maana
@mamamuu8217
@mamamuu8217 4 жыл бұрын
Sheikh Mie naota nayango,a Meno mwenyewe Bila maumivu. Huwa nn?
@husnahashimu7132
@husnahashimu7132 4 жыл бұрын
Hata mimi lakini hatafsiri vizuri na majibu hatupi😭
@ashamaalim1234
@ashamaalim1234 Жыл бұрын
Vipi kuota unangoa mwenyeo magego yachini mawili
@azeezaabdalla4673
@azeezaabdalla4673 4 жыл бұрын
Ostazi assallamuwarekum tujibu Basi ostazi Mimi nimeota nimengoa meno yote Sina atajino moja inamana gani ostazi
@noreennoel9070
@noreennoel9070 3 жыл бұрын
Hata mimi sijui kwanini
@rayaeddy2487
@rayaeddy2487 3 жыл бұрын
Wanasema tafsir yk ni kupata maradhi ya kudumu Omba Mungu akuepushe
@zuwenambolela737
@zuwenambolela737 3 жыл бұрын
Asalamu alekumu,ukiota msichana Mdogo anafanya tendo la ndoa pembeni ya barabara na kijana na wakiugulia kwa raha na akaenda kuoga na Ile nguo yake aliyokaivaa akaivua na kumrushia Mtto Mdogo akavalishwa na muotaji akawaambia wasimvalishe nguo iyo Mtto kwani aliivaa uyo binti akiwa anazini,nini maana
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Жыл бұрын
Sasa nishaota jini gego limetoka maana yake baba . Unajiuliza baba kafanyaje???
@zeshsulesh6084
@zeshsulesh6084 2 жыл бұрын
Sijaelewa kitu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Mm nimeota na ya ngoa meno yangu mwenyew yote
@jaytee2021
@jaytee2021 6 ай бұрын
Mimi nimeota juzi nang'oa mwenyewe
@tumahibrah1447
@tumahibrah1447 Жыл бұрын
Hao ndugu wakiume wapo n Nini sasa cjaelew
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
،،،umeota unang'atwa Katikati ya kichwa VIP hapo sheikh
@zakhiamohamed2178
@zakhiamohamed2178 4 жыл бұрын
Hatujakufaham leo! Je ukiota umeng'oa meno matatu maana yke nn
@estherimbotsi7553
@estherimbotsi7553 3 жыл бұрын
yaani haelewekii kabisa
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Ukiota.unatowavitu Katika.meno km waya.je ninitafsiriyake
@halibochindema2568
@halibochindema2568 3 жыл бұрын
Jaman, hao watu unaowataja watafanyaje???
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
😅😅😅😆
@user-tm7qi4kv9l
@user-tm7qi4kv9l Ай бұрын
😂😂😂😂
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Ukiota umengoa gego na damu kutoka
@khuzaimathussein2813
@khuzaimathussein2813 4 жыл бұрын
Shehe nimeota nimeletewa meno yangu magego mane ,yani magego hayo mana yake nini
@paulinastephano236
@paulinastephano236 10 ай бұрын
Sasa mbona hufafanui mhhhhhhh
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 Ай бұрын
😂😂😂 watoto wa Shangazi wa mjomba Sasa wanafanya nini 😂😂
@khajsanda9059
@khajsanda9059 4 жыл бұрын
Naitwa zulfa njozi yakuota panya anakulamba lamba
@marymamntine1909
@marymamntine1909 3 жыл бұрын
Sasa hao ndugu wanafanyaje Yaan
@asiamct4025
@asiamct4025 3 жыл бұрын
Hata mimi sielewi hao ndugu wanafanya nn
@bavotv5677
@bavotv5677 3 жыл бұрын
Je ukiota kama kama unajing'ata shekh.....Itakuwa na MaaNa gaNi...???
@maureenasere9929
@maureenasere9929 2 жыл бұрын
Na zaa chini tatu
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 3 жыл бұрын
ss hao watu wakwamume watakua wanakufanyia ubaya ama nn
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
😅😅jamaniMimihukuNvunjikaMbavuHataMimiSielewi
@user-gm4mv6bp5l
@user-gm4mv6bp5l 4 ай бұрын
Sijaelewa kabisa naskia tu baba na baba mdogo sijui wamekuaje
@Chery_cherryy
@Chery_cherryy 4 ай бұрын
😂😂😂😂🙌🏽
@user-tm7qi4kv9l
@user-tm7qi4kv9l Ай бұрын
😂😂😂😂
Ndoto ya meno (sehemu ya pili) skh:Jafari mtavassy
9:14
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 2 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 7 МЛН
Ndoto ya meno na tafsiri yake
7:58
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 19 М.
RANGI NYEUSI KWENYE NDOTO  INA HASHIRIA NINI?
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 20
GITHAGATHAGO RURACIO-INI RWA DADA SARAH ( PART 1)
20:22
Dada Sarah
Рет қаралды 16 М.
NAIBU MPYA ACT WAZALENDO AANZA KAZI NA MSIMAMO MKALI
16:26
Marhaba Online TV
Рет қаралды 536
NDOTO  ZINAZO  WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME  KAMA  KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI
13:27
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН