UKITAKA USALAMA DUNIANI NI KUOKOKA TU,NISINGEOKOKA NINGESHAUAWA-Mch.Katekela kwenye semina Nairobi

  Рет қаралды 19,948

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

Jumapili Apr 3 2022.Ibada ya Jumapili Kutoka Kenya Kanisa la Penuel churche's ministry |Mnenaji ni Mch.Amiel Katekela

Пікірлер: 88
@JosephJumanne-e5y
@JosephJumanne-e5y 27 күн бұрын
Mtumshi nimebarikiwa na mahubir Yako nimefahamu Siri nyingi kupitia wewe amen🙏🙏🤝
@rukundoesperance3663
@rukundoesperance3663 Жыл бұрын
Ndiyo kbs tuokoke amen amen 👏
@aminam.410
@aminam.410 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu. Kuhusu chanjo za korona unatushauri nn maan tunaambiwa hakuna kusafiri bila chanjo nami nahitaj kurejea tz
@marymatekwa6867
@marymatekwa6867 Жыл бұрын
Bwana asifiwe Sana mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana, mimi nimekubaliana na mafundisho yako God bless you soo much May God cover you, protect you guite you etc, mimi Ninaulizaa njia moja ya wokofu no kubatiswa Ma kuna ubatuso Aina mingi WA kikombe, pendera, kujorwa musalaba kichwani, kutumbukiswa Kwa kisima, kumuakiliwa maji ya kikombe kichwani, ebu nisaidie mahali hapa madhibao Haya yote ni mzuri, ata Ukitoa sadaka zako katika madhibao Haya inapokelewa Ma Mungu
@pastorbenpenuelchurchesmin6306
@pastorbenpenuelchurchesmin6306 2 жыл бұрын
Asante Mchungaji kwa kuhudumu huko kwetu tulibarikiwa Sana.
@emmanuekabamanya6363
@emmanuekabamanya6363 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana Yesu kiukweli nakukubali. Asiyekubali maneno Yako hata Yesu akirudi hawatamkubali. Barikiwa sana.
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu azidi kukuinua
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Barikiwa mchungaji wetu Amiel na watumishi wengine
@nangongolukundula9367
@nangongolukundula9367 2 жыл бұрын
Tunashukuru MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU kweli kuokokani neema
@judithbett420
@judithbett420 Жыл бұрын
Amen 🙏
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana baba yetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵🇨🇵
@VicentYMtwe
@VicentYMtwe 2 жыл бұрын
Hongera kwa huduma
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
SEMA ukwelii mtumishii barikiwaa SANA usiogope YESU yupo naweee
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Amina amina Yesu ni Jina lipitalo majina yote mfalme wa wafalme
@epifaniakilawe329
@epifaniakilawe329 2 жыл бұрын
Barikiwa sasa sana mtumishi wa Mungu wengi tuta funguliwa na kuwa huru kwlikweli
@zitashio7920
@zitashio7920 2 жыл бұрын
Tumtafute Bwana atatusaidia,nisaidie Yesu wokovu wako ndani yangu ukatukuzwe wewe Hadi mwisho,nifiche Yesu ndani ya Damu Yako.
@henryosoro7696
@henryosoro7696 2 жыл бұрын
Watching from kenya, am blessed thanks
@lightness9756
@lightness9756 2 жыл бұрын
JESUS your Name is above everything I bless you LORD
@isabellkingori6161
@isabellkingori6161 2 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri Mtumishi Katekela na Jacktan kwa Promover TV. Wakenya tuna elewa kiswahili vizuri, no need for mkalimani. Watching from U.S
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Wokovu nimzuri sana
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Yooo Mungu wangu
@maggyirene110
@maggyirene110 2 жыл бұрын
Blessed blessed. Mungu na akubariki mno
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Hakuna Cha MAANA DUNIANI zaidi ya KUOKOKA haya ya duniani Ni shida tu
@paulwambua4956
@paulwambua4956 2 жыл бұрын
Mungu Atukuzwe kwa yote...ila tutambue tumeokolewa kwa neema ili kuyafanya mapenzi ya Mungu na kufuata Amri Zake kwa njia ya imani katika Kristo Yesu
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Yaani wachawi walikukujia vile tunaonanga Kwa movie za kanumba ,😭😭🤔then people think it's just a movie ...wah thanks promover team plus our MCH Amiel nimebarikiwaaa barikiweni pia
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Barikiwaa SANA mtumishii barikiwaa SANA Mungu asimamiye
@marifaadolphine3571
@marifaadolphine3571 2 жыл бұрын
Ameeen, kumjua yesu ni neema.
@ibrahimmburingi8043
@ibrahimmburingi8043 2 жыл бұрын
Ongera mchunganii Katengela
@user-ef6nt4fb6c
@user-ef6nt4fb6c 4 ай бұрын
Amina
@mandyaltrfawi6986
@mandyaltrfawi6986 2 жыл бұрын
Amen Amen
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 10 ай бұрын
Amen man of GOD please, uko kenya sehem gani? Ili niwaambie wanangu wawili wako tu hapo Nairobi wahudhurie mkutano wako
@peninahkariuki1136
@peninahkariuki1136 2 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu.Yesu ndio kimbilio letu🙏🙏
@lucymataka1652
@lucymataka1652 2 жыл бұрын
Yesu Ni mokozi
@lucymataka1652
@lucymataka1652 2 жыл бұрын
Yesu tusaidie tumjue adui wetu na tukujue wewe mokozi wetu VEMA Amen
@silyvianekesa4689
@silyvianekesa4689 2 жыл бұрын
Thank you so much for teaching
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeen mtumishi nakupata vyema barikiwa sana
@ayetafatuu8715
@ayetafatuu8715 2 жыл бұрын
Amina amina amina yesu ni bwana
@felixniyungeko1284
@felixniyungeko1284 2 жыл бұрын
Mungu nimwema
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Nalibariki jina lako YESU maana ni kuu kuliko majina yote
@sarahsoso7202
@sarahsoso7202 2 жыл бұрын
Chapa ingili kanisa lipone barikiweni sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Jmn haki schok kuisikiliza hi shuhuda nacheka najikumbuka mwenyew aisee dah
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Amen
@hildegardchafwila5076
@hildegardchafwila5076 2 жыл бұрын
Mmmm jamani ! ni kweli au bado unatumika.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@hildegardchafwila5076
@hildegardchafwila5076 2 жыл бұрын
Wokovu wa Roho yako baada ya kifo cha Kwanza.
@peninahmwaniah9755
@peninahmwaniah9755 2 жыл бұрын
Amen. Amen. Ameen. Je mutumishi watu wazee huchukuliwa misukule??? Na je misukule huchukuliwa hadi umri upi??
@user-ni7ke3hp1q
@user-ni7ke3hp1q 2 ай бұрын
Ni mtoto wa mhubiri lakini ni Malaya hahaaa, kumbi mashetani wanao mastaka, amiel usikome huku bwani tunakuitaji huku machakos county, ushuhuda wako ni wokovu Kwa jamii kubwa, jamii kubwa inasikia mambo yakusimu lakini hawajui vile inaendanga ila wewe ni jibu, karibu sana .....
@saeedalharthi4128
@saeedalharthi4128 2 жыл бұрын
Ukweli kabisaa,,maisha ni kukaa holy
@johnmkama8074
@johnmkama8074 2 жыл бұрын
Matwi au mad fish ?waha tuneteswa sana na sasa kupitia Amiel yared katekera umekuwa mtume kwetu na kwawatuwote unatueudishia heshima mtumishi wa MUNGU ubarikiwe
@emelivaly1720
@emelivaly1720 2 жыл бұрын
Amen 🙏. Mtumish. Mung. Akupe. Nguvu. Tutashinda. Katika. Jina. La. Yesu. Ubarikiwe. Shalom 🙏
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 2 жыл бұрын
HONGERENI Kwa kufika salama. MUNGU BABA HATA waacha WAOVU wakushambulie Kwa KILA ufanyalo....
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen and Amen Asante sana mutumishi wa mungu kutembelea inchi yangu..yaani nabarikiwa nikiwa saudi barikiwa nawe pia
@araead4785
@araead4785 2 жыл бұрын
Amen Yesu ni Bwana nimebarikiwa, barikiweni pia nyinyi Wachungaji 🙏
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 5 ай бұрын
Kama haujaokoka na kumjua Yesu Kristo kama Mwokozi wa maisha yako then you are just wasting your time.njoo Kwa Yesu Kristo kama Bado uko na uhai,ukifa utashangaa.😢
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
✨✨✨🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@agnethpaul3596
@agnethpaul3596 2 жыл бұрын
Nilitaka kuandika NDOTO na si neno ndiyo.
@conkfabrimendaking7093
@conkfabrimendaking7093 2 жыл бұрын
Lakini sijui kama utanielewa vibaya au vip
@dianaatieno643
@dianaatieno643 2 жыл бұрын
amen wat about the ones who took the corona vaccine and are born again what will happen to them
@sarahsonny9240
@sarahsonny9240 2 жыл бұрын
How can someone be added in his whastpp groups please
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
My twinny kumbe unatembeanga huku🤔🤩mimi huku n mwenyezi sijui nahamia Tz
@sarahsonny9240
@sarahsonny9240 2 жыл бұрын
@@irenek7280 for few days of following him have absolutely get my answers of all my visions since ever young the Best things I don't forget, and more teachings and more deeper revelation as well,,,,, this is God ,,,for sure
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
@sarah Sony that's me too twinny Niko kwã GRP ya watsap but Sina link nitaomba link ama jacktan if he happens to see this comment can help you na link ... meanwhile will forward some of PST Amiel voice notes testimony Kwa watsap
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Group limejaa kwa sasa,tutafungua lingine no.3.Endelea kufatilia PROMOVER Tv
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
@promover tv thanks Kwa kureply tunangoja link
@agnethpaul3596
@agnethpaul3596 2 жыл бұрын
Mchungaji, ninakuomba ufafanue juu ya ndiyo za mtu hasa zile za kutosha. Na Kuna madhara gani kuvaa au kumtumia basdhi ya ishara zinotumiwa makanisani, mfano rozari, maji ya baraka na mafuta ya upako?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Rozari ni kama kauungu fulani,Maana bila hako husali kwa Imani,Maji ya Baraka yametamkiwa maneno hivyo yale maneno yanaumbika moyoni mwako na Si Yesu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Moyo wako Ukiamini Kuwa Yesu ni Vyote huhitaji Rozari wala Mafuta kupona au kuwa salama
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@castorykapinga6425 usitafakari muungu tafakari Rohoni inatosha
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@castorykapinga6425 Rozari siyo Kitabu usitufanye vipofu,Unaisoma wapi ilipoandikwa??au umekaririshwa kuwa Ni Kitabu??Hapo hakun kitu ni muungu tu,Biblia imeandikwa na Waliovuviwa Roho Mtakatifu sasa hiyo Rozari mbona Hakuna Ilipoandikwa kuwa Mungu kaivuvia Tuisome??Huo ni muungu wa wawakatoliki,ukubali tu,Kama ni kitabu basi msikivae mkiweke ndani mnipe na mimi nikisome
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@castorykapinga6425 ndugu tafakari saaana tena saana,Ila elewa tu hiyo ni sanamu kama Mdoli tu ule mwanangu anaochezea,Haikusaidii lolote kumuona Mungu au kufika Mbinguni,Nikueleze Ukweli naijua Rozari saana tuu ,Hata ukitaka nikwambie wanavyosali naweza ila hiyo miungu nilishaicha,Pole Roho Mtakatifu Akufumbue Macho usiendelee na salamu Maria umejaa Neema,Ni upuuzi mtupu
@morrismgendi4209
@morrismgendi4209 2 жыл бұрын
Dungu jacktan Niko Kenya Mko wapi ?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Tuko Tanzania
@conkfabrimendaking7093
@conkfabrimendaking7093 2 жыл бұрын
Alafu mbona nakusikia ukisema Bwana yesu Asipiwe badala ya Asifiwe kwann??
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Jamani kwani sio binadamu? Anaweza Kosea we muombee mtumishi
@conkfabrimendaking7093
@conkfabrimendaking7093 2 жыл бұрын
Jitahidi mchungaji usifanye utani kwamaana tupo siriac kukusikiliza usipige pige midomo kama unavyo fanya
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
Mafundisho yako mazuri na ukweli kabisa. Sasa swali ni bw.Aston Mbaya walipokuwa TZ walisema kuna "sadaka " lazima iTunes ndio maombi specific yanfanywe kumkomboa mtu kama anasubuliwa na mapepo ya mahaba..so swali ni kama Mwenyezi Mungu anakuokoa bure hio sadaka ni ya nini? Kusaidia kanisa ni sawa lakini kuunganisha sadaka na kuponya je sio mushkili?.ni swali waumini. Sifa na utukufu kwake Mfalme Yesu Kristu
@katekelatv
@katekelatv 2 жыл бұрын
Ndio. Sadaka hiyo inaitwa sadaka ya ukombozi. Hii husimama kuitangua hati ya mashtaka ya kishetani inayoish kwa kafara ili kudhoofisha maisha ya mtu. Damu ya yesu inatutakasa na kutuponya. Lakini sadaka yako huimarisha nguvu ya madhabahu ya Mungu na kufuta nguvu ya kafara za wanadamu kupitia madhabahu zao
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
We gone
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
@@katekelatv Asante. Damu ya Mfalme wetu Yesu Kristu yatosha kutukomboa kwa nini sasa kuwe tena na sadaka ya "Ukombozi".kwani kuna sadaka za kila aina mbalimbali sijawahi kuzisikia?
@preciousgrayson2021
@preciousgrayson2021 2 жыл бұрын
Sadaka ni sadaka isipokuwa katika ulimwengu wa roho mara nyingi huwa wanatoa sadaka huenda ikawa ya damu kwa maana ya kafara fulani au sadaka kitu chochote, sasa wewe ukiona umeomba kitu hakijafunguka au hujafanikiwa mfano unaota ndoto ya uzinifu ni vyema utoe sadaka yako binafsi ambayo utaongea na Mungu wako kwa kuinenea mfano natoa sadaka hii ikavunje sadaka zote za kipepo nilizotolewa kwenye ulimwengu wa roho, kupitia sadaka hii naomba Mungu unifarakanishe na ndoto za uzinifu nk. Tofauti ya sadaka hii sio kwamba unampa mchungaji ili akufungue no badala yake ni wewe unaongea na Mungu wako kabla hujaitoa na baada ya kumaliza kuinenea ndo unatoa kawaida kwenye chombo cha sadaka
@mercysimba3569
@mercysimba3569 2 жыл бұрын
Sasa mnarudi Tz lini jamani..
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Tumerudi sasa
@mercysimba3569
@mercysimba3569 2 жыл бұрын
Jamani Hallelujah!mbarikiwe na Bwana Yesu kwa huduma
@pastorbenpenuelchurchesmin6306
@pastorbenpenuelchurchesmin6306 2 жыл бұрын
Asante Mchungaji kwa kuhudumu huko kwetu tulibarikiwa Sana.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Amen blessed pastor.semina bdo inaendleaa woooow jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 na mataifa yote 🤔
@nyasabatubae9846
@nyasabatubae9846 2 жыл бұрын
Amina
@bazuriyaido6616
@bazuriyaido6616 2 жыл бұрын
Amen
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 19 МЛН
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 367 М.
Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida  " Ezra 8 : 21 - 23 ".  Rev. Abiud Misholi
1:19:10
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 7 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
MKASA WA MCHUNGAJI ANAELAZIMISHWA KUJIUNGA NA FREEMASON ILI KANISA LAKE LIJAE.
39:32
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 3,8 МЛН
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 1,7 МЛН